Mch Moses Magembe - HOTUBA MAALUMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 470

  • @Justin-s5b4i
    @Justin-s5b4i 17 днів тому +3

    Hakika huyu ndiye mwenye Roho wa Mungu juu ya kanisa,
    Mungu yupo pamoja naye katika Injili
    Anayo Injili yenye kulipeleka kanisa mbinguni.
    Baba songs mbele kanisa ni la Yesu na wewe ni chombo uliye pewa thamana na Mungu.
    Injili ya kweli inaenda mbele songa mbele zaidi baba.

  • @FrankMandanda
    @FrankMandanda 18 днів тому +4

    Mti wenye matunda ndio unaepigwa mawe, tupo pamoja baba mchungaji Magembe piga injili baba yesu yuhaja.

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 21 день тому +32

    Hawa ndio wahubiri watakatifu wachache waliobaki Mungu akutunze Sana siku moja uwepo mbinguni ufurahie matunda yako amen.

  • @dominickjobalexander
    @dominickjobalexander 21 день тому +55

    Mungu naomba katika jina la Yesu muongeze siku Mtumishi wako juu ya kazi uliyomuitia....ili azidi kuifanya kwa utukufu wako.nmeomba nikiamini. AMEN

  • @xyzxyz9527
    @xyzxyz9527 21 день тому +48

    Weka namba ya sadaka tumtolee Mungu kwa ajili ya kazi ya Mungu

  • @pendomsemwa
    @pendomsemwa 21 день тому +18

    Mimi ni tunda la utumishi wako ,niliokoka nikiwa sekondari ulikuja kuhubiri shuleni kwetu Tambaza, nakupenda sana baba.

    • @JastFinancial02
      @JastFinancial02 21 день тому +2

      Amina jipe moyo utashinda

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 20 днів тому +2

      Waaaooh barikiwa!
      Ikiwa uliokoka kwa huduma ya kufikiwa shuleni bc jione mden nawe kuwafikia ndg wng walioko ktk taasis za Elimu cs vyuo na maeneo meng ya elimu ndy machinjo ya kiroho ya wakristo na mahari pakuwajaza watu kiburi cha uzima kupitia hzo elim za kidunia.

  • @khomeshapaul5470
    @khomeshapaul5470 15 днів тому +1

    Mungu akutie ngu mtu wa Mungu, Mungu anao ujumbe wa wakati huu kwa wakazi wa dunia. NAOMBA NIPATE MAWASILIANO YA SIM YA MTUMISHI MAGEMBE.

  • @josephinejgibbons753
    @josephinejgibbons753 20 днів тому +7

    Mchungaji Magembe umekuwa baraka sana katika maisha yangu. Mahubiri yako ni Injili ya kweli ya Yesu. Ninaamini Mungu huwapenda wote wanaomtumi
    kia katika kweli bila kujali wapo na kanisa lenye jina gani. Ubarikiwe sana mchungaji na Mungu awe nawe daima. Mimi na mume wangu Patrick tunakupenda sana

  • @JescaSimon-k3z
    @JescaSimon-k3z 15 днів тому +1

    BWANA Yesu akutie nguvu sanaaaa. Mbuzi amekata kamba HARELUYAAAAA! HII NDIYO IMANI BABA. HIVI NDIVYO VITA VYA IMANI, TIA DIVAI MPYA KWENYE VILIBA VIPYA ACHANA NA VIKUU KUU.

  • @joycedanny9636
    @joycedanny9636 20 днів тому +7

    Askofu na viongoz wenzako kaen chini mlitafakari swala la mzee magembe maan Binfas sijaona kosa lake

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 18 днів тому +2

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiii hadi natokwa machozi Mungu TUHURUMIE INJILI YA KWELI IMEACHWA WATU WANAHUBIRI VYAKULA VYAO NA MATUMBO YAO.... HAKIKA YESU ANARUDI TUTUBU DHAMBI YESU ANARUDI

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 20 днів тому +9

    Pole/ hongera mtumishi wa Mungu, haujaasi, na km umeasi bc n kadr ya mtazamo wa watu. Binafs nahc. Tuu haya majina ya MOSES haya yana alleji na T. A. G pia km wajina wako alivyofnya HAKUENDELEZA UGONVI au Vta bali alimuachia Mungu aliyemhukum wa haki , akaendelea na huduma aliyoitiwa ht mda ulipofika akapumzk ktk kaz yke!

