Rasheedah’s Meal
Rasheedah’s Meal
  • 104
  • 167 650
NJIA RAHISI YA KUPIKA PILAU/EAST AFRICAN PILAU
📌PILAU YA KISWAHILI
▪️Viungo tumia upendavyo usisahau kuweka jira inasaidia kuongeza ladha
▪️Korosho na zabibu sio muhimu sana
▪️Kwa recipe hii pia unaweza kutumia mchele wa basmat mimi nimetumia wa Mbeya maarufu kama mchele wa kienyeji
▪️Kama umependa salad pia nijulishe katika comment nilete jinsi ya kuandaa
🔴Usiache ku like, share, subscribe na kuuliza chochote ambacho haujaelewa katika comment.
Shukran🙏
Переглядів: 376

Відео

THE BEST CRISPY CHICKEN … JINSI YA KUPIKA MINOFU YA KUKU
Переглядів 1192 місяці тому
📌The best crispy chicken 📌Minofu ya kuku ▪️Kama kuna kiungo nimetumia na haukopendi unaweza ukaacha tu usiweke. ▪️Unaweza kula na chips au kula kama zilivyp.. ▪️Kwa maswali zaidi karibu kwenye comment section. 🥰Please like, share and subscribe shukran🙏
HOME MADE NAAN RECIPE/ NAAN BREAD/NAAN
Переглядів 2412 місяці тому
📌Naan bread 🔴🔴Ingredients ▪️Unga wa ngano /All purpose flour 3cups ▪️Mtindi/maziwa mala 1/2 cup ▪️Ukari 2 tbsp ▪️Pinch of salt / Chumvi kidogo sana ▪️Hamira/yeast 1tbsp ▪️Cooking oil 3tbsp ▪️Warm water 1 cup ▪️Unaweza ongeza vipimo au kupunguza kulingana na wingi wa familia yako ▪️Kama hauna corriander unaweza tumia chives ▪️Siagi tumia brand uipendayo ▪️Kwa maswali zaidi please weka katika com...
JINSI YA KUPIKA BAGIA NZURI ZA DENGU/HOW TO MAKE BAGIA AT HOME
Переглядів 4053 місяці тому
JINSI YA KUPIKA BAGIA NZURI ZA DENGU/HOW TO MAKE BAGIA AT HOME
SOFT BUNS/SKONZI LAINI/ BANZI LAINI/MKATE LAINI NA RAHISI KUANDAA
Переглядів 1333 місяці тому
SOFT BUNS/SKONZI LAINI/ BANZI LAINI/MKATE LAINI NA RAHISI KUANDAA
MY WEIGHT LOSS JOURNEY AFTER GIVING BIRTH 🤰 EPISODE 002 (salads prep)
Переглядів 1394 місяці тому
MY WEIGHT LOSS JOURNEY AFTER GIVING BIRTH 🤰 EPISODE 002 (salads prep)
NJIA RAHISI JINSI YA KUPIKA FIGO YA NG’OMBE NI TAMU SANA
Переглядів 4864 місяці тому
NJIA RAHISI JINSI YA KUPIKA FIGO YA NG’OMBE NI TAMU SANA
JINSI YA KUPIKA WALI WENYE NANASI NA NAZI RAHISI SANA KUANDAA
Переглядів 3784 місяці тому
JINSI YA KUPIKA WALI WENYE NANASI NA NAZI RAHISI SANA KUANDAA
NJIA RAHISI YA KUPIKA FIRIGISI ZA KUKU/CHICKEN GIZZARD
Переглядів 1,8 тис.4 місяці тому
NJIA RAHISI YA KUPIKA FIRIGISI ZA KUKU/CHICKEN GIZZARD
KUKU ALIYEPIKWA KWA NAZI/CHICKEN CREAMY SAUCE/KUKU NAZI
Переглядів 4715 місяців тому
KUKU ALIYEPIKWA KWA NAZI/CHICKEN CREAMY SAUCE/KUKU NAZI
VIBIBI VITAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
Переглядів 1275 місяців тому
VIBIBI VITAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
HOW TO MAKE /JINSI YA KUPIKA MUTABAQ/MUTABAK/MUTABBAQ/MEAT MUTABAQ
Переглядів 2625 місяців тому
HOW TO MAKE /JINSI YA KUPIKA MUTABAQ/MUTABAK/MUTABBAQ/MEAT MUTABAQ
NJIA RAHISI YA KUPIKA KABAB ZA NYAMA/SIMPLE RECIPE FOR MEAT KABAB
