RAIS SAMIA ANUNULIWA HELIKOPTA YA BIL.10,WAHANDISI,MAINJINIA WAFUNGUKA, SISI SIO MACHAWA,HATUJATUMWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 488

  • @athumanimanzabay1894
    @athumanimanzabay1894 Місяць тому +62

    Hi inchi ya ajabu sijapata kuona, hospital hakuna vitendeakazi,hakuna madawa et mnanunua helikopta mnampa mama zawadi kweli nmeamini kuna watu na viatu hii ni hatarii na nusu

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 Місяць тому +6

      Watanzania bhana, kuna watu hawwana ajira wanakosa hata hela ya matibabu si bora mngefungua hat veta msaidie vijana wapate hata ujuzi watengeneze vitu wauze waache kuagiza vitu China

    • @rweyemamurweyongeza4879
      @rweyemamurweyongeza4879 Місяць тому +5

      Wameiba vya kutosha, wakaona watoe na zawadi kwa bakishishi za wizi

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 Місяць тому +4

      Zingeongezwa kwenye mikopo ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu angalau

    • @rweumbizalugaimukamu4905
      @rweumbizalugaimukamu4905 Місяць тому +5

      Tuna shida ya akili

    • @user13375
      @user13375 Місяць тому +8

      Wamesoma lakini hawana akili😮😮😮😮

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k Місяць тому +12

    Haija kaa sawa,sijui imepewa taasisi ya urais au amepewa samia kama samia,au ccm kufanyia kampeni, ndege wapewe muhimbili kubebea waliozidiwa au wanaopata ajali mikoani

  • @husnmjuba4978
    @husnmjuba4978 Місяць тому +14

    Mmehonga helcopter, mmefanya vizuri sana. Basi muangaliage na maslahi ya wafanyakazi wenu. Furaha ya Raisi ni maslahi ya wafanyakazi kukaa sawa.

    • @celestinekimaro8996
      @celestinekimaro8996 Місяць тому +2

      Hii ina maana HATA kazi wanazopewa wanazifanya kisiasa zaidi kuliko kitaaluma

  • @alphoncehanura3255
    @alphoncehanura3255 Місяць тому +8

    Ni Rushwa tu ,hakuna maelezo zaidi .

  • @CatherineDaudiMaswai
    @CatherineDaudiMaswai Місяць тому +9

    Wapeleke hizo hela vijijni masikini kuwajengea nyumba,, maji,umeme nakadhalika hivyo ndio kumsaidia Raisi wa Tanzania itakua ni bora zaidi🙏

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 Місяць тому +14

    Kwa Nini msiwanunulie JKT,askari wa wanyama pori na wengineo wanaotaabika na ulinzi wa watanzania na Mali zao ?????.

  • @hbdina
    @hbdina Місяць тому +2

    🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Hii nchi ya ajabu sana awajui izo pesa niza wananchi wallpa kodi.Asante kazi zenyewe mbovu kula pesa za wananchi walipa kodi

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr Місяць тому +9

    Kuwa na degrees au masters haimaanishi kuwa ndio kipimo sahihi cha akili salama.

  • @michaelnjau741
    @michaelnjau741 Місяць тому +6

    Basi hawa wakandarasi ni wapumbavu sana. Siku zote wakandarasi huwa wanalia kukosa vitendea kama mashine na mitaji. Msituone vichaa bana ni bora mngekaa kimya. Is better angenyamaza tuu

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +3

    Wakati wa Mungu ukiwadia serikali ya wananchi itazichukua Mali zote za ccm kwa kuwa ni jasho la watanzania wote.