  • @FrolaMwakapalila
    @FrolaMwakapalila 20 днів тому +9

    Aisee nampenda uyu mzee toka nianze kumfatilia nimekua kiroho

  • @WazohilllUhasibu
    @WazohilllUhasibu 8 днів тому

    Alie wa YESU akifanya mema hupingwa lkn wafanyao maovu huko kwa kujificha wanashangiliwe...... E mungu mtunze mtumish wako aifanye kazi yako kam ulivo weka wito kwake ameniiii

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 18 днів тому +2

    Baba mimi ni Joyce Andrew nilikua naitafuta sana INJILI ya hivi kwa wachungaji wengine .. Mimi nipo TAYARI KUUNGANA NAWE BABA YAN NAHUBIRIGI MTAANI WANANIONA NIMECHANGANYIKIWA SIHUBIRI KINGINE NAHUBIRI TOBA NA UJIO WA YESU TU SASA BABA NIPO TAYARI 2025 KUZUNGUKA DUNIA NZIMA KUIFANYA KAZI YA MUNGU PAMOJA NA WEWE BABA

  • @samsonnzisabira768
    @samsonnzisabira768 21 день тому +19

    Pole sana na misukosuko mch.Magembe ,Mungu akutie nguvu na abariki huduma yako, abariki vilevile wale waliokuwa chini ya huduma yako huko ulikokuwa .Nafurahia mahubiri yako nikiwa Burundi🇧🇮

  • @eliakimfrank6528
    @eliakimfrank6528 17 днів тому +1

    Mchungaji mungu akutie nguvu kiukweli ukweli ni bora zaidi ila mtu hataki ukweli mungu Atamhukumu watu wawe wazi kupitia hili watu wasipokuwa mKini wataumbuka jitafakalini mapema mwishoni huduma mtaitia doa jambo jema linaisha kwa wema

  • @furahaMwaliashakashindi
    @furahaMwaliashakashindi 15 днів тому +1

    Mtumishi WA Mungu usife moyo endelea na Kazi ya Mungu akubariki sana

  • @AnalwiseUrassa
    @AnalwiseUrassa 21 день тому +6

    Mungu naomba mfunike mtumishi wako Moses Maghembe , asimame kwa ujasiri wote , mpiganie , mtetee katika yote

  • @JuventusKalema
    @JuventusKalema 12 днів тому

    Eeh Jehova rekebisha kanisa lako... ni wakati Wa Roho mtakatifu kurekebisha na kuimarisha Kanisa... mambo mengi yanatokea kwenye makanisa... sio tanzania tu, Nigeria, ulaya, lakini hili lisituvunje moyo wapendwa... tuendelee kumtumikia Mungu, Kumpenda Na kumfuata Yesu, haya marekebisho ni matokeo ya maombi ya watu wa Mungu.. wakimlilia Yesu kufanya marekebisho.. kubadili kanisa kutoka pango la wanyanganyi kua kanisa lile lililojengwa kwenye mwamba.. hata malango ya kuzimu hayatarishinda... so tuzidi kuwaombea watumishi wa Mungu.. na tuzidi kumjua Mungu.. kwa kusoma neno na kua na mahusiano binafsi na Kristo... kwa sababu yeye ndie mchungaji wa kweli.. na yeye ndio njia pekee ya kumuona Mungu katika maisha yetu.. tumuache Yesu abomoe na kujenga upya pale palipo na nyufa... Asante Yesu kwani kwako tuna shinda na ZAIDI YA KUSHINDA... ASANTE YESU

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 21 день тому +8

    Mimi ninachoamini ni mpango wa Mungu ili injili izidi kusambaa kama kipindi Cha Askofu Emmanuel Lazaro na Askofu Mises Kulola

  • @Erick78763
    @Erick78763 21 день тому +10

    Huyu ni Moses wa pili, kuonekana ni mbaya Assemblies, wa kwanza alikuwa ni Moses Kulola.Mungu anatafuta watu.

