Jamani sisi ndo mashabiki tunaamua nani atrend na nani azingue, kiukweli haya matusi wanayoimba wasanii hawa wengine yanatuumizia sana jamii yetu wakiwemo watoto yani wanaharibika kinoma tena kwa kasi, yani unakuta mtoto kabeba mkoba wa shule anaenda shule huku anaimba "amechukua ameweka waah" au "pwaah pwaah pwaah" sasa jamani tusapot mziki wa huyu mwamba na wengine wanaoimba nyimbo nzuri ili hao wanaoimba ujinga wabadirike waongeze ubunifu katika kazi waache kutuharibia jamii yetu. Ahsanteni
Tunataka kucheza sio kulalamika mama mama mama cheza mziki watu tukiwa crab stres zitoke sasa hii nyimbo itakutoa stres au itakuongezea????????? Anachukua anaweka waaaaah lazma stres zitoke ukitaka za heshma tafta kama nyimbo ya utanipenda, sikomi nk
Dah ngoma kali ubora wako haupimiki naangalia ngoma yako hadi napatwa na hisia ww ndie msanii bora mwenye kujenga na kuhelimisha dunia unae weza shika hisia za watu kupitia mashairi yako big up bro
Nyimbo zenye mafunzo ujumbe na elimu kwenye jamii daima hazifuatiliwi kweli naamini shetani anamamlaka sana duniani cheki hii nyimbo imekamilika lakini haina airtime kwenye television na redio
mziki wakudumu ni wa 20% pekee nakuombea Mungu San bro utafaulu zaidi kua na msimamo uwo kwani mwanaume kamili ni kupambana na maisha sio Rahisi Rahisi tu kuza druculer anaweza mnaendana kmziki 🙏
Maile mbish ww ni mwalim wa hiz kaz, mziki mzur Sana mziki wenye hisia mziki ambao unaweza kuckiliza na kuangalia na mtu yeyote yule cc mashabik zako twakuomba ucbadilike na kuwafuata hao wanaotukana haya mafundisho unayoyatoa hapa hata yacpokulipa Leo yatakulipa kesho, one love maile .
Daaaa mpk nimetoa machozi bro mm ktk maisha yangu utaishi milele naww ndio msaniii wangu ata ukisema unashoo nije kulipa ntalipa uwenda nikapata kujifunza nisiyo yajua Allah akupe afya njema uendelee na burudn zako ss tunakuitaji broo
Mkali ana Rudi baba waooo wote Tanzanie yote yako brother nili kusikiya ningali bado mdogo kwetu nyumbani Congo.... Ivi niko south africa ohhhh 20 percent
Jamaaaani eee anayeamni kwamba 20 ni mgodii mzuuur aweke likes zakee🔥🔥🔥
Hawa ndo wasanii vikongwe sio hawa vichefu chefu wanao chambana mitandaon like kwake 20%Jaman
✍️🙈👍 20 pourcent wewe ni fundi bwana
Kama umeisikiliza hii nyimbo zaidi ya mala5 gonga like hapa
Wewe bado zaidi ✊🎁✊
Kama umemuona 20 amenyoa ras gonga like twende sawa
Kama mnamkubali twenty nipeni like
Upo sawa mdogo wangu
Mtu nanusu huyu💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Twenty umerudi au unatujaribu maana mziki unaoufanya hakuna wakuziba pengo lako tunakuomba urud rasmi game bado inakuhitaji bro✊🏻💯💯
Akika rud broo 😭😭😭😭😭
Hakika.... Mungu amfanyie wepes aendelee kutupa burudan
Asante kwa goma kali lenye ujumbe
Kweli kaka miongon mwa wasanii walio wahi kuni inspire
Kwer. Tuna. Muitaj. Twent
Sihami bongo sana team tujuwane♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nimejikuta namkumbuka mama yangu 😭😭😭😭😭😭😭pumzika mama yangu mzazi
KAMA WWE NI MMOJA WA WANAOTAMANI KUONA ASILIMAILE ANARUDI KWENYE GEM GONGA LIKE YAKO HAPA MPAKA MWAMBA ASHANGAE...
