Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Yaani apa mkongo ni mimi mmjo 2🇨🇩🇨🇩✊✊ basi naomba ata like 10🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩💪💪
Tunakupenda❤
Am Congolese 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hi am watching from Kenya naomba likes zenyu
Tuko pamoja
Zenyu ndo nini😂
Hatutak
Hi my friend
Chukua
Mwinyi mkuu ninastory nzur sana kwa movie
Hii tabia ya umbea kicheko haijampendeza hii kazi ya kipara❤❤
😂😂😂
Mm ndo wakwanza kuona nipeni like zangu
Apo kwa umbeyaa mngeeka kipara ama sengo😂
mumetisha sana🎉🎉
Kenyans are you here
Yep....we are promoting out neighbors my country man
Tuko 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From KenyaMovie nzurii tumeipenda
Umbeya wamuachie kipara bhana maana Hawa wengine wanakopi na past
Huyo mmbea nafasi hiyo angecheza kipara wanaman 😅 ingenoga sanaaaaaa
Yani ingekuwa atali na nusu
Am watching from Kenya naomba like zenuuuu
Shemeg hio kwio 😂😂halima nae kapta shemeg
Nimependa sana seemu ya ububu
Apo kwa umbea mngeeka kipara 😂😂
Ndio
Mambo yangekua vizuri
Natamani sana pia
Kabisa
Huyu mmbea kaharibu film ndio kuongeaje hivyo kama msukule hi
Ila Tanu anaju🙌🙌
Sehemu ya umbea alifaha kipara sio huyo jama hafai hapo kbs
Representing kenya254 wapi likes zangu jamani
Huyu mmbea hata kababi kabisa afathali kipara hameharibu movie sana aki
Walai ebu ambia awa wamurudishe kiparangoto wetu bana
Wee!!me kipara nampendaga sana na umbea wake japo mda mwingine anaharibu❤❤❤❤Kipara😂😂😂
Kwenye magc ling we jamaa unaepasua yai umenifuraisha sanaaa et mimi huyoooo daah simpo tuuu
Na watch from south Africa
Kwa ushauri kicheko tafuta identity yako ya kisanaa ,, unaigiza sauti ya mwakatobe pia tabia ni za kipara😂😂😂
Kabisa sauti haiendani nae na haimfai pia umbea hauwez
Ebu Sema OO MAAI😅😅😅😅😂😂
Mko vizuri sn tz 🔥🔥🔥🔥
Aahh kumbe halima pisi kali kiasi hichi na hamsemi wadau
Gonga like kama unalikubali hili kundi la sanaa
Mko vizuri lakini inabid mjaribu kufanya kazi zenu kwa ubunifu zaid mfano mazingiraa ya kijijin mnabidi mbadirishe piaa idea za uchifu na uchawi ifike pahala mtubadirishe tupate kitu kipyaa zaid ni ushauri tu
Kweli kbs 😊
Tatizo kubwa umekulia mjini chief tulia 😅😅
Medick broo unajua alfu unajua tena heshima kwako
Duuuuu mmetisha sana
❤❤❤
I'm watching from Nigeria
Huyo mbea sijamkubali kabisa Mimi 😂😂
😂😂😂😂
Kazi ya kipara hiyo .wamekosea ila kazi nzuli
Movie safi ila uyu shoga alo jita mmbea ndio amearibu mana hayumo kabisa anaboesha
Adery mm nataka ringtone ya huo wimbo wa kipesile
Am from 🇰🇪Good work
Support zenu jamni
Cute
Hi am watching the movie but help me so that i could watch later this movie
Ila wabongo
Kazi nzur❤
Nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤
Sauti ya mbea inavunja moyo kuendelea kuangalia movie kaharibu sanaaaaaaax100
Uhakika ameharibu sanaaa
Sijaelewa
mi kanikera mpka sitaman tena kuangaliaaa anajichetuaa sana
Hapa mumetuchanganyaa i say
Nice work 🎉🎉🎉❤
Kazi kali sana kaka Medick chapa
Ebu turudishie kipara wetu
Jamaa anamuigizia mwakatobe ovyo wala hampati
Nyie mmeweza mbaya mbovu
Bi mgomba umemaid ety
Tafuteni maudhui mengne tofauti na Uchawi jmn Kila Move sio lazma iwe na uchawi uchawi2
Kuna watu tunapenda movie za kichaw,so ww kama humpend acha kuangalia na uangalie hizo unazopenda,, mbona zipo nying
Anajua kulia huyo dada akitoka hapo kichwaa kinauma
Kitengo cha umbea jamani kinafaa kwa kipara ama sengo
Haya. Dunia kuna mambo
Hii kazi imeiva
Nakubali
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
😊
🎉🎉🎉🎉🎉
mwenyekiti madebe nakuona
Mmeweza
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
54:00 we ujalewa unazuga tu ulivyoidaka kofia kama Spiderman
nzur sana sema mnamaliza vibaya
Si inaendelea ya pili haijesha
hii ni part 5 ama,mbona sielewi😢
mh bhn kaboa uyo chaumbea bora angeongea kawaida tu asa ndo nn kumuiga mwakatobe
Movie nzuri ila hapo kwenye kwenda kwa mganga nakutoa salamSijapenda inaonekana waislam ndio washirikina Chezeni movie mambo ya Dini wekeni pembeni
Ndo ukwel ww umewah kuona mganga mkristo
😂😂😂😂@@flm1530
