Mch Moses Magembe - KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 сер 2022
  • Ibada ya Jumapili Asubuhi katika kanisa la Gospel Campaign Centre-TAG Majumba sita Ukonga - Dar es Salaam chini ya Mch Moses Magembe.
    Ujumbe: KUGEUZWA KUWA MTU MWINGINE
    Andiko: 1 SAMWELI 10 : 6
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 14.08.2022

КОМЕНТАРІ • 67

  • @PeterJuliusSabuni
    @PeterJuliusSabuni Місяць тому +1

    Barikiwa Sana Pastor Magembe mmebakia wachache wazee wetu, ambao kanisa linaweza kujivunia

  • @ndayambajerafiki3938
    @ndayambajerafiki3938 4 місяці тому +1

    Amen Baba natamani nikuone kbs wewe ni mwarimu wangu

  • @danielchaulema1670
    @danielchaulema1670 9 місяців тому +1

    Asante mchungaji Moses magembe unatufundisha haswa neno lamungu naamini umefuata nyayo zawatangulizi wako Moses kulola Zacharia kakobe

  • @ROBERTMWANJABALA
    @ROBERTMWANJABALA Рік тому +3

    Kwa kweli nikisikiliza sauti yako baba Imani yangu kwa Yesu inaongezeka maradufu
    Bwana Yesu akutunze

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 Рік тому +3

    Mungu naomba unisaidie

  • @tendexemtendela5104
    @tendexemtendela5104 6 місяців тому +1

    Amen, MUNGU athurumiye sana

  • @violetsangamysongs1815
    @violetsangamysongs1815 Рік тому +2

    Habari za Yesu zinaleta rah amani na utulivu moyoni.a

  • @joshuarafael9462
    @joshuarafael9462 2 роки тому +4

    Huo moto ambao Mungu kaweka ndani yako na aendelee kuuchochea kwa Jina la Yesu.. Tunamtaka yule Yesu wa jana Leo na hata milele, Mungu akubariki sana mchungaji

  • @imanuelykiungo5765
    @imanuelykiungo5765 Рік тому +1

    Mungu akupe maisha marefu mchungaji , unatuhubiria injiri yenye nguvu za Mungu kwel kwel,

  • @mwajumakuboja
    @mwajumakuboja Рік тому +1

    Asante mch kwa ujumbe mzuri,kweli miyoko yetu igeuke

  • @micahnjoroge3685
    @micahnjoroge3685 Місяць тому

    Mahubiri ni manzuri na ina uzima. Shinda yako ni Moja. Kwanini nawewe tu una hubiri je na hawa ma pastor wanao kuzunguka. Si uwapee pia wahubiri tuwasikie. Acha uchoyo wa mahubiri. Tu Nataka kuwasikia. Hawa wengine

  • @japhetzachariah105
    @japhetzachariah105 9 місяців тому +1

    AMINA SANA YESU KRISTO AKUTUMIE ZAIDI KUHUBIRI INJILI SAHIHI.

  • @evalynerwegasira7485
    @evalynerwegasira7485 Рік тому +1

    UBARIKIWE MNO MCHUNGAJI . WEWE UKO JUU ZAIDI. INJILI ZA KUBEMBELEZA WASHIRIKA WASIHAME NDIO ZINAZOENDELEA SASA. KWA MAKANISA MENGI. MUNGU AKUTUNZE. HUBIRI BABA WATU WAMJUE YESU.

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 11 місяців тому +2

    AMINA

  • @ambakisyemwailongano6078
    @ambakisyemwailongano6078 Рік тому +1

    Amina baba

  • @IsayaSchone-kt7uq
    @IsayaSchone-kt7uq 6 місяців тому +1

    Aminaa san

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому +2

    Mungu nisaidie nimalize safar salama 😭😭😭

  • @godfreykimaro3011
    @godfreykimaro3011 4 місяці тому +1

    Mungu amekuweka kwa ajili ya "nyakati: hizi! Niko Arusha' napenda j :jumbe' zako! Mungu akulinde baba!

  • @judithnjeza8202
    @judithnjeza8202 2 роки тому +2

    YESU NISAIDIE NIWE CHOMBO KIPYA. UNITUMIE KATIKA HAKI NA UTAKATIFU...

  • @edinajossephatgeorg6246
    @edinajossephatgeorg6246 Рік тому +1

    Niache nikupende mzee wangu, nichonge kwa neno la Mungu mi ni kijana nataka nitumike vyema

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 роки тому +1

    Ubalikiwe sana Mungu amekusaza wewe kwa kazi maaalumu

  • @phabianmathew9484
    @phabianmathew9484 2 роки тому +5

    Na mm naitwa PHABIAN MATHEW nipo mwanza nilikuwa nasumbuliwa na jini mahaba kwa muda wa miaka kumi, leo wakati nimelala mchana nikaota baba mchungaji ananiambia niwe mkwel nimenunua bando nimeingia online nikakutana na Ibada ya kugeuzwa na nilikuwa nasumbuliwa na kichomi naendelee vizuri

  • @prudencesumbane2886
    @prudencesumbane2886 2 роки тому +1

    Ubarikiwe, Mch, Mungu aendeleye kukutumia, tuendeleye kufaidia, utukufu umurudie Mungu 🙌🙌

  • @bekamasha140
    @bekamasha140 Рік тому

    Eliud Nafasi
    Asante mchungaji kwa mafundisho yako mana na yame nisaidia Sana,,,

  • @fatumaremy
    @fatumaremy Рік тому

    Amena nimepokeya uponyaji ktk jina la yesu kristo 🙏🙏🔥🔥🔥

  • @riphatyjoseph8595
    @riphatyjoseph8595 Рік тому +1

    Ujumbe mzuri Sana. Mungu akubariki Sana...!

