Kitu mlichokosea huyu ameanza kama fundi Baiskeli sasa mbona hakuna wanakijiji wengine ambao alikuwa akiishi nao hizo hela alitengeneza baiskeli za nani !?
Kuna vitu vingine sio lazima kuonyeshwa Kuna muv unaantlia mwanzo had mwisho na huoni mtu kaenda kunya,MTU kala chakula wala kuoga wakati hivyo vitu ni lazima afanye ila haviusian na muv ndo mana havionyeshw
😂😂mambo yenye napenda kama haya nzuri sana
Mbonge ya movie niya moto sana congratulations watu wangu
Ume weza sana japo wausika wachache rakni mme chukua muda mwingi gizani
😅😅😅😅😅 nzuri. Sana
Daaaah...! Kama mimi vile.......ni kali sana
#Mwizi , bonge la movie
Mdogo mdogo kaka
Jeshi la watu 2
Wah hii yenu nikali yan movie nzima watu wawili tu
Kuna movie moja inaitwa the wall mtu mbili mwanzo then anabakia mtu mmoja mpaka mwisho
Napenda sana kazi zenu watu wangu,,,
Shukran sana...
Congratulations mabros
, ok thanks for your
ImeWeza. 👌For Real Mnajua.🔥🔥
Watching From Kenya. 🇰🇪
Mungu Awazidishie Na Kuwainua Zaidi na Zaidi.🙏
ASANTE SANTE NA AMIINA KWA DUA YAKO.TUTAZIDI KUFANYA ZAIDI YA HIV
Safi xn mabros movie ya w2 2 but imebamba xn💪🇰🇪
Mdogo mdogo bro❤
Big up Kaz nzur japo mazingira magum ndo mwanzo. Five star for this guys
thanks
Amn k2 hapo
Mh watu wakiamuwa kupinga jambo hi nisanaa sio lazima ukimuona mkunga mjamzito awepo
Inafundisha tunasubiri nyingine nzuri
Natafta pakujiunga na uigizaji
Kazeni xan
Movie nzuriii ilàaaaa haioni mbonaaaa mlicheza usiku sana
Eze asante sana... Tutalifanyia kazi hilo on next project.... asante kwa ushauri mzuri..
🤔👀acha nami nione
Hongereni sana
Daah mwanang panchaa we ni mgumu 😅💪
Kazi nzuri ila kuna scene imechukuwa muda mwingi sana kwenye kiza dah😂😂😂
tunaomba radhi kwahilo ila shukran kwa kufuatilia
Movie hata haieleweki kabisaa kiukweli wabongo wanazingua😂😂
Fc
Hiv mmetuonyesha muvi au kiza
Mmkosea kidogo kwenye stori
movie iko fine
Bongowood kama hollywood yaan
❤❤
Watu wawili muvi usiku tu wapuuzi
MUNGU AKUJAALIE HEKIMA NDUGU YETU.
Bonge la movie
thanks
Movie haielewk
Movie mtu mbili tu
😂😂😂😂
Mtu mbili do kusema nn😂😂sijaelewa
Watu wawili na sio mtu mbili umeelewa?
@@KageraTanzania wewe si kontawa aliekua kontawa kaelewa ninacho kimaanisha
kwanini watu wengi ufanya
Wahusika wapo wengi ila km huna D mbili huwez kuelewaaa
Hivi Sasa ndo vitu vyangu
nasubira part 2
Kitu mlichokosea huyu ameanza kama fundi Baiskeli sasa mbona hakuna wanakijiji wengine ambao alikuwa akiishi nao hizo hela alitengeneza baiskeli za nani !?
Kuna vitu vingine sio lazima kuonyeshwa Kuna muv unaantlia mwanzo had mwisho na huoni mtu kaenda kunya,MTU kala chakula wala kuoga wakati hivyo vitu ni lazima afanye ila haviusian na muv ndo mana havionyeshw
Kama ingekuwa na watu wengi ingekuwa kali mmtisha
😢
Mazingira ya wapi hayo nimeyapenda
Tanga
Huu mzigo hatar
Usiku tunaona nn sasa
Asanten
Zuli kitindo
Oya big muuza matikiti goba kaka yako 😅 mmefanana stelingi