🚨Kocha Mpya Simba Kutua Leo na benchi lake lote,Anaitwa Badly Davids,Matola kubaki.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • #football #simbaislive #ahmedally #alikamwe #simba #yangasc #yangatv #simbatanzania #yangafc #youtube

КОМЕНТАРІ • 14

  • @bedomgwalupogo2652
    @bedomgwalupogo2652 3 місяці тому

    Matola ni kdudu mtu hapo simba sc

  • @vedastusmathias3188
    @vedastusmathias3188 3 місяці тому +1

    Matolla àwapishe makocha

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 місяці тому

    Matola kama yupo wamekwisha mtoto mwanga yeye na mgunda kocha mpya hakai mtaniambia

  • @JosephNdimbo-ur9kh
    @JosephNdimbo-ur9kh 3 місяці тому

    Tungoje tuone jaman kira ardhi iñabaraka zake

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 2 місяці тому

    Matola ndio dalali,na kuna Siri imejificha nyuma ya watu flani,muuzaji mechi mkubwa Matola

  • @EliasiKumpuni
    @EliasiKumpuni 3 місяці тому

    Kocha anatokea nchi gani

  • @allyr.mavura7878
    @allyr.mavura7878 3 місяці тому

    Kama Matola anabaki basi hata huyo kocha hatokaa

  • @AbuuThabiti
    @AbuuThabiti 3 місяці тому

    Huyo kocha anatoka nchigani

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 2 місяці тому

    😅Wanatwanga maji kwenye kinu timu wachezaji wanakaa majumbani mwao hilo ndo limewafelusha miaka hii mitatu dawa wahamishwe wakae kambini wakiwa majumbani uhuru mwingi watakua mabaa klabu wanawake na hata wenye wake wanaokaa nyumbani pia wanaharibu mazoezi yao kwa starehe na huo mpango wa kupangiwa wachezaji watoke majumbani ni ten percent nyumba milioni 2 anaongeza 1 wanampiga muhindi niambie wachezaji 30 kila mwezi milion moja kwa mwezi ni milioni 30 hii ni pesa wanaingiza viongozi kocha atakapo dai kambi watu wakae kambini atapigwa zengwe na hapo ndo mgunda na matola wanarudi 😅

  • @MapalalaPedeshe
    @MapalalaPedeshe 3 місяці тому

    Sport HQ amna kosha umo namjua vizuri ata uku South Africa awamtaki anashusha timu daraja nyingi tu

    • @EliasSimkonda
      @EliasSimkonda 3 місяці тому

      Wakimbakuza matola mambo yatabaki yaleyale tu. Huyo ni msaliti wa timu yetu. Kika anapokuja kocha wakigeni yeye lazima afanye figisu aondoke aidha kwa kuwarubuni wachezaji au kwa kuwalisha matango pori viongozi.

  • @medardjustinemakonge9900
    @medardjustinemakonge9900 3 місяці тому

    Kwa kocha wamechemka sanaaaaa,,Huyu jamaa hakuna kitu,,hana Record yoyote ya ushindi:

  • @BatoPaskal
    @BatoPaskal 3 місяці тому

    kaze kafanya nn