WADADA WA SHIVAZ WANAOFANYA BIASHARA YA NGONO WASAIDIWA NA NABII MKUU KUACHA! - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 756

  • @fatimafatima6796
    @fatimafatima6796 Рік тому +17

    Asante Mungu kwa kunileta umbali huu maana kama sio Mungu ningelikua mtaani kutafuttia watoto wangu 😭😭😭😭😭 barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @rehemangala1399
    @rehemangala1399 Рік тому +21

    Ukiona MTU anafanya kazi yoyote Ka ya kujiuza usimhukumu maana hujui wanayopitia😢 Mungu awatie nguvu . asante Sana Baba Kwa utumishi wako

  • @amanimanase8798
    @amanimanase8798 Рік тому +11

    Daah 😢 masikini geordevie amelia kwaajili ya matatizo ya watu ooh mungu akuongoze sana

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 Рік тому +6

    Saerekali inawakamata haiwapi mtaji halafu wakiwakamata wanawaomba pesa Tena ndiyo watoke badala ya kuwasaidia nijambo jema hata wao hawapendi ni maisha tu nawanafamilia hao mungu ni mwaminifu atawafungua naimani watabadilika nabii jodevi mungu amekupa nguvu ya kuwarudisha waliopote 🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏

  • @paulomondi7914
    @paulomondi7914 Рік тому +7

    Nabi wa mungu nakushukuru sana kua kusikiliza hao wakina dada, naomba mungu akupe nguvu utuwakilisha kama wanaume kua hili jambo kua sababu ata sisi tunaumia manyumbani ju ya hawa wakezetu, wengi wao wanatunyima haki zetu za ndoa, mwisho wake sisi wote tunajikuta barabarani kua hili tendo, nigeomba turudishe nyumbani kueli mtumishi

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 Рік тому +2

    Wewe ni BABA wa pekee sana
    Your Very special in this world 🌎
    Asante sana BABA YANGU NABII MKUU GEORDAVIE kwa kutuponya kiroho na kimwili
    Umetuheshimisha kwa Upya wepesi kila mahali umetutoa Misri na kutupeleka chi ya maziwa na Asali
    Hakuna kinachoshindikana Ngurumo ya UPAKO ni wewe kuamini Tu.

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 Рік тому +13

    Hakika wewe ni baba mzuri. Baba mzuri huwajari watoto wake. Nakukubali sana nabii mkuu. Sijaona mtu mwenye moyo km huu. ipo siku watakukumbuka sana mtumishi. Ubarikiwe sana,

  • @christianjohn2324
    @christianjohn2324 Рік тому +8

    Mzeee Mwenyezi Mungu akutie nguvu pia nashauri fungua mfuko mahalumu kwa ajili ya kuchangia.amina

  • @esthernyabweye
    @esthernyabweye Рік тому +2

    Mungu akubaliki sana m2mishi wamungu usichoke kwa huyo moyo ulio pesa wakusaidia mungu azidi kukuongesea uendelee hivyo hvy so ni Esther from kenya

  • @innocentraymond3301
    @innocentraymond3301 Рік тому +2

    baba usishangae mafalisayo wapo, kuna mahali wananong'ona wanasema et ona anakula na wenye dhambi na makahaba Yesu alijua nia zao akawaambia ndio nakula nao maana nilikuja kwaajili ya watu kama hawa! wacha waseme dady maana kazi njema huwa upinzani mkubwa kutoka kwa hao mafalisayo ambao wanaona dini ni kwenda kanisa wapuuzi tu sisi tunaenda mbele zaidi. Barikiwa baba Mungu akuwe sana

  • @petermollel1471
    @petermollel1471 Рік тому +58

    Naaam, hii ndio kazi halisi ambayo Yesu alituachia kuifanya hapa duniani. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Geordavie kwa kutumika kuzivuna hizi nafsi kuzileta kwa Yesu. It is very possible kwamba huduma yako ya kitume ya kusaidia watu financially hapo kanisani ni Mungu mwenyewe aliianzisha kusudi awavutie hawa leo. Ni kwa sababu support za fedha siku zote huvutia watu wengi. Imagine hao wamefaidika financially lakini pia wamemjua Mungu kupitia wewe. Baba Geordavie una thawabu kubwa kwa Mungu wa Mbinguni kwa ajili ya kazi hii❤❤