Переглядів 2425 місяців тому
NJIA RAHISI YA KUPIKA KABAB ZA NYAMA/SIMPLE RECIPE FOR MEAT KABAB
MLENDA WENYE KARANGA/MLENDA WA KARANGA/OKRA SOUP MIXED WITH PEANUTS
Переглядів 1886 місяців тому
MLENDA WENYE KARANGA/MLENDA WA KARANGA/OKRA SOUP MIXED WITH PEANUTS
SAMAKI WA KUPAKA/GRILLED FISH COUTED WITH COCONUT SAUCE
Переглядів 2986 місяців тому
SAMAKI WA KUPAKA/GRILLED FISH COUTED WITH COCONUT SAUCE
VIUNGO SITA MUHIMU JIKONI KWANGU
Переглядів 4,3 тис.6 місяців тому
VIUNGO SITA MUHIMU JIKONI KWANGU
SIMPLE CARAMEL POPCORN / NJIA RAHISI YA KUANDAA POPCORN ZA SUKARI
Переглядів 2,4 тис.6 місяців тому
SIMPLE CARAMEL POPCORN / NJIA RAHISI YA KUANDAA POPCORN ZA SUKARI
NJIA RAHISI YA KUANDAA SAUSAGE/SAUSAGE SAUCE
Переглядів 8376 місяців тому
NJIA RAHISI YA KUANDAA SAUSAGE/SAUSAGE SAUCE
LAMB BIRIAN/BIRIAN YA KONDOO/ONE POT BIRIAN/ RECIPE RAHISI YA BIRIAN
Переглядів 3357 місяців тому
LAMB BIRIAN/BIRIAN YA KONDOO/ONE POT BIRIAN/ RECIPE RAHISI YA BIRIAN
NJIA RAHISI YA KUPIKA VIAZI KARAI
Переглядів 11 тис.7 місяців тому
NJIA RAHISI YA KUPIKA VIAZI KARAI
PILAU YA SUKARI, YOGURT NA NAZI TAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
Переглядів 1,5 тис.7 місяців тому
PILAU YA SUKARI, YOGURT NA NAZI TAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
NJIA RAHISI YA KUPIKA ORANGE CAKE (EASY AND SIMPLE ORANGE CAKE)
Переглядів 3037 місяців тому
NJIA RAHISI YA KUPIKA ORANGE CAKE (EASY AND SIMPLE ORANGE CAKE)
MKATE WA KUKU RAHISI SANA KUANDAA NA MTAMU
Переглядів 6318 місяців тому
MKATE WA KUKU RAHISI SANA KUANDAA NA MTAMU
JINSI YA KUPIKA KUKU WA KITUNGUU MTAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
Переглядів 11 тис.8 місяців тому
JINSI YA KUPIKA KUKU WA KITUNGUU MTAMU SANA NA RAHISI KUANDAA
MCHUZI WA SAMAKI MTAMU, UNAVUTIA NA RAHISI KUANDAA
Переглядів 11 тис.8 місяців тому
MCHUZI WA SAMAKI MTAMU, UNAVUTIA NA RAHISI KUANDAA
THE BEST CHOCLATE SYRUP (EASY TO MAKE)
Переглядів 1978 місяців тому
THE BEST CHOCLATE SYRUP (EASY TO MAKE)
CHICKEN CREAMY SAUCE + MUSHED POTATO (RAHISI SANA NA TAMU)
Переглядів 46111 місяців тому
CHICKEN CREAMY SAUCE MUSHED POTATO (RAHISI SANA NA TAMU)
NJIA RAHISI YA KUPIKA CREAMY CHICKEN PASTA TAMU SANA
Переглядів 251Рік тому
NJIA RAHISI YA KUPIKA CREAMY CHICKEN PASTA TAMU SANA
JINSI YA KUPIKA WALI KUKU WA TOFAUTI MZURI NA MTAMU/ CHICKEN RICE (LIME PLUS TAMARIND)
Переглядів 15 тис.Рік тому
JINSI YA KUPIKA WALI KUKU WA TOFAUTI MZURI NA MTAMU/ CHICKEN RICE (LIME PLUS TAMARIND)
BAKED POTATOES & CHICKEN (VIAZI MBATATA VYA KUOKA NA KUKU VITAMU SANA NA RAHISI)
Переглядів 268Рік тому
BAKED POTATOES & CHICKEN (VIAZI MBATATA VYA KUOKA NA KUKU VITAMU SANA NA RAHISI)

КОМЕНТАРІ

  • @nabihakassimally9089
    @nabihakassimally9089 11 днів тому

    Sorry sis, popcorn hzo zote ulopata n just one cup??