  • @jumashimba9620
    @jumashimba9620 Місяць тому +22

    Mmepiga pesa kwenye barabarani. Mnajua mtapata zaidi

  • @rajabusaimon7662
    @rajabusaimon7662 Місяць тому +11

    Nibola hiyo hela mngeongeza mitambo ya kisasa mkabolesha kampuni zenu tu

  • @GodfreyMwendawila-ff7on
    @GodfreyMwendawila-ff7on Місяць тому +6

    Ndo utajua wenye madaraka wengi hawana mawazo wote ni wakulupukaji maana naamin wangejenga hospital au shule zenye thaman hizo hata Mungu angewapa maisha marefu ila Cha ajabu wanamnunulia raisi ndege ya kampen hakika Hongera nchi yangu TZ

  • @jumamkwanda8031
    @jumamkwanda8031 Місяць тому +17

    Yaani hizi ni Fikira finyu,,Mainjinia ambao tunawaamini ndio Wasomi wanakuwa na Fikira Mgando kiasi hiki,Hivi hizo Bilioni kumi wangefikiria kujenga zahanati pamoja na kununua vifaa tiba vyake tungepata zahanati ngapi?hiyo ndio ingekuwa kumsaidia Rais kwenye kampeni positive sio Hivi mlivyofanya

    • @piusmaduka
      @piusmaduka Місяць тому +2

      wasomi ni wengi lakini wenye elimu na maarifa ni wachache

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb Місяць тому

      Bora wangenunua kwa ajili ya kubeba wagonjwa kuwakimbiza rufaa huo ni unafiki

    • @MageAwe-hl5zb
      @MageAwe-hl5zb Місяць тому

      Siasa tupu msitufanye mboya hizo ni maswala ya siasa

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan Місяць тому +10

    HIVI MNATAKA KUTUAMBIA NINI KWA KITENDO HIKI?
    10b. Gift! Aisee hapana mchezo. Sisi hatuna Bima ya afya, dawa hospitalini vitendea kazi zahanati clinic vijijini hamna. Barabara hamna, maji hamna, umeme hamna.
    Samaki kitoweo na biashara ndogondogo hamna tena.
    ☁️ *GIZA NENE. MBELENI HATUJUI KUNA NINI*

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 Місяць тому +10

    Ndege hainunuliwi na mtu au watu binafsi akapewa Rais wa Nchi hapo mwandishi unaongea Na mwehu

  • @thomasmallya2972
    @thomasmallya2972 Місяць тому +4

    Nyie ni machawa wapigaji mnanunulia rais elkopta ili apite muendelee na upigaji wenu

  • @josepherjosephpaul1138
    @josepherjosephpaul1138 Місяць тому +1

    Mungu! Mungu! Huruma ys Yesu ishuke juu ya masikini watanzania. Mungu! Watanzania tunaoteseka tunakuita! Mungu angalia! Mungu shuka Baba uone

  • @user-qo2nf6vm7k
    @user-qo2nf6vm7k Місяць тому +21

    Hiyo ni rushwa

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 12 днів тому

    Wanaomba kazi hao cha msingi wafanye vizuri wasiripue wachina wamefanya kazi vizuri sana na wako makini sana kazi

  • @stanslausbernard5950
    @stanslausbernard5950 Місяць тому +26

    Haya ndiyo sliyoyskataa mwl. JK. Nyerere. Kuna maslahi Gani nyuma ya ununuzi wa helkopta hiyo kwa walioinunua?

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 Місяць тому

      @@stanslausbernard5950 ukisikia kumkaanga samaki kwa mafuta yake ndiyo hii.

  • @iddiramadhani5111
    @iddiramadhani5111 Місяць тому +8

    @MILLARD AYO Waulizeni hao machoko maswali ya msingi kwanini hawachangii maendeleo au wasiojiweza ?????????????

    • @miriambushiri9870
      @miriambushiri9870 Місяць тому +1

      Are not competent kabisa kwann wasiulize kuna hospital hazina dawa majengo matupu why asiulize maswali mazito yenye tija

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 Місяць тому +4

    Sawa lakini kisiasa hii ni mbaya sana kwa Rais kupewa zawadi kama hizi yeye kama yeye inaleta tafsiri mbaya yenye lengo la ufisadi.

    • @justinmnkeni7691
      @justinmnkeni7691 Місяць тому

      Mipango yote ya maendeleo inaibuliwa na raisi au ni ya ujenzi tu?. Pelekeni kwenye huduma za jamii mkajenge miundo mbinu ya shule.

