JINSI YA KUPIKA KUKU WA KITUNGUU MTAMU SANA NA RAHISI KUANDAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @angelmisholy6478
    @angelmisholy6478 8 місяців тому +1

    Looks 🤤 yummy…thanks Mamy ntajaribu 🥰

  • @aminadigalu7717
    @aminadigalu7717 8 місяців тому

    Nitapika hii na wali nazi In Sha Allah

  • @mussakisope7207
    @mussakisope7207 8 місяців тому +1

    Nutmeg kwa mwanamme nzuri au?

  • @IreneMlwale
    @IreneMlwale 3 місяці тому

    Jmn anaonekna mtamu sana

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__  3 місяці тому

      Ni mtamu hasaa kipenzi, jaribu hautojutia🥰

  • @mimamnete6283
    @mimamnete6283 8 місяців тому +1

    Ntapika hii na chapati

  • @shaymaahan6460
    @shaymaahan6460 7 місяців тому

    Oregano kwa maeneo ya huku hawaijui, Ina jina lingne naomba unifahamishe

  • @fatumaabdallah-x1c
    @fatumaabdallah-x1c 2 місяці тому +1

    Ukhty nimeipenda pishi Ila Naomba viungo niandikie ninunue nipike na mie

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__  2 місяці тому

      Shukran kipenzi, nilitumia chicken cubes, soy sauce, Garam masala, turmeric, nutmeg, oregano, paprika, na cumin . 🥰🥰

    • @neemayohana8430
      @neemayohana8430 2 місяці тому

      Wow jamani nimechelewa wapi na hii Asante sana dada

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__  2 місяці тому

      @@neemayohana8430 shukran kipenzi🥰

    • @neemayohana8430
      @neemayohana8430 2 місяці тому

      @@fatumaabdallah-x1c japo ninaomba kuulizia swali kipenz mana hivi ndio Niko kupika hili pishi , unapangiliaje kupika vyakula Kwa wiki mzima

    • @iamrasheedah__
      @iamrasheedah__  2 місяці тому

      @@neemayohana8430 hii ni changamoto kwa wengi as maeneo watu wanapoishi ni tofauti mimi mostly napanga chakula cha jioni as mchana sio stress sana