  • @jimmymwita8105
    @jimmymwita8105 16 днів тому +1

    Mungu ni mwaminifu 💯 Ubarikiwe sana Mchungaji

  • @thepresidenttobe5481
    @thepresidenttobe5481 21 день тому +11

    TAG Aliondoka baba yetu Mzee Moses Kulola, na sasa ameondoka baba yetu Mzee Moses Maghembe. Watumishi wa Mungu viongozi wa TAG tafakarini mambo haya ya kiroho. Hotuba ya baba Askofu wa TAG aliyoitoa kanisani Majumba sita, inathibitisha kwamba wao kama viongozi wana kitu cha kutafakari

  • @RechoChales-m5f
    @RechoChales-m5f 19 днів тому +2

    Mungu akutete sana mtumishi wa mungu wengne hatuwez ongea sana maana tulikokua nigiza nene kupitia mahubili yako tumepona siwew bali mungu anakutumia kuokoa roho zilizopotea mungu akubariki

  • @sarahshalom97
    @sarahshalom97 21 день тому +18

    Nakumbuka 2021 kwenye kambi ya vijana,ile siku Nilikutana na uwepo wa Mungu wa ajabu sana baba wewe ni hazina yetu sisi vijana tunajifunza kupitia wewe BABA...YESU WA MBINGUNI AKUFUNIKE CHINI YA MBAWA ZAKE❤❤

    • @gwmcorg8809
      @gwmcorg8809 21 день тому +1

      Sasa uliendaga wapi? 🤔

    • @LwitikoSanga-kj6uu
      @LwitikoSanga-kj6uu 20 днів тому

      Swala la uamsho na akiwepo yesu hata kama hapana jina la kanisa nipo tayari kuabudu ,tunamtaka yesuuu

  • @moffatmwakigitonga7456
    @moffatmwakigitonga7456 17 днів тому +1

    Mzee umeubili ukweli kabisa umewaumbua mafisi chochea huo moto zaidi am pastor moffat from Kenya

  • @edsonmsyani3540
    @edsonmsyani3540 17 днів тому +1

    MUNGU akupe nguvu Mzee kumletea Bwana uamsho mkubwa wa Dunia nzima 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @michaelelson1540
    @michaelelson1540 20 днів тому +5

    Mungu akutie nguvu shujaa, tunakuombea ihubiri kweli. Nimekufahamu tangu 1994 tukiwa kwenye kambi la CAs pale Meta sec Mbeya. Injili ileile haijabadirika, Mungu akupe maisha marefu.

  • @evaristomkwele1756
    @evaristomkwele1756 21 день тому +6

    Baba Mungu akubariki hakika usemi.wako 'Sitampigia goti shetani hadi tone la mwisho la damu yako" nimelielewa. Yesu akutunze sanaaaa

  • @stephenhosea1113
    @stephenhosea1113 19 днів тому +2

    Mzee Magembe don't worry keep moving tupo nyuma yako usiache misimamo yako ya kusema kweli

  • @AlphonsinaMkongoma
    @AlphonsinaMkongoma 18 днів тому +1

    Pole baba, ukweli unauma achana nao,umeitwa na Yesu na sio dini simamia kweli ya Mungu hakika kanisa limekufa wanajikaza tuu.

  • @NoelDavid-h3w
    @NoelDavid-h3w 21 день тому +9

    Shida Sheria zikizidi ndani ya Kanisa madhala ndio haya, baada ya kuongozwa na Roho tunaongozwa na Sheria

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 18 днів тому +1

    Sionagi aibu NAHUBIRI mtaani natangaza ujio waYESU UWIIIIIIIII SIJAWAHI PATA SAPORT MAANA INJILI NINAYOIHUBIRI NI YA TOBA NA UJIO WA YESU UWIIII YESU TUTETEEE

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 21 день тому +12

    Walokole wa T. A. G hawapendi ukweli. Humo ndani kuna maagent wengi sana shetani kawapeleka siku hizi kila kitu kimeoza sio kwaya sio mahubiri hamna kitu. Mtokambali na wazee wenzako mwogopeni Mungu mnaliua kanisa. Mchungaji maghembe, Mungu akulinde na kukutunza sana

    • @JosephChilemile
      @JosephChilemile 21 день тому +3

      Watu wengi wa makanisa ya kilokole hasa TAG hawana mpango na Yesu wala hata maadili ya kidini tu...Neema ya Mungu kwao ni ruhusa ya kufanya uhuni na kila kitu....
      Walikuwa wanamuona kama comedian tu fulani , ...
      Hii tumeze hivo hivo...
      Maigizo ni mengi sana , maajenti ni wengi..tena huko Praise n Worship Teams shetani ndio mwongozaji

  • @frbm1729
    @frbm1729 21 день тому +10

    Mimi binafsi naguswa sana na huduma yako namwona Mungu akinitetea na kuniinua kupitia mahubiri yako. Nakuombea Mungu akuinue zaidi na akutetee katika huduma yako.