  • @abelmbijima4324
    @abelmbijima4324 Місяць тому +1

    Zawadi au rushwa au takrima helkopta jeshi zipo kwani anitumia kila siku? Haya yetu macho Chinyumba uko vizuri sana

  • @januarylugasio3838
    @januarylugasio3838 Місяць тому +2

    Acha kujikanyaga, mmezingua pelekeni huo msaada Kwa raia, wanashida sana, mmeonyesha mko mlengo upi, ni siasa hiyo

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle Місяць тому +8

    Rushwa ya helcopta ili muendelee kupewa Kazi ya kutujengea bara bara mbovu hongera sana

    • @petermogha7025
      @petermogha7025 Місяць тому

      Mulimchangial. Lissu kununa gari kwann msipeleke jkt

  • @Tesla_Samu
    @Tesla_Samu Місяць тому +17

    Tanzania tangu magufuli alivyo fariki hatuna muelekeo tupo kama Kenya.

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 Місяць тому +2

      Wewe ndiye huna muelekeo,by the way unaweza kumfuata Magufuli ili ukapate mwelekeo huko

    • @ronaldissack3338
      @ronaldissack3338 Місяць тому +2

      Utofauti upo kwenye utaifa,wao wakenya sisi ni Watanzania .

    • @davidsebastian661
      @davidsebastian661 Місяць тому

      ​@@walidmgonja3644kuna wasi kwako

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 Місяць тому

      Kweli kabisaa uyu bibi hamna ki2...!!

    • @aishakhamis2996
      @aishakhamis2996 Місяць тому

      Kweli kabisaa uyu bibi hamna ki2...!!

  • @user-zh3cf5wk1k
    @user-zh3cf5wk1k Місяць тому +4

    Ngoja kwaza nicheke mie🥴🥴

  • @johnkaliwanje434
    @johnkaliwanje434 Місяць тому +1

    hapa inaonyesha hawa watu wanapata pesa nyingi sana lakin ss wengine maisha ni magumu sana, barabara za vumbi, folen za ajabu, gharama kubwa za matibabu n.k

  • @MalkiadiNaano
    @MalkiadiNaano Місяць тому

    Hongera mumeamua jambo jema, ni haki yenu kutumia fdha zenu kwa namna mmunayoona inafaa.,na wao wanaofkiiri tofauti wamchangie au wakichangie hicho wanachokiona wao ni muhimu .Watu tuache wivu

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk Місяць тому

    Hongereni pia wahandisi Mainjiniana wotewahusika waZawadi hiyo uo ni uugwana mkubwa sana

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk Місяць тому

    hongera Máma Samia kwa kuwajali wazawa

  • @SeveriniPeterMkini
    @SeveriniPeterMkini Місяць тому +7

    Mmemnunulia yeye binafsi au mmenunua kwa ajili ya RAISI ? na kama ni kwa ajili yake binafsi kutokana CHEO chake hiyo ni Siasa ndg, ndege hiyo ipelekwe Ikulu iwe ni Mali ya SARKALI.

  • @piusmaduka
    @piusmaduka Місяць тому +2

    duh! JPM aliwabania hawa upigaji ndo maana saivi wanarudisha fadhira

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 Місяць тому +4

    Ebu acheni kutufulia chama chetu na Rais wetu . Hii itatafasiriwa kama takrima.
    Changieni miradi ya maendeleo bhana.

  • @edwinraymond3404
    @edwinraymond3404 Місяць тому +4

    YAN BONGO BONGONI UNAONGEZA MAJI BAHARINI NYIE😅😅😅

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 Місяць тому +4

    hata Aibu huna eti tunachangia wizi huo

  • @Didaskamili
    @Didaskamili Місяць тому +3

    Ni vibaya sana mlipaswa kununua kwa akili ya msaada ya watu maskini pesa hizo wSiojiweza ni wengine

  • @BashiteDavid
    @BashiteDavid Місяць тому

    Hongera msemaji wa wainjinia tanzania haikuwai kutokea kwamara ya kwanza ndooo tunaona mungu awabarika

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi Місяць тому

    Dah mungu tulindie tanzania ye sijui tuko mbele au mwanzoni au nyuma atuelewekii sasa ndio maisha ganiii ayaa

