DIAMOND PLATNUMZ : HARMONIZE AKITAKA KURUDI WASAFI/ INATEGEMEA ALIONDOKAJE
Вставка
- Опубліковано 27 січ 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
This is my man. He's got a heart of gold. The GOAT!
C'EST VRAI IL A UN BON COEUR.
That’s why I always love Diamond. He’s always humble regardless of him being a super star. Much love boss 🇰🇪🇺🇸
Even at the top of the game he is still very humble...Africa's Best Art.
We are here after Harmonize interview, YOU ARE HEARTLESS PERIOD!
@@kibindankoi9824 🤣🤣🤣
Good question and it doesn’t require a response.
I like the wisdom and the heart of this guy
Very mature .... diamond is a role model. He speaks volumes .... watch and listen closely 👀👌
#harmonize is harmonize, and #diamond platinumz is a diamond as always, banger to banger, come on guys be one, you are all Tanzanian, #swahilination to the world
Dangonte kameweza hali qwake mm mkenya niliko mjini Nairobi nawaomba mnifikishe wasafi hata dakika mitano ntahakikisha miujiza ninazo mmezijua,,mie msanii wa kibongo fleva na. Nmetamani sana ngoma zangu ziwe kwenye label yenu nawaombeni DIAMOND PLATNUMZ producer mlisikie hili ombi siku kadha wa kadha imeishi kuwa ndoto 💪💪🙏🙏🙏 WAAAAAH SAAAAAH FIIIIIH (WASAFI)
Itakuwa ujinga harmonize kurudi wasafi. Sometimes people have to grow and be independent
Very true
Lil ommy king bhn maswali yake konk sana..saluti tambwee 🤴
Anajua kz yake anamuuliza maswali magumu bila uwoga
@diamond anaongeaga Sana point ajawai kunikwanza shabiki yake yangu kumjua kwangu sijawai kumwona anamwongelea mtu kwa ubaya mond mungu akubarik Sana time WCB 🔥🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
Ni kweli kabisa anapenda sana kujishusha
@@carinadavid8214 ..... . ... .
@@carinadavid8214 kujishusha vipi na ile show off ya kudisplay pesa hadi kikwete alijaribu kumkataza tabia hiyo mbaya aiache lakini wapi ndiyo kwanza anazidi tuu kuonyesha ujinga na ushamba wake
Lil ommy is the best interviewer in town for sure 🔥🔥
Jmn Shem wenu hakoseag ndio maan lebo ikaitwa waaaasafiiiii
Congrats baba lao simbaaaaaaa😂😂😂💞💞💞💞💕👏
That was a great response from Diamond. He got a big heart.
We appreciate his artistic skills.
Vp
This comment is kenya vp can't work here😂
Ingekuwa Tibisii wanaweza kuihoji serikali hivi dah ingekuwa so amazing
Mungu akujalie moyo huwohuwo katika maisha yako
Ndiyo maana mond anaendelea kwa kuwa hapendi majungu wana kwaana wenyewe wanaoishi kwa majungu
Mond kifo kimekukaa mdomoni hufiii mpk miaka elfu mojaaaa
Acahen unafk nyie kwahyo nyimbo zake hua hawapondan na harmonize nyie VIP mbn mnasapot ujinga anashndw kumpenda babake mzazi atapenda MTU baki anaongea unafk tu
666 Wasaniii.
Diamond umenena kweli... Tou are a humble man. God bless you.
Rich mavoko popote ulipo weka bando
Uione comment yangu hebu rudi WCB
umeshalahisishiwa huku na Boss
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂🤣🤣
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 my ribs jmn sihami tz sio kwa raha hizii😂😂😂😂
😄😄😄😃😂😂Dahh
Diamond is so humble. May God bless you
DOMO is not humble he is arrogant and worse pretender
@@cheupestefano5424 🤔🤔
Amenn
Sana
So wise words from diamond
Kifupi waseme watukane wavimbe ila mwenye utimamu wa akili anatambua wewe ndo uliewaamsha wanamuziki wengi kwa kuwatoa uoga na kusogea nje ya nchi hata kama wapo walioanza kuwenda nje ila walienda kimya kimya bila kuitanganza nchi yetu dhambi zako sisi hazituhusu anaejua mungu
KAMA UNAMKUBALI BIG DIAMOND NIPE LIKE ZANGU JAMANI
Shetani Hilo silipendi
Chibu, simba, nasibu, big baba tifa namkubali sana brooo kwa sababu nafatilia hasoling zake na najua
this gentleman is the best redio and tv presenter of our time
Best prezenter in town lili ommy
Prezenter ni nini!?
