20 PERCENT X EBL DRUCULA feat MR BLUE - WANASEMA OFFICIAL VIDEO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • 20 power MANAGEMENT PRESENTS brand new video ft Mr blue

КОМЕНТАРІ • 649

  • @emmanuelluhozya3909
    @emmanuelluhozya3909 Рік тому +3

    mwana muziki mzuri 20%nakupenda saaaaaana kwasababu unaimba bila matusi ,kwako nimashauritu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👍💪

  • @LotitukelaizaLaiza-y9v
    @LotitukelaizaLaiza-y9v Рік тому +2

    Kweli mungu anajua kila kitu leo nimepata Raha sana kumuona Tena 20% daaa aisee mungu amerudisha musc upendwao

  • @kingdonald3312
    @kingdonald3312 2 роки тому +131

    tunaousikiliza huu wimbo tukiwa SOUTH AFRICA JOBURG embu gonga like hapa
    20% DRUCULA MR BLUE well done guys

  • @engeliberthcelemens3824
    @engeliberthcelemens3824 2 роки тому +2

    Mziki mzuli Sana kweli 20 uko poa kaka nakukubali na mnya bluu alivo pita ni nomaaaaa

  • @emmanuelwillium9579
    @emmanuelwillium9579 2 роки тому +17

    Ngoma kali sana bana kama na wewe ulimmsi 20 per cent gonga like

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 2 роки тому +4

    Mwenye mziki karudi😍😍😍🥰🥰🥰

  • @micochazi9153
    @micochazi9153 2 роки тому +11

    Kazi njema saana kaka twenty unajua mpaka basi

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 2 роки тому +1

      Nataman angeimba pia kwenye verse, this guy is something else

  • @josephgitau169
    @josephgitau169 2 роки тому +38

    We need people like you, mko real saaana, tumechoka na kelele za WASAFI NA KONDE .🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @urielaquilas4562
      @urielaquilas4562 2 роки тому +1

      Uko sahihi kabsa
      Mara utaskia kajala kafanya hiki,zuchu naye kadate na Simba. I like it coz kila mmoja ataskia huu wimbo kwa stahili anayoishi

    • @hezzietv
      @hezzietv Рік тому

      Haha. Konde yupo fitii pia

  • @norbeekentertaiment
    @norbeekentertaiment 2 роки тому +29

    Hujawahi kutuangusha watanzania
    20 percent
    My role model

  • @josefomoisestadeu106
    @josefomoisestadeu106 2 роки тому +1

    Mi pekeyangu ni wako twenty songa mbele na mungu akulinde,,, nakupata kutoka msumbiji wilaya mueda, machaili mazuri ngali si mwenhezi wa kiswail, APA sana ni kireno,,,

  • @thomastinega271
    @thomastinega271 2 роки тому +2

    ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪20%% nafrahia ujio wako huu...ngoma ya kijanja nimeikubali na nafrahia kuona umerud kwenye gem

  • @jowzeychejjo5394
    @jowzeychejjo5394 2 роки тому +21

    Ngoma kali sana mzee msanii wangu bora miaka yote🔥🔥🔥🔥

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 роки тому +46

    ✍️UHALISIA:mrblue ndie msanii ambae hakatai colabo namsanii yeyote yule mkubw au mdogo yeye ana support co bigup kwa biziii✌✌✌

    • @zedzoomextra
      @zedzoomextra 2 роки тому +2

      Uwakika Blue Uyuko peace Sana Kwa wote anacho angalia Kazi itoke Vizur mahan Alisha Sema kua sifany mziki wa pesa

    • @clemenceurasa6023
      @clemenceurasa6023 2 роки тому +1

      Namkubali sanaa..baisa

    • @Kimweri_tz
      @Kimweri_tz 2 роки тому

      Babylon

    • @scratcharico6223
      @scratcharico6223 2 роки тому

      kwan 20% ni msani mdogo?

