DIAMOND Afunguka KURUDIANA na TANASHA/ "Kweli NILITAKA KUOA/ ZARI/ Anawivu sana"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 жов 2024
  • ...........................................................
    Contact Us : 0742447854
    -------------------------------------------------------------------------------
    Instagram www.instagram....
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Facebook / rickmediatz
    ---------------------------------------------------------------------------------
    Website www.rickmediatz.com
    -----------------------------------------------------------------------------------
    #Diamondplatnumz #Tanasha
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 106

  • @redibatafulai2583
    @redibatafulai2583 3 роки тому +7

    Hata pale kenya alisema Tanasha ni mdogo mzuri sana na anamtambua kitandani. But leo hii ako wapi. DIAMOND mtambue Mungu wacha unafiki

  • @stargalke2625
    @stargalke2625 3 роки тому +53

    Like from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ziko wapi jamaniiiiiiiii

    • @latifaau6356
      @latifaau6356 3 роки тому

      You've it all

    • @margarethkiatu5546
      @margarethkiatu5546 3 роки тому +1

      They are finished they thought they will be married to him ooops, getting pregnant faster while there's another special girl behind so sad, women let's us find our own money

  • @mudickweyu9703
    @mudickweyu9703 3 роки тому +1

    Diamond is a gentleman, infact he respects babymamas, ni venye hajapata mwanamke wa kumelewa,

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 роки тому +2

    Wow amazing you know what hapo kidogo ume bonga points mond anyway mm ni fun daimond ilahaiamanishi aki fanya vitu vyenye sipoa nita msapoti no, ila ushauri mdogo kwa yule mwenye yuwatarajia kuolewa na mond the first thing ushajuwa hulka zake so umkubali vyenye yuko na ukubali job yake, kwa mke wa Kiba Amina haiamanishi kuwa hakuna majaribu yako thele ila yuwa mwelewa mumewe this is 4the one who want to stay with daimond platinumz much much much love from 🇱🇷🇱🇷🇱🇷

  • @gdee-zt5pn
    @gdee-zt5pn 3 роки тому +5

    Zari should move on and live her life
    Diamond is a mamas boy

  • @brendamalesi7745
    @brendamalesi7745 3 роки тому +15

    Chibu tanasha anatosha jamani, munafaana napenda nikiwaona pamoja malizeni tofauti zenu mulee mtoto Kama familia.

  • @waenikasanzu2546
    @waenikasanzu2546 3 роки тому +7

    Tanasha run with all ur might rudi huku kwetu uuuuuuuwi!!that man is so unstable hajielewi.....

  • @misrahmisrah8761
    @misrahmisrah8761 3 роки тому +8

    Tatizo la diamond kukumbatiana sana na ma❌. Na uchafu anazaazaa nje mke atakae mpata labda kwako anaziki akubali kila kitu kumrizia diamond lakini sio hao walokuwa na kitu ni ngumu kukubali kuolewa na diamond.

  • @asiimweenid9263
    @asiimweenid9263 3 роки тому +8

    You can be joeleusy to some one whom you don't love so you should not blame zari

  • @GggGg-uh5ir
    @GggGg-uh5ir 3 роки тому +4

    Weeeewww simba nakubari ❤❤❤❤❤💌💌💌💌💌💌🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲🇯🇲

  • @rosemmbando7488
    @rosemmbando7488 3 роки тому +1

    Dah

  • @nellynelima409
    @nellynelima409 3 роки тому +2

    Diamond hawezi owa

  • @abdulbagayan614
    @abdulbagayan614 3 роки тому +4

    Mhhhh jamani wivu lazima

  • @divinebernard1047
    @divinebernard1047 3 роки тому

    Kweli dai leo kanichekesha kweli,tangu nimujuwe duh!!!!

  • @aishaabdurahman1185
    @aishaabdurahman1185 3 роки тому +2

    Eeh mumemuona diamond hawezi oa Sasa wa leo,mm Nasha ngaa na wanawake kama tanasha na zari warembo lkn hawana kheraa za kikee

  • @hadijabashil2680
    @hadijabashil2680 3 роки тому +3

    Itakua ndo maana tanasha akasepa kipind kile, ila mondi tulia wanawake hawaishi

  • @marianamontoedi2333
    @marianamontoedi2333 3 роки тому

    Mbona yes zipo nyingi sana

  • @misrahmisrah8761
    @misrahmisrah8761 3 роки тому +4

    Na hilo tatizo la kuchukuwa wanawake ndo nini mambo unaharibu mwenyewe. Punguza mambo ya ubishoo hayo ndo yanayokuharibia.