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 22 дні тому

    Chapati zako nzuri sana, ila nilikuwa naomba uandike mahitaji hapo kwenye description ili na ss wengine tunavyotaka kupika tujue tunazifanyaje❤

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 20 днів тому

      Sawa kipenzi nitafanya hivyo.. Shukran

  • @JanetiMgoha
    @JanetiMgoha 24 дні тому

    Asante sana viungo vya mama simama vinatokana wapi

  • @shaymaahan6460
    @shaymaahan6460 28 днів тому

    Asante nmeongeza ujuz kwenye kuweka korosho maana mume anazpenda balaa

  • @shaymaahan6460
    @shaymaahan6460 28 днів тому

    Naomba ufundishe hiyo salad dear maana nitaishia kuiona hapo tu

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 28 днів тому

    Wow!!! Asante kwa pishi zuri la kande na mm pia nijaribu kupika hizo ❤

  • @AishaMiraji-h9n
    @AishaMiraji-h9n 29 днів тому

    Sasa Mbona umeivisha Sana mboga mboga

  • @badrahibrahim6867
    @badrahibrahim6867 Місяць тому

    naomba namimi hy ya kumash viazi

  • @TumainHabibu
    @TumainHabibu Місяць тому

    Ichai.nn

  • @fortunatabernard6922
    @fortunatabernard6922 Місяць тому

    Habari yako, samahani nina swali korosho hizi umenunua zile ambazo hazijakarangwa?

  • @zubedaangomwile974
    @zubedaangomwile974 Місяць тому

    Mashallah

  • @rehemakoko3928
    @rehemakoko3928 Місяць тому

    Mikono

  • @bahathmuro7145
    @bahathmuro7145 Місяць тому

    Kijiko aisee

  • @MariamMustafa-w8e
    @MariamMustafa-w8e Місяць тому

    ❤❤❤❤❤

  • @zuhurarajabu6379
    @zuhurarajabu6379 Місяць тому

    Samahn naomba kuuliza paprika ni hoho au pilipili

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ Місяць тому

      Ni hoho nyekundu zile ila unaweza ulachanganya na pilipili pia

  • @zubedaangomwile974
    @zubedaangomwile974 Місяць тому

    Jamani nataka kujua kupika mandi kipenzi changu

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ Місяць тому

      Acha nilifanyie kazi niandae recipe japo kuna moja nilipost insta ya kuku ukipata nafasi katizame uanze nayo maana ni rahisi mnoo❤❤

  • @rebeccahmose
    @rebeccahmose Місяць тому

    Mkono

  • @JoynessMollel
    @JoynessMollel Місяць тому

    Asanteee San 😢 nice

  • @zubedaangomwile974
    @zubedaangomwile974 Місяць тому

    Mashallah mke wangu mungu azidi kukubariki

  • @zubedaangomwile974
    @zubedaangomwile974 Місяць тому

    Mashallah wizo ujaandika viungo gani umeweka🎉🎉🎉

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ Місяць тому

      Nimeweka insta full recipe kipenzi❤

  • @mimamnete6283
    @mimamnete6283 2 місяці тому

    Kama huna maziwa, maji nayafaa??

  • @alidatemu
    @alidatemu 2 місяці тому

    Boss wangu mimi naomba kujua unga unatakiwa kuwa una laini sana au kiasi Na mwisho MWENYEZI MUNGU aendelee kukujalia afya njema kwa ajili yetu 😍👏🏽

  • @Katuni862
    @Katuni862 2 місяці тому

    Mafuta gida kipenzi mutahara

  • @HabibaIbraimu-b8m
    @HabibaIbraimu-b8m 2 місяці тому

    Nmekukubaly

  • @dorisishenda9906
    @dorisishenda9906 2 місяці тому

    Video iko simple and straight to the point, nimeipenda. No mbwembwe🌹

  • @OumouCoulibaly-p6v
    @OumouCoulibaly-p6v 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @Kudzaiishe-vk3bh
    @Kudzaiishe-vk3bh 2 місяці тому

    It looks delicious

  • @aluzajiconvester-ut2qo
    @aluzajiconvester-ut2qo 2 місяці тому

    Very cute

  • @Reshma_Ka_Rasoi_Khana
    @Reshma_Ka_Rasoi_Khana 2 місяці тому

    😋 tasty

  • @WinnieMassawe-j3y
    @WinnieMassawe-j3y 2 місяці тому

    Mbn hutuandikií hizo ingredients

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      Kipenzi nimezitaja katika video ukisikiliza mwanzoni kabisaa embu sikiliza kisha uniambie kipi haujaelewa? Pia acha niandike kwenye description box kwa urahisi zaidi🥰

