USHAURI WA DIAMOND KWA RAYVANNY & HARMONIZE/ WATUIGE MIMI NA ALI KIBA
Вставка
- Опубліковано 20 кві 2021
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Sikutegemea majibu haya kutoka kwa Diamond aisee hii ndio maana halisi ya msanii mkubwa aisee much respect 🦁
Diamond ni Simba wa yuda kwely
Mondi niletee hilo jaketi ulaya baridi huku ni kali
@@mustyboymaalim2070 we mpuuzi kweli
@@mustyboymaalim2070 simba wa yuda kwenu
i know Im asking randomly but does anybody know of a method to log back into an Instagram account?
I somehow lost the login password. I appreciate any assistance you can offer me!
Kiki wanazotumia za kukaaa uchi haziwasaidii kweny mziki wao. Nakukubali Mr chibu wape maelekezo wadogo zako hawo, r.i.p magufuli mungu akupe makazi mazuri baba
Mungu gn atakaempa dikteta makaazi mazuri🤣
Tieni bidii machawa muzidi kupewa magari
@@mymunamymuna4807 n'a wewe si chawa wa hamo mavi hujapewa n'a Wwe au hamo hana gari
Ameen
👏👏👏👏
Chibu respect umejibu kiutuuzima sana hongeraaa nyingiii nyigi. Pia mtangazaji mrembooo umeuliza swali vizuriiii sanaaa.
Wewe ndo chanzo cha yote alaf unajifanya unakwepa k sana wewe
@@shanganisaidi8165 njo gisi binakuwaga
Mungu akusaidie, akuzidishie watu wote familie yote ya wasafi. Maadui wengi kwa mondy lakini wabaya wako watabainika upesi mungu atawahukumu. Nasiebu una moyo umzuri, bahati.wivu mwingi kwako. Lakini utashinda sababu una roho imenyooka
Majibu haya mlitutolea ni yabusara! Kaongea vizuri...Tena akasukumia upinzani wa Harmo kwa Rayvanny....lakini kwangu sidhani yani! All in all ...kwa haya nakuelewa sana. Ningependa uendelee hivi hivyo
Kwa kweli acha diamond akue baba Lao maana ana heshima sana na amekomaa 🦁🦁
Kweli
Leo nmemuelewq xn kaka mond leo km baba umeongea point
That's Diamond we've been waiting for...mzazi na mlezi...kuwaonyesha njia sio upumbavu wa kitoto...SIMBA the King
Safiiiiii sanaaaaaa Diamond,,,napenda mtu anayempa kitu,,ambacho hana....
Konde ndo mfalme wewe boya tuuuu
Simba napenda Sana unavyo jaribu kuwa kutanisha vijana hao wawili kama mzazi you just continue like that nakuwa saidia wadogo wako masikini naakika mwenyezi mungu atakufikisha mbali zaidi kupitia zoho yako safi kama vile wasafi it's EDUG fro 254 blessed wasafi wote🙏🙏
Hapo umeongea kama MTU mzma yapo nimekukubar simbaaaa big up sana
Mimi shabiki number moja ya mondi nakupenda sana ila kusuka nywele nahii Ramadhani si vizuri shukran
Yeah kweli kabisa,boss wangu King kiba na diamond awajapelekana police
Jifunze Jinsi kutengeneza thumbnails au cover za video zako za UA-cam zionekane/ziwe na muonekano mazuri ili uweze kupata views wengi kwa kutumia simu ya android
ua-cam.com/video/DH8AC_y8U9c/v-deo.html
😄😄
Uko kama mavi ya imbwa
Like nyingii apa kwa Simbaa
Diamond is so matured👍
Not only mature but talented
Umenifulahisha san lakn h .mama ndio ana mharibu hamo rakin nimefurahi sana ilove wcb
Mzee baba umeaongea maneno. Yenye busara sana mungu azidi kukubariki
Nmekuwa nikijiuliza kwann Godfather wa mziki wa Tz anafanikiwa kumbe moyo wake wa upendo ndo maana Mungu anamuongezea Harmo matusi yote aliyomtukana babake lkn mond hana kinyongo aseeh wee jamaa udongo uliokutengeneza n watofau kabisaaa wafundishe wanao wajue namna ya kufka ulipo fika,Nmependa Busara zako Boss
Aise dimond..leo umeongea ktu 👏💪🙏
Nilicho kibain ,,mashabiki wanapenda ,,ushindani wa mziki sio kuchukiana na kufanyiana v2 vibaya ,,,so mondi kwa maneno hayo ,,umeongeza mashabik wengi
majibu ya chibu yamenikosha sana ngonga like kama unamkubari simba
Sasakakua hongera nimekupnda kwa Mara ya kwanza
Spoken as a real leader Diamond you are a true artist🤗🤗👍😘🙌🎻🎼🎹
Mm mwenyewe mwanafamilia wa wasafi nione na mm kaka ata I.s.t 😀
Nilimwegamia sana konde lakin ,,Leo mond were to gather
Like za mondi tafadhali
We acha ujiga wa kuulizia likes wewe!
