SALLAM SK: RICH MAVOKO HAJARUDISHA HELA YETU / BADO YUPO WCB
Вставка
- Опубліковано 14 сер 2018
- LilOmmyTV channel maalumu ya Burudani na EXCLUSIVE interviews kutoka kwa masta unaowakubali.
Subscribe hapo chini, Angalia show mwanzo mwisho, Gonga Like, Angusha Comment yako kisha Share Link na wenzako kwa Whatsapp, Facebook au Twitter.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
/ lilommy
/ lilommy
www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com - Розваги
WcB for life hakika mnaweza just Solve the issue ya rich ila kupata solution gonga like wooZa wozaa!!!
I like him(salam) he is straight forward and clear on answering questions....perfect
Yaan kama unawakubali WCB kwa ujumla acha majungu usione aibu acha wivu acha ubishi gonga like yako hapa
SK unaakil sana bro maelzo yanardhisha. Great bro
Hakuna hata pumba moja ulizoongea meneja zote pointi big up sana bosi kubwa
Mavoko is pure talent forever a legend...I dnt care wht these pple say lazima tuskie side ya mavoko pia
Huyuu jamaaa anaakili sana manager SK! Big up San,,.!
Uko vizuri...mendez....nimependa majibu yako..yako wazi tu..mpo kikazi zaidi si kimasihara
nakubal mzee baba atakaezingua tuna pga chn team WCB drop bonge la like kwny comment #wcb4life
u r the real n best presenter OMMY, yani unajua kazi yako. Kikubwa unajua kufanya RESEARCH na unakumbukumbu ya matukio. Keep it up bro, i like you.
lichi ana yumba
Juma Sepima o
HUYU JAMAA NAYE NI KAMA MONDI Tu. ANAONEKANA KAUONGO Kako vizuri
Love you zarithebosslady mama tee murembo wangu WA dunia
Riri and Diamond 🔥🔥🔥 can't wait
unajua sana mendez chibu ,wasafi wajivunie kua na watu kama nyie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
wa tano hata mtu kama ww huwezi kubali hasara lazima hela irudi ndo uchape mwendo WCB for life
Tatizo la wasanii wa bongo nimabendera sana yanafatafata sana upepo hayana malengo kabisa mavoko angetakiwa atulie atimize atakacho kwanza
olooo WCB wapo serious na kazi kama unaaakili ya kitoto haupawezi
Mondi and Riri ts gonna be fire as hell!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
SALLAM WE NOMA BIG UP SANA
binafsi nawakubali sana WCB
Dah very sad mavoko angebaki tu wcb
nimekupenda kaka maelezo yamenyooka uko sawa
Sallam upo vizuri hauna makuu ....
Ebwane sallam.SK Mtumakini Sana'a nakukbalisana pg kzi .
Half amazing,,,,,,nakutazamia kutoka Kenya,,,,kazi Safi
sk uko poa mzee baba
#lilommy killing voice and smart questions. Maswali ya kizazi sana bonge la interview, the best presenter. Inatakiwa umfanyie interview Brizzy, yeah definitely in the voice of #lilommy.
Shukurani sana ❤
Obsviously/definitely/actually at the end of the day magari ni ya mkopo 😀
@Zamizo tz english bd ip chin
ninachomkubali sallam ni mkwel kwenye maelezo alaf simple and clear hana kona nyingi kama babu tale apo angezunguka tu ..ooo mavoko yupo location sjui mda bado
Ginni Moreno 😀😀😀 mara oo yupo location anashoot ni zam yake kutoa ngoma 😅😅😅 babu tale fala yule
Naseeb wachagu mzinguaji sana tale apo ata ishu ya mwarabu sallam kanyoosha tu kuwa kapewa suspension kutokana n utov wa nidham wkt tale daily anaulizwa suala ilo anazunguka2
😂😂😂😂
Kaeni chini muelewane nae nyie wote ni wa W CB..acheni hayo mambo elewaneni mavoko ni msanii mzuri..watu wanawatenganisha na hawapendi awe w cb..coment nyingi wanafurahia kutoka kwahiyo hawamtakii mema yeye wala nyie
Ginni Moreno nakubal sanaa kaka
Uko vizuri kk
Collab Drake na dim wapi 😂😂😂😂
We should hear from Mavoko's side too...
matangazo mengi mb za shida jama tuhurumiane
mavoko anashikiliwa masikio na watu alafu anataka awapindue mameneja wake me nasema hatuweza
yaan wcb ndiyo baba yap wavivu wote wanajitenga,wabinafsi wote wanajitenga,mind angalia watu WA kuwaweka hapo wengine ni majini na macnichiii,wanawivu kufanya kaz KWA bidii hwataki
Mavoko mjinga Sana anakimbiya kazi fala
rich mavoko kuna watu wanamdanganya
JERRy MWASa yes
ya kizazi sana kama k +254 kenya nawakilisha 💯✔️🔥🔥🔥🔥🔥💣💣💣💣
Kzaz sana wa jina
Mavoko anajifunga mwenyewe
Mavoko ,,mi naona unapendeza sana ukiwa wcb
nawakubari xana wcb
shart kwak mzee wa play liste ommy bro nakubr san afu kizaz xaw
..WCB..frevor by oppo king
Salam Sk □□□□□◇♧♣
Point point apa kuna manager apa Sio babutale uswahil mwingiiii
Hahahaha pitia account yangu uone mapovu aliyotoa Mavocco kuhusu Sallam
kbs my team wcb 4life
Nimekuelewa boss
Mavoko anzingua nakumbuka interview alioojiwa na lily ommy ila ni mtu ambaye kashindwa kwenda sawasawa na wcb inavotaka. Coz akiitajika atoe nyimbo atoi kimya. Tatizo nini sasa.. Huyu anajipoteza mwnyewe coz ameingia wcb coz akiamini atafika mbali ila kukaa kimya sana ndio kunakompoteza ...
