Mch Moses Magembe - ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO | MAKAMBAKO 07

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2023
  • Siku ya saba ya mkutano wa uponyaji na miujiza Makambako, chini ya Mch Moses Magembe.
    Ujumbe: ISRAEL NA SIKU ZA MWISHO
    Andiko: DANIEL 9:23-27
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 15.10.2023

КОМЕНТАРІ • 88

  • @michaeljohn6136
    @michaeljohn6136 3 місяці тому

    Namshukuru Bwana sana kwa kututunzia had leo uko hai,tunapata madini,Bwana akutunze.

  • @domicianalipiustv9144
    @domicianalipiustv9144 12 днів тому

    Utukufu apewe
    Mungu kwa maana ishara hizi huambatana na wanao amino

  • @lawrencekamete2404
    @lawrencekamete2404 9 місяців тому +6

    Amen, Mungu atupe neema ya Kutambua haya ili tusije kuachwa atakapo kuja Yesu. Bwana Yesu mimi.

  • @africatoeuropechurchtv8856
    @africatoeuropechurchtv8856 8 місяців тому +1

    Jaman watumishi wa Mungu mkazane maana hatujui tunajitumbukiza tu.

  • @georgetedmund
    @georgetedmund 9 місяців тому +9

    Tuliopata neema ya kusikia mahubiri haya na tubadilike kwa kutengeneza maisha yetu pia kuwakumbusha wengine kuwa Yesu yu karibu sana, Yesu anarudi! Bwana atusaidie. Amina.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 9 місяців тому

    Nimekuelewa sana mtumishi wa Mungu mahubili kama yako kipindi hichi yamekua adimu sana tulikuaga tunayapata kwa mzee kurola ambae ameshalala ktk bwana injili nyingi tunayohubiliwa kwa sasa ni yamafanikio zaidi sio ya kuwahubilia watu waache dhambi ni hatali sana

  • @user-yx8uf8sz5l
    @user-yx8uf8sz5l 9 місяців тому +3

    Hongera sana baba askofu magembe,,,mrusha matangazo unakata sana jitahd kujua nini ttzo mahuburi mazuri sana Ila yanakatika katika.

  • @sylviaswai5102
    @sylviaswai5102 8 місяців тому

    Amen, ubarikkiwe Baba mchungaji

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 2 місяці тому

    ❤❤❤ Aminaaaa

  • @antoinetteirankunda739
    @antoinetteirankunda739 3 місяці тому

    Amina saana

  • @LainethCosmas
    @LainethCosmas 8 місяців тому

    Bwana atukumbuke kuiishi kweli watumishi wa Mungu barikiwa sana Baba❤

  • @josephwema3198
    @josephwema3198 9 місяців тому

    Mzee magembe nakukubali andaa na mjutano huku maeneo ya umisheni ngunguti vikindu mashariki

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 8 місяців тому

    Ooh mitambo inakata kata Jamani!!

  • @WilifredLudovick-jk6rd
    @WilifredLudovick-jk6rd 8 місяців тому

    Aminaaaa baba

  • @godfreymwenesho1770
    @godfreymwenesho1770 9 місяців тому +2

    Namimi nimefatilia hotuba ya wazir Mkuu netanyah daa nilimeshaga Sana hiyo hotuba

  • @lawrencekamete2404
    @lawrencekamete2404 9 місяців тому +2

    Mungu awawezeshe mafundi mitambo kudhimiti kukatikakatika kwa mawasiliano, maana mambo anayoyahubiri Mch. wetu hayapaswi mtu kukosa hata kidogo. Mungu atoe mitambo mikubwa ili habari hii ifikie wengi kwa usahihi wote.

