SEMAJI AHMED ALLY AKIMWAGA SIFA ZA STRAIKA WA BOLI MUKWALA/"KASI YA AJABU/SIO WA KUBAHATISHA"
Вставка
- Опубліковано 1 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Mmezima kiki ya yanga na chama safi sana ntaipenda simba mpaka mwisho wa maisha yangu ata kitokee nin siwez kuicha timu yangu simba sportclub nguvu moja
😂,😂😂😂
❤❤Safiiii simba yetu lazima tuipande
SIMBA nguvu moja
Kiki imezimwaje kwa Mfano chama anajulikana Afrika huyo mukwala sijui ni Wa wapi athanasius na chamade mfungaji no 11 kwenye club Bingwa Afrika mtasota sana 😂😂😂
@@RamadhanMabwabwaalijulikana kwa sababu ya simba kwenda yanga ni kupotea 😂
Kiukweli me binafsi najua Simba iko vizuri tu....Mungu ni wetu sote
Nina Imani sana na Steven mukwala, na Nina Nina thibitisha maneno haya mechi ijayo tena ya kwanza kabisa simba na yanga, simba anashinda, na ndio utakua mwanzo wa kuchukiwa chama yanga na kumtengenezea zengwe.🎉🎉🎉
Hapo ndipo wataanza kusema tena Chama ni msaliti mara mbona hachezi kama alivokuwa Simba waache watakataana wenyewe tu utopolo hao😂😅
@@eliezasamwel4891kabisa
Amiin inshaallah🤲
@@eliezasamwel4891❤
❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu tubariki. Ss mashabiki wa Simba SC ❤❤
Hongereni viongozi wetu Mungu awape maono zaidi ya kuona wachezaji bora kama mukwala
HUU NDIO WAKATI WA TAMBO SUBIRA SSC DAY
Naimani na timu yang na viongozi wangu hasa kwa upande wa usajili naimani tutafanya vizuri saaannaaaa Mungu ibariki Simba Mungu ibariki Tanzania❤❤❤
Sasa ulitak amsifiy nan tofaut na wachezaj wetu jaman ungea kak simb hii mpk wasem labda walong ❤❤❤❤
Hongera Simba nguvu mojaaa 🎉
mungu ibariki timu yangu simba msimu ujao tufanye vizuri
Love simba daima mung awajalie wachezaj wetu waupig mwig
Mungu ni mwema simba nguvu moja. Naipenda simba
Safisanaaa,,,semaji la kimataifaaa,,,pamojasana Wana Simba 🦁💪💪
Mungu akupe maisha marefu semaji la chama langu❤
Simba ni maisha yangu sito kwenda kokote kule nguvu moja mnyama turudishe ufalme wetu na pila bilian na nyamanyama
Safi sana semaji letu la caf , shusha vifaa naimani msimu ujao wataisoma namba SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤
Semaj unaitendea hak kaz yako tunasubir ao wachezaj tutawaona kaz zao uwanjan wasitudondoshe Simba nguvu moja❤
Sisi si SIMBAAA ❤ safi sana hata akiondka nani sisi tunabaki na simbaaa hakuna mchezaji mkubwa kuliko simbaaaaaa
Ndio maana yake wamepita wengi tu.
Simba nguvu mojaa😎😎
nimefurahi sana kumuacha chama ndio alifanya mazuri ila muda umemuacha thanks SIMBA NGUVU MOJA
jamaa anajua sana bolii anafunga kinoma
alishawai kufungia kisigino ni hatari sana 😂😂😂😂
Vita ni Vita mura naipenda Simba ❤❤❤
Utopolo mujiandae mara hii simba nguvu moja❤❤❤🦁
Hatutishiki na kuondoka kwa chama kwa usajili huu wataisoma namba,naipenda timu yangu pendwa ssc
Msemaji maneno mengi mno unawajengea pressure wachezaji hao wasifu lkn usipitilize kwani wapo watakaohitaji muda kidogo.lkn pia ulitudanganya hivyo kwa akina Fredy na Jobe Acha tuwaone uwanjani ndipo uwatengeneze
ongela simba yetu simba nguvu moja
sawa pamoja sana simba nguvu moja
Weldone hii ndiyo tulikuwa tunahitaji.Taarifa zitoke kwa viongozi na siyo Tetesi kutoka kwa makanjanja na wazushi very good Semaji la CAF
Moja nguvu
Safi Sana naipenda sana Simba
😂😂 chama njoo huku ...