  • @feyhangida1079
    @feyhangida1079 18 днів тому +1

    Mungu akubariki baba tupo pamoja katika Bwana

  • @JosephChilemile
    @JosephChilemile 21 день тому +9

    Nikiwa mkubwa ntamuomba Mungu niipate hii Neema ya kuwa consistent na kukataa kujilazimisha kuwapendeza wapagani ambao kwano Neema ya Mungu ni ruhusa ya kuwa Wapagani...
    Hongera sana Rev. Maghembe....
    Mungu yuko nawe....

  • @elizabethndimbwa5470
    @elizabethndimbwa5470 17 днів тому +1

    Amen. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @StellaMishita
    @StellaMishita 18 днів тому +1

    Mungu awajua walio wake Eliya alisema alisema kua amebaki mwenyewe Mungu akasema amejisazia manabii mia Saba
    .

  • @LaurentMaswila
    @LaurentMaswila 21 день тому +9

    Mungu akupe maisha marefu zaidi baba… umenifundisha mengi sana kwenye kujua neno la mungu

  • @TajiAlbano
    @TajiAlbano 19 днів тому +1

    baba, baba, babaaaa ubarikiwe sana....mimi mashaka nipo morogoro natamani kufika hapo nyumbani haraka sana...

  • @ELIZABETHIMunishi-uq1lg
    @ELIZABETHIMunishi-uq1lg 20 днів тому +7

    Hongrera sana maamuzi magum umechagua hakuna kuchelewa kosa lako nikukemea zambi

  • @andrewmute8268
    @andrewmute8268 21 день тому +9

    Umefanya uwamuzi sahihi sana Mzee wetu .. sisi tunaokuwa tunajifunza sana namna kanisa linavyotakiwa kuwa kwani wahubiri wengi na wachungaji wa sasa hawana utofauti na watu wa Dunia..Baba keep it up. tunaojifunza niwengi ni vile hawezi ukajua kwa haraka ila amini tupo wengi tunaojifunza hata kama hatuji kwenye mafundisho yako.

  • @MaryTemba-z2l
    @MaryTemba-z2l 20 днів тому +2

    Nabariwa sana mafundisho yako ni kweli tupu Mungu akupaganie Mtumishi wa Bwana❤

  • @shalomtv1803
    @shalomtv1803 21 день тому +17

    Piga kazi Baba Angu mzuri, MUNGU yupo pamoja nawe binafsi nakukubali na namkubali YESU KRISTO unayemuhubiri

    • @Lupamwakyoma
      @Lupamwakyoma 21 день тому +1

      Mchungaji mungu akubariki naomba namba zako

    • @Lupamwakyoma
      @Lupamwakyoma 21 день тому

      Mchungaji nafatilia sana huduma yako nabarikiwa sana

    • @Lupamwakyoma
      @Lupamwakyoma 21 день тому

      Naomba namba yako nina shida binafisi

  • @NuruMdolo
    @NuruMdolo 18 днів тому +1

    Baba MUNGU awe pamoja nawe we sema ukweli kanisa lipone acha wasema bwana YESU atapigana nao

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 19 днів тому +1

    Nakuombea ktk Jina La Yesu. uwe imara tangaza injiri.