    • @bawla90
      @bawla90 2 місяці тому

      ​@@iamrasheedah__Kwenye description box iko poa zaidi ❤

    • @bawla90
      @bawla90 2 місяці тому

      Mbona kaandika kwenye description box jamani

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      @@bawla90 shukran kipenzi🥰

  • @mimamnete6283
    @mimamnete6283 2 місяці тому

    Imebidi nirudi tena 😂

  • @fatumaabdallah-x1c
    @fatumaabdallah-x1c 2 місяці тому

    Ukhty nimeipenda pishi Ila Naomba viungo niandikie ninunue nipike na mie

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      Shukran kipenzi, nilitumia chicken cubes, soy sauce, Garam masala, turmeric, nutmeg, oregano, paprika, na cumin . 🥰🥰

    • @neemayohana8430
      @neemayohana8430 2 місяці тому

      Wow jamani nimechelewa wapi na hii Asante sana dada

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      @@neemayohana8430 shukran kipenzi🥰

    • @neemayohana8430
      @neemayohana8430 2 місяці тому

      @@fatumaabdallah-x1c japo ninaomba kuulizia swali kipenz mana hivi ndio Niko kupika hili pishi , unapangiliaje kupika vyakula Kwa wiki mzima

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      @@neemayohana8430 hii ni changamoto kwa wengi as maeneo watu wanapoishi ni tofauti mimi mostly napanga chakula cha jioni as mchana sio stress sana

  • @MathnaSuleiman
    @MathnaSuleiman 2 місяці тому

    Nikitia nazi je

  • @LatifaSaid-y7q
    @LatifaSaid-y7q 2 місяці тому

    Hello, naomba kuuliza umeoka kwa moto wa juu na chini au chini tupu??

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 2 місяці тому

      Juu na chini kipenzi na hakikisha moto ni wa wastan na usiache kwa muda mrefu🥰

  • @a.856
    @a.856 3 місяці тому

    Ahsante😋

  • @RachelMahenge-i2s
    @RachelMahenge-i2s 3 місяці тому

    Na tambi weeeh, hatari

  • @MonalisaMohamed-p6q
    @MonalisaMohamed-p6q 3 місяці тому

    Jazzak llahu kheir Allah akujaalie afya njema asante kwa receip nzuri

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 3 місяці тому

    Nice ❤❤❤

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 3 місяці тому

    Mashallah la kiswahili haswa ❤❤❤

  • @IreneMlwale
    @IreneMlwale 3 місяці тому

    Jmn anaonekna mtamu sana

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 3 місяці тому

      Ni mtamu hasaa kipenzi, jaribu hautojutia🥰

  • @FaudhiaIddy-zj1yx
    @FaudhiaIddy-zj1yx 3 місяці тому

    pish zuli.san

  • @nicolesaloubatili436
    @nicolesaloubatili436 3 місяці тому

    Awesome 👌❤ 🎉🎉🎉

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 місяці тому

    Masha'Allah yakaa tamu sana 😋

  • @FlorenceNaibei
    @FlorenceNaibei 3 місяці тому

    Hiyo ni maji ama maziwa

  • @simonphabiano5051
    @simonphabiano5051 4 місяці тому

    Kama hupendi mtindi naweza kutumia tu maji?

  • @gyolieshilla2733
    @gyolieshilla2733 4 місяці тому

    Naomba kuuliza umeweka nini na nini?

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__ 4 місяці тому

      Unatia viazi mbatata vikate kwa muundo huo, carote, pilipili boga, kitunguu maji, kitunguu thomu, tangawizi mbichi, unga wa dengu kias, maji kiasi, pilipili kama unapenda, corn starch, baking powder kiasi na viungo upendavyo kama pilipili manga, oregano, cumin ya unga na turmeric.. nimeipost instagram na tiktok ikiwa na maelezo ya kujitosheleza🥰

  • @gyolieshilla2733
    @gyolieshilla2733 4 місяці тому

    Yummy nikila na pilipili ya nyanya aloooo

  • @rosemanumbuTV
    @rosemanumbuTV 4 місяці тому

    Hii naweza kula na juice au juice ndo nanasi hilo hilo 😀😀 nawaza kupunguza bajeti ya juice hapo

  • @akianambwilo7733
    @akianambwilo7733 4 місяці тому

    Huweki chumvi?

  • @zainablema17
    @zainablema17 4 місяці тому

    Unavutia sana❤