"... wakati mwingine tujifunze kujisamehe." Kuomba mara kadha wa kadha kwa dhambi moja kusamehewa hii inasumbua sana moyo katika kuungama kwa watu wengi. Ila tukiamini katika nguvu ya kuungama dhambi mbele za Mungu, amini umesamehewa na imeisha mbele za Mungu. Hivyo basi, NI VYEMA TUKAJIFUNZA KUJISAMEHE ... Mungu akubariki sana Pastor 🤲
Mungu akubariki wewe na watoto wakoo na familia yako japo natamani hata kwa dk 5 kuongea na wewe umekua msaada mkubwaa Sana ktk maisha yangu. Mungu azidi kukuimalisha ameeeeen
Sasa mtu kama huyo ambaye amekumwaga nje akaoa maisha yakamlemea akarudi kukutafuta ufanyeje,to make the matter worse ulizaa naye lakini alikutoka na ukaachana nae kabisa utaduu?
TUNAWAOMBA RADHI KWA TATIZO LA KIUFUNDI LA WIMBO WA UTANGULIZI KUSIKIKA KWA MUDA MREFU ISIVYO KAWAIDA!
OK
Lini utakuja tena sumbawanga mchungajii
"... wakati mwingine tujifunze kujisamehe."
Kuomba mara kadha wa kadha kwa dhambi moja kusamehewa hii inasumbua sana moyo katika kuungama kwa watu wengi. Ila tukiamini katika nguvu ya kuungama dhambi mbele za Mungu, amini umesamehewa na imeisha mbele za Mungu. Hivyo basi, NI VYEMA TUKAJIFUNZA KUJISAMEHE ...
Mungu akubariki sana Pastor 🤲
Amen l love your teaching because God is using you and l am able to grow spirituality
Asante mchungaji kwa somo nzuri ninabarikiwa sana na mafundisho yako barikiwa zaidi.Amen.
Amen I ave learnt a lot spiritually, soo nice inspiring courageous and powerful message God bless you pastor
Amina hakika bwana atusaidie tusiangalie mambo yaliyo pita barikiwa zaidi pastor
Mungu akubarik i kaka Mungu anakutumia kuokoa familia
Unafundishaga vizuri sana Roho wa Mungu ako ndani yako.may God bless you so much.nime balikiwa sana.Mungu aendelee kukupatia hekima nyingi.
Amina Amina. Somo nzuri sana
Amen nimenjifunza mambo mengi sana sana,nilikuwa nasumbuliwa sana na vitu zimepita.Asante.
Amen.ubarikiwe pastor Mbaga
Mungu akubariki wewe na watoto wakoo na familia yako japo natamani hata kwa dk 5 kuongea na wewe umekua msaada mkubwaa Sana ktk maisha yangu. Mungu azidi kukuimalisha ameeeeen
Ubarikiwe
Amen uzidi kubarikiwa pastor
Aksante ,MUNGU aendeleye kuku linda
Amina pastor mungu atutie nguvu
Nimefahamu KITU kipwa cha Muhimu sana. Ahsante mchungaji wetu.
Mwenyezi Mungu tusaidie
Amina Amina Mungu awabariki
Mungu akutunze pastor.najifunza kitu kipya kila siku.
Pastor ni ukweli watu wengi kanisani hawaongeleshani sana sana viongozi....mungu atusaindie sana. Mbinguni ni bali.......
Amen unanibariki sana mtu wa mungu
Hello mafundi mitambo, tunaomba mruhusu hili somo tuweze kulidownload pia
Be blessed Pastor 🙏🙏
Jambo mchungaji nyimbo inàacha hatusikie
Asante Kwa mafunzo mzr be blessed
Amina
Mungu atusaindie tufunguke macho natupate hekima
Amen Amina
Amina asant sana
The song is higher than your voice pastor at the beginning
It was an editing problem. I won’t happen again
Amen 🤲👏
Asante mlefi umenifungua kuachana na yaliyopita duh
Kweli
Aiseee wauza nguo tuna tabu sana 😄 Kwaiyo pastor sisi ndo tunafanya watu wasitajirike
Pastar asnte kwa mahubir naomba namba yako naipata vp
Sasa mtu kama huyo ambaye amekumwaga nje akaoa maisha yakamlemea akarudi kukutafuta ufanyeje,to make the matter worse ulizaa naye lakini alikutoka na ukaachana nae kabisa utaduu?
Amen 🙏
Nawezaje Kupata number ya huyu mchungaji?
Chapati
Mimi ninalo, Hili la matunda ya kisasa na kuku broila naliona km halikuwepo zamani
Sasa kuna wakati unaomba mfano ili magonjwa yakome kwa watoto wako sasa yanaendelea na sasa najiuliza nimeona vibaya ama
Hahaha beberu
Andika hapa paster hiyo namba nitaiona plz
+255 755 932 283
@@MahubiriPrMmbaga hii ni no. Ya pastor mmbaga?
Nahitanji no.ya pastor mmbaga plz.niko kenya.
Ndio
Thanks be blessed
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍
Hahaha
Amina
Amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amina