KUTOKA MAKTABA:SAKATA LA MAKAMBA KUMNG'OA RAIS SAMIA LILIVYOZUA GUMZO HIVI KARIBUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 65

  • @asungushepatrick5414
    @asungushepatrick5414 Місяць тому +17

    Pamoja na hayo,nafikiri Jeshi la polisi mngekuwa mnakamata mafisadi wa nchi hii mkishirikiana na Takukuru, inchi ingenyooka.

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Місяць тому

      Watakuŵa wanaingilia kazi za wengine.

  • @RaymondZindah-ow7wr
    @RaymondZindah-ow7wr Місяць тому +8

    Polisi mnatengeneza mabo ya uongo Ili kumzuga president. Mme jaa unafki sana.

  • @user-xt3pq4hb2r
    @user-xt3pq4hb2r Місяць тому +5

    Siku jeshi letu la police likitia mafisadi wanchi yetu ambao wanapoteza mabiloni ya fedha nitafurahi sana

  • @IsmailLugenge
    @IsmailLugenge Місяць тому

    Ni vizuri sana kwà jeshi la polisi lakini ombi langu taharifa hizi tupate majibu yake pia na kuhusu makosa ya mtandaoni Kuna hitajika namba inayo husiana na tatizo hili namba ambayo ni ya moja kwa moja na kitengo mahalumu Cha makosa ya mtandaoni na sio kama tcra wao namba Yao inafanana na ya mitandao ya simu ya 100 asa hii aisahjdii kitu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Місяць тому

    Kazi nzuri saana jeshi la Polisi, wanatumia mitandao vibaya saaana na kuleta fitna na taharuki

  • @Worldunite
    @Worldunite Місяць тому +6

    Makamba hatumpi kura

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 Місяць тому +4

    Amna kazi za kufanya

  • @MichaelNdelema
    @MichaelNdelema Місяць тому +7

    ❤JPM✋

  • @johandavid7389
    @johandavid7389 Місяць тому +3

    iv ana kisikia anachokisoma au ameandikiwa tu

  • @fadhilimoshi5754
    @fadhilimoshi5754 Місяць тому +3

    Shida kubwa ni kwamba mapolisi mmekuwa wanasiasa mnaacha majukumu yenu na kulinda viongozi mafisadi ni hivyo tu.

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg Місяць тому +1

    duh tz yangu

  • @onesmothimos2635
    @onesmothimos2635 Місяць тому +5

    Una nikumbusha rock city Mwanza kamanda jumanne pigakazi bila kuchoka

  • @herie16m
    @herie16m Місяць тому

    Sioni titles zikiendana na simulizi
    Anyway
    Sioni tija

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl Місяць тому

    Kumbe mnajiweza polic kukamata watu je nawale wanoitwa wasiyojulikana vipi msiwakamate maana.wanateka watu watoto nawakubwa. Au hawatumii sim kwa kaxihizi nalaazimatu wanapigiana sim katikakutekeleza uharamia nao wakamateni tuwajue nawahukumiwe kishelia. . Inshaallah. Allah awapenguvu polic wetu mtende haki

  • @MonicaKaskaz
    @MonicaKaskaz Місяць тому +3

    Kumbe yule mtabiri ni wa kweli jamani

  • @kulewamziray9068
    @kulewamziray9068 Місяць тому +5

    Wacha mvua imyeshe tuone wapi panavija

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому +1

    Hivi huwa najiuliza mafisadi walishatubu hawaibi tena wametubu kabisa sasa tumebaki na dhambi moja tu ya kuwasema waheshimiwa na naona hiyo ndio dhambi pekee iliobaki naona tuelekeze nguvu zetu zote kupambana maana wezi wote wa mali ya umma mafisadi wameshatubu