  • @annamungure4335
    @annamungure4335 Рік тому +8

    Mungu akubariki Nabii ,unatenda yaliyomwema umegusa maisha ya watu ishi sana Baba yetu

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 10 місяців тому +2

    Mungu hana tupenda sana nakutupa baba mwema mwene upendo mwene kujali mwene kusamini na wene moyo wapeke sana hakuna kama wewe nakama yupo niwewe nabii mkuu

  • @YahyaYusuph-q8e
    @YahyaYusuph-q8e Рік тому +7

    Mtoto akipotea dawa sio fimbo Bali nikujua tatizo nini paka mtoto apotee watumishi wengi wanaukumu wanasahau kazi aliyo ltiwa ndio mahana wanaukumu ila wewe baba nabii mkuu unapokea ubagui mungu a kupe maisha malefu❤❤❤❤❤❤

  • @josepndayay
    @josepndayay Рік тому +4

    Huduma nzuri sana watumishi wa Bwana :
    mimi naomba niwaase dada zangu wahanga kupitia :
    Isaya 1:18
    2mambo ya nyakati 7: 14
    Mungu wetu ni wa msamaha,
    Mungu wetu ni wa huruma,
    Kumb: ukiamua kuachana na uchafu usiurudie tena.
    "Tazama ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya".
    By
    Joseph ndayay
    Mwimbaji nyimbo za injili kutoka arusha TZ.

  • @KEMEATV25
    @KEMEATV25 Рік тому +6

    Nabii namkubali sana mtumishi wa kweli niyule anae kuonyesha njia ya kweli na kuku support

  • @corneliusgoodluckkivuyo666
    @corneliusgoodluckkivuyo666 Рік тому +8

    Barikiwa sana Nabii kwa Huduma hii ya kuwavuta watu wa namna hii kwa YESU.

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 Рік тому +8

    Baba Mungu wa mbinguni aendele kukuinua wewe ni mfano wa kuingwa sana na watumishi wa Mungu.

  • @BeatriceThadey-sz2wv
    @BeatriceThadey-sz2wv Рік тому +1

    Mungu akubariki sn baba nikweli nimelia sn wanawake tunapitia changamoto sn nanikweli wapo watumishi wengi nawanaosali sn Lkn maisha yanawafanya wawe hivyo,ubarikiwe sn.

  • @esthernyabweye
    @esthernyabweye Рік тому +2

    Mungu akubaliki sana m2mishi wamungu usichoke kwa huyo moyo ulio pesa wakusaidia mungu azidi kukuongesea uendelee hivyo hvy

  • @hammerymachogu3885
    @hammerymachogu3885 Рік тому +2

    Barikiwa Baba mtumishi kazi ya Mungu hiyo kukomboa walio katika vifungo na minyororo ya shetani

  • @francislekula-fs1cj
    @francislekula-fs1cj Рік тому

    MUNGU Akubariki mtumishi wa MUNGU.
    Ninakuangalia hapa Kenya.
    May God bless you i remember 15yrs ago nilisaidia madada walikuwa wanajuhuza mwili.kule Mombasa.mungu Akubariki tu sana

  • @YahyaYusuph-q8e
    @YahyaYusuph-q8e Рік тому +2

    Wewe watakupiga mawe lakini simama mungu ataendelea kukujazia atokupungukia pia kwenye uduma sio kila mtu katumwa wengine wamejituma wenyewe wewe niwatofauti sana Mimi nimesali kwenye makanisa mengi lakini hapo nipatofauti sana mungu wambingu akuzidishie umri uzidi kusaidia wenye moyo wako niwachache duniani❤❤❤❤❤❤❤