  • @user-tr7tf4ez6s
    @user-tr7tf4ez6s 9 місяців тому

    Kamandaa wa Yesu barikiwa baba .hakika najisikia raha lazima dunia ijue

  • @jeremiaemanuel5777
    @jeremiaemanuel5777 9 місяців тому

    Amen mungu akubariki mtumishi magembe mungu azidi kukuinua zaidi mafundisho yako mazuri sanaaa karibu babati

  • @makanisaomard1131
    @makanisaomard1131 8 місяців тому

    Asante baba yesu anarudi kabisa

  • @celinaphysoo4919
    @celinaphysoo4919 9 місяців тому +1

    Mungu nipe Neema

  • @martinakyoo148
    @martinakyoo148 9 місяців тому

    Bwana Yesu akubariki sana Pastor Moses Magembe Kwa ufafanuzi wa siku za mwisho.
    Nimebarikiwa sana

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 9 місяців тому

    Amen

  • @africatoeuropechurchtv8856
    @africatoeuropechurchtv8856 8 місяців тому

    Wale wanaoshabikia bila kuelewa, waache. Watapigania Waarabu badala ya Mungu.

  • @philipocastuli8591
    @philipocastuli8591 9 місяців тому

    Mchungaji Mungu akutunze kwakuwa na masomo mazuri uliyonayo maana wachungaji wengi hawajui hayo uliyonayo

  • @ishikawayoi
    @ishikawayoi 9 місяців тому

    Shule nyingi mno. Hongera sana babaa

  • @mbabaziwilson156
    @mbabaziwilson156 8 місяців тому

    Mungu akubaliki sana

  • @RehemaEmmanuel-wz3fo
    @RehemaEmmanuel-wz3fo 9 місяців тому

    Ameen, Mungu akutunze Baba

  • @OlivaJoachim
    @OlivaJoachim 9 місяців тому

    Mungu atupe Neema tusibaki dunian

  • @Sifael-vp8vs
    @Sifael-vp8vs 9 місяців тому

    Ukweli mtupu ubarikiwe mtumishi

  • @user-nw1uk1vr2q
    @user-nw1uk1vr2q 9 місяців тому

    Amen BARIKIWA sana pasta

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 9 місяців тому

    Wow true servant of Jesus +254

  • @peterkafipa6515
    @peterkafipa6515 9 місяців тому

    Amina

  • @naikekangele7117
    @naikekangele7117 9 місяців тому

    Mungu akubariki mch kwa kufundishs somo ilo

  • @floramahenge6224
    @floramahenge6224 9 місяців тому

    Ubarikiwe Sana baba Mungu akutunze

  • @eliphaznkurunziza7405
    @eliphaznkurunziza7405 9 місяців тому

    Amina Kweli Mungu asifiwe 1:16:19

  • @SamFoodjr
    @SamFoodjr 9 місяців тому +1

    Mungu awabariii saan

  • @hasanygodda9242
    @hasanygodda9242 9 місяців тому

    🙏🙏

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 9 місяців тому

    Haya mahubiri kwasasa kanisani hayapo,wachungaji wamefungwa midomo,wamepofushwa macho hawaono,Mungu alinifunulia mlango wa rehema unakwenda kufungwa,

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 9 місяців тому

    Mh! Mbona unyakuo tena!! Any way, nimefurahi kusikia habari za kuna kwa Yesu zinahubiriwa hapa

  • @janemwenda-ec2oh
    @janemwenda-ec2oh 8 місяців тому

    Njombe utakuja lini mtumishi

  • @user-rw5gn6zk1l
    @user-rw5gn6zk1l 9 місяців тому

    Mungu akubarki sana mzee wangu,na Mimi Mungu anipe neema ya kuihubir kwel

  • @user-dk9bz8kq3b
    @user-dk9bz8kq3b 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Kwa mafundisho mazuri sana kwaajili ya kanisa la Bwana🙏

  • @bernadetteshukuru9154
    @bernadetteshukuru9154 9 місяців тому

    Amen amen 🇦🇺 ubarikiwe baba sema

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana Baba angu

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 9 місяців тому

    Hallelujah

  • @user-fh8po1qj8l
    @user-fh8po1qj8l 9 місяців тому

    Amen Rev.Moses.God bless you

  • @sidimasha6626
    @sidimasha6626 9 місяців тому

    Amen 🙏

  • @Jeji12
    @Jeji12 9 місяців тому

    Amen mchungaji 🙏🏿🙏🏿

  • @RebbyPaul-sn7jv
    @RebbyPaul-sn7jv 9 місяців тому

    Mungu aturehemu

  • @edesaron9070
    @edesaron9070 8 місяців тому

    Hakika sijawai juta tangu nilipo chagua kukusikiliza mtumishi wa MUNGU aliye hai🙏

