Mmh! Nae huyu huwa anabadirika badirika tu Unakumbuka alivyokuwa anahubiri kuwa anauqezo wa kufufua wafu? Hata aliwahi kuwaaminisha watu kuwa atamfufua Amina Chifupa na wengine? Kifupi tu ni kwamba watumishi wa Mungu kwa sasa hawapo! Waliopo ni washing ani tu,wanashindana kututeka sisi kuongeza umaarufu na kuongeza MA PA TO! Hapo hapendwi mtu
Unajua agizo aliloagiza Yesu Kristo, hebu soma hapa MATHAYO 10:7-8 "Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure." Watu wanang'ang'ana kupoza wagonjwa, kutoa pepo ila kufufua wafu ukisema unaambiwa mwongo, nabii wa uongo kumbe ni uhaba wa imani lakini agizo la Kristo ni kuhubiri watu injili wamwamini na huku kuwapa ishara ya kupoza wagonjwa, kutoa pepo na kufufua wafu, Shetani anajuu silaha kubwa itakayotetemesha ufalme wake ni pale wafu watakapo fufuka ila kutoa pepo na kuponya magonjwa anajitaidi kushinda, ndiyo maana silaha na adui wa mwisho Yesu kumshinda ni mauti, aise mauti na kuzimu ndiyo ngome shetani amewekeza nguvu zake na bila kujua anacheza na akili za wahubiri wasiguse hiyo button yake maana wanaangusha ufalme wake kwa sababu kuzimu na mauti ndiyo kitu pekee ukikishinda kwa jina YESU hakuna wa kukubabaisha hata Yesu aliposhinda alisema "Mamlaka yote mbinguni na duniani amepewa" na hiyo mamlaka amekupa kwa jina lake na wewe kama mwanafunzi wake ili upenye katika ulimwengu huu lazima utetemeshe ngome hii
Ipo siku inakuja, ukweli utafunguka kwa msamiati uliyo wazi na huru kila mtu kweli itamwita na kumpambanukia hapo ndio patakuwa na kilio cha kusaga meno, kuwa tumepoteza muda wetu bure kwa kusiko na marisho wala mafao, ndipo shetani atasema sikuwa na nguvu juu yako ila nilikukonyeza ukanifuata. Nawashauli binadamu wenzangu FUNGENI SIKU ZA JUMATATU hii mtapata utambuzi wa mambo mengi sana na kupambanukiwa.. Dunia inaisha hii.
Well said, silaha ya mkristo ni neno la MUNGU sio keki, mandazi ya upako, mara mafuta, chumvi, maji, vitambaa, sabuni, alafu wanamuabu mungu wa flani na sio MUNGU alie hai.
woooow this is a big massage hii ni tammmmmm sijui niseme nini ila mungu akubariki sana Bishop ngwajima nimekuelewa Sana Sanaaaaaaaa and my God bless you
Hakika Neno la BWANA YESU KRISTO lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga ukatao kuwili tena lijepesi kutambua makusudi ya moyo. Jina la Bwana Yesu Lihimidiwe daima. Amen🙏🙏🙏🙏
Baba hiyo imesababisha kitoto kilichopo tumboni mwangu kimesujudu kwa NENO lenye kishindo kikubwa yaani (YESU ALIYE TOKA KWENYE KINYWA CHAKO) Kwa hilo NENO Mimi nina ishi.
Kweli. Tumechoka kuonyeshwa mazingaombwe na viininacho kutoka kwa baadhi ya manabii. Nilisoma kitabu cha mchungaji Gwajima kiitwacho " jifungue mwenyewe" hamna hivo vitendea kazi vinavotumiwa na hawa watu wavivu au waongo na wapotoshaji wa imani. Endeleeni kulilinda kanisa enyi genuine teachers na manabii wa kweli mnaoikemea dhambi kama mbarikiwa na wengineo. Kweli vita ni ngumu. But times of refreshing are coming. Simameni pia na nehemia 8:10.mungu yu pamoja nanyi. Be strong and courageous.
Haya mnayoyaita mazingaumbwe ndo yalimfanya Yesu wa Galilaya ajulikane Duniani. Kanisa bila miujiza halina Mungu ndo maana mnanunua helicopter wakati masikini mmejaza kanisani. Yesu awarehemu .
Wewe mwenyewe ulianzia kudanganya umma kwamba unafufua wafu kwa vile umekua mwanasiasa ndio kabisaa mwongo mkubwa acha wivu kila mtumishi na maono yake acha siasa wewe.