  • @JONAISMARTINESAM-vs4jy
    @JONAISMARTINESAM-vs4jy Рік тому +3

    Mungu simama utuongoze ss kina mama,,,hapo maombi yakiaanza watakaoanguka ni wanawake ,,,,,,,,ko wanawake ss tuna hali ngumu pande zote,,,,,,, Mungu usielala simama baba,,,tulinde maana sisi haohao ndo matumbo yetu yanatakiwa kuzaa watoto ambao ni viongoz kama nabii Geo,,,....simama Mungu unyooshe mkono wako wa baraka ,,,,,,,gusa matumbo yetu yakakuzalie matunda mema❤

  • @boniphacepaskal4024
    @boniphacepaskal4024 Рік тому

    Japo mm nimzambi baba,japo mm nimgumu sana na nimchanga mno katka Imani Ila nampenda mungu sana ,Ila kwahiili tukio nabii ubarikiwe sana baba na usikomee kwahao tusaidie nasie niwajawako baba tutetee na utuokoe nafamilia zetu japo hatuna chakukupa Ila tumeguswa na maombi yako tunaimani utaenda kutenda mioyoni mwetu Amina mungu akutie nguvu zakutosha mtumishi wa mungu maneno wanayokusema hayatapata kibali katka ufalme wowote ule tunaamini nakuomba katka jinalabwana aliyehai Amina

  • @prophetgervasebenard7486
    @prophetgervasebenard7486 4 місяці тому

    Safi sana nabii mkuu wa Yesu Kristo! Kazi njema yenye Imani na Matendo ndiyo INJILI halisi! Much blessing!🙏🙏

  • @jacksonmaterru3933
    @jacksonmaterru3933 Рік тому +1

    Kwali nijambo kubwa mno nmeliona kwako na kwli naamini kazi unayo fanya ninjema Mungu akubariki sanaa mtumishi,usichoke kufanya ivyo

  • @upendojohn3461
    @upendojohn3461 Рік тому +7

    Mungu akutunze sana wewe ni mtumishi wa Mungu mwenye huruma sana ubarikiwe

  • @LongututiTajiri
    @LongututiTajiri Рік тому +3

    Hapa nimejifunza mengi sana ebu fikiria mtoto wako ndo anafanya haya utajiskiaje umeangaika kumsomesha,kufanya kila namna iili tu ata apate ajiri alfu unamkuta katikati ya hanasa kifupi prophet Geodavie ubarikiwe Sana 😢😢😢😢

  • @kimlolakimlolanelly6330
    @kimlolakimlolanelly6330 Рік тому +4

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kiukweli nimejikuta naliaaaaa sanaaaaaaaaaaaaaa tena nimesikia moyoooo wanguu kuguaaaa sanaaaa barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @linahdavid9251
    @linahdavid9251 Рік тому +6

    Pole Sana baba na hongera kwa Mambo unayoyafanya mungu akuongeze Sana pale unapotoa mkono wa mungu usikupungukie

  • @EdrickMlyahela
    @EdrickMlyahela 7 місяців тому

    Geodevi Mungu akupe maisha malefu Mungu awe nawe yep by step wanao kutafta kwa ubaya wapatwe na mabaya Mara 70 nitachoka kukuombea nikiwa nimekufa!🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @XaveryBinyoga-lb9kl
    @XaveryBinyoga-lb9kl Рік тому +7

    Ubarikiwe sana nabii kwa moyo wako wa kujitoa mwenyezi Mungu akubariki

  • @alphoncehume9495
    @alphoncehume9495 11 місяців тому

    Unarikiwe sana mtumishi mwaminifu wa Mungu nabii mkuu kuwasikiliza vijana wetu hawa naomba uwaombee waokoke.

