HOME MADE NAAN RECIPE/ NAAN BREAD/NAAN
Вставка
- Опубліковано 1 гру 2024
- 📌Naan bread
🔴🔴Ingredients
▪️Unga wa ngano /All purpose flour 3cups
▪️Mtindi/maziwa mala 1/2 cup
▪️Ukari 2 tbsp
▪️Pinch of salt / Chumvi kidogo sana
▪️Hamira/yeast 1tbsp
▪️Cooking oil 3tbsp
▪️Warm water 1 cup
▪️Unaweza ongeza vipimo au kupunguza kulingana na wingi wa familia yako
▪️Kama hauna corriander unaweza tumia chives
▪️Siagi tumia brand uipendayo
▪️Kwa maswali zaidi please weka katika comment section.
🙏