  • @EddyObadiah
    @EddyObadiah 9 місяців тому

    Ubarikiwe sana baba.Lakini, katika Biblia hatupati mahali popote unyakuo wa kwanza na wa pili au kurudi kwa Yesu mara ya kwanza na ya pili.Biblia inatuambia Yesu atakuja/ atarudi mara ya pili mara moja tu ambapo kutakuwa na unyakuo wa wazi.Hizi ni siku za mwisho, Roho wa Mungu atusaidie kuyaelewa maandiko.......Amina!!!!!😢😢❤❤

  • @marcodavid4183
    @marcodavid4183 9 місяців тому +1

    🙏🙏🙏❤❤.

  • @isdoryhenry-bh5kk
    @isdoryhenry-bh5kk 9 місяців тому

    Mzee mungu akutie nguvu

  • @akothchristine4752
    @akothchristine4752 9 місяців тому

    Glory glory hallelujah

  • @user-ms2ng8nh7n
    @user-ms2ng8nh7n 9 місяців тому

    Be blessed father

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 8 місяців тому

    Kanda ya ziwa unakuja lini

  • @luhamba6852
    @luhamba6852 9 місяців тому

    Barikiwa Sana Baba

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 8 місяців тому

    🔥🔥🔥🙌🙌👏

  • @AthanasiNdujilo-bg1lz
    @AthanasiNdujilo-bg1lz 7 місяців тому

    Ee Mungu watu Kama hawa leo hii Aina ya MCH magembe wako wapi,

  • @adelajoseph127
    @adelajoseph127 9 місяців тому

    Ameni

  • @elisanteshambula2882
    @elisanteshambula2882 9 місяців тому

    Amen Hallelujah!

  • @user-kv7hq5mb6m
    @user-kv7hq5mb6m 9 місяців тому

    Asante kwa uamsho mkubwa sana kwangu,sijui huyu mchungaji anapatikana wapi, hii ni hazina,wachungaji wakizazi chetu wanahubiri mafanikio tu,sijui huo uchumi watauwekeza wapi dunia inakwenda kuwekewa vikwazo,hizo biashara watazifanya wapi,kila mahali patasukwasukwa

    • @jovitakamagana2991
      @jovitakamagana2991 8 місяців тому

      Anapatikana go'ngolamboto majumba sita. Dar es salaam

  • @paulinerupia61
    @paulinerupia61 9 місяців тому

    Ameen

  • @denisbongore3098
    @denisbongore3098 9 місяців тому

    Somo n nzuri lkn fundi mitambo EE Mungu naomba unipe Neema ya kuhubiri kwa hzi nyakati za mwisho

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 9 місяців тому

    UBARIKIWE ZAIDI 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌🙌

  • @TabitherGakii-dt5kl
    @TabitherGakii-dt5kl 4 місяці тому

    Amiña

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 4 місяці тому

    Hii ndio injili halisi

  • @africatoeuropechurchtv8856
    @africatoeuropechurchtv8856 8 місяців тому

    Jamani sis wa vijijini tufanyeje?Mbona Injili za namna hii tangu tuhubiriwe zaman yalipotea?

  • @oscardosantos4202
    @oscardosantos4202 9 місяців тому

    Mahubiri mazuri sana ila video inakatakata sana

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 9 місяців тому

    Mafundi mitambo mnatufanyia nni sasa kwani mmekueje siku hizi mitambo inakatakata.

