HII HAPA CV NA HISTORIA YA KOCHA MPYA WA SIMBA SC, HAKUWAHI KUWA KOCHA MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лип 2024
  • mfahamu kocha mpya wa simba sc #simba #uchambuzi #simbasc

КОМЕНТАРІ • 14

  • @jonathansirkintungi7434
    @jonathansirkintungi7434 3 дні тому +2

    Wewe mwenyewe una negative attitude na kocha endelea tuatakuona . Pamoja na kuwa upande wa msomali tutawapiga 10 na kocha huyu. Wewe ni mlamihogo tu.

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 дні тому

    WACHEZAJI wenyewe kwanza watamdharau😂😂😂shida ITAANZIA DRESSING ROOM!

  • @user-wn9bp5cl1j
    @user-wn9bp5cl1j 3 дні тому

    Yan simba kuna muda mnatukosea sana washabik zenu

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 дні тому

    Ten percent hiyo🤣🤣🤣 safari hii Makolo mtatukoma😂 kocha wa kuokoteza, Wachezaji wa kuokoteza...waleteeeee waleteee🤣🤣🤣

  • @drallan6879
    @drallan6879 3 дні тому

    as long as ana peppers we should keep him ;time is outhanding

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 3 дні тому

    Kwanini hawamuamini mgunda Hawa Viongozi
    Mbona kadri ninavyomfatilia huyu coach namuona yeye na mguna mgunda alistahili zaidi.

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 2 дні тому +1

    Mgunda anashida gani,,watuweke wazi...

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA День тому

      MIMI NILICHOTAMBUA Ni KUWA WANAPOTAFUTA KOCHA WA KIZUNGU HAPO NDIPO WANAJPATIA TENI PASENTI YAANI WANA PATA CHA JUU KWA KUONGEA NA MZUNGU NA NDIPO PENYE ULAJI wao.WAKIMTUMIA MGUNDA CHA JUU HAWAPATI CHA KUWATOSHA ,Huo ni uelewa wangu na KAMA WANASABABU NYINGINE ZAIDI YA HIYO WAISEME WAZI WAZI ila NAFSI ITAWASUTA SANA .

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 дні тому

    Ndo ashindane na Gamond? Simba Mmeshavurunda tena

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 2 дні тому

    Huyo labda APEWE MIAKA KUMI ndo kidooogo! Ubigwa simba ATM SAHAUNI! HIZI TIMU SIO ZA MAJARIBIO DUDES!!

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi 3 дні тому +1

    😢😢😢😢😢😢😅 ndio tabu ya simba hapo makosa kabisa

  • @MuammaryAbdalla
    @MuammaryAbdalla 3 дні тому

    hapa tumeshapigwa ni bora yule yule mgunda hapa viongoz wetu wameshachemka

    • @jumaissa7587
      @jumaissa7587 3 дні тому

      Hamna jema nyie wapenzi,mashabiki na wanachama wa simba.
      Alikuwepo Benshika na sv kubwa lakini hakufanya lolote.
      Huyu mocha mpya anafaa sana,

  • @SalimAl-mahrooqi
    @SalimAl-mahrooqi 3 дні тому

    Sijui huyu kosha au mwanafunzi anakuja kujifundisha kwenye kikosi Cha simba😮😮😮😮