Sk ww nn hatar ety bad yup WCB 😂😂😂 ww ni mzazi mzur
Rich anatabia za kiswahili afanye kazi aache kulalamika
Apo umenena bro
Vicente Dedema usilazimishe
dilisha
kuwa
mlango
atak
rich tafuta life pengine achana na wasenge wa Wcb unawatajirisha walio kaa tyu Maisha popote utafanikiwa
Chaz Bhai hahaaaaaa we huna akili mwenyewe kakili kuwa alikuwa anamkimbia mondi kisha kumsumbua atowe ngoma kuma ww
Chaz Bhai achaujinga matuc yann
Mavoko n mvivu Full stop!
Hhhhhhhaaaaas
Mzembe huyo Mavoko
End of the day zimekuwa nyingi
Tambweeeee wa mwanzoooo
Bumbu mh aiya buana sk
WCB love you
Lily ommy uko vizuri sana
Angekuwa Babu Tale hapo 😂😂😂😃😁😁😁😁😀😀Kona kona nyingi .
Kumbe hayo magari hawapewi bure daaah
Rich anazingua sana hana shukran
Big up
Yaani sallam ww unajuwa kujieleza mpaka basiii
Kumbe mavoko anamatatzo duuuhh, wcb naomba wamuache sabab anatualibia label yetu
Leonard Mavele lebel yenu ww na nan
Jofrey Venant 😂😂😂
Leonard Mavele atak
kuendeshwa
kwan
nn
At the end of the day haha
Mavoko ni kidudu mtu kumbe
brother daah uko speed sana "November ngapi, November 04. mwaka jana December" 11:33
Subscribe kwenye chaneli yetu bonyeza picha itakuleta kwenye chaneli yetu kucheki ubuyu habari zoote za instagram , comedy na filamu zetu asanteni
Rich mavoko anaakili ya kitoto sana
Boss na mimi nahitaji kunyonywa nipew gari😂#WCB4LIFE
Ally N2C hahahaha
Ally N2C uyonywe???
Ally N2C 😂😂😂😂😂😂😂😂
Ally N2C HAHAHA fyuuuuu Gary iyo vp
Hahaha
Something not adding up to this wasafi label?mnasema mara hamna fedha ya kutoa video hit ya song ya mavoko yet your the management?
Big up mzee baba
Zabron Lameck powa
Walio komenti na wanao endelea kukomenti wote ni Manyumbu vipofu
mi naona kama mavoko vile kakaa mda mrefu bila kutoa ngoma wakaona ili apate kiki Kwa kupitia njia hii yakujifanya ametoka wcb
me nakubaliii
Mavoko anazengua...kwa maelezo ya sallam sk..
Sallam amenyoosha maelezo nimemuelewa sana awo jamaa wa. Wcb woko kikazi zaidi
pwaaaaaaaaa shati limenitixha kinomaaa
Rich Mavoko ni kubwa jinga yaani ni mbumbumbu, hajielewi, hana maseke, si mjanja,hajui kuishi na wajanja ili apige pesa.
Nilikua nahesabu hizo "at end of the day"
🔥🔥🔥
Rich mavoko ni vuvuzela kichwa maji
Kizazi sana *Sallam Sky*
pwaaaaaaaaaa
Da watu hawajui mondi mtu safi sana
Diamond is very lucky to have sallam as his manager.. Very intelligent and honest unlike tale who always give incomplete responses when interviewed
Tabora lini wedogo ommy
ommy we noma xna unajua kzi yako ety kwani label iko kibiashara zaidi ha ha haaa
Sallam Sk maelezo yamenyooka, ameeleweka sn..
Good
👌👌👌👌👏
Kizazi sana
MAVOKO ana kitu kinaitwa 'GUBU'
Dah Nomaa aisee et GuBu
Gubu ndo nin vileee!?
Unajua kuongea brother nimekukubali Sana pia kuweka mambo wazi
lichi ana yumba sana mzee baba
Mavoko atasota tu angefanya bidii ya kazi
Harmonize,atawanyoosha!achane mungu aitwe mungu,acheni ung'ang'anizi mnawaaribia wasanii hamna lolote nyie wanafiki sana
Big up tambweeeeeeeeee🔥🔥🔥
please translate it
iko Kizazi sana
AfroTv Gasper
No wonder tunafeli mitihani.. jibu Yes or No..... unajibu sijuwi 😁
Ten Manthes 😁😁😀