    • @njoroboihustla125
      @njoroboihustla125 2 роки тому

      @@scratcharico6223 elewa mkubw au mdogo sawa

  • @ramadhaniamiri8003
    @ramadhaniamiri8003 2 роки тому +7

    Twent power Kwa back 2 back iz god is bless mmetisha wanamuziki nyie sio wasanii wanamuziki salut

  • @derickfrancis5855
    @derickfrancis5855 2 роки тому +3

    Usafi sana kaka umepotea tulikuwa tumekumis

  • @shedrackathanasio8001
    @shedrackathanasio8001 2 роки тому +3

    Watanzania eeeh mwamba kacharuka keshawachekea San madog karud sas heshma ifate mkondo wake

  • @mkaidjoseph4324
    @mkaidjoseph4324 2 роки тому +5

    Good xn mkali wa bongo fleva heshima yako

  • @degwaboy8128
    @degwaboy8128 2 роки тому +5

    Maile mbish drucula na blue mmeua kaz nzur sana

  • @churchillochieng439
    @churchillochieng439 2 роки тому +3

    20 percent hiyo chorus umeuwa ukazika bro kali saaana

  • @randynebo6286
    @randynebo6286 2 роки тому +61

    Mkenya wa kwanza hapa...hivi niko pekeyangu jamani😆😆😆🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️

  • @manyweledigitaltv4777
    @manyweledigitaltv4777 2 роки тому +2

    Ukimya mwingi kumbe ulikuwa unajipanga na kivingine.hongera Sana Kaka.kiukweli nakukubali sana.kiukweli umetukonga nyoya zetu mashabiki wako wa damu.

  • @ibufireclassic
    @ibufireclassic 2 роки тому +2

    Kaka ngoma kali san nyie wote mmeua kabisaa yaani hakuna alie vulunda..kabisa
    By #Ibufire_Classic

  • @Keymambo_
    @Keymambo_ 2 роки тому +5

    Dawa kweli 20 mziki ni kipaji chako kukaa miaka yote iyo ila bado unatoa hit song❤️❤️

  • @johnkatyega2221
    @johnkatyega2221 2 роки тому +7

    Twenty nguli wa muziki wa Aina yoyote tanzania kwetu bigup bro popote ulipo mm nipo nice song, nilikuwa nasubili vina vyako tu kumbe umeimba kolasi. Good am here Germany 🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪🇩🇪

  • @azizailala8885
    @azizailala8885 2 роки тому +6

    Wacha me huy 20 tu napendaga kaz zake sana kaz nzuriiiii hatareee

  • @elibarikinelsonnsenga3949
    @elibarikinelsonnsenga3949 2 роки тому +2

    20 kipaji chako ni level nyingne coraus imeimbka vema Mr blue umebaaaaamba penyewe kiujumla hamjatwangusha.

  • @allykeita704
    @allykeita704 2 роки тому +3

    Badooo uko ujuuu asante 20power

  • @isayalaurent2574
    @isayalaurent2574 2 роки тому +2

    Nawakubali mkiwa na mwanangu blue pamoja song lipo powa

  • @samwelmwasamajengo
    @samwelmwasamajengo 2 роки тому +13

    Nasikiliza huu wimbo nikiwa 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸 Bongo flava is back 🙏🙏🙏🙏😃😃

  • @bensonboka6016
    @bensonboka6016 2 роки тому +2

    Kazi safi mabrow from +254 Kenya

  • @nouwasike7712
    @nouwasike7712 2 роки тому +6

    Mwalimu Wa mzikiii 20 paccenty karibu
    Tena.nakukubali mno 100%

  • @kassimibrahim4776
    @kassimibrahim4776 2 роки тому +1

    Mshukuru mr blue...ila ww 20p hamna muimbaji hapo......nyombo mbaya

  • @ismailothman8063
    @ismailothman8063 2 роки тому +1

    Aliyemuona 20 pacent mkali Daymond anasubili songe like hapa

  • @Tanzania..cashauro
    @Tanzania..cashauro 2 роки тому +1

    Sadala wahihuku ujione mautamu tunafurahiatu 💪💪💪💪💪💏💗💖👏 asahate kaka yangu

  • @billyblanks099
    @billyblanks099 2 роки тому

    Hii ni kali. Motto kama pasi.
    20 Power kindly receives a lot of lovessss from Kenya. Wewe ni wa kwetu.