  • @gidongailo7174
    @gidongailo7174 Місяць тому

    Sasa kuna ubaya gani mtu kujipanga ili kugombea Urais. Mbona 2025 wanasisiem wanatakiwa kugombea wengiiiii kama 2015 walipogombea 40+. Tunataka kuona Demokrasia ndani ya CCM inaruhusiwa ili tupate watia nia wengiiii. Wakati sis tukiandaa vichinjio, tunataka kuona watia nia watakaokatwa kwenye michujo ya sisiemu. Ujue raha sana kusikia Nape kakatwa awamu ya kwanza. Makamba kakatwa sasa kabaki Samia😂

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano Місяць тому

    Wanahitaji Neno la wakati kwa mjumbe wa agano duniani ili waikolewe na mambo mabaya.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Місяць тому +6

    Polisi mumeshindwa kudhibiti utekwaji wa watoto kweli? Mpaka mnatupa jukumu hilo sisi wazazi wakati sisi tunatimiza jukumu letu la kualinda wanapo kua maeneo ya nyumbani wanapotoka nje ya nyumba zao linakua ni jukumu lenu polisi kama mnavyosema kazi ya polisi ni kulinda watu na mali zao sasa inakuaje watoto kila siku wanatekwa na kuchinjwa ?

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Місяць тому

      Mkundu wako. Acha ufala. Police wapo sawa

    • @handenitakuru6696
      @handenitakuru6696 Місяць тому

      ​@@twalibulomy-cd4zd acha usenge we jamaa kafilwe na baba yako huyo jamaa kaongea ukweli

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Місяць тому

      @@handenitakuru6696 ukweli ni Mkundu wako Tafuta kazi.

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 Місяць тому

      ​@@twalibulomy-cd4zd Tanzania nchi ngumu sana😅😅😅😅😂😂😂😅

    • @SmilingCityMap-xb9md
      @SmilingCityMap-xb9md Місяць тому

      ​@@twalibulomy-cd4zdkwa mitusi hiyo huifai dunia wala kuzimu sijui uitwe nani maana upo duniani kwa hasala huna faida

  • @JamaliAlly-zy1ff
    @JamaliAlly-zy1ff Місяць тому

    Hamna maana kabisa msitufanye wajinga jueni tunawachora 2

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 Місяць тому +1

    Ila serikal bana, kamateni watu wenye makosa nyeti, sasa kwel vijana wadogo tu ambao hata chanel Yao ya UA-cam Haina wafuatiliji wengi ndo mnna deal nao

  • @soka-fx1xp
    @soka-fx1xp Місяць тому +1

    POLISI MNAONEA SANA WATU, KILA KONA HABARI NI JANUARY MAKAMBA KWELI ANAUTAKA URAIS , SASA KWANINI MNAWAKAMATA WATU WAKATI HILO LINAJULIKANA WAZI. UNAFIKILI KWANIN RAIS SAMIA KAMTUMBUA JANUARY MAKAMBA?? ACHENI KUONEA WATU BADALA YA KUCHUNGUZA KAMA TAARIFA NIYA KWELI.

  • @AyubuHeshima
    @AyubuHeshima Місяць тому

    Hamna lolote Kuna mafisadi wanapiga mabilioni mnajifanya hamuwaoni ila vibaka kama hao munawaona halaka. Labda kwakuwa wanakula pekeyao

  • @davinaheven4794
    @davinaheven4794 Місяць тому +2

    Mama Mama Mama yetu. Hatoki ng'oo

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Місяць тому

    Mnashindwa kukamata wanaoiujumu nchi hiii mnakimbilia kumg'oa rais wakati Kuna watu wanaitwa wasiojulikana nao mlikamata wangapi😮😮😮

  • @loner_wolf
    @loner_wolf Місяць тому

    Aliyemsaliti mwenzio unamuamini vip ? Wote problem wache wasalitiane .

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v Місяць тому

    January Alipotaka urais Aligombea live kila mtu Akamuona.Nakua Ameshakua mwanasiasa mkubwa hakuna Anaepinga.Ila namuona haya mambo yanamkataa ni bora Aelekee kwenye mrengo mwengine wa maisha Aachane na Siasa.Maana mwishowe Atajikuta kubaya ima kwa makosa yake ya kweli.Au kwa kuchomekewa na mahasimu wake.