Vp ten
Bimigomba reo naona amekubari matokeo kimemuramba
Mbona fupi
Ushaambiwa itaendelea ya 2
❤❤❤❤❤
Yaani apa mkongo ni mimi mmjo 2🇨🇩🇨🇩✊✊ basi naomba ata like 10🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩💪💪
Tunakupenda❤
Am Congolese 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hi am watching from Kenya naomba likes zenyu
Tuko pamoja
Zenyu ndo nini😂
Hatutak
Hi my friend
Chukua
Mwinyi mkuu ninastory nzur sana kwa movie
Hii tabia ya umbea kicheko haijampendeza hii kazi ya kipara❤❤
😂😂😂
Mm ndo wakwanza kuona nipeni like zangu
Apo kwa umbeyaa mngeeka kipara ama sengo😂
mumetisha sana🎉🎉
Kenyans are you here
Yep....we are promoting out neighbors my country man
Tuko 🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Kenya
Movie nzurii tumeipenda
Umbeya wamuachie kipara bhana maana Hawa wengine wanakopi na past
Huyo mmbea nafasi hiyo angecheza kipara wanaman 😅 ingenoga sanaaaaaa
Yani ingekuwa atali na nusu
Am watching from Kenya naomba like zenuuuu
Shemeg hio kwio 😂😂halima nae kapta shemeg
Nimependa sana seemu ya ububu
Apo kwa umbea mngeeka kipara 😂😂
Ndio
Mambo yangekua vizuri
Natamani sana pia
Kabisa
Huyu mmbea kaharibu film ndio kuongeaje hivyo kama msukule hi
Ila Tanu anaju🙌🙌
Sehemu ya umbea alifaha kipara sio huyo jama hafai hapo kbs
Representing kenya254 wapi likes zangu jamani
Huyu mmbea hata kababi kabisa afathali kipara hameharibu movie sana aki
Walai ebu ambia awa wamurudishe kiparangoto wetu bana
Wee!!me kipara nampendaga sana na umbea wake japo mda mwingine anaharibu❤❤❤❤Kipara😂😂😂
Kwenye magc ling we jamaa unaepasua yai umenifuraisha sanaaa et mimi huyoooo daah simpo tuuu
😂😂😂
Na watch from south Africa
Kwa ushauri kicheko tafuta identity yako ya kisanaa ,, unaigiza sauti ya mwakatobe pia tabia ni za kipara😂😂😂
Kabisa sauti haiendani nae na haimfai pia umbea hauwez
Ebu Sema OO MAAI😅😅😅😅😂😂
Mko vizuri sn tz 🔥🔥🔥🔥
Aahh kumbe halima pisi kali kiasi hichi na hamsemi wadau
Gonga like kama unalikubali hili kundi la sanaa
Mko vizuri lakini inabid mjaribu kufanya kazi zenu kwa ubunifu zaid mfano mazingiraa ya kijijin mnabidi mbadirishe piaa idea za uchifu na uchawi ifike pahala mtubadirishe tupate kitu kipyaa zaid ni ushauri tu
Kweli kbs 😊
Tatizo kubwa umekulia mjini chief tulia 😅😅
Medick broo unajua alfu unajua tena heshima kwako
Duuuuu mmetisha sana
❤❤❤
I'm watching from Nigeria
Huyo mbea sijamkubali kabisa Mimi 😂😂
😂😂😂😂
Kazi ya kipara hiyo .wamekosea ila kazi nzuli
Movie safi ila uyu shoga alo jita mmbea ndio amearibu mana hayumo kabisa anaboesha
Adery mm nataka ringtone ya huo wimbo wa kipesile
Am from 🇰🇪Good work
Support zenu jamni
Cute
Hi am watching the movie but help me so that i could watch later this movie
Ila wabongo
Kazi nzur❤
Nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤
Sauti ya mbea inavunja moyo kuendelea kuangalia movie kaharibu sanaaaaaaax100
Uhakika ameharibu sanaaa
Sijaelewa
mi kanikera mpka sitaman tena kuangaliaaa anajichetuaa sana
Hapa mumetuchanganyaa i say
Nice work 🎉🎉🎉❤
Kazi kali sana kaka Medick chapa
Ebu turudishie kipara wetu
Jamaa anamuigizia mwakatobe ovyo wala hampati
Nyie mmeweza mbaya mbovu
Bi mgomba umemaid ety
Tafuteni maudhui mengne tofauti na Uchawi jmn Kila Move sio lazma iwe na uchawi uchawi2
Kuna watu tunapenda movie za kichaw,so ww kama humpend acha kuangalia na uangalie hizo unazopenda,, mbona zipo nying
Anajua kulia huyo dada akitoka hapo kichwaa kinauma
Kitengo cha umbea jamani kinafaa kwa kipara ama sengo
Haya. Dunia kuna mambo
Hii kazi imeiva
Nakubali
🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
😊
🎉🎉🎉🎉🎉
mwenyekiti madebe nakuona
Mmeweza
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉
54:00 we ujalewa unazuga tu ulivyoidaka kofia kama Spiderman
nzur sana sema mnamaliza vibaya
Si inaendelea ya pili haijesha
hii ni part 5 ama,mbona sielewi😢
mh bhn kaboa uyo chaumbea bora angeongea kawaida tu asa ndo nn kumuiga mwakatobe
Movie nzuri ila hapo kwenye kwenda kwa mganga nakutoa salam
Sijapenda inaonekana waislam ndio washirikina
Chezeni movie mambo ya Dini wekeni pembeni