  • @mkazy4657
    @mkazy4657 2 роки тому +2

    Kwan mr blue mistar anatoa wapi kila siku ni more fire

  • @alphonselwito8570
    @alphonselwito8570 2 роки тому +11

    Nakubali kabisa drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @jenniferkalinga736
    @jenniferkalinga736 2 роки тому

    Nyimbo yang pendwa.😘yaani naisikiliza mara nyingi nyingi sana Mungu akusogeze mbele zaid%

  • @bwashejoram2810
    @bwashejoram2810 2 роки тому +6

    What kind of Melody,,,This is what I know about bongo flavor.... welcome back king of really life music 🎵🎵

  • @princesadon5017
    @princesadon5017 2 роки тому +4

    Wazi 20%...love UA songs bro,,,napenda blue anavyo chana,,,yaaan ananibamba hii style yake ya kurap kalii..uko fire broo...iwish one dei nije niimbe nae blue... Hongera sana

  • @hiyarysouthernboy4152
    @hiyarysouthernboy4152 2 роки тому +2

    nataman hii ngoma ingekuwa ya mr blue ft 20 alafu ikapigwa promo za kutosha.. n nzur sana .. ila ingekuwa nzur zaid kama ingekuwa ha watu wawili tu 20 na blue

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 2 роки тому +4

    Bongo flavor is back na tumechoshwa na makelele

  • @ibraah_leotz730
    @ibraah_leotz730 2 роки тому +2

    Ngoma kali Sanaa haichosi 🎶🎶

  • @eduwadylelya
    @eduwadylelya 2 роки тому +5

    Nakubali sana mkali MR BLUE 🔥🔥🔥

  • @urielaquilas4562
    @urielaquilas4562 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥 good song, duuuh ninaposkiliza song hii, najitahidi kujipa furaha mwenyewe coz dunia ni shida. I love u ww niliye kuweka moyoni mwangu 💖❤️.
    Nimekuweka and I swear hakuna yeyote anayeweza kukutoa ktk nafsi yangu 🙏🙏
    I love 💗 4ever

  • @janandune225
    @janandune225 2 роки тому

    Duh noma sanaaa I say goma limetulia sana, keep fire 🔥 burning

  • @abuumwichumu5520
    @abuumwichumu5520 2 роки тому +1

    Anaejua anajua tuuuu bg up 👍👍👍👍👍👍👍

  • @officialpangaboymtotowamam8014
    @officialpangaboymtotowamam8014 2 роки тому +2

    ,😜😜🤗napata ngoma hii nipo Gest nikaliii🤫🤫

  • @josefomoisestadeu106
    @josefomoisestadeu106 2 роки тому +2

    Uko good twenty tunkupata kutoka msumbiji

  • @frankblessy2482
    @frankblessy2482 2 роки тому +6

    Asilimia ishirini🔥🔥🇬🇧🇰🇪welcome back Legend

  • @johnlufyagila2848
    @johnlufyagila2848 2 роки тому +4

    Hongereni wanyamaaaaa goma tamu.20% is back

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 2 роки тому +11

    CONGRATULATIONS MY BROTHER raha sana Najisikia Nyimbo nzur sana♥♥♥♥♥♥

  • @kuzimaster3399
    @kuzimaster3399 2 роки тому +2

    Uhu ndio mziki alisii wa2 makin sana awaaa

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 роки тому +1

    Twenty per, mwamba hujawahi kutoa boko, namwona mwanangu Ras

  • @eliyamwambeje8961
    @eliyamwambeje8961 2 роки тому +2

    E bwana wamechana bysar na mwenzie lakini 20 hiyo chorrus amemaliza....welcome back brother ...tulikumiss sana be blessed