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Рік тому +5

    Nikweli baba ni vizuri sana watu wakija apo na kupata msaada wa hakikisheni pia awe na viongozi wa kuwafatilia maendeleo yao ili wabadilike kimaisha

  • @antonmtumbuka
    @antonmtumbuka 3 місяці тому

    Kwa kujitoa na kutubu mungu kawasamehe na mtumishi Kwa moyo wako mungu akuinue na azidi kubariki utumishi wako

  • @DohhodohhoEva
    @DohhodohhoEva 2 місяці тому

    Ubarikiwe bb mungu akupe viwango vingine vya juu zaidi siyo rahisi kwa watumishi wengine lkn ww niwe kweli barikiwa sn

  • @amanwilliam35
    @amanwilliam35 Рік тому

    Geodavie Mungu akubariki sana mimi ni (Mwinjilisti) wa kuhubiri ila sina gari naomba unibariki soma mithali 11;24 isaya 48 ;17 Barikiwa

  • @SherfuiddySimba
    @SherfuiddySimba Рік тому +3

    shukrani nabii mkuu nikweli yatima adeki mimi naomba mungu uishi daima usizeeke maana jambu ulilo fanya nikumbwa mnoo

  • @FelicianaMalya
    @FelicianaMalya Рік тому +9

    Hongera sanaaa kwa kaz unayoifanya your are one in a MILLIONS. Mungu azid kukubari nabii mkuu

  • @mrs.belindastephenmagula9858
    @mrs.belindastephenmagula9858 Рік тому +2

    Baba Mungu akubariki kwa kweli.hao wanaokusema hawajui gharama iliyoko ndani yako.

  • @Chr196
    @Chr196 4 місяці тому

    Be blessed servant of God may the blessings of the living God be upon you always Spiritual and Physical in Jesus name amen

  • @EmmanuelSanare-bc7si
    @EmmanuelSanare-bc7si Рік тому +11

    Amen Baba uxijali wanao kusema vibaya we wasaidie watu WEMA HAUWOZI💯

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Рік тому +1

      Hivyo sio kuwasaidia,ni kuwatia aibu mbele za UMA,yaani kuwaANIKA UWANJANI KWA MAASI YAO..KUASI MUNGU NI KUPOTEA,SIO IBADA

    • @angelatarimo1969
      @angelatarimo1969 Рік тому +3

      Kwani wao wanafanya kazi yao kichakani au mbele ya uma tena wakiwa uchi? Nini kingine wanaficha na ukienda shivasi unawakuta uchi na uso hawafuniki?? Fikiri kabla ya kusema acha wasaidiwe hata Yesu aliwafungua watu mbele ya Uma.

  • @erickmachalo-ol6mg
    @erickmachalo-ol6mg 4 місяці тому

    Mtushi mungu azidi kukubariki, watumishi wa mungu wachache sana wenye mioyo kama hii yako ya kutoa kusaidia wenye huitaji,wengiwao wanatakatu wapewe na maaskini

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 Рік тому +7

    Amen Amen mtumishi wa Mungu hii ndiyo kazi ya utumishi wa kazi ya Mungu Mungu akuinue abariki kazi za mikono yako umenigusa nimelia sana ee Mungu saidia kizazi chetu Amen

    • @jacquelinemwakasala9563
      @jacquelinemwakasala9563 Рік тому

      ❤kabisa yaan huu ndio utumishi Sasa watumishi wengine hawatoi wao wanatolewa tu sadaka na waumini na kujilimbikizia. Mali mali.hawatoagi Kwa watu..baba umeitws Kwa mambo magumu ni sahihi kabisa.ulichoitiwa ww nabii mkuu sio alioitiwa mwingine.ubarikiwe baba MUNGU akupe maisha marefu sana yenye afya nguvu na uchumi.mwingi.ili usaidie zaidi UFALME wa MUNGU na jamii Kwa jumla.barikiwa sana nabii mkuu Na MTUMISHI mzuri wa MUNGU.Amen kubwaaa

  • @angelatarimo1969
    @angelatarimo1969 Рік тому +1

    Asante baba Nabii mkuu Dr GeorDavie balozi wa amani unatengeneza amani ndani ya waliokosa amani.Ishi sana baba yangu ❤❤❤🙏🙏🙏

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 Рік тому +3

    🙏🙏ubarikiwe mtumishi wa Mungu,kwakweli hata Mimi limenigusa dah.

