Yeyote unaesoma comment hii Yesu Kristo anakuja kuchukua kanisa takatifu sana hivyo ushauri jiandae kwa kujitakasa, kujitenga na tamaa za kidunia na ubaya wote. Ukipuuza utajuta milele ukitii utafurahi milele
Mtoto umetulia hadi raha.nakupenda sana binti maana una kila kitu mwingine hapo usingetoa hata ushirikiano wee ni bonge la binti mwema.kaa salama na ndoa yako mama.
Dahaa ukiwa na wazazi wako wote na pia ni mzima mshukuru mungu sana wengine ilo jambo hatulijui tunasikiaga baba na Mama tokea utotoni na pia mshukuru mungu pale unapo pata changamoto alafu yupo wa kukutatulia..jambo la kushukuru sana
Hivi kwann maskini huwa wanahasila sana na walio fanikiwa Kama huamin angalia koment zawalala hoi wanatumia kigezo cha din kumbe nisshida naumaskini punguzen makasiliko
Mimi sionagi Kama Nabii Mkuu uwaga anamchakato wa sadaka zaidi sana namwonaga yeye anatoa zaidi,sioni hata mshirika aliyekamuliwa hapo,labda kama ana VYANZO vingine!
Hakuna aliyezaliwa na nguo.. mavazi ni utamaduni tu.. wazazi wetu wa mwanzo ie Adam na Hawa (kadiri ya vitabu vya dini .. Bible, Qur'an, Torati) hawakuwa na mavazi yoyote
Ninyi hamjui hawa wa hvyo nawao wanachangamoto zao ambazo hata kwa uwezo wao walionao kiuchumi wanashindwa kuyatatua unakuta magonjwa sugu au kitu ambacho kitamfanya asivimbe zaidi kujiona yy ni tofauti na watu wengine
Hakuna dini yakweli hata moja wote tumedanganywa na wazungu na aliye nyuma ya hiz din ni pepo mwenye uwezo mkuubwa kwa haya na mengi ya kushangaza mfuatilie Imani mcimbwa utube you will be shocked
Tatizo la wanadamu tunapenda kujede vitu ambavyo hata avieleweki ivi kwani Mungu ndio anataka watu wake wawe wako rafu? Maana ukipendeza tatizo ukiwa rafu tatizo duuh
Anajishauwa huyo halafu mavazi hayaendani na huduma ya kanisani nguo fupi. Hayo mahela ya baba yako yawe tu ya haki. Hayo macho wamekuwekea .... Oversize nini maana ndefu sana 😅😅😅😂😂😂.
@@shamsaabdalah7038 Yaani ogapa saana mtu anakupa pesa nyingi hujàfanya kazi yoyote halafu unapokea Kuna wema mwingine nyuma yake umebeba uharibifu mkubwa mno lakini kwa wakati huo huwezi kujua utaona ni kawaida lakini hatukatai misaada ila kusudi lake ni Nini maana huyo mtu yeye anatafuta hela kwa ajili ya kuwagawia watu sio hela tu mpaka magari wewe huogopi
Matapeli tu hawa wahuni hamna nabii wala nini , ni watanzania tu wajinga wanaibiwa kutoa hela za sadaka, mtoto wa nabii anawazia fashion na nguo wahuni hawa 😅
Yeyote unaesoma comment hii Yesu Kristo anakuja kuchukua kanisa takatifu sana hivyo ushauri jiandae kwa kujitakasa, kujitenga na tamaa za kidunia na ubaya wote. Ukipuuza utajuta milele ukitii utafurahi milele
Hakika
Amen 🙏🙏🙏
Kwel
Nimekuelewa, na upo sahihi
Watafute wachokonozi
Mm naibari hii famili ya jodav mungu isimamie ipe maisha marefu ili iendelee kutubariki na kutuinua
Mtoto umetulia hadi raha.nakupenda sana binti maana una kila kitu mwingine hapo usingetoa hata ushirikiano wee ni bonge la binti mwema.kaa salama na ndoa yako mama.
Dahaa ukiwa na wazazi wako wote na pia ni mzima mshukuru mungu sana wengine ilo jambo hatulijui tunasikiaga baba na Mama tokea utotoni na pia mshukuru mungu pale unapo pata changamoto alafu yupo wa kukutatulia..jambo la kushukuru sana
ooh jmni pole sana kakaangu Mungu kwako umkimbilie Yeye ndo kila kitu kwakoo
Pole sana kaka.
Mwenyezi Mungu awazidishie awape zaid na Zaid ili wasaidie na watu wengine
Monica ana Sura ya Uaminifu sana.