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 Місяць тому

    Mgeamua kuthibiti rushwa kikamilifu taifa lingekuwa tajiri. Uwezo mnao.

  • @BraxedaDomina-xn4zc
    @BraxedaDomina-xn4zc Місяць тому

    Acheni kuzuga bhana kamateni mafisadi

  • @user-my4dr5oq6v
    @user-my4dr5oq6v Місяць тому +4

    Atoke tu uyo mama

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd Місяць тому +1

      Mkundu WA bibi yako. Toka magetoni Mkundu wako Tafuta kazi.

  • @user-ed2gm1xz1v
    @user-ed2gm1xz1v Місяць тому

    Police ni waongo sana. Wanabandika wtu makesi ya kijinga hku wakiacha mafizadi wa mabilioni wa inchi ytu ,

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 Місяць тому

    Jeshi la polisi la ovyo coz hawatendi haki katika nchi hii

  • @Kahasija
    @Kahasija Місяць тому

    7:06 Ww Matatizo acha ujinga hakuna Tanganÿika kuna Tanzania mjinga we😊

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 Місяць тому

    Endeleeni kukamata sindio kazi zenu.na msiangqoie nyuma

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 Місяць тому

    Ccm.laana.ya.magufuli.imeanza.kuwatafuna.piganeni.mpaka.ccm.ife.

  • @user-yc7xp4fn7x
    @user-yc7xp4fn7x Місяць тому

    Hapa hata sijaelewa

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Місяць тому

    Inshu ndogondogo kama hizi marekani hua wanamaliza kimiakimia tu. Sasa nyie matangazo kibao mnatumalizia mb

  • @shaban6644
    @shaban6644 Місяць тому

    Weka Mbaroni wote wanaotumia mitandai ya kijamii vibaya

  • @warrenmgode1837
    @warrenmgode1837 Місяць тому +3

    Kamanda futiliya wtu kupoteya tuwajuwe wasiojulikana wanapoteza watt wetu tutunze taifa letu,zamani siasa hazikuwepo

  • @suleimanissa2089
    @suleimanissa2089 Місяць тому

    Kamanda piga kazi, big brain, wewe ndio polisi wa kweli

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje Місяць тому

    Hawa polisi ni chawa wa ccm mshaanza uoga wa uchaguzi

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 Місяць тому

    Acheni uhuni nyie, acheni kukamata wanyonge badala yake kamateni watu wanao hujumu uchumi wa nchi kwa mabilioni ya fedha na kusababisha umaskini kwa watu walio wengi.

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Місяць тому

    kichwa cha habari tofauti na kilichoandika

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x Місяць тому

    Pale polisi anapotaka raia awe mlinzi sasa nyie kazi yenu ni nini hasa

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee Місяць тому

    😂

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o Місяць тому

    Yani rais akisikia maneno ya propa ganda za wapinzani bila kufanya uchunguzi anawakubali ina mana yuko na wapinzani wanamuingiza chaka

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 Місяць тому +1

      Chunguza wewe basi! Polisi wakifanya kazi mnalaumu! Wakikaa kimya mnasema hawafanyi kazi! Lipi jema waja??😢😢

    • @JosefuSwai
      @JosefuSwai Місяць тому +1

      Kakojoe ulale

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому +1

    WACHE OANDOLEWE NA ARUDI KWAO ZANZIBAR! WAZANZIBARI WAKO NA NCHI YAO NA SIO TANGANYIKA!

    • @hajiameir8688
      @hajiameir8688 Місяць тому

      Na mwinyi na muje mumchukue arudi kwao tanganyika mkuranga huko ndiko kwao zanzibar sio kwao

    • @DativaMbowe
      @DativaMbowe Місяць тому

      ​@@hajiameir8688 kwani kuna nini😢😢

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 Місяць тому

      Acha roho mbaya wewe