Jamanijamni mbona kama wamefungwa ufahamu? Inamaana nafsi ya watu wawili imewekwa kwenye mia ikachukuliwa. Kweli dunia kwisha. Siku hizo mia alizochukua akasema ni monica na wewe, zikipotea na ninyi mnapotea. Poleni
Kwa Yeyote ambaye ni Mkistu. Nabii wa mwisho katika maandiko ni Yohane Mbatizaji. Baada ya hapo hayupo nabii tena. Na kanisa la Kristu aliongozwi kinabii bali kwa Roho mtakatifu na kazi za mitume/utume. Wataalamu wa maandiko na teolojia tuleteeni empirical evidences watu wajue ukweli
@@bless.2559 waongo hawa wanafiki hamna watu wanafiki kama hawa wahuni tu huyo demu wa nabii feki ameshiriki miss ingawa ni mbaya mara fashioni Na nguo Na mitindo yote mambo ya kidunia wanafiki tu
@@neemaneychricious6493 mpuuzi wewe unataka kusikia unavyotaka kusikia wewe , unafikiri watu wote ni masikini mimi siko kwenye kundi la watu masikini uko nilishatoka miaka kibao
Yaani mwenye macho haambiwi tazama ukitaka kupotea wewe jipoteze mwenyewe maana hata hizo maali zao zinajieleza wao ni akina nani sasa wewe jichanganye na kujifanya mshilika itakula kwako bibilia ipo bule ni juu yako kubukua uupate ukweli usipobukua ukajifanya maamuma itakula kwako
Mwenye Nacho Ataongezewa Masikini Hata Kidogo Alicho Nacho Atanyang'anywa Uzeni Mashati Mkanunue Mapanga Kwamana Mmewekwa Katikati Kwa Watenda Zambi Inamana Tafuta Pesa Uzidishiwe
Hivi siku hizi kuna manabii 😮 hamna cha unabii hapo ni matapeli ni kutaka kujitajirisha kupitia sadaka za watanzania masikini , na hii habari mbona haina public interest 😅
Wakati huo tulikuwa na sarafu ya Afrika Mashariki iliyokuwa inatolewa na East African Currency Board na zilikuwa na Malkia wa Uingereza. Sarafu ya Tanzania ilianza kutolewa 1966 baada ya kuanzishwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
Umaskini wa pesa ni jambo la kwanza halafu jambo baya zaidi ni umaskini wa akili Tena pale usipojua Kuna mipaka mingine ya kumuacha MUNGU ashughulike nayo maNa yeye ndio ana kurasa kila mtu
Huyu kibonge itakuwa anataka kitonga cha kula sadaka yaani Arusha kuna pisi kali kwenda kuoa mwanamke mbaya sana sura mbaya hata vimiguu kama vibiriti au spoki usafiri mbovu kabisa! Mbona huyo mke wake huyo mwanamke sura ni mbaya sana yaani hata baba yake ana sura nzuri , au mke wa nabii ni mbaya sana kama mke wa nabii ni mzuri ina maana nabii amepigwa kwa huyo mtoto au ni mtoto wake wa kufikia? 😅😅😅😅
Duu hata kama ni chuki sio hivi. Unaweza kunyamaza tu kuliko kuandika chuki wazi wazi hivi. Laiti kama tungekuwa tunaweza sura zetu sidhani kama ungeandika hivi.
@@odilomwemeziernest646 bro sio mimi niliemponda huyo dada ni yule jamaa pale juu. Mimi pia nimeshangaa sana kuona jamaa anamponda dada wa watu utadhania yeye ni malaika
@@josephjohn2114 mkuu Mimi wangu mzuri na siwezi kuwa Na demu mwenye sura ya baba yake au ya kiume huyo aliyeowa inaonekana alitaka kitonga cha maisha kupata hela za sadaka ! Tuwe ukweli Nani anataka kuwa kitandani na mwanamke mwenye sura ya kiume as if uko na mwanaume mwenzake kwa bed 🛌 that’s nightmare 😅😅😅😅🤣🤣🤣
Mahari iliyotolewa leo ndio tunaelewa maana yake. Thank you GOODLUCK GOZBERT
Kweli kabisa Daah!
Jamanijamni mbona kama wamefungwa ufahamu? Inamaana nafsi ya watu wawili imewekwa kwenye mia ikachukuliwa. Kweli dunia kwisha. Siku hizo mia alizochukua akasema ni monica na wewe, zikipotea na ninyi mnapotea. Poleni
Kwa Yeyote ambaye ni Mkistu.
Nabii wa mwisho katika maandiko ni Yohane Mbatizaji. Baada ya hapo hayupo nabii tena. Na kanisa la Kristu aliongozwi kinabii bali kwa Roho mtakatifu na kazi za mitume/utume.