Yes is added after every single word yes, yes, yes duh
Hongera kwa kupachika kope.
😂
😂
Mbona hasira😂😂
Jamani makahaba nao wanaolewa jamani.
Hahahahhah
Babarikiwa sana MUNGU akussidie hongera
Hivi kwann maskini huwa wanahasila sana na walio fanikiwa
Kama huamin angalia koment zawalala hoi wanatumia kigezo cha din kumbe nisshida naumaskini punguzen makasiliko
Mimi sionagi Kama Nabii Mkuu uwaga anamchakato wa sadaka zaidi sana namwonaga yeye anatoa zaidi,sioni hata mshirika aliyekamuliwa hapo,labda kama ana VYANZO vingine!
Nimebahatika Kua mwl.wa Monicah kwenye moja ya sec nzuri Kisongo enzi hizo..àma kweli mwl. hawezi mtambua mwanafunzi wake alichokibeba..... hongera.
Acha kuwa chawa huendani na career yako
@@talents7934😂😂😂😂😂 unasema ukweli Hadi unaboa 😂😂
Kazuri karembo
Hongera sana mwanangu Monica Mungu akuinue kwa viwango vya juu
@@RehemaChizumi kusifia ujnga tu
Love you ❤❤❤
Hongera kwa kuweka blichi
Mtoto wa 'Nabii Mkuu' 😂😂
Mzuri sanaa mpolee❤
Masikini ndio wenye koment mbaya kwajili ya njaa 😂😂
Umeongea point
Kabisa yaani, hatuwezi kufanana
😂😂😂😂kabisaa
Kweli tena
Hasira za njaa..
Hongera Mona.
Mwaka huu utaishaje sijui
Mtoto wa nabii anavaa uchi na kucha ndefu yani hizi dini mtihani sana
Uchi unaujua wewe
Ficha wako itakusaidia
@@meikoking Kamulize sister wa kanisa lako ndo atakujibu,mulize kwann nyie mnavaa kwa kujistiri atakujibu
Achana na huo mtihani fanya mitihani mingine
@@berithaandersonn2234 Nilipoona sura yko na mwili wako ni zaid ya shetan
Nimechunguza watu wanao koment mabaya ndio masikini sana ndivyo watakavyo kuwa masikini sana kwa sababu mioyo yao lmejaa chuki
😂kweli kabisa
Kila kitu ni YES 😂😂
Abarikiwe sana huyu mchungaji anajitowa sana kwa kusaidia watu
@@EricUbalijoro-x1l anasaidia ili aingienao motoni hata kwenda pekeyke
Za mafala zinazungushwa
Wajinga ndio waliwao
kwa kweli jmni
Yani tanzania mtu akipata ahueni ya maisha kidogo anaongea na pua kidogo kama mzungu!!!!!! Na mchanganyiko kiswahili kingereza mhhh
KOPE ZA MACHO YAKO,HUSIBANDIKE KOPE ZAKO,UNAMKOSOA MUNGU.
Akipigwa atasema pesa anapata wapi
Unabii kapewa na nani? Afu wewe dada mwogope mungu. Izo nywele ndo alizokupa mungu? Na vp izo kucha ndo ulizo zaliwa nazo?!!
😊😂😂😂
Singida wenzangu hao
Nachenyewe ni kilimbukeni Dah! Kinapenda Camera kama Babaake 😂
Yupo vizuri mdada wa watu 😊
Mtoto wa nabii anavaa uchi ya hizi dini mtihani sana
Dini haihusiki hapo
Hakuna aliyezaliwa na nguo.. mavazi ni utamaduni tu.. wazazi wetu wa mwanzo ie Adam na Hawa (kadiri ya vitabu vya dini .. Bible, Qur'an, Torati) hawakuwa na mavazi yoyote
Don't judge my friend
Ni mtoto wa nabii,hajakuambia yeye ndo nabii😂
Kinahusika nini sasa?i@@charlesmtaita9664
Nguo tu
Dada wewe ni Mzuri sn, ila kope bandia hazikufai zimekuharibu
Chawa msenge
Duh,,Hawa hata shida hawazijuagi,,,,Raha kuanzia utotoni Hadi ukubwan,anahudumiwa na baba ,,hata kama kaolewa
Ndo maana yake,hata mume akimzinguwa ni kutoka mara moja tu,maana hana shida yeyote.