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +1

    Magufuli alikataa kusapotiwa na mijitu kamahaya ili asijekua mtumwa wao

  • @user-ol9vu1ln4p
    @user-ol9vu1ln4p Місяць тому

    Hongeren sana kwa Hilo nawapongeza kwa aslimia100%

  • @jumanneally6456
    @jumanneally6456 Місяць тому +1

    Ukiskia umburula ndio
    Huu Yani mnatufanya
    Watanzani ni wajinga

  • @AlexMakungu
    @AlexMakungu Місяць тому

    Huyo jamaa hayupo sawa nchi s ni ya matajiri tu ila wa chini tukichoka kazi ipo❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 Місяць тому +1

    Ata mwanangu wa nursery kaelewa km ni rushwa 😢

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q Місяць тому +38

    Rais hapewi zawadi akiwa madarakani. Watanzania sio wajinga.

    • @dancerboy2686
      @dancerboy2686 Місяць тому +4

      ukwel mtupu

    • @israelsimba4954
      @israelsimba4954 Місяць тому +2

      Rais kulingana na govt standing orders akipewa zawadi anatakiwa kuitoa kwa serikali.Sio ni personal property yake.

    • @machakuroger7068
      @machakuroger7068 Місяць тому +1

      Zawadi anapewa ila anaiwasirisha kwa jamii,

  • @user-su6xu7ks7m
    @user-su6xu7ks7m Місяць тому

    SGR NA DARAJA LA BUSISI IMESIMAMA KUNAMANTIKI GANI.HII ITAMWANGUSHA RAIS ASICHAGULIWE.

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 Місяць тому

    aisee hii nchi inapoendea sijui

  • @duniakidogo8516
    @duniakidogo8516 Місяць тому +10

    Huu ndio uchawa halisi.

  • @user-rt7hr4ey2q
    @user-rt7hr4ey2q Місяць тому

    Mama nakupenda sana lakini hiyo chops waliyo kinunuliya sipande Bora tumiya gari kama marehemu mkufuli

  • @MOJAZAIDI.
    @MOJAZAIDI. Місяць тому

    Liaiijekuwa tego, MUNGU mlinde RAIS wetu

  • @isaacsimon3580
    @isaacsimon3580 Місяць тому

    Wahandisi na mainjinia maana ni moja rekebisha

  • @IbrahimKasambala-ts8re
    @IbrahimKasambala-ts8re Місяць тому +2

    Mwandishi unasumbuka bure huyo sawa na dr. Shika

    • @ms_teeonly
      @ms_teeonly Місяць тому

      Duh 😂😂😂😂

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly Місяць тому

    Wanafiki wakubwa,kwa nini hiyo pesa msisaidie kundi la maskini wanaolala bila ya kula kwa ajili ya haki ngumu ya maisha??
    Tena Rais angewaona watu wa maana sana kuliko hicho mlichokifanya😊🙏🏻

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Місяць тому

    KUWAPA TENDA WAZALIWA NI WAJIBU WAKE KAMA RAIS. WATANZANIA TUNAJIKAANGA NA MAFUTA YETU WENYEWE. HII NI RUSHWA

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 Місяць тому

    R.I.P MY BEST PRESIDENT MAGUFULI,,,ANGEKUWEPO WOTE MNATIWA NDANI MTOE RIPOTI YA HIZO PESA

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz Місяць тому +1

    Mama anatakiwa afanye kampeni na Gari ili ajionee Shida za wananchi

  • @user-fn6xy1ku7d
    @user-fn6xy1ku7d Місяць тому +1

    Hiyo pesa mngeongeza upana wa barabara ya changombe ambayo haieleweki ni njia moja au ni mbili

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Місяць тому

      Barabara zote zinatakiwa ziwe njia nne. Miaka 60+ ya uhuru bado barabarani ni finyu. Hata ajali zingepungua sana.