  • @georgeeliakimu
    @georgeeliakimu Рік тому +4

    Yaani huyu baba Mungu ampe maisha marefu hapa duniani aendelee kusaidia binafsi nimeguswa na hili

  • @isayachamsa3849
    @isayachamsa3849 Рік тому +6

    Yaaani Mtumishi Wa Mungu Geo Davi Yesu Akukumbuke Daima Na Hata Milele!!

  • @elikamtumishi
    @elikamtumishi Рік тому

    Amina Mungu bariki xana kazi ya uyu akika mzigo wa uyu nabiio wa ajabu xana akika akika Mungu azidi kumpa maisha marefu xana tena xana tena xana

  • @anthonylusuva6039
    @anthonylusuva6039 3 місяці тому

    Mungu aendelee kukubariki Mtumishi wa Mungu

  • @petermaroko5343
    @petermaroko5343 Рік тому

    Peter Maroko kutoka Kenya,,kisii county Baba be blessed and live long maishani

  • @pendosamwel1682
    @pendosamwel1682 Рік тому

    Hela iliyo barikiwa? This speaks volumes! Jicho la rohoni litang'amua. Msaada haukataliwi na umefanya vizuri. Ila simuloni Yesu hapo!

  • @ECPBUBurundi-gp1fg
    @ECPBUBurundi-gp1fg Рік тому

    Namushukuru Mungu kwa kazi nyingi nzuri Nabii Mkuu anazozifanya Mungu amubariki sana

  • @MidaMalagabu
    @MidaMalagabu 4 місяці тому

    Mungu akuinue akupe maisha marefu

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 Рік тому +1

    Mwenyezi mungu awaongoze njia iliyo nyooka ya uwislam muwe waislam kabla hamja kufa

  • @amenyemwansile6919
    @amenyemwansile6919 Рік тому

    Amina mchungaji barikiwa na bwana

  • @rainardykomba
    @rainardykomba Рік тому

    Geordavi baba mungu amekuona zaidi kwa hilo ulilolifanya naomba Kasai die na yatoms

  • @JAPHETJOSEPH-b6e
    @JAPHETJOSEPH-b6e Рік тому

    Jamani Jamani, hakuna anayekataa msaada kwa hawa watu ,Toba Kwanza ,Mungu akubariki unaehubir kweli ya Mungu,ameraniwa apotezaye kwa kujifanya ,Mungu anawajua na dhamir zenu zinawachoma .

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi Рік тому +3

    Nabiii hapa ameupiga mwingi hongera sana mtumishi... 👏👏👏👏👏

  • @arnaudkaburugutu3870
    @arnaudkaburugutu3870 Рік тому +4

    OOOOOOH majozi yanitoka Nabiiii Ubalikiwe❤❤❤❤❤❤

  • @johnmahu5060
    @johnmahu5060 Рік тому

    Hv mnaposema hi kazi je kazi ya umalaya Imeidhinishwa na mungu yupi kma si mazoea ya kula Hela za wanaume kilain hpo mnasifia tu mtumish ht mkipewa mtaji mtatafuta tu kwenda shivas labda mtu aamue Toka ndani ya moyo mmeshazoea kutekenywa et kazn

  • @MondesWilson-jr7rr
    @MondesWilson-jr7rr Рік тому +8

    Eheeeee mungu wangu Kuna watu wajiusa poleni sana dada zangu 😭😭😭😭

  • @engineertarimo7345
    @engineertarimo7345 Рік тому +2

    Dah! Nilikuwa simpendi huyu baba, na wala hata nilikuwa sijui kwa nini simpendi! Ila kwa haya anayoyafanya kwa kuwasaidia hata wale ambao kwenye jamii walikuwa huenda tuliwaona hawana maana na hawafai kbs machoni pa watu, lkn Geordavie nabii kawapokea na kuwaheshimisha, hakika nimempenda tokea siku ya leo. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu na azidi kukubariki na kukuongezea mara dufu pale unapopunguza kwa ajili ya kusaidia watu.