Nkbl
yaan mm nampenda san miak 10ooo ishi
Namkubali Sana twend
VICHWA ADIMU SANAA DUNIANI HESHIMAAAA
Salute kwako 20
Wimbo wa Dunia huu elimu Kama yote ♥️♥️♥️♥️♥️ usichoke kuangaliaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Creayivity ya 20 ni noma
When I listen your music I feel at peace. Nani mwingine East Africa kama 20 paa ❤️❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ongeza muziki mukuu.
Hamna
This man has a solid fan base.
hakuna nyimbo ambayo kwako siielewi hakika 20 we utabaki kioo cha jamii💪💪💪
Wow tyulikumis san.yko wp mama nipelek kwa mama..mpk yanikumbusha mbali.....
Machozi
Angalau tutakuwa huru kuona Mziki wa bongo pamoja na wazazi,maana yaliyopita ni matusi......🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌welcome back man
Huu wimbo nauangalia kila mara na nimeushare kwa jamaa pia ..unanigusa sana ..Asante sana twenty ...wewe ni msanii na huo wimbo unasitahili tuzo
Mwenye utaalamu wake amerudi... Huyu mwamba ni fundi
Kaka unajuwa imba 20%power
Acha tufukuze Matusi! 20% mpaka mwisho!
Kabisa BLØØD
Yes
😂😂😂
Nakubari
Uhakika kk
The king of everything in music of Tanzania
Nakukubali sana 2024 tujuane 🔥 🔥
Naangalia uku machoz yana nilenga lenga,,20 power 🔥🔥
Mwenye mzk wake 20 power safiiiii broo mi machoz yananitoka ngoma kari rete nyingine fasta
Asante nyimbo zenye ujumbe unaoishi milele 🙏🙏🙏 like nyingi kwa 20% jamani plz✔️
ebhana we ndy mwalimu 20
Sure sure daa bonge la goma
Hawa ndio wanamuziki waliopashwa kutambulikwa na Taifa na kusaidiwa. Kazi nzuri ya fasihi
Nilihofia kuwa utakuwa ni wimbo kama zile za kitambo kumbe uko👍👍
Kaka. Bigap san. Anae jua. Anajua tu. Nakuombea. Maisha. 100000
Huyu jamaa ana madini yasiyoisha. Muziki wake ni wa juu sana. Nakuombea kila jema Sindano ndogo inayoshona makoti
Hakuna matusi,maneno machafu daahhh the legend is back🙌🙌🙌🙌
Nakubali kaka sana kazi zako kazi ipo good sana
Jamani sisi ndo mashabiki tunaamua nani atrend na nani azingue, kiukweli haya matusi wanayoimba wasanii hawa wengine yanatuumizia sana jamii yetu wakiwemo watoto yani wanaharibika kinoma tena kwa kasi, yani unakuta mtoto kabeba mkoba wa shule anaenda shule huku anaimba "amechukua ameweka waah" au "pwaah pwaah pwaah" sasa jamani tusapot mziki wa huyu mwamba na wengine wanaoimba nyimbo nzuri ili hao wanaoimba ujinga wabadirike waongeze ubunifu katika kazi waache kutuharibia jamii yetu. Ahsanteni
Tunataka kucheza sio kulalamika mama mama mama cheza mziki watu tukiwa crab stres zitoke sasa hii nyimbo itakutoa stres au itakuongezea????????? Anachukua anaweka waaaaah lazma stres zitoke ukitaka za heshma tafta kama nyimbo ya utanipenda, sikomi nk
Kabisa 👍👍👍👆
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Bonge la ngoma brother big up sana ujumbe
20% n balaa goloko by chimo
Anaga kazi mbovu kiukwel mimi ndie msanii wangu namba 1 katika bongo fleva twenty percent karibu tena kwenye geme lako
Moto juu ya moto" eeeh!!! nikweli kimiakingi kina mshindo. Walaii imeweza✋🌍
mushabiki wa kweli tanzania nime kupenda sana
Ma Bossies hawo ni wakorofi sana kabisa !