  • @BashiteDavid
    @BashiteDavid Місяць тому

    kiukweri wakandarasi hiki mulicho kifikilia hongereni sanaaa maana mama anapambana na hiiinchi umungu awa fikikirie na awaongeezeee wakuwasapoti na mm nawasapoti

  • @user-ti8fw5wm8f
    @user-ti8fw5wm8f Місяць тому

    Yaani wananunua Kwa pesa za Tanzania harafu wanapitisha nyuma ya mgongo

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq Місяць тому

    Huyu jamaa ndio hao wanaojilimbikizia makontrakti ya hewa.

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa Місяць тому

    Anastahili na zaidi

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 Місяць тому +1

    Hizo ni kampeni na huo ni uongo sio nyinyi mliotoa pesa.

    • @iddiramadhani5111
      @iddiramadhani5111 Місяць тому

      kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 Місяць тому

    Kodi zetu hiziiii
    Weziii sanaaa

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs Місяць тому

    Kw nini hamuigi Burkina faso chini ya Ibrahim Traore? Yule ni mwanaume bwana. Mwaana Africa halisi. Viva Traore

  • @user-bm2pd8jd3u
    @user-bm2pd8jd3u Місяць тому +1

    Mafundi walio wengi inchini mwetu tunakufa masikini na mchango wetu kwa bahati haionekani leo mnakwenda kutoa rushwa kwa raisi ili azidi kuafumbia macho wawekezaji waendelee kutunyonya muogopeni Mungu.

  • @user-dr2lk7im7r
    @user-dr2lk7im7r Місяць тому

    Hao mainjinia waikague ubora wake isije ikakuangushia kwenye mbuga ya selou kama iliyomuua Filip Njombe.

  • @user-bg8zz5vw5v
    @user-bg8zz5vw5v Місяць тому

    Mbona hamkupa jpm au alikuwa sio rais

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw Місяць тому

    Amechangiwa kwa kazi nzuri na sio pesa ya serikali muache roho za husuda

  • @user-zr4gl5cs8n
    @user-zr4gl5cs8n Місяць тому

    Huyu mwandisi hafananii na hela anazo sema inaonyesha dhahiri kuwa hizi ni fedha za wananchi wanazipigia kampeni

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o Місяць тому +2

    Rais akitokea pwani watanzania wengi wanalia hasa wahali yachini....watu wapwani wanapenda starehee na safari za nje haya kanunuliwa Helikopta bado boat

    • @chingaboy1149
      @chingaboy1149 Місяць тому

      😂😂😂😂😂mtaelewa tu cimnajifanya wazalendo nyinyi 😅😅😅😅

  • @ssalimsalim3864
    @ssalimsalim3864 Місяць тому

    Daaah!!kwa kweli hii nchi kweli ya ajabu sana vitu km hivi kwenye nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuvisikia,sababu hata mngejenga mashule,mahospital,kununua madawa,kutengeza mabarabara mabovu bado ingekua big support na respect hata kwa wananchi kwa jumla instead of individual.

  • @nicksonjk8479
    @nicksonjk8479 Місяць тому

    Simngeenda kuboresha huduma za jamii kama hospital au shule za umma kuliko kwenda kununua chopa ya ccm.

  • @emanuelmwakasungula3052
    @emanuelmwakasungula3052 Місяць тому

    Tukiona barabara mbovu chini ya KIWANGO mwanzo huu hapa

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f Місяць тому

    Aseeee huu niuni kabisaa iyoo ni laaana wee baba umeshiba uwezi kukumbuka mweny njaaaa

  • @zawadikarlesaxson2870
    @zawadikarlesaxson2870 Місяць тому

    Kunawatu wanauwitaji si wangewawezesha hao watu izo bilion 10

  • @Keyjop
    @Keyjop Місяць тому

    Hivi nisawa rais kupewa zawadi akiwa madarakani au rugha ya mwandishi ndio imezingua
    .. 🤔

  • @SalomeKiduko
    @SalomeKiduko Місяць тому

    Mngemzawadia ujennzi wa barabara zilizochakaa ni nyingi na hazipitiki.mngeeleweka.