Uzuri wa diamond pamoja na makeke yake huwa akifanya interview huwa anajibu point tupu simsifii ila ukwel vinterview zake zimeshiba
Kabisaaaa
Ila diamond ana fanana sana na mwanae tiffah 🇹🇿❤️
Kafanana san na kenya son
Sana ad wembamba
Hamna n camera tuh ila kiuhalisia n Nassib jr mtupu ila kwa umbo na alivonyooka n ndo tiffah mtupu had miguu na ule wa mobetto pia wamefanana miguu na umbo
Anafanana na RICARDO MOMO
@@khadijaali3688 diamond hajawafundisha kugombana wala kupelekana polisi diamond kama diamond kawafundisha kuwavuwa chupi na kusepa
Good diamond 💎 nakunga mkono bro umenena bro kweli hilo washindane qwa kazi ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
Mond siku hiz unanidhamu majbu yako unajbu kwa busara sanaaa 👊
Konde boy humuwezi
@@shanganisaidi8165 mmmh
mond ndy msanii wa bongo flava ambaye hajawai yumba kwny interview!! huo ndy uhalisia mfuatilie!! toka kitambo!
@@birammakarani9028 👊👊👊👊
Diamond nimesikiliza majibu yako kuhusu vanboy na konde boy adi nimetokwa machozi Ase Mungu akubariki kwa busara zako
Amejibu kikubwa sana... Big up sana SIMBA
Jamani mimi ni channel,njooni tupike🎉🎉🎉🎉🎉
Iko kipande Diamond Ana Mshika Mkono Hermonize aje aimbe while he was crying daaah...😣
NIMEMWELEWA SANA MKUUUU.JAMAAA YUPO BUSY SANA NA KAZIIIIIIIII
Diamond umeanza kukua kimawazo, ukienderea hivyo nitaanza kukukubali,
Zamani ulikua hujakua kimawazo,
Good interview
Diamond allah akupe maisha marefu
reeeeeespect Mondi.REEEESPECT FROM 254 YOOO
Wasafiiiii 🥰🥰
Mamboo
Ningekuwa diamond... Ningemuita harmonize na rayvanny tusuluhishe hii mambo... Na mziki uendelee mbele
Simbaa kama simbaaa🙏🙏🙏
Genius 🔥🔥🦁
Respect san kwako #Simba
Big up diamond umeongea point: watuige sisi kaka zao mond & kiba.safi saaana brow mungu awazidishie.
😂🤣 eti huyu nae kaimba na awirorungomba we sema tu Harmonize kaimba na awiro rungomba Attitude na IPO 💥💥💥💥haishikiki
I wish to meet this guy i love him so much
New song coming soon Diamond ft Alikiba
We all praying for thay
Mwenyezi mungu hatokubariki brother Baba ni Baba huto iona pepo bila kupitiya njiya ya wazazi tena ujuwe ndo vitabo vinasema
Diamond is growing and becoming wiser and wiser.👍👍👍, But, Harmonize is bigger than Rayvanny. 🤪
In which aspect.. because interms of views, streams, fanbase, international awards rayvanny is above everyone in Tz except for diamond platnumz
In what aspect? Rayvanny is secretive about what he owns.
Unaota
Harmonize is independent,plans and executes everything by himself... Anajitegemea na anategemewa na wasanii...Ray atoke WCB ajisimamie tuone uwezo wake,atoke mgongoni pa Mondi
msanii lazima awe na uongozi kwa hiyo hata huko aliko harmo anatawaliwa bado kuna mikataba inayosabaisha kipato kugawanyika. so rayvanny yuko sawa na anaingiza mkwanja wa kutosha
On point 🔥🔥🔥
Dah wanangu Dimond amekua Sana yan. Anajibu kiutuuzima sana
Kweli kabisa sijawai kusikia mond na Ali wamepelekana police cjui nini sasa uyu mmakonde mbna hajui kukaza
Kwelii broo nakubali
Leo sasa umeongea point kubwa sana mzee wangu i likes it
Nakubali Onesha baraka Mungu alizo kujalia✔️✔️✔️✔️✔️✔️!!
Ni bora mtu atoe kwakuonyesha hata kwakujidai kabisa kuliko kuonyesha nakujidai kwa macheni kifuani
Ramadhani unapendezs mashah llah
Diamond tunajuwa huna roho mbaya ,kawaida ukikaribisha MTU huwa anajisahau kwa kweli diamond baba yao,simba wao big up bro,kuwa hivo hivo wasaidiye wala usibabaishwe na watu simba kiboko yao
Diamond🔥🔥🔥
Hikindicho tunacho kitaka sisi wadau sio bifu za kitoto hongera Sana Simba amakweli ww no babalaoooooooo
Hujawah kufeli Maneno uliyotamka kwa ih interview Wacha tu Uzidi Kudum katika Kuitangaz Bongoflaviour Over the World ✔️✔️ #Simba
Eti sio kitu nilichowafunza 🤣🤣🤣😂😂🤣 for the moment Simba kajikuta kama Baba Mzazi wa hao vijana
OZ JEP😉😉😉😉 ukiwa na PONYO hata BABA yako mzazi anakuita wewe BABA
Exactly yy ni baba kwenye kaz husika coz kawaweka kwa raman ya muzik
Kwan hujui huy n Godfather wao?