  • @shedomumbere2044
    @shedomumbere2044 2 роки тому +1

    Kwani 20 % ume mufanana sana darassa!!! Nilifikiri ni darassa

  • @omaryally4821
    @omaryally4821 Рік тому +1

    Nakubar miamba Iko bye 💥💥💥💥

  • @msodontexas3201
    @msodontexas3201 2 роки тому +2

    20%ma brothers mziiiiiki definition

  • @shabanimwakalundwa2077
    @shabanimwakalundwa2077 2 роки тому +1

    Atali sana mweeeh mnyakyusa wakwanza kumxikiliza 20%kali sana mweeeh🤜🤛🔥🔥🌴🍺🐍🐍🌴🌴🌴

  • @ebenezamidia5520
    @ebenezamidia5520 2 роки тому +5

    20 per
    Mr bleu
    Dracula
    Mmetisha
    Ila 20 kaua kiitikio
    Ila sikushauri uendelee kuimba hivi hapo umewaoneshea tu kuwa hawa wabana koo kua mpasua koo upo
    Asilimaire

  • @evansshayo3851
    @evansshayo3851 2 роки тому +3

    Asilimia 20.kazi nzur my brother 🔥 🔥

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 2 роки тому +2

    From gulf ngoma nouma sana 20 par

  • @omarysombi2256
    @omarysombi2256 2 роки тому +1

    Huyo ndomnyama wao 20% nakubali mkumbwa💪kaziiendelee

  • @mustafakingwande9459
    @mustafakingwande9459 2 роки тому +2

    Wimbo mzur kaka endelea kuifunza na kuielimisha jamii.Wimbo hata ukikosa matusi utasikika tu

  • @kingriharasuworldwide9403
    @kingriharasuworldwide9403 2 роки тому +1

    Mwenyezi mungu akujalie uludi salama kwenye tansilia ya mziki nakukubar sana brother

  • @emmanuelnzaligo6262
    @emmanuelnzaligo6262 2 роки тому +3

    Babylon buzzy hatari Sana nakubali mzee🔥🔥🔥!!!!!!!

  • @ikramuomary1214
    @ikramuomary1214 2 роки тому +3

    Mziki mzurii Legends Salute my brother's 🔥🔥🔥 💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fanuelsulle6039
    @fanuelsulle6039 2 роки тому +2

    Namkubali sana 20 pacent

  • @pademwanaharakati6202
    @pademwanaharakati6202 2 роки тому +2

    Daah Mr.blue iv kwann unawafunika sana wenzako ujawai niangusha kwenye corabo respect

  • @lakaticlever2832
    @lakaticlever2832 2 роки тому +3

    #blue msenge wewe dah binge la vers yaani dunia yako

  • @jongosudi8611
    @jongosudi8611 2 роки тому +6

    Babylon Biz ni janga kwakweli ila 20 per janga na na nusu uuwiiiih 🔥🔥🙌
    I salute you Guys this song is awesome

  • @einastykasola5120
    @einastykasola5120 2 роки тому +5

    Salute kwenu.one love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @djjacksonsmok5996
    @djjacksonsmok5996 2 роки тому +1

    Nice song I say, but selekali naomba iwasaadie awa wa sani walikuwa walipotea,, na pia na mshukulu Mr blue kwa wa support,, thanks my bro kwa kuturudisha msani wetu 20 %.

  • @murasandonyijean_marie9747
    @murasandonyijean_marie9747 2 роки тому +1

    Nakubali watu wangu from Burundi🇧🇮

  • @davidngutunyi4117
    @davidngutunyi4117 2 роки тому +1

    ...huyu ndiye asilimia 20 tuliyemmiss....mzee baba tulia hivyo hivyo...weka city vya style yako na utilize kichwa ...Mungu ni wa wote.....WELL DONE ABBAS NAKUKUBALI SANA KAKA

  • @lennywale9823
    @lennywale9823 Рік тому

    Aki kutu chakueleweka mo fire 20& blue, Lenny wale from Mombasa city.