Ninyi hamjui hawa wa hvyo nawao wanachangamoto zao ambazo hata kwa uwezo wao walionao kiuchumi wanashindwa kuyatatua unakuta magonjwa sugu au kitu ambacho kitamfanya asivimbe zaidi kujiona yy ni tofauti na watu wengine
@@philemonmagesa5548 pia mahusiano yanawatesaga sana
😂😂😂@@philemonmagesa5548
Subiri zamu yake ya kutolewa kafara ifike
Sijapenda hayo maswali😮
Kapole ila unapenda sn urembo ila kucha hapanaaaaaas
Watu wengine waopewa platfom daah ila sawa bhan ni vyombo vyenu vya habar
Wivu ama?
Hakuna dini yakweli hata moja wote tumedanganywa na wazungu na aliye nyuma ya hiz din ni pepo mwenye uwezo mkuubwa kwa haya na mengi ya kushangaza mfuatilie Imani mcimbwa utube you will be shocked
Dini zipo na zitaendelea kuwepo ila zipo zinanazomwabudu Mungu wa kweli na nyingine zina Mungu wake
❤❤❤❤❤❤❤❤
mzuri jamani
Izo kelele za maiki sasa 😂😂
Tatizo la wanadamu tunapenda kujede vitu ambavyo hata avieleweki ivi kwani Mungu ndio anataka watu wake wawe wako rafu? Maana ukipendeza tatizo ukiwa rafu tatizo duuh
❤
Safi sana
Ya zamani hiiiiii wakati Nisha yupo hai
Wewe hukasikia mdogo wake anasema nammiss kaka ake hii ni tyr nisha slikuwa kishafariki
Anajishauwa huyo halafu mavazi hayaendani na huduma ya kanisani nguo fupi. Hayo mahela ya baba yako yawe tu ya haki. Hayo macho wamekuwekea .... Oversize nini maana ndefu sana 😅😅😅😂😂😂.
Hiyo mikope mmmh!
Yes yes yes
Inavyoonekana nisha alikataa chama la wana.
Mwaka huuu ni mwaka wakuforce mtakemsitake mtamuita booosii🤣🤣🤣
Apo pasululuu tu
Hizo hela za kupewa bila kuzitolea jasho zina madhala katika ulimwengu wa roho
Kwako ndo umenena hivyo
Tafuta pesa na wewe wanao wawenamaisha
Kwanini shoga
@@shamsaabdalah7038 Yaani ogapa saana mtu anakupa pesa nyingi hujàfanya kazi yoyote halafu unapokea Kuna wema mwingine nyuma yake umebeba uharibifu mkubwa mno lakini kwa wakati huo huwezi kujua utaona ni kawaida lakini hatukatai misaada ila kusudi lake ni Nini maana huyo mtu yeye anatafuta hela kwa ajili ya kuwagawia watu sio hela tu mpaka magari wewe huogopi
mikope, makucha.. ushetani tuu. hamna Mungu hapo
Huna tu
Lewis Ruth Thompson Brian Walker Mark
Safi sn
Monica nizahidie nikuje uko.aki nalilia babako na vile nampenda.nataka nikuje nichambue hii mashetani wanamfua nguo
Maisha haya hatar
We acha tu bora tukae kimya
Nimependa unavyojieleza japo nyie ni matajir lakn unaonekana huringi huna mapoz saf nimependa pia unapambana
Ponda Raha mama maana imeandikwa Wana walawi watakula kwenye mathabahu
Mhiii hyo Naisi yupo kazini kuwatafuta Maisha
Shida kupenda vitoto vip kaolewa mume wake yupo apo
Baba yake anaubiri mtoto kaweka makope ya bandia manywele kama kichaa
😂😂😂😆
Gd
Matapeli tu hawa wahuni hamna nabii wala nini , ni watanzania tu wajinga wanaibiwa kutoa hela za sadaka, mtoto wa nabii anawazia fashion na nguo wahuni hawa 😅
Kweeli kabisaa
Ayo makucha uchafu
Shida mnapenda vitoto
Mdada mditarabu sana unaongea kwakujielewa ongera familya bora
Nabii fake mchawi huyu hakunabkitu hapo majitu majinga sana yanamfata huyu mtaendanae motoni
Ukiambiwa ulete Ushahidi?
Dada unajisifia umeolewa mm nalia sababu ya hoa mabwana nimeumia sasa sai natafuta ndoa
Hata ungekuwa ni wewe,,,😁. Sadak@ zinamfany ajisikie😁😁😁
@@jeremiahcharles6027 😂😂😂
Njoo mm nakutaka
@@NuruJara unakwama wapi
Hamna kanisa ,ni utapeli mtupu