SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR -DOM KUANZA JULAI 25, WAZIRI MBARAWA AKAGUA JENGO LA STESHENI DODOMA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 місяці тому

    Hongera JPM, hata km ulilala ulituachia legacy kubwa. Hawa wengine wame vamia kazi zako

  • @agustinemsambila2501
    @agustinemsambila2501 3 місяці тому +7

    Sasa mpeni sifa na john pombe magufuri

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +6

    Hiyo Kampuni iliyojenga ni nzuri mnoo, na muwatumiwe na maeneo mengine, i wish hata daraja la juu magomeni hadi jangwani wapewe, wameonyesha ukomavu kwenye tasnia ya ujenzi, Mungu ibarik Tanzania, Mungu mpe afya njema SSH na viongozi na wananchi wote wa TZ

    • @seiftwahir4874
      @seiftwahir4874 3 місяці тому

      wazo zuri sana

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 3 місяці тому

      Naunga hoja yako

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому +1

      Magufuli aliona mbali kuwapa kazi hao jamaa, hawa ni waturuki kaka, lakini kuna baadhi ya bongo hawawataki ukiwauliza utawasikia wanasema "wote hao ni waarabu tu hatuwataki", yani hawa ndugu zetu sijui wana ajenda gani?!

    • @filamupictures9349
      @filamupictures9349 3 місяці тому

      halafu kiukweli waturuki sio waarabu ​@@rayisadesigns2646

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 2 місяці тому +1

    Hapo ndo ulipopuyanga sasa mzee.. anaetakiwa kushukuliwa ni nan? Anaetakiwa kukshukuliwaa ni HAYATI MAGUFULI na sio mwingineo.

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 місяці тому +5

    Acheni unafiki tunamshukulu Mungu na rais aliyeanzisha kazi hiyo rais Magufuli mama samia anafanya vizuri ila haipaswi kushukuliwa peke yake

  • @backlinemgongolwa568
    @backlinemgongolwa568 3 місяці тому +5

    Kampuni ya yap wako vzr Sana kuliko hata campuni za kichina

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 3 місяці тому

      Wachina wana shida ipi?

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 3 місяці тому

      Ni kweli wapo vizuli sana, kwa China naikubali ccecc coz huwa wako on-time pia ubora

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 місяці тому

    Mbarawa ni waziri wa hovyo. Husema uongo kila mara. Ameuza bandari, miradi inaenda polepole. Tarehe ya kuanza anabadilibadili. Ni waziri mzigo, ndio maana JPM alimtumbua. Hongera JPM

  • @amirisalumu544
    @amirisalumu544 2 місяці тому

    Naipongeza sana serekali kwa huduma hii ya treni ya sgr kwakweli umefanya jambo kubwa sana changa moto uywaji wa pombe kwenye mabehewa ni changamoto

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 3 місяці тому

    Asante sana mbarawa

  • @Zuchu11
    @Zuchu11 3 місяці тому +1

    Yes dodoma naenda mwezi ujao inshaalah.mungu atanifijisha nipande

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 3 місяці тому +2

    KIMYA KIMYAAA NA MAMA TUNASONGA , BRAVO TANZANIA , BRAVO TIMU MAENDELEO

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 3 місяці тому

      Kanye na Mama yko ,RIP JPM😢

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому

      Uko sahihi saaana Mama mitano teno kwahaki yuko vizuri mnooo

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому

      @@deniccgabriel6153 Itakusaidia nini? JPM alikuta Nchi iko salama, je wakina Chief Mkwawa na wenzie wasingepigana na wakoloni sisi ingekuwaje? Baba wa Taifa aliweka misingi mizuri ya utawala ndio maana hakuna shida kwenye kupokezana Uongozi, acha matusi hayakusaidii hata kidogo

    • @ikulunimahalipatakatifu7642
      @ikulunimahalipatakatifu7642 3 місяці тому

      @@deniccgabriel6153 aliyegundua kanuni za Mwendo alikuwa Galileo, lakini Sir Newton Aliendelea na wengine wakaendeleza ndivo dunia ilivo, Mama amendeleza alipoacha JPM, angeweza piga chini project zote za Uncle JPM, lakini projects zinatembea , Ongera sana kwa mama na timu maendelao

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 місяці тому

      ​@@ndukulusudikucho_kaka hao jamaa wa bando za mia tano wanasumbua sana, kasha shiba ugali wa mama yake hapo anatukana hovyo ili apate mtu wa kujibishana nae ajambe jambe apunguze shibe.

  • @SospeterBruno
    @SospeterBruno 2 місяці тому

    Dar to dom nauli sholingi ngapi?

  • @Nick16697
    @Nick16697 3 місяці тому +1

    Waambieni waoteshe miti sasa,

  • @NuruhMandela-ro6nu
    @NuruhMandela-ro6nu 2 місяці тому

    Naul sh ngapii vile

  • @bakarijumakupaza4351
    @bakarijumakupaza4351 3 місяці тому

    Rais kafuatilia pesa za walipa kodi lakini sio yeye aliyejenga.

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 місяці тому

    Walipa Kodi ndio wanapaswa kupongezwa Wala sio Rais pekee

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 3 місяці тому +1

    Ningeshangaa sana ningekosa kusikia sifa kwa mama 😅😅

    • @elinamilyatuu7337
      @elinamilyatuu7337 3 місяці тому

      Yani isingetosha mboga😅

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 3 місяці тому

      Lazma asifiwe mana yaki haribika yeye ndo anapondwa kwahyo yakiwa mazur lazma aaifiwe

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 3 місяці тому

    Sijawahi kumuamin huyu waziri

  • @evancemnyiliki4132
    @evancemnyiliki4132 3 місяці тому +1

    Nasikia ety hupandi na mizigo kweny hi trenii😂😂

    • @edwardgafachu8932
      @edwardgafachu8932 3 місяці тому

      Inategemea mizigo ipi

    • @ContentSmartphone-rq6po
      @ContentSmartphone-rq6po 3 місяці тому

      Yamizigo itakuja kama umemsikia vizuri waziri hii ya abiria au unamaana gani

    • @mukhsintwaha5909
      @mukhsintwaha5909 3 місяці тому +2

      Unataka upande na kuku na mbuzi kwel??

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 3 місяці тому

      Hapo anamaanisha mizigo mikubwa ka magunia unavoeza kueka kwenye basi ila manegi kama yako binafsi unakua nalo tu kama kawaida

    • @GeradinaJohn-xh8pw
      @GeradinaJohn-xh8pw 3 місяці тому +1

      I mean mabegi

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 3 місяці тому

    Duh mmepeleka mbele tena

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 3 місяці тому

    Kwahiyo km inaanza july 25 so harmo yeye alipanda ipi

    • @samsonmwijage1869
      @samsonmwijage1869 3 місяці тому

      Sikiliza vema anavyoongea waziri. Walisafiri kwa kutumia kiberenge.

  • @seluyangogo3965
    @seluyangogo3965 3 місяці тому +1

    Walisema 1 leo wanasena 25 duh