Wataalamu wa maandiko na teolojia tuleteeni empirical evidences watu wajue ukweli
Kumbe nisha alifariki jmn😢😢😢
yaa alifariki mwaka jana
Mungu atupe macho yakuwatambua mana kila mtu anajiita nabii. freemason wamepitia kwenye huduma ya mungu kuwapoteza watu wasiuone ufalme wa mungu
Una uhahik
Hukumu ni ya mungu mtabeba yasiyowahusu
Jiite nawewe kamakwepesi
Mmmmh apo sasa,kweli mahari inafaa kuwa effort ana the extent to which you can go to acquire "her"as "your wife"
Your right but why does the money have to be specific. Am sorry something in the milk ain't right
wakak vibonge wa namna hii wanajua kucare mwanamke pamoja na familia wanamioyo ya huruma hawajuagi kufokafoka nawapenda sana
Hiyo mia imeenda kufanya nini huko nyie 🙌🙌 mia kama mia, haya ngoja kunyeshe tuone panapo vuja
Huyu jamaa pamoja na uchawa ni mshamba wa kutupa
Li chawa
Hao manabii wengi wako kwenye Chama cha blaki kadi usoni wa naweka sura ya unabii
Yupi wakweli wefarisayo
Ushamba wzma arusha ni kuona vitu vya kawaida kama exclusive interviews aise ni ushamba sana
Miaka 8 hamchezeani kumbe ndo maana mmeamua kuchezea akili zetu..😂😂
😅😅😅
😂😂😂
@@bless.2559 waongo hawa wanafiki hamna watu wanafiki kama hawa wahuni tu huyo demu wa nabii feki ameshiriki miss ingawa ni mbaya mara fashioni Na nguo Na mitindo yote mambo ya kidunia wanafiki tu
Kwamba ww ukimpenda dada yangu then unakuja kunambia mm mmmh, duh! Ungechezea teke la sehemu za siri
Hahahahahhaa
Hawa wanaojiita manabii ni matapeli wamejua asilimia kubwa watanzania ni rahisi kudanganyika kwa hiyo wanatajirika na sadaka za watanzania masikini
Ausio bwana Kabwela.😅
angaikaa na umaskini wako
@@neemaneychricious6493 mpuuzi wewe unataka kusikia unavyotaka kusikia wewe , unafikiri watu wote ni masikini mimi siko kwenye kundi la watu masikini uko nilishatoka miaka kibao
@@neemaneychricious6493 masikiriko ya nini acheni utapeli eti nabii 😅😅😅
hakuna masikini Tanzania, waza nje ya box
Kapigwa kichawi,,we shi 100 ya nyerere ikawe mahari?
Et nabiii mhii mtihaan
Acha chuki chizi wewe
Nice sana
Mbona km demu huyo kaka
Abari ya mitano Tena mh!
Jo dav unabii kapewa na nani? Hakuna unabii unaoendelea baad y mtume Muhammad
Yaani mwenye macho haambiwi tazama ukitaka kupotea wewe jipoteze mwenyewe maana hata hizo maali zao zinajieleza wao ni akina nani sasa wewe jichanganye na kujifanya mshilika itakula kwako bibilia ipo bule ni juu yako kubukua uupate ukweli usipobukua ukajifanya maamuma itakula kwako
Uchawi upo mwingi hasa kitengo cha freemason watawaonyesha.mtaona tendency tu
Ulijuaje mpo pamoja
Pesa za zamani zipo mpaka leo
Mwenye Nacho Ataongezewa Masikini Hata Kidogo Alicho Nacho Atanyang'anywa Uzeni Mashati Mkanunue Mapanga Kwamana Mmewekwa Katikati Kwa Watenda Zambi Inamana Tafuta Pesa Uzidishiwe
Hivi siku hizi kuna manabii 😮 hamna cha unabii hapo ni matapeli ni kutaka kujitajirisha kupitia sadaka za watanzania masikini , na hii habari mbona haina public interest 😅
Biblia inasema wapo.
kabwela CHIZI sana
Kwanini Sadaka zikienda Kwa wachungaji Mbona haigeuki utapeli?
Ila zikija kwetu zibakuwa Haram? 😂😂😂
Acha wivu natamaa utashinda sivyo nawewe fanya
Huy nae sijui katokea wap kabla hujatoa maoni yak fikilia kwanz
Mtu wa maana kabisa
Upuuuz mtupuu sh mia bebore 1961 hakuna freemanson unaendelea hapo bro umeolewa
Ili jamaa tahaira!
Kwanini?😂😂
@LucyNgowi-r2o ongea ongea yake tu linaonekana ni lijinga flani.
Jamaa mbona anarembuwa
Hakuna sh 100 ya 1961. Tumekuwa na pesa ta Tz kuanzia 1966.