@@IamRogerz labda we ndyo unisaidie ndugu yangu me mswaili na kuandika kwa kiswahili siwez ..ebu lekebisha hapo fasta
@@abedichande2497 Amna kitu ajui ata kutangaza mi mwenyewe namzidi sema tu yuko kwa Daimond
@@elvisoscar9912 hahahaha blazaaa acha basiiiii
@@abedichande2497 lete vyombo vyako apa nikupigie voice
Nakubali broo majibu masafi Kama lebo yetu
Acha unafki ungekuwa mtu wa upendo ungeshow love kwa baba mlez wew n mnafki wa ndani
Mm bdo niseme tu,mond kama unavyofanya kwa RAIA wengne ,nivizur mno maana maishani sio lzma uwasaidie ndugu zko tu nomaana naamin hta ww umesaidiwa na watu baki tu.
Lkn wazaz or walezi aisi HSA dingi hta kama wakambo mnunulie hta bodaboda bro.
That's the way it's supposed to be.unity is strength utengano ni udhaifu.
Mungu aliamua kukuweka juu ili uwasaidie wengine lkn binadamu hawana shukrani endelea kuwasaidia utalipwa na mungu
Diamond, You’re right man that’s true
Waaah,,, simba always positive+
same as konde boy
Diamond una akili sana bro 😹🙌🙌🙌
Very wise response bravo my 🌟
Safi sana mondi nimependa kwani ni vijana wachache wenye pesa wanaokumbuka kwamba kuna kufa
Simba halimganishwi na yeyote😚😚😚kabisa hashindani na yeyote💃💃💃💃♥️🇧🇮
The more you help the more you are hated. Binadamu hawana wema. Kadri unavyosaidia ndiyo kwanza unachukiwa. Kumbuka kila kitu unachofanya kizuri unajifanyia mwenyewe. Wenye chuki kama chuki zao za uonevu ni Mungu yule yule mmoja anaona yote. Kwa hiyo binadamu asikutishe bora wewe unayoyafanya ni mazuri kwa watu. Ni Mungu tu atakulipia kwa njia nyingine. Wanaokuombea mabaya yote yatapiga mwamba. Penye ukweli uwongo hujitenga.
Noma sana mpe like zake mondi
Upo sahihi kabisa,cjawahi kukuona Mondy uwachukie unaowasaidia hata wanaokuchukia bila sababu cjawahi kukuona ukihamaki kwa hasira kuwajibu.
Binadamu ndvyo walivyo,pole na hongera kwa kuwavumilia
Hatuoni wasafi TV hku kenya
Sawa sawa mkuu
A very humble guy. Ure the one in a million of them brother. There’s nothing i gain from you but shout out to you
Kweli kamukubwa Mungu akupe maisha marefu
*TAFADHALI KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAKUOMBA ANGALIA VIDEO YA WIMBO WANGU MPYA KWA KUGUSA PICHA YANGU HAPO PEMBENI LAKINI PIA NAOMBA SUBSCRIBE KWENYE CHANNEL YANGU ILI NIWEZE KUMONITIZE CHANNEL YANGU*
Tuma namba kujue
Good Simba nimekukubali Kama nipepo utaingia maana una moyo wa Aina yake kiukwel una moyo was huruma mwenyezi mungu akupe maisha marefu
Simbaaaaaaaaaa,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Acha ushabiki wa kijingaa
Paka
@@amosjulius6404 mjinga baba ako
Huna akili ww
WCB Ni lebo kubwa sana hapa Tz na east Africa!!!
Ndugu mtangazaj upo care sana mzaz nakubal 🙏🙏🙏🙌🙌
Unacho kiongea sio unacho kiishi. Hili ndio tatizo la mdomo
kwani ushawahi kuishi nae au... achag usee ww
Watching from Nairobi
Big up saaaanaaa my G Lill ommy
Simba baba mtoto
Lily Ommy Hatariiii sanaaaa
Hiyo kichwa ya mondi kila kukicha inaongezeka akili aseee
Sana brooo anakuwa
Hiyo akili yote munayoiona ni bi Sandra siyo Mondi. Mondi's business is hidden under the zipper
Akili ngani zakukana baba bila haibu hata baba alikukosea ,baba alikuacha ukiwana miaka 15 leo uko na 32 unamkana kwakua freemasone alikupanga sharyti ukisaidia mzee Abdul atashuka kimziki na kimaisha ingine uwenalala na mama yako ndio chazo yakuwanamuima pesa ,ipo siku utafika mwisho wengi wamesjapitia jiaizo na wakafiliska.
@@rosettematenga635 mhhhh, hayo ya ndani siyafahamu, akili ninayoongelea ni namna anavyojibu maswali ya kichochezi ya waandishi, maana hata mzee Abdul, ameshindwa kujibu waandishi kwa busara hiyo, hadi analaani mbele ya camera,
Mvutano is because DOMO doesnt want any other musician to be on his level or better than him. Look at Congo musicians spring up every day and every night and that's why Congo music will forever shine
Kongo kunamziki gani
ua-cam.com/video/zqFX_iMsN70/v-deo.html
Kongo kuna mzki? Au umetumia vilev
MOND usishndane na panya yoyote achia ngoma kali bhaas!! hao mafala wa insta tuachie sisi ndo tutashindana nao shenz zao kabisa #hawakuwez ww ndo top africa masharik watake wasitake maninaa,,,, #WCB4LYF
Huo moyo utumie kwa babaako ☝️
Kabisaaa
Sure kaka
Point taken🤭🤭amkumbuke babake kwanza
Mnauhakika hamkumbuk au mitandao inawadanganya????