Hawa wote wanaujuwa mchezo wanao ucheza. Wanapo zidianana akili, ujanja, ubunifu, hapo ndipo wanaanza kukorogana. Mara nyingi watu wa Mungu lao huwa moja kwa sababu wanatoka kwa aliye mmoja. Sasa inapofikia kukosowana wao kwa wao, tunajifunza nini? Shetani mjanja sana hukusanya watu akawajaza kwa elimu yake tamu harafu anawagombanisha. Ukweli unakuja maana siku inakaribia. Kila mtu atakwamwa na maneno yake mwenyewe.
Watumishi wa Mungu ni nani aliewaroga mkaacha kumhubiri Yesu mkaanza kumhubiri mwamposa anaemhubiri Yesu .mbona basi Yesu kashatulipia deni hatudaiwi tena lkn hamuachi kutuita wezi kwamba tumelaaniwa endapo hatukutoa fungu la 10 .
Tofauti kati ya mchungaji Mbarikiwa na wengine nikwamba, Yeye anasema ukweli na anatoa njia ya kweli ya kuleta uzima wa mtu na kumzuia mtu huyo asitende mabaya ili asipate madhara, pia asilaaniwe Mungu. Lakini wahubiri wengine wote wanataka kuwafurahisha watu na kuwatia moyo hata kama wametenda dhambi., ndio maana unaona waumini wanacheka na kushangilia sana makanisani. Sijawahi kuona watu wakiwa hosipitalini wanacheka wakati wao ni wagonjwa . Angalia alivyokuwa akihibiri Yesu kristo watu wlikuwa wanashangaa na kutaka kujua nguvu na uwezo wa Mungu alionao hadi wanamuuliza Yesu kwamba ni kwa namna gani wanaweza kupata utakatifu. Wahubiri waambieni watu yawapasayo kufanya kwa ajili ya kumpendeza Mungu na sio kutumia muda wa Mungu mliopewa na kuhubiri mambo mepesi yaletayo mauti.
Amen hii ndo injili ya kweli tunayoitaka. Watumishi wa Mungu. tujiadhari na mafundisho mapotovu
Amen hiyo ni injili
Inayotakiwa mkuu. Thankyou. Man of God
😊
Amen Bishop Gwajima labda ww uwafumbue macho binadamu tumekua mazombi
Mtumishi hiyo Iman ni yenyewe nimeielew barikiwa sana
Asante mtumishi wa Mungu wewe ni msema kweli hujawahi sema uongo.
Hii ndio injili tunayoitaka. Barikiwa Sana Mtumishi wa Bwana Yesu.
Oya hawa washazidiana technique bhana!! Huyu mwamba yeye pia ni mzee wa misukule ya upako na hatujasahau bado!!
@@rastheuniquewaumini wamepungua kwani ye hakuanzia huko?? Acha zako gwajima hubiri neno
Sio tu tunsyoitaka,iliyokusudia
Kabisa ❤❤❤❤
@@rastheuniquekuwa makin usije pigwa na mungu kwa maneno yako
Papa gwajima naungana na wewe 100/= hao wooteee inatakiwa waokoke kwajina la Yesu... Wajifunze kwa nikodem nao wakujie usiku watake kuokoka.🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔️
Uyu ndiye Gwajima ❤❤ mtumishi alisi
Leo nimekuelewa sana be blessed hubirin kweli msichoke yesu anarudi MUNGU atawalipa.
Injili nzuri,,,,, sema kweli
Huyu baba Gwajima AMEJAA MAANDIKO rohoni mwake hadi raha! Kila mkristo wa kweli anapaswa kuwa hivyo🎉🎉🎉
Mmh! Nae huyu huwa anabadirika badirika tu
Unakumbuka alivyokuwa anahubiri kuwa anauqezo wa kufufua wafu?
Hata aliwahi kuwaaminisha watu kuwa atamfufua Amina Chifupa na wengine?
Kifupi tu ni kwamba watumishi wa Mungu kwa sasa hawapo!
Waliopo ni washing ani tu,wanashindana kututeka sisi kuongeza umaarufu na kuongeza MA PA TO!