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 3 місяці тому

      ❤❤❤❤❤❤ kweli hufikii kwangu

  • @abdulikilala5902
    @abdulikilala5902 Рік тому +1

    Mungu akubariq

  • @RoseNancy-bp5jx
    @RoseNancy-bp5jx 2 місяці тому

    Jamni kuna manabii wengi ila sjawah ona Nabii kam wewe mwenyezii Mungu akupe maisha marefu sana Baba yan huyu n nabii wa Munguu kweli kwelii kabisaaaa💕💞💝 tunampendaa...

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv Рік тому +4

    Nilisikitika sana nilipo muona dada niliye soma nao hapo shivas anajiuza 😢😢 very pain Ahsante 🙏 Nabii Mkuu kwa kuwa kumbuka hawa wadada.

    • @GMD820
      @GMD820 Рік тому

      Jamani so sorry 😢

  • @siwemamsesa-ho6tx
    @siwemamsesa-ho6tx Рік тому

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, na akujalie siku nyingi za kuishi

  • @alexisannick
    @alexisannick Рік тому +4

    Baba Nabii Mungu akuzidishiye uko mtu mzuri sana kweli hili limenigusa sana,uko mtu mwema sana,mimi niko Burundi nafuata ibada Yako,nimetowa machozi kwa hili,Amen

  • @ngusawales2039
    @ngusawales2039 Рік тому +4

    Apo mtumishi nimekukubali sana sipendwi kiangalia mahubir Kwenye mitandao ila Kwa hili baba mungu akutunze sana Niko mwanza ila nimeingia mtandaoni nikakutana na kitendo hiki ulichonifanyia mpaka nimehis kulia mungu akutunze na uendelee kumsaidia baba

  • @nsengiyumvamichel8890
    @nsengiyumvamichel8890 11 місяців тому

    Ubarikiwe kwa kazi njema unatenda , were ni wakuungwa mkono

  • @MkaliWenuOriginal
    @MkaliWenuOriginal Рік тому +5

    That Is My DADY❤

    • @DELAVEGA-c5x
      @DELAVEGA-c5x 3 місяці тому

      Peleka Tako akupakue nyoko ww

  • @DullhFeyy
    @DullhFeyy 7 днів тому

    Dah,poleni sana hiki kilio serikali iskie kiliochahawa watu ijaribu kuwasaidia walau kuwapatia mitaji sio wote hufanya hizi biashara kwakupenda nishida nahali ngum zakimaisha walau wasaidiwe waepukane na hili janga.

  • @eunicematu7060
    @eunicematu7060 Рік тому +1

    Mungu akupe maisha marefu baba,wanadamu hawana jema hata Yesu walimsema bila aibu eti anajifanya yy ni mwana wa Mungu

  • @thomasmwaruka8247
    @thomasmwaruka8247 Рік тому +1

    Hii iko sawa kabisa..!

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 Рік тому +6

    Mungu mwema sana.Mungu Asante Kwa zawadi ya Nabii Duniani

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Рік тому

      MUNGU hana mshirika wala hana mtoto,huyo ni mungu na sio Mungu

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Рік тому

      Action zenu na baba wa mungu wenu,anawapoteza

  • @ramadhanimasudi6904
    @ramadhanimasudi6904 10 місяців тому

    Kwa hili, mtumishi wa Mungu nakuombea kwa Mungu azidi kukuinua.

  • @abelcheche7363
    @abelcheche7363 Рік тому +11

    Hakika wewe ni Mtumishi Wa Mungu
    Mungu akubariki na kukutunza siku zote❤

  • @mariakajigili4280
    @mariakajigili4280 Рік тому +1

    Da Mungu akukumbuke baba unamoyo watofauti sana Tena ni Moyo wakitumishi ubarikiwe🙏🙏🙏

  • @JuliusLaoi-uz2ox
    @JuliusLaoi-uz2ox Рік тому

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Рік тому +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @gabrielsamuel14
    @gabrielsamuel14 Рік тому

    Amen Mungu akubariki baba

  • @josephmilandononi1096
    @josephmilandononi1096 Рік тому +1

    Ubarikiwe Baba ninafurahia sana matendo makuu unayofanya Kwa watu wa Mungu.

