#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 63

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 10 місяців тому

    Monica ni binti mzuri, hajui kujikweza maana amezaliwa akiwa anakuta pesa kwao, nimeishi nae pamoja na mdogo wake shule ya msingi aliyosoma, by that time sikuwa najua kuna siku nitatafuta hata namba yake ya simu nisiipate, Monica nitafute pls nipate tamko la Nabii Mkuu

  • @hellenjohn7306
    @hellenjohn7306 Рік тому +5

    Anajibu kwa utulivu,Safi Sana mdada

  • @rosentikha1572
    @rosentikha1572 Рік тому +2

    Monica nakupenda dada mzuri mtoto wa Baba yangu mh nabii mkuu dkt GEORDAVIE BALOZI WA AMANI..unajibu kwa utulivu uko na akili mingi sana

  • @priskahesebi256
    @priskahesebi256 Рік тому +3

    Nampenda sana mrembo

  • @furahasarakikya3223
    @furahasarakikya3223 Рік тому +3

    She is so cute 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @babalao910
    @babalao910 Рік тому +6

    Kazuri sn

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 Рік тому +1

    Hongera sana Monica.
    God bless you.

  • @SophiaJoseph-i3z
    @SophiaJoseph-i3z 10 місяців тому

    Vizur

  • @mpandawiliam5390
    @mpandawiliam5390 Рік тому +2

    Hongera sana Monica umejielezea vizuri sana pia umejibu maswali vizuri sana.

    • @salmahatibu2545
      @salmahatibu2545 Рік тому

      Jamani mtoto ni mazur sana ila naomba KAZI kwake jamani KAZI za ndani maana sina elimu

  • @SaraMboya
    @SaraMboya 10 місяців тому

    Mwanangu Monica W
    ewe ni Mtumishi Mkuu kabisa❤

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 10 місяців тому

    Acheni kumdhihaki Mungu enyi watumishi.

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +3

    Kazuri sana jamani ❤❤

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 Рік тому +3

    Ni Mrembo kwel Kweli ❤

  • @esterdavdy5541
    @esterdavdy5541 Рік тому +1

    She's so cute ❤️❤️

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 Рік тому +5

    Nimeipenda hii interview Monika wewe ni mrembo na hujikwezi ..

  • @RahisaLovely-zs1zl
    @RahisaLovely-zs1zl 10 місяців тому

    Cute but what happened to ur handsome bro Nisher😢😢😢

  • @valentinetesha8536
    @valentinetesha8536 Рік тому +1

    kumbe nisher ni mtoto wa GEORDAVE duh

  • @samweli7985
    @samweli7985 Рік тому +1

    Hongera

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому +2

    Savi Sana gd

  • @frankmushi8892
    @frankmushi8892 Рік тому +1

    Nakupenda umesha olewa

  • @Alcadeniyonzima-uh5fw
    @Alcadeniyonzima-uh5fw Рік тому

    Kweri

  • @samxx411
    @samxx411 Рік тому +1

    Mwana wa nabii mzungu

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Hahahaaa mtoto wa nabiii haya

  • @saidi1365
    @saidi1365 Рік тому

    Mm nampend bwan

  • @JacquelineMayowa-th3dm
    @JacquelineMayowa-th3dm Рік тому

    Natamani nipate fursa ya kumuona nabii ingawa nilikuwa nasali ngurumo dar kawe na Arusha kisongo nakujua ila kitu kilichokihitaji kutoka kwa Mungu wa nabii mkuu sijakipata Hadi leo.nilitaka muujiza kutoka kwa Mungu wa nabii J

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 Рік тому +5

    Mnavuruga fedha ya Sadaka za wanyonge!

  • @rosemndolwa6622
    @rosemndolwa6622 Рік тому +2

    Umehamahama shule kama binti yangu wa pekee nikiona shule inachangamoto kidogo namuhamisha 🤣🤣

  • @HaluZengo-up9bc
    @HaluZengo-up9bc 10 місяців тому

    Kaz zingine ni simpo ila ya ndoa ndo ngum sana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +7

    Tuletewe na mama yake kwani Nabii Hana mke😂

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Рік тому +2

    Dada nakutafuta jamaniiii

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 Рік тому +6

    Nimezoea kukuuona ukiripoti habari ya mambo makubwa! Skujua kama nawe mwandishi msomi unaweza fanya mambo ya kiki tv! Globo tv ni media kubwa hapa nchini! Nawashangaa kuona mnafanya mambo ya kitoto kama haya!

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 Рік тому +2

      Mwandishi wa habari unatakiwa uripoti kila kiti tusimlaumu

    • @annamosha968
      @annamosha968 10 місяців тому

      Pole

    • @sefuehango5231
      @sefuehango5231 10 місяців тому

      Jamani tujitahidi kwanza kutanguliza ubinadamu wa mtu na kujua kila binadamu ni unique halinganishwi wala kufanana na kila mtu ana uwezo wake, talent binafsi. Usitegemee aonye muda wote mambo unayoyataka wewe tu na usiwe mbinafsi kwa maana kuna watu wengi wamependa na kufurahia interview. Unataka aonyeshe nini hasa.

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 Рік тому +4

    Monica huna kiki za kijinga. Wangekuwa hawa wanzangu na mimi zawadibya harusi tungeambiwa nilipiwe nyumba na gari. Ila wewe umesema biblia endelea kunyenyekea mbele za MUNGU

  • @lauriantemba7939
    @lauriantemba7939 Рік тому

    Mtoto wa mchungaji kama vile mhuuni hivi

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 Рік тому +1

      Kivipi?

    • @lauriantemba7939
      @lauriantemba7939 Рік тому

      Huon tu alivyo jiweka mungu kamuumba hivyo ka mhuni shida hawa hawaubiriwi neno wamejaa tu udunia anajaribu kuleta marekebisho kwenye kazi ya mungu

    • @aliceudoba3672
      @aliceudoba3672 Рік тому +1

      Uhuni wa binadamu haupo kwenye muonekano bali ni siri ya moyo wake unaweza kuona mtu wa Mungu kumbe amevaa nje ila ndani ni mdhambi kupita wote

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Рік тому +4

    Natamani kuonana n'a nabii mkuu jamoni

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Рік тому +1

    Ulikua kilaza wewe shule zote izo unahamishwa tu..yaani kichwa kizito hicho

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Рік тому +5

    Mwandishi msomi ameanza safari, kick ya kuchota mpunga kwa mtume

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 Рік тому

    Ivi Yule jamaa dereva wa sabaya aliendapi

  • @mikeotada1690
    @mikeotada1690 Рік тому

    Yuko vizur