Hapo hapendwi mtu
@@EsterKiyabo Hajabadirika wewe ndio uelewi, Anafufua wafu ndio lkn kupitia Jina la Yesu kristo. Na hii ndio Injili ya kweli
Unajua agizo aliloagiza Yesu Kristo, hebu soma hapa MATHAYO 10:7-8 "Na katika kuenenda kwenu, hubirini, mkisema, Ufalme wa mbinguni umekaribia. Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure." Watu wanang'ang'ana kupoza wagonjwa, kutoa pepo ila kufufua wafu ukisema unaambiwa mwongo, nabii wa uongo kumbe ni uhaba wa imani lakini agizo la Kristo ni kuhubiri watu injili wamwamini na huku kuwapa ishara ya kupoza wagonjwa, kutoa pepo na kufufua wafu, Shetani anajuu silaha kubwa itakayotetemesha ufalme wake ni pale wafu watakapo fufuka ila kutoa pepo na kuponya magonjwa anajitaidi kushinda, ndiyo maana silaha na adui wa mwisho Yesu kumshinda ni mauti, aise mauti na kuzimu ndiyo ngome shetani amewekeza nguvu zake na bila kujua anacheza na akili za wahubiri wasiguse hiyo button yake maana wanaangusha ufalme wake kwa sababu kuzimu na mauti ndiyo kitu pekee ukikishinda kwa jina YESU hakuna wa kukubabaisha hata Yesu aliposhinda alisema "Mamlaka yote mbinguni na duniani amepewa" na hiyo mamlaka amekupa kwa jina lake na wewe kama mwanafunzi wake ili upenye katika ulimwengu huu lazima utetemeshe ngome hii
@@bartinkahenga1196 hakuna na atotokea labda yesu arudi tena wauni ktk injili wanagombania waafuasi na fedha
@@EsterKiyaboumenena vema kaka huyu naye ndiyo walewale hana lolote nimwehu kama wehu wengine
Safi mtumishi wa Mungu "we mwamposa una sikia na musa msikiemutu wa Mungu huyo hapo sasa
Amennnnnn
Hizi changamoto zinatuvuruga sana ndo maana tunaona kila kitu ni sahihi.
Mungu tusaidie tu kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa
Ipo siku inakuja, ukweli utafunguka kwa msamiati uliyo wazi na huru kila mtu kweli itamwita na kumpambanukia hapo ndio patakuwa na kilio cha kusaga meno, kuwa tumepoteza muda wetu bure kwa kusiko na marisho wala mafao, ndipo shetani atasema sikuwa na nguvu juu yako ila nilikukonyeza ukanifuata. Nawashauli binadamu wenzangu FUNGENI SIKU ZA JUMATATU hii mtapata utambuzi wa mambo mengi sana na kupambanukiwa..
Dunia inaisha hii.
Amen! Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kuusema ukweli. Vitu vyote vitapita ila neno la Mungu litadumu milele na milele. ❤🙏
Tell them Bishop J. Gwajima. Ukweli utawawe huru 👏🏽👏🏽
Hongera sana mtumishi wa Mungu. Mungu akutunze Hadi mwisho, usije ukapotelea njiani. Amee
Neno likijaa moyoni,unakua jasiri kwa chochote kilicho mbele yako.barikiwa sana mch gwajima
Well said, silaha ya mkristo ni neno la MUNGU sio keki, mandazi ya upako, mara mafuta, chumvi, maji, vitambaa, sabuni, alafu wanamuabu mungu wa flani na sio MUNGU alie hai.
amen mtumishi wa Mungu Mungu azidi kukupa neema
Haleluuuuuuyah Neno la Mungu ndio mpango mzima
Amina baba barikiwa wanawafanya wasio kuwa na maandiko na maombi wambieni tu watakatifu tujitume kuomba na kusoma neno
Amen amen,barikiwa sana mtumishi wa bwana.
Nimependa sana hiyo Injili Ubarikiwe Sana Mtumishi wa Mungu love you for you preching
Haleluya ubalikiwe mtumishi wa MUNGU kwa kuisimamia injil ya kwel
Safi sana Gwajima lazima tuwe na nguvu ya kuzitwanga wenyewe
woooow this is a big massage hii ni tammmmmm sijui niseme nini ila mungu akubariki sana Bishop ngwajima nimekuelewa Sana Sanaaaaaaaa and my God bless you
Hakika Neno la BWANA YESU KRISTO lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga ukatao kuwili tena lijepesi kutambua makusudi ya moyo. Jina la Bwana Yesu Lihimidiwe daima. Amen🙏🙏🙏🙏
Gwaji boy, uko sahihi 100% hao wanahitaji kuombewa kuliko kuwahukumu, barikiwa sana
You are really an "Adventist",
Brother Gwajima let GOD use you in another category to deliver unspoken truth.🤝👏
Be blessed for a good message servant of God, that is the kind of teaching which is needed to the people who prepare themselves for the kingdom of God
Ubarikiwe sana baba Askofu. Mungu akutunze sana!