  • @joelking3692
    @joelking3692 20 днів тому +1

    Kazi ya Mungu iendeleee mbele lazma uamsho uje kwa injili ya kweli ya kuonyana na kukaripiana ili kuacha ubaya

  • @GeraldLema-pb5nh
    @GeraldLema-pb5nh 21 день тому +9

    Mzee mgenbe ni shujaa wa yesu mzee usiogope hubiri neno la mungu kemea dhambi wenig wamepona kupitia mahubiri yako Baba

  • @MadhabahuInayotembea
    @MadhabahuInayotembea 21 день тому +19

    Mchungaji naomba kupata mawasiliana ya namna ya kupata nafasi ya kujiunga kusoma kwenye chuo chako

  • @FLAVIAMAGIGE-tx8oq
    @FLAVIAMAGIGE-tx8oq 18 днів тому +1

    YESU YUKO MLANGONI,ANAHITAJI WATU WATAWANYIKE ILI WALETE WATU KWENYE UFALME WAKE.SONGA MBELE ,HUBIRI INJILI WATU WAOKOKE DUNIANI.

    • @joycehaule9717
      @joycehaule9717 18 днів тому

      Mimi ni mwanamke nimekua nikifanya HUDUMA mtaa kwa mtaa INJILI ya TOBA NA KUTANGAZA YESU ANARUDI WATU HAWANIELEWI WANAONA NIMECHANGANYIKIWA WAMEZOEYA INJILI YA POKEA MAGARI JAMANI YESU NISAIDIE NIMEKUA NIKITAMANI KUPATA WATU KAMA HAWA WENYE INJILI YA KWELI SIWAPATI LEO NIMEMPATA MCHUNGAJI KWAAJILI YA KAZI YA BWANA YESU UWIIII NIPO TAYARI 2025 KUITANGAZA KWELI YA KRISTO DUNIA NZIMA NIPO TAYARI MIMI JAMANI

  • @Johnjodiwa
    @Johnjodiwa 19 днів тому +1

    ubarikiwe Sana mungu anijalie niungane nawe Niko tayari

  • @DanielYobe
    @DanielYobe 17 днів тому +1

    Hakika sisi tupo pamoja nawe piga kazi mungu atakulipa tu

  • @alfredbalazirelurhakongola
    @alfredbalazirelurhakongola 21 день тому +5

    Poleni sana Baba, Ume pambania Sana Uamsho.
    Mungu akuongoze sana.

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 21 день тому +7

    Wekeni namba tuchange kidogo kidogo kwa ajili ya kujenga kanisa na vifaa baaz

  • @GadsonEnos
    @GadsonEnos 21 день тому +12

    Mzee Magembe Umefanya Jambo Jema one Door Close one Door Open❤ May the Good Lord Jesus Bless and Keeps You AMEN.

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 21 день тому +12

    Shida ya watu wanaojiita walokole hawapendi kuambiwa ukweli na hawapendi kusikia ukweli kutoka kwa mtu mwingine ambaye siyo wa dhehebu lao

  • @HopeMitula-yb4hr
    @HopeMitula-yb4hr 20 днів тому +1

    Mungu ana kaa katika kweli 🙏👏🌟

  • @comradeandrewsaul5459
    @comradeandrewsaul5459 21 день тому +7

    Mungu Yuko nawe Fanya kazi yake utavikwa taji, usiogope usiogope usiogope.

  • @annaedson4719
    @annaedson4719 21 день тому +10

    😢😢😢nmekuelewa baba....❤ Matumaini yangu atujabaki uchi😢😢 Mungu akulinde na atusaidie sana wana TAG

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 21 день тому +3

    Hongera sana Baba magembe umefanya vyema Mungu akubariki na akutangulie songa mbele piga kazi ya Ya injili maana ndio wito ulioitiwa na Bwana yesu akutangulie sana songa mbele na kazi ya kuwaleta watu kwa yesu na kila anayekusema vibaya Mungu atamshugulikia na Mungu atakulipa

  • @evodithobias1856
    @evodithobias1856 21 день тому +1

    Ubarikiwe mtumishi wa Bwana...Yesu akuteteee kwa ujasiri ulio nao

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 21 день тому +4

    Mungu akupe kushinda katika yote injili lazima iubiliwe

  • @ChihamiWilliam
    @ChihamiWilliam 20 днів тому +5

    Mungu akutie nguvu nisaa ya matengenezo na dunia tuikane na Mambo yake

  • @DismasVicenti
    @DismasVicenti 21 день тому +3

    Baba,Mungu aliyekuita akutumie jamani,kawaida ya ufahamu wa kibinadamu huwa hatupendi kuambiwa kweli,na ukiisema kweli lazima utakuwa adui wa wengi.Baba sema kweli ile Mungu umekuongoza.