  • @godsonbujuli9367
    @godsonbujuli9367 Місяць тому

    Jenga hosptari acha unafiki (Raisi ndege anayo)

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 Місяць тому

    Pumbafu kabisa ila hii nchi inawajinga wengi sana

  • @jorammasunu7040
    @jorammasunu7040 Місяць тому

    Hiyo ni kazi ya ccm,je mmepeleka ombi lenu kupitia ccm kwa sababu maamuzi mengine ni ya kujipendekeza tu

  • @user-su6xu7ks7m
    @user-su6xu7ks7m Місяць тому

    HII INAMAANA GANI MAANA HAIJAWAHI KUTOKEA KUANZA CAMPAIGN MAPEMA. WANANCHI SIYO KONDOO KULAZIMKUMCHAGUA RAIS.KUNAMASHAKA NA WASIWASI NA NI HONGO.JPM ALISIMAMIA UJENZI WA MABARABARA AKAJULIKANA !

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 Місяць тому

    Watu wa ajabu sana hii nchi,, Kumbe usomi nao ni ujinga tyuuu,,

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Місяць тому +7

    Machawa wakubwa nyie!! Mnapiga pesa zetu halafu mnajipendekeza kwa Rais ili muendelee kupewa miradi, Wanafiki wakubwa nyie, labda nyie sio Watanzania.

    • @hamisimkulu6571
      @hamisimkulu6571 Місяць тому +1

      Raisi wetu watakusema watu waupinzani achana nahio helkopta tunaelekea kwenye uchaguzi achana nahizo zawadi wakikupa ipokee itoe hadharani kwajeshi

  • @lordymawoiya5818
    @lordymawoiya5818 Місяць тому

    A Tanzanian contractor must be given job mpaka aonge is it not their right

  • @mahrooqsuleiman7216
    @mahrooqsuleiman7216 Місяць тому +2

    Rushwa

  • @user-rn9og1rk3l
    @user-rn9og1rk3l Місяць тому +4

    Jinga kweli
    Kwanza huyo siyo engineer ni mujinga flani tuu

  • @hudsson75
    @hudsson75 Місяць тому

    Injinia na muhandisi ni mtu mmoja, tofauti ni Lugha tu. Engineer ni kingereza na muhandisi ni kiswahili

  • @johnjilala415
    @johnjilala415 Місяць тому +1

    Tunavyo yaona haya ndo tujue mama amelegeza mvuma mpaka mpaka nati zinadondoka zenyewe na tunako elekea kalibia hata supana yeyewe itapwaya kama sio kupotea...😭😭 Tanzania yangu.

  • @user-dr2lk7im7r
    @user-dr2lk7im7r Місяць тому

    Samia wafutie vyeti vyao vya ukandarasi wanakuchafua.

  • @jonaspatrick2871
    @jonaspatrick2871 Місяць тому

    Rushwa hiyo, mnataka kumpa raisi rushwa hadharani kabisa ili awape tenda zaidi baadae.
    Changieni kwenye maendeleo mengine kama shule na Balabala. Samia say no to that, please!!! Rushwa hiyoo

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 Місяць тому

    Jamaa hata kujielezea anashindwa , mmefeli

  • @dillonfoya
    @dillonfoya Місяць тому

    Kutumia wakandarasi wa nje kutekeleza miradi Mikubwa inafanya fedha nyingi kwenda nje ya Tanzania nadhani kuwawezesha Wakandarasi wa ndani itatupa faida kubwa

  • @taylorkasitu3819
    @taylorkasitu3819 Місяць тому

    Hiyo ni hongo wanataliwa kuchukuliwa hatia

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Місяць тому +1

    🎉Astahiki. Si hata Mbowe atembelea hiyo?
    Kenya zaidi ya Mawaziri 10 wana helicopter binafsi.

  • @LomnyakiLukumay
    @LomnyakiLukumay Місяць тому

    Kwani mama amewamembia Ako na shida ya hekofta jipendekezeni tu

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 Місяць тому

    Magufuli hakutakaga hayo Mambo yenu hadharani

  • @user-dj1vm7xu6k
    @user-dj1vm7xu6k Місяць тому

    Hiyo ni rushwa, bila kupepesa macho.

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en Місяць тому

    Nimeishia kati kusikiliza huu ujinga

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 Місяць тому

    Helikopita kwaajili ya kampeini..hii ni hongo ila takukuru kimya