Sijawahi kusikia huu wimbo... Natoka kuomba saa hii nilipoingia UA-cam nikaona title wa wimbo huu... Nikasema niusikize... Huu wimbo ni wangu maombi ambayo nimeyaomba the same words ndo yametumika kunena nami kwa huu wimbo... Mungu utatimiza matamanio ya moyo wangu... Na kunipa mtoto pia nami...
I was in prayer and this song played on my youtube just as i was about to finish ! And i knew it was a sign that my Prayers have been Answered .Thankyou Jesus .
Amen my sister. Mungu akubariki Sana, Yan uliponitumia link ya huu wimbo nilikuwa busy mno, leo nikasema ngoja nifungue hii link dah so special Song with Mr chidumule
Niko kwa hostel mgonjwa na kukosa tamaa Ila kuingia UA-cam kuona huu wimbo na kuuskiza Hakika nimepata ufunuo upya na kupata tamaa...Mungu uinuliwe milele❤ be blessed what a song🎉
Kwa kweli Martha hujawahi kutuangusha! Nyimbo nzuri Sanaa zina ujumbe wa kweli. Sauti nzuri sichoki kuusikiliza. Kizuri zaidi Mzee Chidumule nae kapendezesha sana. Chaguo zuri sana. Asante mzee Chidumule. Hongereni wote
Dada Martha huu winbo kweli umekuja kama neno la wakati kwangu; Nilikua kwenye haic nikausikia kweny hyo gari nikawa najiuliza huu wimbo unaitwaje, sikupata jibu Ila nikasema nitaingia you tube nikaandka marha baraka mpya . zikaja nyingi nikaujaribu kusikiliza ule wa kwanza; Nikakuta ni wenyewe! Kiukweli Mungu amenifariji! Mungu akutumie zaidi dada
I'M FROM DR CONGO EX ZAIRE. YANI MZEE COSMOS CHIDUMULE SAFI SANA.MZEE UMENIKUMBUSHA ROCHERO TABU LEY. MIGUU YAKO NIKAMA YA MAREHEMU TABU LEY WAKATI ALIKUWA KIJANA NA SAUTI YAKO NI NZURI SANA ,ATA YA DADA MARTHE, KEEP ON.TUKO WA MOJA
Ila mtu mwenye viongo vyote kuomba omba ni dhambi (simaanishi kuomba) bali omba omba, unaweza kuomba msaada mara kadhaa ukasaidika ila hii tabia ya kukaa barabarani kuanza kuomba omba kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku ni tabia mbaya sana especially kwa mtu mwenye viungo vyote, yaani hata unaenda kinyume na NENO la Mungu
Ila we dada Ni mzr mpk saut yako shep yako matata km saut yako Sura Sasa ndo usiseme Midomo yako inavutia na inadondosha asali Kifua chako kimebalikiwa na kuwa na Matt mazr mpk Basi Mungubaba akuweke zaid
Nywele bandia mama ni chukizo kwa Bwana YESU, Achana na kujiremba ,rangi kwa kucha, Siket za kubana makalio , tubu acha Kujiremba , usije enda Jehanamu
Unaimba vizuri Sana dada ila Mungu akuongoze ktk mavazi mavazi yakubana mwili yanampa nafasi shetani yakukushitaki mbele zaMungu,nasema hivi kwasababu nimejifunza kuna siku nilikuwa naenda kufanya huduma mahali nilivaa sket ndefu tu ilakidogo ikanionyesha umbo lamwili wangu Mungu Baba Wambinguni akasema namtumishi waMungu anifikishie ujumbe kuhusu mavazi Mana shetani anamshitakia Mungu chochote tufanyacho natuvaacho namatendo maana yeye nimshitaki wandugu hadi sasa nimebadilika kimavazi Kazi nzuri Mungu akubariki Sana
Katika waimbaji wa nyimbo za injili ninao waadmire da martha upo kitu uniqunie ulichona ni vocal iko vizuri Cha pili your dance toka nyimbo zako za mwanzo uko vizuri.barikiwa Sana Sana na nakuombea ufike mbali.amen
Mungu akulinde mwimbaji ....huu wimbo ulinivusha kipindi Fulani kigumu sana....majirani zangu walilazimika kuujua maana ilikua asubuhi mapema naamka nao Kwa sauti kubwa nacheza Kwa kuurudia hata mara kumi nafsi yangu ikilidhika Nazima redio naenda kazini
Mungu akubariki sana Mysiz Martha...Wimbo huu una mguso wa kipekee...nimefurahi kumwona Mzee wangu Chidumule...bado yuko vizuri...Bwana anazidi kumfanya kuwa Kijana na Sauti yake inahuishwa kila leo...Kweli kwa Yesu kuna Raha
Sijawahi kusikia huu wimbo... Natoka kuomba saa hii nilipoingia UA-cam nikaona title wa wimbo huu... Nikasema niusikize... Huu wimbo ni wangu maombi ambayo nimeyaomba the same words ndo yametumika kunena nami kwa huu wimbo... Mungu utatimiza matamanio ya moyo wangu... Na kunipa mtoto pia nami...
