ZAIDI YA RAFIKI 1 || Love story 💕💕|| bongo movie mpya 2024
Вставка
- Опубліковано 4 жов 2024
- #bongomovie #netflix #movie #penzilarafiki #benroyalmovies #swahilimovies #comedy #chekatu #juakaliseries #film #zaidiyarafiki
#diamondplatnumz #comedy #love #rafiki #zaidiyarafiki #video #filamyamapenzi
Miss you guys nilikuwa najiuliza mmeenda wapi wanangu
Jaman benroyar munaweza Hadi munaweza Tena mungu awajalie mufikie malengo❤❤❤❤❤
Wakwanza Leo hapa...
I really love this channel. Thanks 🙏 on the behalf of Ugandans who missed this 😊
Thanks for watching
Mlipotea sana wazee ijue cc tupo dar akin tunawafuatilia sana kazi zur ongezen juhudi
Benroyal my best channel in Tanzania huwa mnaangusha vitu Kali Kali sana ila tu mnatufanya tungoje sana
Karibu sana
Love U so much Peter.Mungu awabariki benroyal film producers
ntatupia kakofia kangu na kakiatu kangu hapo, ntakusanya watoto, kumbe hunijuagi. My favourite part❤❤
Alafu @mbanga napenda sana hip-hop zenyu + nala mzalendo🎉🎉
nzuri sanh lkn mwakaa sana bila kutuletea vitu watu wagu❤ bonny nakupenda banh
❤❤❤mlikua wapi wanangu,mbona mlipotea hivyo tunawapenda sanaa 2 mtupewendelezo wa zile mlizo acha basi
Daaah jamani ongereni Sana kwa hiyi movies Kali Sana big un sama
😂😂😂😂Nafurahi ombilangu limejibiwa maan nilikuwa napenda san hawa jama wataweza movie pamoja
Kazi nzuri Sana tumetoka mbali. Salimika Sana Modesta love you
Movi zenu ni nzuri saaana tu tunapenda kufuatiria kwa mfurulizo mzuri A to z
Kaka benloyalty hii movie nzur sana maana mmeelezea changamoto ambazo tunazipitia mitaani kwenye mahusiano na maisha ya kawaida
Nawakubali sanaa. Jitahidini kupandisha kaz kwa wakati
Napenda sanaa movie zenu naomba nitoe kama ushauri tunaomba muwe mnatuwahishia pls
Huwa nawafuatilia sana movie zenu mko vzuri na mpo tofauti sana ❤
Ila barnaba na mona.mona sauti kama katoto❤❤❤.barinba pacha wa luka sura mpaka sauti mpaka tabasam naisi ndungu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi kazi bila kuchoka mzigo ni wamoto 🔥🔥🔥
niliwamiss sana alafu nawapenda sana Ndiyo mnafanya kazi nzuri sana🌹♥
Kazi nzuri nawapenda sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Bora mmetuletea, maana tulihitaji sana kazi kama hizi
Nmecheka sana 😂😂 kazi nzuri sana
Safi brother kazi nzuri rafiki
Yup well cme back
Nala mzalendo
Duh, niliwamiss sana asee. Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉
Nimefurahi sana kumuona bavo humu ndani
Ila ben wewe dah😢😢 una jua kijana
Asante sana
Oyaa!! Wanakubl sn ❤ ila shid sauti bro increase the volume please, na wekeni dizeni chach ya kichapo mwanangu 👊 yaan namanish ngumi bro
sema nampenda uyu dada paula dah bas tu
daaah nikajua mmedata na bunji mmetukosea sana 😂😂😂😂😂
Kuwamiss tu nimewamiss mmejua kututelekeza jaman ❤❤❤
Dah hio sound track noma xana
Duuuh.....huyo Jamaaa namuonea huruma sanaaaa
Amani itawale,,,,malizieni❤❤basi
Benroyol naomba nafasi na mie napenda sana kujiunga pamoja nanyi .nina upendo mkubwa na sanaa ya uwigizaji
Aisee turikua tumewamiss saana kaka bonny
ulijua jiskiaj baada ya kujua uki tap tap kwenye comment unakua ume copy .....!!?