  • @faidafiki3980
    @faidafiki3980 2 роки тому

    Nawasikiliza nikiwa uku Canada....keep going tumechoka na kelele za wasafi

  • @stanleymshihiri3605
    @stanleymshihiri3605 2 роки тому +3

    Blue siku zote ukimshirikisha. Lazima upambane kaibaka sana hii track goma Kali

  • @lighter_music
    @lighter_music 2 роки тому +22

    Chorus ni fireeee kabaisa ndo kachinja kabisa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @thesoundtvonline
    @thesoundtvonline 2 роки тому +3

    From canada 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦✌✌hongera sana twenty pacent

  • @emmyshya-year9600
    @emmyshya-year9600 2 роки тому +1

    Asante 20Pa ....1 Love Man

  • @vedastusmagaraba5779
    @vedastusmagaraba5779 Рік тому

    Kaka umejariwa kipaji kutoka kwa mwenyezi Mungu pia unaimba nyimbo zinazofundisha at watu wazima wanaweza kusikiliza wakiwa na familia zao

  • @DUL69
    @DUL69 2 роки тому +4

    Duh safi sana na blue mtu really sana 👍👍❤💯🤲

  • @profesahoodudechwaaa7420
    @profesahoodudechwaaa7420 2 роки тому +12

    Kwa nini nimechelewa kuuona muziki mzuri...Big up sana watu wangu

  • @shadrecknazarethboy8852
    @shadrecknazarethboy8852 Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ngomba kali sana

  • @achawanunetv1167
    @achawanunetv1167 2 роки тому +4

    KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA

  • @ashirafuayubunurdinashiraf639
    @ashirafuayubunurdinashiraf639 2 роки тому +1

    Twenti nimusanii ambae mm Tanzania namuelewa pamoja alikiba nyimbo zao unaweza kukaa na watoto ukaangalia

  • @mymusivwashington4937
    @mymusivwashington4937 2 роки тому +2

    Jiwe gud 20pwr

  • @alexboy5403
    @alexboy5403 2 роки тому +4

    Melody kari sana one love

  • @rumdeesonsoa1811
    @rumdeesonsoa1811 2 роки тому +47

    It's my first time to see 20 percent singing a romantic song. I love your songs 20 per

  • @gsptv3795
    @gsptv3795 2 роки тому +4

    Mashabiki wa 20% gonga like twende

  • @hassankitibe4076
    @hassankitibe4076 2 роки тому +2

    Umetisha 👍👍👍🤜🤛🤝

  • @williemzazi2030
    @williemzazi2030 2 роки тому +4

    Baisa Busy Babylon A.k.a Mr blue, aki this guy does not disappoint.

  • @espoirbyamungu8006
    @espoirbyamungu8006 Рік тому

    wewe ni musanii wa kipekee wa tangu utoto Wangu mwamba, ninaimani kama kunasiku takuja kukwona wala KUKWITA nikiwa waziri. Kinshasa DRC Kinshasa 🇨🇩⚔️✊✊✊

  • @jamaicanboeitz
    @jamaicanboeitz 2 роки тому +2

    Hatreee bro naomba ukaze tunarudi

  • @johnsingunda8427
    @johnsingunda8427 2 роки тому +2

    Apewe heshima yake mziki mzuri no copy ,originali bongo melody

  • @jumamapela6474
    @jumamapela6474 2 роки тому +2

    Sawa kabisa nakukubali 2%

  • @storyboymusic5572
    @storyboymusic5572 2 роки тому +1

    Nakukubali sana 20per nice song brothers

  • @vincegelas
    @vincegelas 2 роки тому +2

    Mtot mzuka we ni kitu chaa Arusha,
    Na nikikuvuta situpi cha ukuchaa.
    Bonge la ngoma

  • @vedastoerasto5168
    @vedastoerasto5168 2 роки тому +1

    Wabariki kazi zao walipoea sana