  • @brightonkomba1149
    @brightonkomba1149 Рік тому +1

    Kazi nzur sana, mtumish wa Mungu. God bless him

  • @saidijuma5843
    @saidijuma5843 Рік тому +2

    Wewe nimfano mzur kwa viongozi wengi wa dini, umeamua kurudisha kwenye jamii kile ulichojaaliwa na mungu mkuu, binafsi Nakupenda kupita kiasi.

  • @hamphumichael7194
    @hamphumichael7194 Рік тому

    Very nice

  • @angela-kd2iz
    @angela-kd2iz Рік тому +4

    Baba yetu wewe ni nabii mkuu wa kweli kabisa katikati Karne hii mungu akubariki na akupe miaka mingi zaidi uishi milele

  • @zakayotarimo6004
    @zakayotarimo6004 Рік тому +4

    Mungu akupe maisha marefu san duniani baba

  • @prophetshukurumongela3085
    @prophetshukurumongela3085 Рік тому +1

    Mungu akuongeze zaidi Mtu wa Mungu uwe msaada Kwa wengi

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому +3

    Mungu awafungue ....Mungu akubariki sana Nabii mkuu

  • @PaulJohn-k4u
    @PaulJohn-k4u Рік тому +1

    Baba mungu akubaliki Sana kwa huduma yako kubwa ya kinambii hakika wewe ni nabii wa kipekee nduniani Zima wewe ni zaidi ya manabi wote Dunia zima ni zaidi ya wafarume wote Duniani mungu kanipa maono hayo wewe ni zaidi ya pesa na vitu vyote vya samani Duniani sisi Tanzania mungu ametuendelea mno kuwa na wewe.hapa Tanzania ❤❤❤

  • @evancymassawekenya7521
    @evancymassawekenya7521 Рік тому +10

    Ooh my mpaka Kuna wanao taka kuolewa 😢😢😢😢😢 Mungu awatendehee sawasawa Na hitaji la kila mmoja wenu Amen

    • @ElhemElhem-n7e
      @ElhemElhem-n7e Рік тому

      Akiii ni huruma sana 😢😢 lakini huyu baba kuwasaidia akii mungu atamlipa pakubwa sana kumstiri mtu ane jiuza kwa shida aseee 😢😢😢 mpka machozi eeh mtu unajiuza imechoka lakiniii eeh

  • @zakariamartin3980
    @zakariamartin3980 Рік тому +3

    Baba MUNGU akupe maisha marefu sanaaaaaaa

  • @sumaygreengardenkilolo5466
    @sumaygreengardenkilolo5466 Рік тому +1

    Mungu azidi kukung'alisha naomba nami mungu afugue balaka kwangu kibiashala

  • @eliasurious7419
    @eliasurious7419 Рік тому +8

    Kweli kwa hili Nabii mkuu, limenigusa sanaa, kweli hii ndo kazi ya Mungu, si kuombewa tu, na kuwasaidia watu kama hawa, ubarikiwe baba.

  • @magrethlwaga955
    @magrethlwaga955 Рік тому +2

    Asante baba mungu amekuita💪💯🙏

  • @GahimbareMariechantal
    @GahimbareMariechantal 3 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭😭Nabi asante sana kwakweli namuomba Mungu akubaliki sana sana🙏🙏🙏🙏 nitakupataaje uniombee mutumishi wa Mungu? Mimi nahitaji maombi yako namukono wako kunigusa

  • @Thejordanministry
    @Thejordanministry Рік тому

    Asante sana kwa tendo jema hili ubarikiwe sana Nabii

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 Рік тому

    Dah! Ukiona mpaka nabii anadondosha chozi kwa hili. Ujue ni maumivu kiasi gani ameyasikia. Amina baba. Kutoa ni moyo na sio utajili. Ninachokiona kwako ni hekma za kimungu ulizonazo. Maana km pesa wako watu wengi wanapesa kuliko wewe lkn ndugu tu wanashindwa kuwasaidia. Je jilani atamsaidia kweli?. Asante baba uwe na maisha marefu

  • @Recho-og2qm
    @Recho-og2qm 11 місяців тому

    ubarikiwe baba pya namuomba Mungu anipe na mimi mtaji