Tunashukuru sana mchungaji wetu mungu akupe miaka mingi huyu mwamposa na kuhani mussa mataperi makubwa yanaibia wananchi wanyongo wasiojielewa
Wowoo nilikumbuka haya mambo uwiiii asante b shop gwajima.nakwel umenifundisha kuzipiga . YESU akutunze
I love you Papa,nimeliweka neno lako moyoni mwangu,neno lako ni taa ya miguu yangu,Uishi maisha malefu baba Nakupenda zaidi
Mungu akulinde Bishop Gwajima
Amen,,,barikiwa sana mtumish Kwa neno la kweli
Ubalikiwe Baba unatufundisha kupigana wakati wowote hakika umenena maneno ya mungu amen 🙏
Baba hiyo imesababisha kitoto kilichopo tumboni mwangu kimesujudu kwa NENO lenye kishindo kikubwa yaani (YESU ALIYE TOKA KWENYE KINYWA CHAKO) Kwa hilo NENO Mimi nina ishi.
Ubarikiwe gwajima endelea kufundisha vema
Kweli. Tumechoka kuonyeshwa mazingaombwe na viininacho kutoka kwa baadhi ya manabii. Nilisoma kitabu cha mchungaji Gwajima kiitwacho " jifungue mwenyewe" hamna hivo vitendea kazi vinavotumiwa na hawa watu wavivu au waongo na wapotoshaji wa imani. Endeleeni kulilinda kanisa enyi genuine teachers na manabii wa kweli mnaoikemea dhambi kama mbarikiwa na wengineo. Kweli vita ni ngumu. But times of refreshing are coming. Simameni pia na nehemia 8:10.mungu yu pamoja nanyi. Be strong and courageous.
Haya mnayoyaita mazingaumbwe ndo yalimfanya Yesu wa Galilaya ajulikane Duniani. Kanisa bila miujiza halina Mungu ndo maana mnanunua helicopter wakati masikini mmejaza kanisani. Yesu awarehemu .
Kupitia kiboko ya wachawi Kuna kitu tunatakiwa kujifunza na tujirejeshe kwa Mungu wa kweli.
endelea kusema mazingaobwe wenzio tumepona
Kweli gwajima kahubiri kweli kwa mda mfupi,na kweli itabaki kuwa kweli na neno la Mungu ndio KWELI,YESU NDIYE kweli. Ubarikiwe mon.
kweli kabsa baba asante kwa kuzidi kusema kweli maana uovu umezid
Amen Amen Amen tuamke kanisa tutaifahamu kweli nayo kweli itatuweka huru na kweli ni ÑENO LA MUNGU
Asante Asante Asante sanaaaaaaa..... Sema mwanangu tunasikia......
Ubarikiwe mtumish wa mungu uongezew miaka ya kuish kama ezekia
Amina ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU
Amina mungu azidi kukujaza imani takatifu
Amen amen ubarikiwe sana na Mungu aliye hai
Mm sichangii chochote sabbu Iman yangu ndo itakayonuponya
Enzi zake za misukule na kumfufua Amina chifupa zilitusumbua Sana
😂😂
Wachawi walisumbiliwa sana nawewe vipi ni mchawi?
@@dorcaskarago2876😂😂😂😂
Ulisumbukaje?
nani alitaka kumfufua ?
Mtumishi wa Bwana umenena neno la Bwana. Barikiwa.
Ubarikiwe sana siku nikianzisha huduma nitakuwa chini ya askofu huyu anamjua mungu
Barikiwa sana baba
Baba Mungu akuinue zaidi ya hapo ameeeeen
Amen Mungu akubariki sana jasusi la Mbinguni
Ubarikiwe sana pastor gwajima
Mungu Akubariki mzee Gwajima
Asante sana baba MUNGU azidi kuku weka na kukuza kiroho
Gwajima Unajua Neno la Mungu Vizuri Sana , .
Katika maubili yote leo pasta gwajima umenibariki sana sana ubarikiwe sana kamanda
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Ahsante Kwa mahubir mazuri mbarikiwa
Ubarikiwe mtumishi hio sawa
Pameanza kuchamuka hakika, mtakuja kumpa Mbarikiwa Mwakipesile wetu sheria barikiwe shujaa wa Mungu Mbarikiwa Mwakipesile wetu.