Oooooh the same to me nimetoka kwenye maombi naingia youtebu nimekutana na wimbo huu ndo first time kuusikiliza@Mungu nijibu zaidi niombavyo
Wimbo hu naupenda sana
Mungu akupe haja ya moyo wako
Hakika ukiamini utashinda ila uwe mvumilivu usipapase.
asante sanaaaaa
Safi
Wimbo mzuri sana una mafunzo mema
Huyu madam Martha sio Martha baraka kweli
Ni yeye mama
@@ardoniamwantole4473 wakiachika ndio wanabadilisha na jina Tena
Wimbo huu umenitia moyo sana karibu nikate tamaa😭barikiwa Sana kimaisha na hata kwa huduma yako. Nipo Kenya🙏
Huu wimbo ulinivusha wakati nilipokua nimefikia mwisho wa akili za kibinadamu ...naupenda mno
Nipo hapa 2024
My name is Emmanuel I am in USA. Thank you for your songs
Henri oil Hong kick phi mm BBC FDD hhjgdkfefgfg
Aiseeeee hii kitu unaujumbe mzuriiii Hongera sana
Asante sana ubarikiwe sana pastor
I was in prayer and this song played on my youtube just as i was about to finish ! And i knew it was a sign that my Prayers have been Answered .Thankyou Jesus .
Wimbo mzuri sana❤
Amen my sister. Mungu akubariki Sana, Yan uliponitumia link ya huu wimbo nilikuwa busy mno, leo nikasema ngoja nifungue hii link dah so special Song with Mr chidumule
Nabarikiwa sana,nahuu ujumbe wa dada Baraka.
Chidumuleeeeeee napenda sanaaaa 🌟🌟🌟🌟🌟🙏☝️ Ameen ♥️☝️
Pesa hunaa ila mungu unayee
nyimbo nzuri kama wewe mwenyewe,,,zidi kutubariki mama
Wimbo mzuri sana. Barikiwa sana dada
Mungu akubariki mama 🤗🤗🤗♥️
Mungu hana dini.
Sote,tunatumainia yeyetu.
You good keep sing song and song
And don't fiya
Niko kwa hostel mgonjwa na kukosa tamaa Ila kuingia UA-cam kuona huu wimbo na kuuskiza Hakika nimepata ufunuo upya na kupata tamaa...Mungu uinuliwe milele❤ be blessed what a song🎉
Nabarikiwa sana na huu wimbo
Kwa kweli Martha hujawahi kutuangusha! Nyimbo nzuri Sanaa zina ujumbe wa kweli. Sauti nzuri sichoki kuusikiliza. Kizuri zaidi Mzee Chidumule nae kapendezesha sana. Chaguo zuri sana. Asante mzee Chidumule. Hongereni wote
Ubarikiwe dada Martha wimbo unaujumbe mzuri sana na umeinua imani yangu barikiwa sana.
Cette chanson me fortifie, je ne peux plus pleurer encore 😥 soyez bénie maman Martha la chanson me touche😭😭
You're welcome sing keep tl up God bless you
Narudia Mara karibu kumi nackia inanibariki Sana
Kitu fireeeee Kama fireeeee zaidi ya fireeee
Asante ubarikiwe sana mdogo wangu mzuri
Très bien soeur 👏🖒
Hakika MUNGU hana upendeleo yeye anamkumbuka kila mtu kwa wakati, kazi njema mno
Emeen ubarikiwe sana my sister
Oooii
Nakupenda buree unaubariki moyowanguu Sanaaa
Huyu Martha nyimbo zake karibu zote ni tamu unapenda kusikiliza tu Abarikiwe
Unaweza nakukubali sn mng atuongoze sote na kumuabudu🙏
Hakika Mungu amekupa wimbo huu ,, sichoki kusikiliza, wimbo huu unanibariki sana
Bonge la wimbo aisee...Mungu awainue zaidi na zaidi..Martha hujawahi kutuangusha kabisa.