Nategemea waah kitu golin more love mnyama❤❤
due to my life team simba i 'll be with forever❤❤❤🎉🎉
Happy happy Simba sc nguvu Moja 🇹🇿
This is 🦁💪
Naipenda sana simba sports club
Simba naipenda mpaka nahis kuumwa nikisikia neno Simba sc
ZUNGUWO LA ALBADIRI KWA WACHEZAJI WETU NI MUHIMU SANA LEO KABLA YA KESHO SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
tunawaamini na tunaimani na kazi nzuri ya viongozi wetu kwenye usajil
Steven mukwala uyooooooooo jamaaaaaaaaaaaaaaaa temaaaaaa mateeee chiniii waoooooh welcome Steven mukwala Simba nguvu Moja sajili 3 za moto chamaaaaaa nenda salama new simbaaaa is back
Unamjua nn, sio kwa vibe hilo, au umemsikiliza ahmed ally, mzee wa kupaka mafuta
@@ezzepuritykamwene2121ulitaka apake maji 😂
@@ezzepuritykamwene2121toa mwiko nyuma kwanza
Steven mukwara machineeee 🤸🤸🤸👑👑
Nguvu mojaaaaaaaa ❤
Mukwara yupo vizuri san sasa,wana simba wezangu tumuombee mungu aje afanye vizuri San ❤❤❤
Nguvu moja ❤❤
ѕιмвα иgυνυ мσʝα ❤❤
Mungu atutangurie na Simba yetu tutafika mbari2
Simbaaa nguvu mojaaaaa penda sanaaaa❤❤❤
Kazi nzuri sana kwa huyo mwamba. Mukwala
Simba ❤❤❤❤ nguvu MOJA 💪✍️ Mabetu &Co
Nguvu moja✌️✌️✌️
Safi sana simba nguvu moja
Afu msisahau kuna mashine kramo jama jaman hii simba hii🔥🔥🔥🔥
Nguvu Moja💪💪
Me Naongea Ila huyu Mwamba ni Hatarii zaidi kwenye kuongea 😂
Anajua kukeraaa haswaa😂😂😂😂😂
Noma San Simba yangu 🔥🔥
Nikweli bhn mitandao imegoma nipo nasajili laini mtandao unaleta noma
Aaaah semaji nakubali sanaaaaa kiukweli wana simba me mukwala namjua sana na Ahmed anasema ukweli kabisa 🎉🎉❤❤❤
Mukwale on fire 🔥
Asante kwasi
Tunataka Simba Bora tunawaamin viongoz wetu
Safi sana semeji la dunia
Nitaipend simba milele simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤
Here we go, forever our team is always better
pa1 wana simba
Safii 🎉🎉🎉🎉
Safi sana safisha uchafu wote
Tukutane kwa mkapa 03/08/2024 simba day
Simba nguvu 1
Yes simba nguvu moja ❤
Semaji la caf simba nguvu moja❤❤❤❤❤
Simba yetu sema uchawi mwingi, tunaleta vijana damu inachemka
Mungu ibariki simba
Wewe unasema watu wanamfatilia asifunge,kuwa makini na kusifia Ahmed!!?
Pongezi Kwa musajili naona nguvu ya timu Yangu imeludi 🦁 niya🔥 mwaka huu
Jamaa noma sana
Simba tumebarikiwa kwani hata msemaji wetu anatufaa,,❤❤❤❤😂
All the best my club
Simba damu damu🎉🎉❤
Shukrani Simba Kwa usajili mzuri, angalia TRA BI ni mashine haswa
Hongeraa najuwa huyu mchezaj atatupa frah kubwa kwakwel
MUNGU ibariki simba
3/8 niende zangu simba day nikaone nyumba yetu mpy😅😅 simbaaa nguvu mojaa❤
Amina
@@AhmadinhoBinalcantara naam
Simba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤nguvu moja tu hap
Safi Sana.Ila bench la ufundi wa ufundi Nao wasijisahau Sana vijana wakawekwa misumari pamoja na ubora wao.Huko nyuma tulishataadharishwa kuwa nyuma mwiko wana michezo michafu.Wazee wa timu wapewe muda wa kufagia nyumba.
Asant Sana viongozi wetu kwa usajili bora
Asante sana Mo naMagoli kwelimmetisha sana.sasa Mayele na Fei toto vpi Mo na Magoli wape furaha mashabiki wa Simba
Simba ni kama namungo tu, hazina tofauti
@@maclaudismail6606😂😂😂 toa uwo mwiko nyuma kwanza
Naipenda simba milele ❤
🎉🎉🎉🎉🎉Simbaa
Love u simba
Simba nguvu moja😊
Ahmed Ally, acha kusifia sana wachezaji wetu, haya uliyasema kwa jobe, kina fungafunga,nk. Nakushauri punguza kidogo au tafuta namna ya kuwasemea wachezaji wetu (simba)kwa maana nyingine unawapiga "KIJICHO" ebu tafuta namna nyingine ya kuwasifia hawa wachezaji ili angalau waonekane uwanjani. Itapendeza sana.
Asante ❤❤❤
Nakubali Wana Simba naona tuko pamoja sasa❤
Few words more action.
I love Simba ❤❤🎉
Kila anaekuja anapambwa weeeeeeee😂😂😂😂😂ila shoo ikianza,,maviiiiiiiii
Dua zet kw mnyama jmn yoyot atakae kuja awe wamoto VIVAAA mnyama🙏🦁
Ata iweje Simba daima nguvu Moja usemi wa boss wetu moo
🎉🎉 Simba nguvu moja ❤❤❤
Semaji la Caf sajilini kweli kweli.
Unyama ni mwingi❤
Sanaaaaaaaa semaji unajua yaani yanga mbaka waseme
Naipenda simba yangu
Hii ndo Simba tuliyokuwa tunaililia 🦁
Safi
ww semeji noma sana
Naipenda timu yangu SIMBA mpaka basi hata iweje mie ni Simba damu❤❤
Woohhhh ogerasimba tunatarajiy kunasimba mpiy
Hapo mmepiga bao love Simba