Asee brother nakukubali saaaana Yan wew ni noumaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nimekuelewa simba mungu akujalie uwe na moyo uwo kilakheri broo
Simba we genius Sanaa unani inspere bro🙏
Diamond me nakuelewa sana, ndio maana mungu anazid kukubarik
Pole sanaa Mondi.
Wa kwanza ku comment
Mondi una roho safi kama maziwa....usitutajie maswala ya kufa.we n simba ukifa mbuga utatuachia nani sisi Swara..
Mtangazaji naye, why do you wear sunglasses kwa studio🧐🙄🙄
Eti star
Kwani kuna ubaya gani na huyo aliyevaa koti la winter studio hukumuona?
@@fredylucas2484 eti style ao fashion
@@joezeno8 wanaiga kila upumbavu. Mtu anavaa hood na jua la Dar hili, hawajui hizo hood winter ikikaribia kuisha kuna kuwa na sale kusudi wamalize discount 70%.
@@fredylucas2484 hawajui, wao hawangalii wakatiki wakuvaa hood, ana abari na winter kikubwa avae tuu
Simba alomzaa tembo like zangu jamani
Like dat mwamba.......keep dat heart
👍👍 nawakubali Sana wasafi
Naseeb! Mondi! Chibu! Simba! Dangote! Diamond Platnumz! "Nyange!" 😜 Look, ma man.. Ma buddy.. Ma bro! My "shit (The Best of all Tanzanian Musicians)!" Sifa ya aliye mwema ni kuchukiwa na wabaya huku wakimchekea. Unacho haribu ni kujichosha ukajibu vijembe vya wapumbavu juu yako! Wewe ni msanii mkubwa! Wachana na ujinga huo. Hufananii!
ndomana nakukubali Simba wangu 🌍🌍🌄🔥🔥🔥
Mkubali baba yako mpuuzi ww
Nakuheshimu Kaka big up Baba NJ
Kizazi ommy Sana broo
kama ww ni mtu wa kusamehe Sana Kwa nn usimsamehe mzee Abdul
Aiseee hili swali konki sana mzeee
Sio poa aisee
Kwani alikwambia wanaugomvi
@@swedinjaidi4658 Namimi nilitaka kuuliza hvo hvo
Hilo swali lako halina mashiko
Kweli anco mod uko vzuli 🙏 na mungu akujalie by wing
Kwangu mi sawa tu😎
I love you mondi yani ww kiboko
Jesh nd kil kitu muach jesh spasie anga kiukweli hamonise kahma alikua anabinywa baadh ya mamb hapt Uhuru
Nd sabab y kuham n pia mind anaon huyu jamaa hamonise anakuj vibay ataniazirish huyu ach nimbane kidg
This guy is humble
Love simbaaaaa
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Show
nakupendaa sana upo kwenye blood kabisa ann
Chibuu mungu anakulipa kwa roho yako safi
God bless
🔥🔥🔥
Nakukubali
Diamond 💉💯💯
mimina kukubalisana nguguyangu ni consolation kutoka Congo bukavu
Simba anatu inspire sana vijana
HAMNA CHA KUONGEA MAANA DAILY KONDE BOY KUONDOKA WCB YAAN MNASHANGAZA SANA KWANI TAMBWE MTU ALIE MKANA BABA YAKE ATASHINDWA KUMLIPISHA JESHI MSHAMBA SANA NASIBU WATU WALIO MPA JINA NDO WALE WANAMPA KONDE BOY MONDI MNAFIKI
2Millions wasafi media
Interviewer uko sawa man
Bro nakuelewa xana ndo mana upon kwenye game kitambo wengine wamepotea
I like it
Alichoulizwa na alichokijibu ni vitu viwili tofauti sana sema lily omy hajaamua kumkazia kwa vle mshua wake, jibu swali acha kutia huruma kwenye mic ili uonekane bora , kweli msanii.. ni msaniii... tu
ibra unanyodo saaaaaaaaaaana baki na chuki zako wenzio wanatembea
@@mussamayele3134 alichoulizwa majib yake umemuelewa au ndo wale wale?
mm ndomana naipenda sana wcb
Mond una pesa duh Acha Mungu aitwe Mungu kila mtu amempangia fungu lake wengine kupata buku shida wew sekunde unaingiza elf sita
Sio kila mafanikio ni ya MUNGU mengine ni ya shetani
WAPO
😂😂😂
Bado sana mjomba
Harmonize ndio Nan Kwan?
Elephant 🐘
Konde gang
Na yeye Ana vi helehele wake
Ismail Athuman jeshi jua tu hivo
Kwani www ni Nani mwanzo
Nice one
Majibu sahihi sana Simba🔥🔥
Third view hit the like