Hata mwalimu darasan ni kama mzazi nyumbani
Sio kajikuta, ni baba yao tangu zamani
Wcb for lifeee
Mwambieni Harmo Awashe Taa aone interview ya BABAKE huku ndio atajua nini maana SIMBA
Godbles you and the family na wasafi wote
Hekhima na busara
Ndio ngao kuu ya mtanzania
Safi sana kwa uongeaji wako..
255 for life
Good broh umeongea sana
What I believe diamond 💎 he’s still got love for HARMONIZE straight up
Momo unafanana sana mondi wetu
Simba Kama simba,,,umeongea point mambo ya kupelekana polic sio mchongo
Alicia ndio nani jamani
Hapo kwa Harmonize na Rayvanny nimebarudia kusikiliza mara 3 sio Shabiki wako ila nakupenda sana kwenye Interview zako unajielewa sana. Mungu akubariki
MSIDANGANYE WATU TAFSIRI YA UKITOA MKONO WA KUSHOTO USIONE WA KULIA HUKO NI KUJITETEA KUKWEPA KUWA UNAPENDA KIK.
simba baba laoooo wcb4life 🔥🔥🔥🔥🔥
Recepect tafasri ya mzee mzima Diamondi Platnumz Allah akuongoze
Ubarikiwe baba lao wewe ni baba wamuziki Afrique
Nasibu sasa winter jacket ya Nini bongo au ndo ubishoo tuambiane ukweli I know you are rich man but ni usha.... winter jack in daresalam !!!! 🙂!
Ndio maana ya kuwa CEO, Safi
Kaongea Point
Umeongea point sana Mond mungu akubariki sana.
Diamond we msanii unasitaili kuigwa maneno yako inatosha kujifunza wadogo zako wote ata uyo konde ni wako tu kaeni chin au waite washauli mazur kupitia mziki wao ufanye vzr zaid god bless mond god bless wasafi god bless me thank u Re fresh %√
Wisdom 👌👏💪😚🔥🙏
FACT
Safi Sana Brother Platnumz Simbaaaa I respect Brother. Chungulia kwa #youtube Yangu Kuna Ka Songi Kazuri Sana 🔥🔥🔥👏 @godympole #Support
Najiulza kwan diamond na alikiba washawah kuvujishiana picha za utupu au lmeonekana la police la kuvujisha picha lnaonekana la kawaida 🙄🙄🙄
Safi sana ushauri mzuri
Na wapi log book ya gari...sisi si mafala kiasi hicho
Dah! mond kaongea kwel jmn🤝🤝
Kumaanisha Mungu akimtwaa Naseeb kina lokole watarudi kuwa maskini...Okay let them remember that Diamond anajijengea jina na cha kupewa hakidumu....Hao kina Juma lokole wamelala usingizi wa pono na wanaota tafafhali waaamke na wafanye kazi.
🔥🔥🔥🔥
Mungu Niweke Nizd Kuona Uongo Ambao Unapewa Promo Kulko Ukwel Unaofichwa😀😀
Kabisaa na tuendelee kuona wasanii wakitumia visent vyao kuharibu familia za watu kwa kula mama na kutaka mtoto anakataa anamlazimisha mpka anawafunga
Vizuri sana Simba kuongea kiutu ukubwa tena kwa kufikiri Sana. Ni vzr Ray na Hamo wakasikiliza huu ushauri. Kwa karia mliyonayo n karia ya kuoneshana umefanya hiki kizuri na mwingine afanye kizuri zaidi ili naye au wengine wazidi kuumiza kichwa katika kufanya vzr. Competition is inevitable in the artistic works coz needs creative btn them.
Saluti sana uwepo wa CEO wa WCB anayejielewa.
yaan nmefurah mond anaakil xan anamanen y hekmaa
A pot of wisdom.. simba 🔥🔥🔥
Me siwezi Hama wcb kwanza CO Anajieleewa Respec Sana momd
The “Scrolling through the comments while listening” squad
Hongera mond jamaa wanafer hapo tuu
Mond mungu akubaliki sana
Nimependa huo ushauri wa mondi na pia nimependa hajapendelea wala kuingilia ugomvi wakitoto 👌
Simba mtu mzim xana ✌
Mojh
Issa anapewa zawadi Mzee Abdul vip lakini mungu atamlipiya oya muulize Baba yake vip hakuna neema kubwa kama kusaidiya Baba yako
Mondi mungu atakuona na ata kuzidishia neema kiukweli