Anaonekana kabisa msanii
Shuguli kweli kweli
Wakati huo tulikuwa na sarafu ya Afrika Mashariki iliyokuwa inatolewa na East African Currency Board na zilikuwa na Malkia wa Uingereza. Sarafu ya Tanzania ilianza kutolewa 1966 baada ya kuanzishwa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)
@@jumahassankimwaga7719heee kumbe
@@jumahassankimwaga7719nilikuwa sijuwi kama tulitumia pesa yenye nembo ya malkia wa uwingereza
Nabii wa wapi uyo malaya Monika alikua bikira hapana uyo alikua mke wa mke mtu
Freemasonry baba Yao
Ndio mawazo ya kila masikini
Hahaaaaaa🎉
Kuma la Mama yako wewe acha mawazo ya kimasikini mmbwa wewe
Umaskini wa pesa ni jambo la kwanza halafu jambo baya zaidi ni umaskini wa akili Tena pale usipojua Kuna mipaka mingine ya kumuacha MUNGU ashughulike nayo maNa yeye ndio ana kurasa kila mtu
Tafuta hela
Mmmmm tuta tubu san
Wokovu niwamtu binafisii
Nabii kutokea wapi hao na matapeli tu 😂
Wewe ndo kiongozi
Unamwambia mdogo wake wa kiume kuwa unampenda dada yake, duuh,
Sasa RAIS kaingiaje hapo?😂😂😂😂😂😂
Si kajitmbulish mwnzo km ni m2 wa chama jmn😂😂😂
Ipo siku
❤❤❤
Hawa nao hawaishiwi kiki
Pumbavu eti samia chizi kibonge wewe
😢😢😢
Dawa ya utajiri mnapata wapi jameni
Fanya kazi
@@yusuphmatinya8560hahahhahaaa
Jifunze kwa walio fanikiwa
@Liberatus-k2c wamefanikiwa nini?unaona wanawapa watu magari yanataka kuwaua,gari linageuka jeneza!mara nyoka,mpaka wanadiriki kuyachoma,unaleta masihara nini??
Doh hilo bleach la nni sasa?
Hizi comedy
Upuuzi mtupu
Vizuri
Hawa waabudu mashetani manabii wa uongo watakokota wengi kuzimu
Ila binadamu nyie muna maneno ya ajabu jamani mhhhh baba yake amejisikia kumwambia mkwe wake atafute hizo pesa
Hizo kucha mhh
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
😂😂 km shetan vo
Kucha sa ki free...
Mmmmmmmmmh
Mmmmm
Kaolewa hiyu
@@davidmalisa8043 limeolewa hilo bonge kwa tamaa ya kupata dezo maishani ndio maana limeoa demu baya sura la kiume
Hyo mwenyewe ni mtoto wa tajir wananmasheli kibao hata ile ya panone pale kisongo ni Yao hajatoka familia ya kichov
🤭🤭🤭😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Mh
Mia
Kweli
Huyu kibonge itakuwa anataka kitonga cha kula sadaka yaani Arusha kuna pisi kali kwenda kuoa mwanamke mbaya sana sura mbaya hata vimiguu kama vibiriti au spoki usafiri mbovu kabisa! Mbona huyo mke wake huyo mwanamke sura ni mbaya sana yaani hata baba yake ana sura nzuri , au mke wa nabii ni mbaya sana kama mke wa nabii ni mzuri ina maana nabii amepigwa kwa huyo mtoto au ni mtoto wake wa kufikia? 😅😅😅😅
Duu hata kama ni chuki sio hivi. Unaweza kunyamaza tu kuliko kuandika chuki wazi wazi hivi. Laiti kama tungekuwa tunaweza sura zetu sidhani kama ungeandika hivi.
@@josephjohn2114 miongoni mwa wajinga wa karne na wewe umo.katika karne hii bado kuna watu wanafikra za namna hii?tuonyeshe wa kwako mzuri.
@@odilomwemeziernest646 bro sio mimi niliemponda huyo dada ni yule jamaa pale juu. Mimi pia nimeshangaa sana kuona jamaa anamponda dada wa watu utadhania yeye ni malaika
@@josephjohn2114 mkuu Mimi wangu mzuri na siwezi kuwa Na demu mwenye sura ya baba yake au ya kiume huyo aliyeowa inaonekana alitaka kitonga cha maisha kupata hela za sadaka ! Tuwe ukweli Nani anataka kuwa kitandani na mwanamke mwenye sura ya kiume as if uko na mwanaume mwenzake kwa bed 🛌 that’s nightmare 😅😅😅😅🤣🤣🤣
@@josephjohn2114 sasa huyo demu si ana sura za kiume Na ni mbovu sasa wengine sio wanafiki kupindisha maneno watanzania mmezoea unafiki !
Hawa waabudu mashetani manabii wa uongo watakokota wengi kuzimu
Usije ukawa wewe kuzimu!