Barikiwa sana am blessed a lot
Mahubiri yako Bishop yanajenga sana fikra na fahamu zangu
Umevuka mpaka kama maji 😂
pameanza kuchangamka kweliii😂😂❤❤
Hakika mtumishi barikiwa sana
Amen 🙏 NENO LA MUNGU LINATOSHA
Nakwelewa sana baba Mungu akubarki sana
Neno la MUNGU lina nguvu 🙏🙏🙏🙏
Amen sema ukwel tupate kupona
Ni kweli
Ubarikiwe kwa maubiri mazuri
Amina🙏
Asante kwa mahubiri mazuri
Amen safi sana
Aminaa maharifa ni muhimu kuliko vituuu
Wewe hubiri yako achana na wachungaji wengine.Kama wanakosea basi Mungu atawaadhibu
Hiki sio kipindi cha kuangalia watu wanapotea
Hiyo ndiyo injili sasa atutaki utumwa wa kuabudu mafuta mtuache tunaoelewa neno la Mungu
Lazima aseme ili watu wapone asiposema wataponaje??
Tunatakiwa kumuabudu Mungu si watu na vitu mda umeisha ndugu
Sijambo baya kusema ubaya unaiona unapoteza watu
Kwa mahubiri haya nimekukubali barikiwa mtumishi wa MUNGU
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ni kwa neema tu.Bwana akubariki
Ameni Mtumishi wa Mungu very powerful message
Wewe mwenyewe ulianzia kudanganya umma kwamba unafufua wafu kwa vile umekua mwanasiasa ndio kabisaa mwongo mkubwa acha wivu kila mtumishi na maono yake acha siasa wewe.
Ubarikiwe mchungaji neno hilo nilauzima
Nakuelewa Sana,ila nilikuwa nasikitika kuwa Kwann ULIKUWA kimya KWENYE jambo hilii,
Hawa wote wanaujuwa mchezo wanao ucheza. Wanapo zidianana akili, ujanja, ubunifu, hapo ndipo wanaanza kukorogana. Mara nyingi watu wa Mungu lao huwa moja kwa sababu wanatoka kwa aliye mmoja. Sasa inapofikia kukosowana wao kwa wao, tunajifunza nini? Shetani mjanja sana hukusanya watu akawajaza kwa elimu yake tamu harafu anawagombanisha. Ukweli unakuja maana siku inakaribia. Kila mtu atakwamwa na maneno yake mwenyewe.
Huyoniwivu. Kazidiwanguvu. Munguhumpaampendae. Somakornto wakwanzakumi. Nambilihabariza. Karama
Tunajua ww ni muislamu so utusumbui
Baba nakupenda Sana, Mungu akutie nguvu
Ni kweli Heshima hayupo kiroho ,yupo kimwili asilimia 💯 wala simwamini hata kidoho mwema ovyo
Nakukubari Baba uangu sitakucha kukubar baba uangu
that is good message for currently people
Barikiwa sana Gwajima
Amina mtumishi piga hao wapiga dili wapotee
Watumishi wa Mungu ni nani aliewaroga mkaacha kumhubiri Yesu mkaanza kumhubiri mwamposa anaemhubiri Yesu .mbona basi Yesu kashatulipia deni hatudaiwi tena lkn hamuachi kutuita wezi kwamba tumelaaniwa endapo hatukutoa fungu la 10 .
Nakupenda baba barikiwa
Injili ni kwel ya Mungu na kweli ni neno upo sahihi baba
❤ameen mtumishi balikiwe sana
Waooooooh baba hapo umenena kumbe watu kama wewe bado mpo mungu akutunze
Ulinzi wa bwana yesu ukai juu nawe maana hao wamafuta na maji ndo wametawala Tanzania. Amina
😅😅😅😅nimekuelewa baba 🤛🤛🤛🤛
Hio ni injili iliyo hai amen
Tofauti kati ya mchungaji Mbarikiwa na wengine nikwamba, Yeye anasema ukweli na anatoa njia ya kweli ya kuleta uzima wa mtu na kumzuia mtu huyo asitende mabaya ili asipate madhara, pia asilaaniwe Mungu. Lakini wahubiri wengine wote wanataka kuwafurahisha watu na kuwatia moyo hata kama wametenda dhambi., ndio maana unaona waumini wanacheka na kushangilia sana makanisani. Sijawahi kuona watu wakiwa hosipitalini wanacheka wakati wao ni wagonjwa . Angalia alivyokuwa akihibiri Yesu kristo watu wlikuwa wanashangaa na kutaka kujua nguvu na uwezo wa Mungu alionao hadi wanamuuliza Yesu kwamba ni kwa namna gani wanaweza kupata utakatifu. Wahubiri waambieni watu yawapasayo kufanya kwa ajili ya kumpendeza Mungu na sio kutumia muda wa Mungu mliopewa na kuhubiri mambo mepesi yaletayo mauti.
Baba yangu gwajima.ni moto wa kuhoteya mbali kweli