Saaafiiiii,
Yan nimefurahi atari,
Kama kuna comedy fran hivi,
❤❤
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤
Zaidi ya Rafiki@benroyal@Bon@miss chuleha❤❤.love u gys
Mlikaa kimyaa sanaa
Bonny (Barnaba) ni fundi sana
Alooh me sijawahi kuwapinga 🙋♀️
May God Bless You For what You doing♥️♥️
Congratulations sana
Tulimic Kitu kutoka kwa benroyal picture hatimay You are back 🙌🏽🙌🏽
Dah mwanetu umepotea sana
namkubali sana boni
Kazi nimoto sana
BP mmekimya sana watunguyaz...watching from Mombasa
My brother umerudi ila baadhi ya vipaji nilivyo viona kwako now naviona katika bunji ni furaha
Kazi nzuri wanangu
naona mmeniwekea mwanangu wa michezo yenu ya 👊 nimependa sana iyo
Bonny inapendeza sana mkawa mke na mume yani ww bonny na Paula mnapendezana sana niwe wafatilia muda mrefu sana kiufupi mnaendana sana.
Muache kutuonjesha bana sasa series ya amani haijaisha bado
Paula is the most beautiful girl in Tanzania, I feel like meeting her in person. Love you all
Mr benroyal
Huwezi amini niliacha kuwach movie mwamba iz back respect
Jamaangu ndevu moja Mr max kaua sanaaa...but Kazi nzuri myamba
Oyaaa humu kuna bavoooo
Hongera sana ❤❤❤❤❤ part two lini inatoka
Bonge la move
❤❤ mko vizuri ndugu zangu
Ila wewe kaka upo vizuri sana 🤗
Daah wanangu wa benroyal mmepotea san leten kaz nawakubli san kaz zenu
Nice one
Ila haunaga kaz mbaya
Tunaomba Mwendelezo Wa amaniii Basii ndug zangu
Oyo oyo❤
Jaman malizieni na series ya amani, alaf mtuletee msatari wa dam muendelezo wake
🔥🔥🔥Rafiki
Mnakaa sana hadi tunawasahau,naona hata bavo mlimchukua
Jamani tusiombe like 👍 😂😂😂tafadhaliii una weza uka ozea jela kama #msanii see more.....................
Turikua tumewakumbuka san wanangu ❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂😂watu wanao sali hawafanikiwi
Mona Lisa. ni msichana mrembo sana ningekua na uwezo nimpa zawadi. halafu nawapenda wote. likes zikuje
Wow...
Nawakubali sana wadau
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ni nomaaa kikosiiiiiiiii
Ngoma ya mbanga mc🙌🙌✊️✊️
Leoo nime muona class mate humuu, jescaaa mambo vp
Wow 😮
Tuna miss sana kazi zenu asee
Jamani vp kuhsu series ya AMANI tulitegemea muendelezo wake 😢
Sema mmekaa kuachia kaz
Benroyal wana kazi nzuri tatizo ni wanachelewesha kazi...much love from kenya 001
Mkopowa
natamani sana bony na paula liwe kapo mnaendana sana
Nawapenda
Sema mnajua sana✊
I'm watching from Kenya give me likes
Napenda sana kazi zenu
❤❤❤
Tunafurahia uwepo wenu
Wow, this movie is so amazing, it made my day. Watching from Uganda
Napenda sana kazi zako Ben❤
Hakika films zako zinasisimuwa
Mfanye chap Ben leteni part 2... FASTAAAAAA
I appreciate you guys💥👊👊💪
From254 bigup manzee but watu hawanyamazangi hivyo wakuu😂