2 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лип 2024
  • Semina ya Neno la Mungu Tanga Mjini || Day 2 || Tarehe 04 JULAI 2024
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

КОМЕНТАРІ • 41

  • @lolatitus8278
    @lolatitus8278 19 днів тому +2

    Mungu wetu have mercy on Kenya lord Jesus.Huruma salon zika pole Kenya Kwa Sami ya Yesu Kwa Nina la Yesu Amen.

  • @nicemarytemu8361
    @nicemarytemu8361 26 днів тому +5

    Ni maombi yangu Mungu akutunze Mwl na wanangu wakue niwe nakuja nao kwenye semina zako.
    Mungu unaemtumikia amenitendea mambo makuu sana, sijawahi weka agano na Mungu kwa kutoa SADAKA za semina zako na asinifanyie.
    Nina shuhuda nyingi sana natamani hata siku Moja nikae nawe nikueleze. Kuanzia masomo, kazi, mume , familia na afya.
    Bado Moja tu la baba yangu kuokoa.
    Jina la BWANA YESU na litukuzwe milele

  • @HawaJuma-oj8rq
    @HawaJuma-oj8rq 18 днів тому +2

    Najiungamanisha na madhabahu Yesu atuhudumie Tena, nawafunika kwa damu ya yesu watumishi wetu baba mwakasege na mama yetu Diana, praise team, viongozi wa maombi na wote mnaoshirikiana nao katika kuhakikisha kilakitu kinaenda sawa. Amen

  • @mkailivin4050
    @mkailivin4050 26 днів тому +6

    Amen nami naomba maombi baba Mungu anikumbuke nipate mwenza sawasawa na neno lake

  • @user-yk1gl8qw1v
    @user-yk1gl8qw1v 26 днів тому +17

    Amen, Nami naomba mniombee nko Saudi Arabia nimeugua mwezi mzima wa 6 na sasa mwezi huu nasikia kiuno kinauma ndani y mifupa hadi miguu nasikia uchungu kwa ndani naamini kupitia maombi yenu mungu ataniponya

  • @magetemu
    @magetemu 26 днів тому +4

    2korntho 8:9 msalaba uliachilia Neema ambayo inaweza kunitoa kwenye umasikini kimfumo kwakutazama mfumo wangu wakufikiri nakuniingiza ktk utajiri kifikira Kwanza.

    • @magetemu
      @magetemu 26 днів тому

      Imani lazima ichukuwe kitu ndani ya Neno ambacho litakuwa binafsi

  • @EdithaLucas-li4xh
    @EdithaLucas-li4xh 26 днів тому +4

    Muniombe na mimi mungu awakumbuke wazazi wangu waokoke

  • @user-fu8ie4sq8c
    @user-fu8ie4sq8c 25 днів тому +1

    Amina🙏🙏🙏naombeni mniombee nipate mwenza mwenye kujali na utu pamoja na hofu ya mungu

  • @joelkimario42
    @joelkimario42 26 днів тому +4

    Hakika Mungu ni mwema asiyeshindwa atujalie kujua kutumia sehemu ya msalaba wake

  • @JustaLutataza
    @JustaLutataza 23 дні тому +1

    Mungu nikumbuke najiungamanisha na madhabau hii ktk jina last yesu Ameen

  • @RoidaMhame-xq5ki
    @RoidaMhame-xq5ki 20 днів тому +1

    Naomba nguvu za MUNGU ziendelee kumiminika ndani yako mtumishi wa MUNGU aliye hai Mwalimu mwakasege na mama MUNGU AWABARIKI sana
    Amen

  • @hellenlillyannep.a.m.mally3653
    @hellenlillyannep.a.m.mally3653 26 днів тому +1

    Najiungamanisha mimi na familia yangu na madhabahu hii ili Mwenyezi Mungu akatukomboe mioyo na nafsi zetu

  • @ROSEJOSHUA-qn6ie
    @ROSEJOSHUA-qn6ie 26 днів тому +4

    Amina baba

  • @user-fu8ie4sq8c
    @user-fu8ie4sq8c 25 днів тому

    🙏🙏🙏🙏, yaani Leo nimeota umeniombea baba ubarikiwe na bwana

  • @samwelrobeth7763
    @samwelrobeth7763 10 днів тому

    Utukufu kwa Mungu Baba.🙏🙏

  • @JoeJocktan
    @JoeJocktan 26 днів тому

    Amina mwl Mungu azidi kukutumia katka viwango vyake

  • @FestonLyanda-lv8hg
    @FestonLyanda-lv8hg 26 днів тому +1

    Hii yenyewe Baba

  • @wemaelihaki
    @wemaelihaki 26 днів тому +1

    Amen amen amen

  • @sayamos9725
    @sayamos9725 26 днів тому +1

    Amina

  • @FurahiniSanga-i4h
    @FurahiniSanga-i4h 26 днів тому

    Ameni baba barikiwa sana baba na mama Diana

  • @annapeter1280
    @annapeter1280 26 днів тому

    Asante Yesu kristo.

  • @ShedrackEstomih-ol9sr
    @ShedrackEstomih-ol9sr 26 днів тому

    Baba mungu awabariki❤❤❤❤❤

  • @mountukombozi
    @mountukombozi 22 дні тому

    wastahili

  • @HellenJames-mn2lr
    @HellenJames-mn2lr 24 дні тому

    Ameen

  • @fraviafidelis4792
    @fraviafidelis4792 23 дні тому

    😊😊

  • @user-ij2po2jw2f
    @user-ij2po2jw2f 26 днів тому +1

    Usinipite

  • @fraviafidelis4792
    @fraviafidelis4792 23 дні тому

    😊😊😊

  • @fidelisernest3523
    @fidelisernest3523 26 днів тому +3

    Naomba kifahamu utaratibu wa maombi ya kitaifa Niko Morogoro

    • @neemaloy889
      @neemaloy889 26 днів тому +2

      Ni kuanzia tarehe 29/7/2024 nenda KKKT mjini kati hapo morogoro muone mratibu wa mana anaitwa a mwakatobe, au muone mchungaji kiongozi utapata utartbu

  • @evelynmbilinyi1411
    @evelynmbilinyi1411 26 днів тому +1

    Ameeeeen

  • @user-sn9lh6gv7t
    @user-sn9lh6gv7t 26 днів тому

    Amina baba