Mama ao Baba ni mmoja tu ; hauzwi sokoni !!!
Nategema kukuona ukiachia ngoma 2 ngoma najua wapo nasubiri 20 percent kama Mimi 20🔥🔥🔥🔥
Tuhakikishe hii ngoma inakuwa namber one on trending jamaa anajua sana aisee mpka machozi yanatoka
Dah ngoma kali ubora wako haupimiki naangalia ngoma yako hadi napatwa na hisia ww ndie msanii bora mwenye kujenga na kuhelimisha dunia unae weza shika hisia za watu kupitia mashairi yako big up bro
Nyimbo zenye mafunzo ujumbe na elimu kwenye jamii daima hazifuatiliwi kweli naamini shetani anamamlaka sana duniani cheki hii nyimbo imekamilika lakini haina airtime kwenye television na redio
mziki wakudumu ni wa 20% pekee nakuombea Mungu San bro utafaulu zaidi kua na msimamo uwo kwani mwanaume kamili ni kupambana na maisha sio Rahisi Rahisi tu kuza druculer anaweza mnaendana kmziki 🙏
Dua njema zikatimie ju yako kaka ....tuko nawe ulipo tupo...kazi nzuri
Huu wimbo Ni mzuri Sana'a serious
20 pah!
Wengine hawako , ni asilimaire tu
Big up sana twenty muziki wako utaishi kaka Anus🙏🏿🙏🏿
Yaaaah!! sasa saivi ndotunaona radha ya mziki .hatutaki makuzi never happen like u broo
Hawa nd wny miziki yao.......... legend......pamoja sana twenty% nakubali sana kazi zako hujawahi niangusha.........👏👏👏
Frahaaa yangu nikuona ngoma
Zakoo kozi tangu tangu na tangu20%acha nicoment hata mala 10000000000000000000020%for life 🙏🙏🙏🏻
Asantee kwa nyimbo nzurii yenyeee ujumbeee mxuriii nawaelewaaa sana tumechoka kusikia matusiiii
Huu wimbo mimi unaniliza😢😢😢😢😢😢
Sauti 💯
Utunzi 💯
Kweli asilimaile wewe ni mgodi wenye madini ya thamani sana
Kaz kubwa Sana mkuu Wang one love one blood
safi huyu 20 nampenda Sana nyimbo zake
Huyu ndio mwanamuzik tunaemjua cc hakuzw na media wala mitandao kazi yake ndio inamkuza one blood maile damu yng
Mmmmh inauma. Tatizo generation haitaki mziki kam huu,,mungu akubarik ...
Wamezoea matusi ....
Wewe ni gwiji,unajua hadi unakera,nyimbo zako zinaishi,Mungu akutunze
Maile mbish ww ni mwalim wa hiz kaz, mziki mzur Sana mziki wenye hisia mziki ambao unaweza kuckiliza na kuangalia na mtu yeyote yule cc mashabik zako twakuomba ucbadilike na kuwafuata hao wanaotukana haya mafundisho unayoyatoa hapa hata yacpokulipa Leo yatakulipa kesho, one love maile .
Daaaa mpk nimetoa machozi bro mm ktk maisha yangu utaishi milele naww ndio msaniii wangu ata ukisema unashoo nije kulipa ntalipa uwenda nikapata kujifunza nisiyo yajua Allah akupe afya njema uendelee na burudn zako ss tunakuitaji broo
Mwamba nakubali Sana umenikaa moyoni toka pindi umekuja matundasi chunya...
Ndo nyimbo uliyokuwa umekaa kimya uku ukiponda mwenzio kazi zao, aisee piga kazi acha mboyoyo
Rudi ki hivo kaka bado mashabiki wako tuko. Wanaomkubali iwe 254 ama 255 wote huku
Mziki mzuri sana na ujumbe pia 20 rud kwenye game mashabiki tupo
Dah!!! Hatari, asilimiairee, man maji. Kitambo kidogo, balaa hiyo nipeleke kwa mama from mama nema.