  • @mamy8220
    @mamy8220 3 роки тому +3

    😍😍😍😍💞💞

  • @lydiakemuntookindo7254
    @lydiakemuntookindo7254 3 роки тому +2

    Alisema ako single

  • @sophiemuhammed9414
    @sophiemuhammed9414 3 роки тому +2

    Translation please

  • @Drkhan345
    @Drkhan345 3 роки тому +5

    Eeeeeh wacheni huyo atumwe na shetani pesa ya shetani lazima ikutume

    • @stevewaves6776
      @stevewaves6776 3 роки тому

      ufakara wako ni wa mungu?? tafuta hela kijana at your age you dont feel ashamed talking ill of other mens wealth. Abig shame on you. PIMBI wewe

  • @lawrencemuthangya6824
    @lawrencemuthangya6824 3 роки тому +2

    Fala mkubwa

  • @limbomambo9728
    @limbomambo9728 3 роки тому

    Mpuuzi wa maisha huji elewi

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 3 роки тому +3

    Kuna Wanamuziki wengi wanafny Mziki na wameoa lkn hawana cfa km ww ukitaka kuishi na mke kw cc Waislamu achana na maex wko ibaki salamu tu ndio tukaambiwa tuzae Ndani ya Ndoa ingekuwa uliwaoa isingekuwa ishu

  • @mercynoreen3288
    @mercynoreen3288 3 роки тому +10

    Lakini zari anatosha jamani.....

  • @marywamaitha
    @marywamaitha 3 роки тому

    Huyu jamaa mshenzi Sana😆😆😆😆

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 3 роки тому +2

    Tatizo Wabongo wana uswahili sana mitandao inakuza Jambo jambo dogo wanalifnya kubwa Mtu hata km hajamind bc atamind yani uwe na moyo wa chuma

  • @ragymnyone3069
    @ragymnyone3069 3 роки тому

    Kubaliiiii mondiii duniaaaaa nzimaaaaaaa hadiii nakufaaaaaa

  • @shantelbyonce1358
    @shantelbyonce1358 3 роки тому +10

    Diamond muongooo🤣😂😂Una vijimaneno sana ww lover boy🤣🤣.. Wajitetea tu.. 😂

    • @PKdamu
      @PKdamu 3 роки тому

      Uwongo ina onekana live. Lakini wacha tumsamehe, labda hataki spotlight

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 роки тому

      😁😁😁

  • @Kagehaijanira9473
    @Kagehaijanira9473 3 роки тому

    Diamond wewe wa tuuzi sana wacha kumzalalisha zari kama wewe unataka kumuoa mjaluo utapatapata wewe sisiwenyewe twawaogota itakuwa wewe ngoja diamond umenisinya kweli hautapata kama zari

  • @chiababie6694
    @chiababie6694 3 роки тому +4

    Wewe pepo amekufanya makao yake eti mzuri sana mzuri sana my foot kuliko hao ulio zaa nao naku unfollow mwenye kureplace nafasi yangu ndo hiyo na nimeenda

  • @maryammarham2862
    @maryammarham2862 3 роки тому

    Aho

  • @reneejollie5117
    @reneejollie5117 3 роки тому

    Sauti Kama ya babako and unamkataa

  • @gracemuiruri2425
    @gracemuiruri2425 3 роки тому

    mbona wachanga nyikiwa baba

  • @robertmwachofi6064
    @robertmwachofi6064 3 роки тому

    Hpo ni sawa chibu mtoto mzuri huyo usi muache mpaka aku zalie msani

  • @ilariamuthoni6666
    @ilariamuthoni6666 3 роки тому +5

    Mnasema tanasha yet anazungumzia msichana mwingine

    • @vayokhamakhama4081
      @vayokhamakhama4081 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sweetmeena5970
      @sweetmeena5970 3 роки тому

      Tanasha aachane na huyu mtu anampotezea mda akubali waliachana na wanalea tu mtoto coz yuwamtumia kama alivokuwa akimtumia hamisa

    • @ilariamuthoni6666
      @ilariamuthoni6666 3 роки тому

      @@sweetmeena5970 true..amwite pale kwa stage wa perform yet diamond haku perform ya Tanasha ..lazima angelipwa

  • @bahatykiugu1516
    @bahatykiugu1516 3 роки тому

    Diamond usikulupuke kuowa ndoa nijambo dogo ila nikitukikubwa mno tafuta mke bora na siyo bora mke

  • @feishiks2285
    @feishiks2285 3 роки тому +4

    Nani huyo ulitongoza tangu 2013sielewi

  • @lyzekeyz328
    @lyzekeyz328 3 роки тому +4

    Mondi anaficha tanasha kabsaa

  • @aissatabarry3110
    @aissatabarry3110 3 роки тому +1

    Translate please

  • @estherbakabona9930
    @estherbakabona9930 3 роки тому +3

    Yan mkongo tu Diamond haja onja hivi koffi akupe msichana wa huko

  • @edithhassan4196
    @edithhassan4196 Рік тому

    Chibu umeongea, wengi wajifunzee!