  • @masweto
    @masweto 19 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤wewe ni tunu ktk kabisa la leo

  • @claraMilanzi-xe5bt
    @claraMilanzi-xe5bt 21 день тому +3

    MUNGU AKUBARIKI BABA PIA UTUOMBEE KANISA LA TAG TUPO PAMOJA TUNAOMBA NAMBA ZA KUSAPOT HUDUMA BABA 😢😢😢😢

  • @jeromevundwe808
    @jeromevundwe808 21 день тому +6

    Mungu akuinue Bishop kila mtu anakuunga mkono

  • @gatunzifelix8291
    @gatunzifelix8291 20 днів тому +1

    Ongera Mchungaji Magembe,stand strong and never look down before your opponents.
    The Lord almighty is with you.

  • @JacksonRamadhanMchakila
    @JacksonRamadhanMchakila 21 день тому +15

    Njoo Kigoma Ufungue tawi niko tayari kuwa mchungaji chini yakoo aiseee ninakiu kuiinua Heshima ya Yesu Kristo maana upagani wa Dini umejaaa

  • @angelmgaya4373
    @angelmgaya4373 21 день тому +8

    Mzee ubarikiwe sana, unajua watu walio wa kweli/ wanaosimamia KWERI, wanapigwa vita sana. Ila ukweli utasimama kuwa kweli ckuzote, shida kubwa viongozi wetu hawapendi ukweli. Waache ujinga wao.
    Songa mbele mzee.
    By David mketu, Mtoto wa TAG.

  • @stevesungura6789
    @stevesungura6789 21 день тому +4

    Tumeitwa wote ila tumepewa nyito tofautitofauti!! Timiza wito wako mzee Magembe

  • @rwemamutemi9572
    @rwemamutemi9572 21 день тому +3

    Kaihubiri Njili Ya Kristo Yesu. Achana na wakuu wa giza hili LUKA 22:53-54.
    UNYAKUO Umekaribia kuliko tunavyofikiri. Angalia Neno KIZAZI HIKI cha Mtini...LUKA 21:25-33. Israel ilikuwa TAIFA rasmi 14, May 1948. Kizazi ni miaka 100. 1948+100= 2048.
    UFUNUO 22:10-17

  • @amanimakala3717
    @amanimakala3717 20 днів тому +3

    Mungu yupo pamoja nawe baba yetu.

  • @reginaldambrosymassare611
    @reginaldambrosymassare611 21 день тому +4

    Ee MUNGU NISAIDIE UNIOKOE NA DUNIA HII .ubarikiwe mtumishi wa MUNGU nipo pamoja nawe niliwahi kukuona na wewe kule zanziba machui ulinibariki sana.

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 21 день тому +5

    Bishop Magembe Endelea mbele songa mbele
    Injili kama izi mimi ndio nazipenda na ni chache sana
    Tag ni shida saivi yani dunia imeingia ndani ya kanisa la Tag suruali wanavaa ibadani, misuko ya kuzimu wadada wanasuka, vimini, roho za uzinzi na uasherati na uchafu wote humo ndani

  • @AdiemoFrenardB
    @AdiemoFrenardB 21 день тому +3

    Aiseeh, maneno mazuri kabisa yaliyojaa hekima nimefarijika kwa kweli. Huyu Mzee ni mtumishi wa Mungu kweli kweli asiye na hila.

  • @Shalom803
    @Shalom803 21 день тому +5

    Mchungaji, Jehovah akutunze. Wala usipoteze muda wako kuijibu TAG. Wewe hubiri injili na mbivu na mbichi zitajulikana. Tunakupenda na tutaendelea kukuombea❤

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 21 день тому +6

    Baba aliipenda sana taj na amelipenda sana taifa latu ikiwa amechukua uamizi huu basi sina neno ila mungu akubaliki sana baba

  • @gracemachongwe431
    @gracemachongwe431 21 день тому +6

    BWANA anakubariki na kukulinda mzee, baba wa imani, Mchungaji Moses Magembe

  • @tuzojohn3581
    @tuzojohn3581 21 день тому +3

    MEN OF VALOR.....
    Gospel firee.... Nakupendaa Yesu unayeandaa waru kama hawa kwa wakati kama huu