Matusi❌
Naked❌
Kupombeka❌
Ujumbe mzuri✅
Sauti nzuri✅
Beat nzuri ✅
💯 💯 💯
Kabendera ka bangi kichwani ✅ 😄😄...GOOD MUSIC namkubali 20%...no 100% authentic 🔥🔥
@@JohnDoe-ly2lp alikibav
Q
@@JohnDoe-ly2lp a tiki I bar
I love this one
Wewe ni Mwalimu Kwangu Brother Kazi mzuri.
Jamaa fundi sana aise
Sanaaa
20 Acha muziki wenye wivu wakufanyiya vibaya juu wew ndo pekee tz
The best artist of all time is returning 🔥🔥🔥
Maneno na mistari ilivyo pangwa ni kwa usahii Unaujuwa mziki karibu tena mfalme 👑👑👑
Kitu ninja mwana kinzasa mwana kwao mzik umerud nyumban thank u mkush
Safiii🤛🙏🙏🙏🙏🙏usibadili mziki wako upo good kaka
Dah Kaka Ww ni Master ktk hili gem godbless u
Napenda Sana 20 una mashaili mazuri, kaza unakuja kutoboa Tena best.
Tunapenda sana nyimbo zako Ila unapaswa kutoa mara Kwa mara na kuomba support kwa wenzango kwani unavitu vingi sana
💥💥💥💥🔥 Yani Nakuaminia Sana baba ya music
Kwa kwelii wew kaka unaimba kwa ujumbe auropoki MUNGU.AKUNYAANYUE Zaidi
Mara paap mwenye game yake karud na tuzo zake. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Big Up kwayote walio poteza maman kama mimi hapa 🙏🙏 Thankyou for you 20%
Ww ni legend,fundi wa mziki bro kaza tuko pamja,japo ushauri wangu mziki wako ufanye mfupi maximum dakika3 inapendeza zaid
nakupenda sana wekaka msani wangu bora wamdawote nakilasiku 🙌🙌🙌🙌💕💕💕🎶🎶🎶🎶😎😎😎💖💖💖👏👏👏👏👏👏
Ngoma Kali, Iliyobeba Hisia Nzito wanazopitia Watu wengi. 😎🔥
Daaah huyu mwamba sio poa ni kiyooo cha jamiiih
Anae jua anajua tu Kaka piga kazi.
Big up sana kijana... ngoma zako huwa kali sana...🙌🙌🙌
Daaaaaah jamani wewe sio 20%,ni 100% kabisaaaaaaa,I love your works. 20 ludi kazini kaka,please
😂
Bonge la nyanga asee.....umetisha %
20% wewe jamani!! I'm speechless 🙊😳 you are amazing my brother.
Please come back kabisa jamani we need you.
ongera sana kaka kwa kurudi kwenye game la mziki tulikumis
20 power.Tupe ladha tumemis sana hizi hisia man.
Twenty rudi bahna nakupenda nakukubal wew na mziki wako yaani nyimbo zako zanipa raha na mafunzo
Hujawah kosea mkuu ngoma kali imejaaa maujumbe toshaa
Big up Mwamba nyimbo zenye ujumbe ndiyo tunazitaka siyo matusi..........
Ujumbe mzur sana kwa jamii 0big up 20 paa
Jamaa kweri anajua mungu akuongoze twenty
Kali bro jitahidi usikate tamaa
Bonge la ngoma bro twenty! Kaza zaid kaka
Babaaa ndo kazi tunazo zitaka izo mzeee daaah we mkali saana nenda KINGS MUSIC'S mzee
Mkali ana Rudi baba waooo wote Tanzanie yote yako brother nili kusikiya ningali bado mdogo kwetu nyumbani Congo.... Ivi niko south africa ohhhh 20 percent
Izi vitu hamna kwenye Game💥💥Big up 20 power%
20% umetisha sana ngoma inaujumbe video unaangalia mbele ya wazazi bila woga
Hujawai kosea 20 nakubali