Wimbo nzuri sana,Martha Barasa mwenyezi mungu Awabariki sana,kwa huu wimbo,nice song 🎉🎉🎉
Mungu wa mbinguni amesikia maombi yang Amen
Nilikuwa nimekata tamaa lakini kupitia wimbo huu nimeinuka tenaa
Asante kwa wimbo mzur hakika unafariji
Mungu akubarudi dada, wimbo huu wanibariki sana
Daaah kwamara ya kwanza namuona mzee chidumule kwenye video. Daah nampenda sana huyu mzee na nyimbo zake zote namkubali. Toa video basi mzee chidumule
Ukweli mungu ana umpedeleo amen aksati🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏💝👍👍👍👍👍madame martha mwaipaja
Huyo siyo Martha mwaipaja jmn huyo alikuwa anaitwa Martha baraka but hivi sasa anaitwa madm Martha...ujur kutofautisha
Dada Martha huu winbo kweli umekuja kama neno la wakati kwangu;
Nilikua kwenye haic nikausikia kweny hyo gari nikawa najiuliza huu wimbo unaitwaje, sikupata jibu Ila nikasema nitaingia you tube nikaandka marha baraka mpya . zikaja nyingi nikaujaribu kusikiliza ule wa kwanza; Nikakuta ni wenyewe! Kiukweli Mungu amenifariji! Mungu akutumie zaidi dada
Neema ya mungu iwe nasi sote.huu wimbo ni maombi❤
Vaa nguo ndefu hadi chini kama hiyo iliyomwaga chini zinakupendeza sana dada na Mungu atakubariki
I'M FROM DR CONGO EX ZAIRE. YANI MZEE COSMOS CHIDUMULE SAFI SANA.MZEE UMENIKUMBUSHA ROCHERO TABU LEY. MIGUU YAKO NIKAMA YA MAREHEMU TABU LEY WAKATI ALIKUWA KIJANA NA SAUTI YAKO NI NZURI SANA ,ATA YA DADA MARTHE, KEEP ON.TUKO WA MOJA
Amen Yesu akubariki Sana mtumishi WA mungu nakutakia asidi kukuinua kwa kazi yake 🇰🇪
Aksate kwa iho nyimbo mungu akubariki
Mungu hajawahi zeeka wala Hastafu Mungu awabariki mnoo
Emeen ubarikiwe sana mdogo wangu mzuri
Wimbo huu unabariki sana
Napenda sana nyimbo zako Martha baraka ❤
Please change "God is unjust" in the test to "God is not unjust". Thank you for this great song
Ila mtu mwenye viongo vyote kuomba omba ni dhambi (simaanishi kuomba) bali omba omba, unaweza kuomba msaada mara kadhaa ukasaidika ila hii tabia ya kukaa barabarani kuanza kuomba omba kuanzia asubuhi mpaka jioni kila siku ni tabia mbaya sana especially kwa mtu mwenye viungo vyote, yaani hata unaenda kinyume na NENO la Mungu
Chidumumule jaman barikiwa baba kwa MUNGU kweli hakuna uzee mmenikosha moyo
Umeonaee
Nimejisikia Vyema kusikia sauti hi ya Mr. Chidumule kwa wakati huu.
Wimbo mzuri saana watumishi wa Mungu. Mbarikiwe mno
Kweli Mungu hana upendeleo barkiwa sanaa mtumishi
Ila we dada Ni mzr mpk saut yako shep yako matata km saut yako
Sura Sasa ndo usiseme
Midomo yako inavutia na inadondosha asali
Kifua chako kimebalikiwa na kuwa na Matt mazr mpk Basi
Mungubaba akuweke zaid
Martha unaimba vzr Sana... Mungu akutunze
Mungu ni mkubwa Sana , asante dada yetu
Wmbo umepangwa bora, una ujumbe poa , Nimebarikiwa na umenijenga, Mungu hatuwachi
60yrs have nothing my5sons no jobs ,no one's help but through this.song our family is going to be blessed.ASANDEbBaraka.
Wimbo mzuri sana, waimbaji pia na sisi wasikilizaji wenu tujitahidi kuishi Maisha ya kumpendeza MUNGU ili siku moja tumuone YESU akirudi.
Wakati wote hunibariki sana..mungu akupe neema zaidi
Barikiwa sana wimbo uko poa unanibariki mnooo mbarikiwe san
Amen ntapakata watoto❤
Naona ilikuwa ngumu,Sana, da vais vesa,nimechoka kabisa,milusi mingi,inatuchanganya,wapi,Elia mtishbi
Mimi mungu kaniacha...mungu ni wale tuu
Hongra soana kazi yako njema
Hongera dada yangu kipezi hakika Mungu Hana upondeleo
Dada martha ubarikiwe sana.