  • @stevenhaule6786
    @stevenhaule6786 18 днів тому

    Iende mbele Injili ndio mana tunasema iende mbele
    Nakukubali sana baba magembe unaukweli sana napenda sana watumishi kama wewe

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 21 день тому +1

    ⛪more life na ulindwe na damu ya yesu mtumishi🙏🏼

  • @seleliedwin5616
    @seleliedwin5616 21 день тому +10

    Nimebarikiwa kufahamu kile Bwana alichokupa mzee, unasimama nacho- this is good and of great glory to God, Amen, Press on

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 21 день тому +5

    Wala mashindano hayatakusaudia...bora umetoka kwenye hiyo mifumo yao ya taratibu za kidini..ni mifumo upagani tuu na kukosa nguvu ya roho wa Mungu

  • @JustineMollel-s9g
    @JustineMollel-s9g 21 день тому +4

    Mzee magembe fanya kazi ya mungu maana ndio uliyo itiwa na mungu fika na uku kwetu arusha vijijini

    • @johnsamwel3730
      @johnsamwel3730 19 днів тому

      Vp kaka una namba za huyu mtumishi 🙏🙏

  • @VailethKivike
    @VailethKivike 21 день тому +3

    Viongozi t a g mjichunguze yesu anarudi misimamie kweli

  • @laulauronald
    @laulauronald 21 день тому +2

    Namuona kiongozi aliye libeba kusufi la Kristo Yesu, neno la msalaba Nakupenda baba.

  • @Min_abednego_fabiano
    @Min_abednego_fabiano 21 день тому +4

    Injili ni Lazima ihubiriwe hata kama hawataki. Tuko pamoja katika Kristo. Ukweli T.A.G wasipobadilika kuna kazi sana. Shetani analipepeta kanisa kama ngano. MUNGU ATUSAIDIE

    • @VeronicaDugilo-mu6xh
      @VeronicaDugilo-mu6xh 21 день тому

      P0le sana bb mchungaji songa mbele mungu yupo nawe daima,nakuombea sana upewe ngu vu nyingi zaidi na injili ya kweli ihubiriwe

  • @LameckMwakilembwe
    @LameckMwakilembwe 20 днів тому

    Tunakujua wewe ni mtumishi wa Mungu Kila anayekuchukia wewe ni adui wa msalaba, wasamehe hao, Toka zamani manabii wa Bwana walichukiwa na Kuuwawa kwa ajili ya neno la Mungu

  • @joycemmassi5046
    @joycemmassi5046 21 день тому +4

    Nwno moja tu nalijua ktk Yakobo 1;27 Dini iliyo safi isiyo na hitilafu mbele ya Mumgu Baba ni hii Kwenda kuwatazama YATIMA NA WAJANE KTK DHIKI YAO NA KUJILINDA NA DUNIA HII PASIPO MAWAA !!!! SONGA MBELE DINI /DHEHEBU HALIWEZI KUTUTENGA NA UPENDO ULIO KTK KRISTO YESU BWANA WETU!!

  • @diannvictoria
    @diannvictoria 21 день тому +8

    Nakupenda Baba, Ahsante Kwa Maelezo Mazuri.🙏

  • @MusaKingunza
    @MusaKingunza 20 днів тому +1

    MUNGU aliye mbinguni akupe maisha marefu ,ukemee dhambi Kama MUNGU alivyokutuma

  • @PaulKabeta
    @PaulKabeta 21 день тому +4

    Be blessed man of God,we stand with you,tupo pamoja na Mungu Yuko upande wako

  • @YaeliJoseph
    @YaeliJoseph 20 днів тому +1

    Ameeeen 🙏 Mungu akutunze Masihi Wa Bwana 👏

  • @johnmboma771
    @johnmboma771 21 день тому +6

    Bwana Yesu akutunze chombo cha Bwana

  • @tonsosterianyandoa4533
    @tonsosterianyandoa4533 20 днів тому +1

    Mungu akubariki mchungaji

  • @marcodavid4183
    @marcodavid4183 21 день тому +7

    YESU AMESEMA HATAKUPUNGUKIA WALA KUKUACHA BABA YANGU. KILA UTAKAPOKWENDA YUPO NAWE.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 21 день тому +6

    Watu 333 wameokaka safii Sana pastor. Uko sahii