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому

    Nimecheka apo kwa inshallah yote kheri 😂😂😂😂😂diamond bahna

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 роки тому +1

    HUYO TAMBWE KUKATISHA HAYO MATANGAZO 😬😬😬😈

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 роки тому +6

    Ungeliowa alafu Zari vipi sasa? 🤔 Khaaaaaa 🚴‍♂️🚴‍♂️🚴‍♂️

  • @faidharamadhani8382
    @faidharamadhani8382 3 роки тому +2

    Punguzaga misifa uishi bila matangazo utazaa na wangapi

  • @kevooambakisye7018
    @kevooambakisye7018 3 роки тому

    Kulikuwa na haja gani ya kutaja dollar elfu 7...hahhahaa😂😬😀😁

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 3 роки тому +1

    Joule esma aliwayi kumuposti katambo

  • @Drkhan345
    @Drkhan345 3 роки тому

    Hanaga maoaji huyo

  • @nishasalim2880
    @nishasalim2880 3 роки тому +6

    Diamond muongo bhana.

  • @fatushabdi2786
    @fatushabdi2786 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mondi umijua kunivunja mbavu hahahahhahahaahahha eti inshallah yote kheri yataisha nimicheka jamani mm na nilikua full stress 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unatupatia

  • @mwatimemwaita5878
    @mwatimemwaita5878 3 роки тому +3

    Chibu umekuwa kunivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faidharamadhani8382
    @faidharamadhani8382 3 роки тому +1

    Miarabu mwehu huyoo aolewe na wewe loooh muarabu wa wapu huyoo

    • @sadahgullam8228
      @sadahgullam8228 3 роки тому

      Mwarabu mswahili atakuwa

    • @nooromar6233
      @nooromar6233 3 роки тому

      Na hawo waraabu ndio naona muna hamu nawo sana sielewi kwa nini kila msanii akiwa na mwanamke mweupe kidogo ni muarabu hee

  • @SabbyGangGangGang
    @SabbyGangGangGang 3 роки тому

    This guy is confused ....hajuwi yupi wakukuwa nae ila mungu atamsaidia...na pia amwombe mungu sana kwakufanya mamuzi ilaakiwa ataumia njia zake yeye kama yeye hata weza atabakia kuwa kama mzee wake akiomba kwa wanawe...ila mama zao watakuwa vile vile alivyo mkana baba yake wakumlea ila walewatoto hawata wakana baba zao wakuwale ...hahah Tanasha pls come home there we have learned rich guys better than him am sure you will never regrate ...and your son will grow this guy is undecided MWACHE! ....kwani hajuwi Nairobi nini...hahha

    • @SabbyGangGangGang
      @SabbyGangGangGang 3 роки тому

      Fame huisha ni anakuone wivu anajuwa utakuwa juu ...kumliko so he is avoiding it all ...mpe kishogo alaa

  • @RemmyMkalla
    @RemmyMkalla 3 роки тому +2

    Wewe wacha zako

  • @reazahmohjey7724
    @reazahmohjey7724 3 роки тому +2

    Pesa zakunyetesha.. Misifa wewe.

  • @rleo8487
    @rleo8487 3 роки тому

    거짓말이 너무 많아 smh...

  • @chustemarley7256
    @chustemarley7256 3 роки тому +1

    Kama zari ako na wivu . .si uoe wawili baas😂😂😂mpenda kuruka njia

  • @hajimahaba2566
    @hajimahaba2566 3 роки тому +3

    misifa wee huna llote

  • @bestinarajabu34
    @bestinarajabu34 3 роки тому

    8

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 3 роки тому

    Hahahaaa

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 3 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @suzanadegosi7343
    @suzanadegosi7343 3 роки тому +1

    Baba.nasibu tuna.kushauti.muowe.mama.nasibu.apana.uyo.bibi.kize.zari.ameisha eneza myaka 50.wewe.una.endana.na.mama.nasibu.tanasha

    • @rebeccaasiyo9820
      @rebeccaasiyo9820 3 роки тому +2

      Jinga we we,Unamlazimisha aje wakati hamtaki

    • @jescatebuye2287
      @jescatebuye2287 3 роки тому +1

      Hahaaa amekwambia ana mtoto mzuri 😂😂😂😂😂 wakati mwingine asema kaoneshwa kwenye ndoto kuwa niwake nacheka kwa kweli😂😂😂😂😂

  • @Kagehaijanira9473
    @Kagehaijanira9473 3 роки тому

    Diamond muongo kweli unasema uongo tupu

  • @hatibiabdi9601
    @hatibiabdi9601 3 роки тому +5

    Mrongo mkubwa weweee

    • @maryamhusseinabdul6218
      @maryamhusseinabdul6218 3 роки тому

      Mrongo awe na dem asimpost anavyo penda kiki huyu mamake alivyo na kiki wanafki wote

  • @halimaanzazi718
    @halimaanzazi718 3 роки тому

    .

  • @zawiahussein2904
    @zawiahussein2904 3 роки тому

    Muowe tu wema kama watoto ushapata

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 роки тому

    Wakuoa utakuwa wewe bwana
    Bado upo upo kwanza