Amen dada hakika! Mungu hana upendeleo
Wah wimbo mtamu kabisa mm kwasiku nasikiza mala kama tano kama tuko mamoja nipe like za matha Baraka
Wabarikiwe walio kupigia music biti limetulia sana, mwenyewe napenda music bora
Huu wimbo ujumbe uliyotumika unagusa pande zote, Mungu azidi kuwafunulia zaidi watumishi wa Mungu, @Marthabakara & Chidumule
Hana upendeleo Barikiweni sana
Nywele bandia mama ni chukizo kwa Bwana YESU, Achana na kujiremba ,rangi kwa kucha, Siket za kubana makalio , tubu acha Kujiremba , usije enda Jehanamu
Unaimba vizuri Sana dada ila Mungu akuongoze ktk mavazi mavazi yakubana mwili yanampa nafasi shetani yakukushitaki mbele zaMungu,nasema hivi kwasababu nimejifunza kuna siku nilikuwa naenda kufanya huduma mahali nilivaa sket ndefu tu ilakidogo ikanionyesha umbo lamwili wangu Mungu Baba Wambinguni akasema namtumishi waMungu anifikishie ujumbe kuhusu mavazi Mana shetani anamshitakia Mungu chochote tufanyacho natuvaacho namatendo maana yeye nimshitaki wandugu hadi sasa nimebadilika kimavazi Kazi nzuri Mungu akubariki Sana
Mam Mimi hubarikiwa sana na nyimbo zako nazipenda barikiwe na pamoja na Mr chidumule
Huu wimbo umenitia nguvu sana barikiwa dada Martha.....
Dahhhhhh sister umependezaaaaaaaa utafkil unakua bint..huuwimbo pia umeonesha ukomavu,,,,,,saaaaaf
Hii nyimbo siku video inatoka nilikuwa namaumivu lkn mung alinipa huu wimbo kama faraja mbarikiwe
Emeen ubarikiwe sana sana namefurahi kusia huu ushuhuda MUNGU azidi kukutunza
Thnkx Dada
Pawer full massage just for me,God bless you sister 💕
Waoooooo jamani nyimbo nziiiiiii.naomba unijibu kwanini ulibadilisha jina matha baraka to madam matha
I can't stop listening to this amazing song, I keep restarting at the end. What an encouraging song, am sweating I can't stop dancing 🎶
Glory to God! Mzee Chidumule sauti ya dhahabu Mungu azidi kukutunza. Barikiwa mtumishi wa Mungu Martha, Nyimbo zako zinaleta faraja palipo na huzuni
Katika waimbaji wa nyimbo za injili ninao waadmire da martha upo kitu uniqunie ulichona ni vocal iko vizuri Cha pili your dance toka nyimbo zako za mwanzo uko vizuri.barikiwa Sana Sana na nakuombea ufike mbali.amen
Ubarikiwe Mama kwawimbo nzuri
Chidumule mtu m'bad umefunika nyimbo baba... Hongera sana
Asante mtumishi wa Mungu kwa wimbo huu,,,, Mungu akutangulie katika kazi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana madamu wimbo ni mtamu sana
Mungu akulinde mwimbaji ....huu wimbo ulinivusha kipindi Fulani kigumu sana....majirani zangu walilazimika kuujua maana ilikua asubuhi mapema naamka nao Kwa sauti kubwa nacheza Kwa kuurudia hata mara kumi nafsi yangu ikilidhika Nazima redio naenda kazini
Daaah wimbo unabariki kweli hongera
Madam Martha ...ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu. Uliyonena humu pamoja na mtumishi mwenzio kwakweli mbarikiwe hakika yanatimia❤️🙏
Utukufu kwa Mungu
Kabisa Mungu hana upendeleo mwamini tu atakuketisha na wakuu
kenya we are sorted pure gospel
Madam Umebarikiwa, songa mbele katika Huduma❤
Mungu akubariki sana Mysiz Martha...Wimbo huu una mguso wa kipekee...nimefurahi kumwona Mzee wangu Chidumule...bado yuko vizuri...Bwana anazidi kumfanya kuwa Kijana na Sauti yake inahuishwa kila leo...Kweli kwa Yesu kuna Raha
Emeen Emeen ubarikiwe sana sana pia
Chidumule sauti bado nzuri Sana barikiwa sana
Hakika Hana upendeleo Mungu wetu ..barikiwa sana kwa ujumbe hakika unatia moyo 🥰
Namkumbuka Tobias Chindumule wa zile enzi za ~Yesu Ni Bwana... Mungu na azidi kukutumia ndugu kueneza injili yake.
Mko huku😂, mimi customer wenu Sana wa jinika
@@renmumbo100 Asante Sana Kwa support yako kaka. Wewe ni wetu!
@@SMKOLLECTIONZ shukran
Amina ubarikiwe dada matha wimbo mzur unatubarik sana
Iko powa sana jamaniiiiii, na venye beat yake ukisikiliza ni kama ya Diamond}}} Nataka "Kesho"
Dada Nashindwa kueleza kwa jinsi Nakupenda sna napenda huduma yako sna jmn zidi kubarikiwa sna
Ubarikiwe sana