UNABII WA KITABU HIKI SEHEMU 1:UHUSIANO KATI YA DANIEL NA UFUNUO na MCHUNGAJI SEMBA
Вставка
- Опубліковано 14 лют 2018
- UMOJA ULIOPO KATI YA DANIEL NA UFUNUO HUFANYA UJUMBE WAKE KUELEWEKA KWA KILA MSOMAJI. KUACHA AU KUPUUZUIA KUSOMA KIMOJAWAPO NI KUJIONDOLEA HAKI ZA KUFAHAMU UJUMBE WAKE.
Amina
barikiwe Pastor kwa jumbe zako nzuri zenye uwazi, tumika mtu wa Mungu nasi tupo tayari kupokea kwa msaada wa Roho mtakatifu.
Pr barikiwa sana MUngu aendelee kukutumia. Tunabarikiwa sana
Ameen
Barikiwa sana mtumishi unatupa kujua mambo mengi na kuwa macho kwa wakati huu wa mwishoo
ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU neno hili libarikiwe sana
Amina Justine philipo from Karatu Tanzania nabarikiwa sana
Mungu akubariki kwa mafundisho yenye kuleta uzima Kwa mioyo yetu. Maranatha
AMINA, DADA
Safi sana PR Mungu akuongezee hekima uzidi kumjua
May God bless you
Nimeelewa kwa kweli kitabu cha ufunuo na daniel ni kitabu kimoja kinacho mfunua yesu kristo barikiwa pr
Ukweli mtupu
Mtu was baba ubalikiwe sanaa
Amina
Amina mtumishi wa Mungu
BWANA akubaliki
Barikiwa Sana Mchungaji.
Amen encouraging so much
Aminaaaaaaa
Ubarikiwe sana Pr.
Thanks pr for the good massage and God bless you so much.
Amen
Barikiwa mtumishi wamungu
Haisikiki rudia tena barikiwa
Amen
nabalikiwa mno mungu akutie nguvu
Ubarikiwe sana mtumishi was Mungu nimejifunza sana nawezaje kupata masomo yote kwaanzia somo la kwanza mpaka la mwisho
INGIA KWENYE UA-cam CHANNEL YANGU: PAUL SEMBA, KISHA BOFYA KWENYE PICHA YANGU KISHA BOFYA KWENYE 'VIDEOS' UTAONA MASOMO HAYO YOTE NA MENGINE MBALIMBALI . PIA UNAWEZA KUSUBSCRIBE ILI UENDELEE KUPOKEA TAARIFA KILA NINAPOWEKA MASOMO. KARIBU!!
Tunaomba kupata CD za mafundisho haya ili yaendelee kutujenga kiroho pr
God bless you. following from Kenya
AMEN, LET US KEEP ON PRAYING FOR EACH OTHER
Today I could not get sound on the program Pr. something wrong or is it my computer?
🙏🏽🙏🏽
Sauti haitoki. Kuna nini
Pr hakuna CD ya masomo haya
Hivyo vitabu vinamhusu mmarekani
Unanibariki Sana mchungaji. Barikiwa Sana
AMINA