  • @edmundngongi5455
    @edmundngongi5455 9 місяців тому +1

    Mzee wangu mungu akubariki sana kwa somo hili

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c Місяць тому

    Hapo Kwa sayari Pluto sijui Jupiter hakuna kitu ya Nanna hio Kwa mujibu Wa biblia MUNGU aliumba mbingu Na nchi pekee...yaani Dunia .hizo Ni miungu ya wapagani.alfu pia mbingu , firmament

  • @dismasamani383
    @dismasamani383 3 місяці тому

    @Rev Moses, nimefuatilia mafundisho hayo, lakini kuna kagiza fulani: Mpinga Kristo anasimama baada ya Kanisa kunyakulia ao Kanisa linanyakuliwa baada ya Mpinga Kristo kufanya kazi yake, dhiki ya Yakobo inatokea na mapigo 7 yanatokea? Weka sawa kwenye chat na kuweka mafungo ya Biblia. Kwa ufahamu wangu, Watu wa Mungu waliosalia, wanabaki kupitia taabu zote hizo mpaka wakati ule watakapo muona Yesu akirudi, huku wabaya wakiwa wanapigwa hizo pigo 7 za Ufunuo. Mnyama wa Ufunuo 13 anafanya kazi, kuwawinda Wateule, wanamshinda, mpaka wakati Yesu anarudi, hakuna kunyakuliwa kwa siri.
    Karibu Mtu wa Mungu kwa kujadili, @Rev Moses

    • @nehemiahmguluka1996
      @nehemiahmguluka1996 23 дні тому

      Kanisa la YESU duniani halitaingia kwenye dhiki kuuu,Unyakuo unaanza na baada ya Unyakuo (rapture) ndipo mpinga Kristo atapata nafasi ya kutawala dunia, biblia inaposema yule asi roho yake inatenda Kazi lakini yupo azuiaye huyoo azuiaye ni Roho Mtakatifu ndani ya Kanisa. Baada ya Kanisa kunyakuliwa ndipo mpinga Kristo ataanza kutawala miaka 7. Dhiki ya yakobo biblia inamaana dhiki ya taifa teule yaani Israeli, huyo ndiye yakobo mwenyewe. Na hao watakaookoka ni walle ambao hawatakubali kupigwa chapa ya 666. Na hayo mapigo yote watayapitia Israel na wale wengine watakaokua wamesalia duniani. Pia usichanganye unyakuo na kurudi kwa Yesu na watakatifu. Unyakuo utaanza kabla ya Dhiki kuu. Na mwishoni mwa Ile miaka Saba ya mpinga Kristo ndipo hapo Yesu anashuka na Jeshi la Watakatifu kuamua vita ya Harmagedon ikiwa ni pamoja na kumuua nabii wa uongo na mpinga Kristo kwa upanga katika kinywa chake. Halafu Jitahidi usome maandiko na sio Kuleta mitazamo yako Kama ulivyosema hapo, biblia inaelezea Mwana wa adamu atakuja Kama mwivi, wawili watakua wamelala, wawili watakua shambani, wanawake wawili watakua wakisaga mmoja atwaliwa na mwingine aachwa hiyo ndio ya Yesu kuja kuchukua Kanisa lake Tena hii ya Unyakuo ni watakatifu peke yake ndio wataisikia Sauti ya parapanda na watamlaki mawinguni. Mapigo Saba ni kwa taifa la Israel na wale wengine waliosalia. Hiyo ya kila jicho kumuona ndio hiyo ya kuja na mawingu na Jeshi la Watakatifu mwishoni mwa dhiki kuu yaani mwishoni mwa Ile miaka Saba. Hapo ndipo kila jicho litamwona na hao waliomchoma. ZINGATIA kusoma maandiko vizuri na sio kurashia rashia. Biblia iko wazi kabisa.

  • @user-su6yd2lt5f
    @user-su6yd2lt5f 9 місяців тому

    Palestrina uwataji, acha ubinafsi was dini

  • @scholasticakariuki6775
    @scholasticakariuki6775 9 місяців тому

    Amen

  • @fikirikiwike4909
    @fikirikiwike4909 9 місяців тому

    Amen