  • @SengaLukomya
    @SengaLukomya 11 місяців тому

    Amina

  • @izackmwashambwa5180
    @izackmwashambwa5180 2 роки тому +1

    Thanks my beloved pastor for Good work

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому +1

    Namuogopa Mungu aseh 😭😭😭

  • @christinakembe3869
    @christinakembe3869 2 роки тому +2

    Amen,ubarikiwe baba

  • @nangongolukundula9367
    @nangongolukundula9367 2 роки тому

    Asante sana baba kwa neno ila tufanyeje ?kanisani tukisalimiana watu hawaitiki kwaajili ya chuki

  • @violetsangamysongs1815
    @violetsangamysongs1815 Рік тому

    Nakupenda sana, Mungu akubariki na kukupa afya njema mchungaji

  • @neemakaywanga2526
    @neemakaywanga2526 2 роки тому +1

    Amna mtumish nmejfunza ktu lzm nikubal kugeuzwa

  • @emmanuelmakomango6577
    @emmanuelmakomango6577 2 роки тому +1

    Amina sana, nimebarikiwa sana kutoka hapa Zanzibar

  • @jacksonwilliam5093
    @jacksonwilliam5093 Рік тому

    Mungu akubariki sema ukweli baba tubadilike

  • @elishandikumana4826
    @elishandikumana4826 2 роки тому

    Kusuka nywere ni unyonga, mapambo ni unyonga, mapambo ya maua yaliyo tengenezwa na watu ni sanamu waumini achana na hayo nikuabudu miungu. Mchungaji fundisha waumini waachane na uovu huwo.

  • @elishandikumana4826
    @elishandikumana4826 2 роки тому

    Mchungaji kazia na hiri nalo nimuhimu zaidi sana. Nalo ni hili, mapambo yakusuka nywere na kupamba kanisa kwa vitambaa na maua hayo ni miungu.

  • @user-me3ee4fu8w
    @user-me3ee4fu8w 2 роки тому +1

    God bless u for this powerful message

  • @agnessmengi691
    @agnessmengi691 Рік тому

    Amen mtumishi nimekuelewa 🙏🙏

  • @amosbenard6657
    @amosbenard6657 2 роки тому

    Amina baba hiyo ndiyoo Injili kamili

  • @liliankamolo9798
    @liliankamolo9798 3 місяці тому

    Acha kua kibao😭

  • @josephgnzunda5631
    @josephgnzunda5631 Рік тому

    Hiyo yenyewe God bless you pastor

  • @davidtry4ne
    @davidtry4ne 2 роки тому

    Hii nzuri. Mh...inatakiwa sana hii.

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    Yes, nimepokea 🔥🔥🔥😭😭😭

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    😭😭😭😭 Turehem Baba

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    Barikiwa sana mtumishi

  • @elishandikumana4826
    @elishandikumana4826 2 роки тому

    Uamsho hauwezi kupatikana wakati Kanisa limejaa masanamu na vishuka utafikiri ni vile vyumba waisilamu vya majini au utafikiri ni vyumba vya sitarehe ya kidunia. Mchungaji ambia kanisa liachane nahayo.Ezkl 8:9-10

  • @albertinikodemusyammay2898
    @albertinikodemusyammay2898 2 роки тому

    Mungu akubariki

  • @mwajumakuboja
    @mwajumakuboja Рік тому

    Sema tupone

  • @wesleykimutai3840
    @wesleykimutai3840 Рік тому

    Amen

  • @catherinekileva414
    @catherinekileva414 2 роки тому

    MUNGU naomba utugeuze.

  • @judithnaomy6787
    @judithnaomy6787 Рік тому

    Sema usiogope mtumishi wa mungu akutie nguvu ni kweli hali mbaya

  • @catherinekileva414
    @catherinekileva414 2 роки тому

    Sema Baba tupone

  • @judithnaomy6787
    @judithnaomy6787 Рік тому

    Pia nimebarikiwa sana mtumishi mungu aendelee kukutumia mungu atusaidie sana pia mchungaji nisaidie kuna kitu sijapenda sisi tuliookoka tunabaguana wengine wanajiona ndio wameokoka wengine hawajaokoka yaani dhehebu lingine ndiye watakatifu dhebulao ndio zuri nazungumzia watu tuliookoka kwa madhebu tofautitofauti tuliojazwa roho mtakatifu ubatizo wa maji mengi nisaidie mbona tunabaguana?

    • @ebenezermwita7319
      @ebenezermwita7319 11 місяців тому

      Kama imani ni moja juu ya kristo tunaamini juu ya roho mtakatifu na ubatizo mmoja anayejisifu haijui bibilia matatizo ya kanisa kma kanisa hayawezi chafua dhehebu zima

  • @MaicklJumaa-gc7rn
    @MaicklJumaa-gc7rn 10 місяців тому

    BBBzbJz

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 2 роки тому

    Mijitu imejaa ktk majumba ya maombez 🤣🤣🤣

  • @imanuelykiungo5765
    @imanuelykiungo5765 Рік тому

    Mungu akupe maisha marefu mchungaji , unatuhubiria injiri yenye nguvu za Mungu kwel kwel,

  • @roseaidan-yo3rr
    @roseaidan-yo3rr Рік тому

    Amina

  • @dilurai4204
    @dilurai4204 2 роки тому

    Amen

  • @adolfinaalfonsi-tg6dq
    @adolfinaalfonsi-tg6dq Рік тому

    Amina

  • @adolfinaalfonsi-tg6dq
    @adolfinaalfonsi-tg6dq Рік тому

    Amina

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 2 роки тому

    Amina