Jaman Tumepatwa na nini Tz Haya Matukio Mbona Yamezidi Jamani 😢😢😢. Alf Matokeo yake ni nini!! Mbona Watu Wanaishia Jela. Nyie Waganga nyie!! Nyie hamtakufa, Kuwadanganya watu Wabake na Kuua!!
Samia nchi hawezi kuiongoza,,,tangu awe rahisi mauwaji ya ukatili,,,ubakaji na utekaji yamezidi,,,,na yeye hajali,,,mapolisi hawajali,,,,nchi umekuwa mbaya na hakuna Amani kabisa,,,,hata vitabu vya dini vinasema,,,,mwanamke hawezi kuwa kiongozi.
Angekuwepo Magufuli angesema tufunge tuombe ,Wamama Tupande mlimani tuombe Mungu jamani tuache mambo mengine kwanza lasivyo Tutaisha Tusipomlingana Mungu
Dodoma uchaguzi unaokuja ondoeni CCM wote huo mkoa halafu muone kama hamtaishi kwa Furaha na amani Kuna watu Viongozi hawajali wala kusikia vilio vyenu..Kila leo ni watu kutekwa,kuuwawa,kuibiwa kujichwa Poleni sana
Eee Mungu jitokeze Jitokeze Jitokeze wanao Tunakulilia ,serikali imeshindwa ,wachungaji wameshindwa ,maaskofu wameshindwa Eee Mungu wetu Tusamehe Yamkini Ni Gadhabu yako Tuhurumie Baba
poleni sana Mungu awape nguvu
Mungu wewe ndio utatoa adhabu kwa hawa watu waliokatishq maisha ya h
Ii familia
Tuko nyakati za mwisho , tuombe Mungu atusaidie sana
Daaah jamn inuma achen
Jaman Tumepatwa na nini Tz
Haya Matukio Mbona Yamezidi Jamani 😢😢😢.
Alf Matokeo yake ni nini!!
Mbona Watu Wanaishia Jela.
Nyie Waganga nyie!! Nyie hamtakufa, Kuwadanganya watu Wabake na Kuua!!
Kama huku chidachi kwetu wezi wamezidi jamani unalala unashtukashtukatu pole sana kwa familia Mungu atutetee kwakweli
Uhuuuu 😭😭😭😭
Kuna nini dodoma jamani!Eee Mungu turehemu hii nini jamaniii!
Allahu Akibarr. 😭
Nimelia Mimi nimelia.Mungu shuhulika na hawa waliwakatili maisha mama na mtt
MUNGU tuhurumie nahii roho ya mauti jamanii huruma sana
Jaman eee Mungu tuonee huruma watu wa Dodoma. Ni nini kimetuingilia mji huu. Wapumzishe kwa amani
Hivi VILIO sujui zinafika KIZIMKAZI 😢AU NI DRAMA KAMA ALIVYOSEMA
Aise 😢inauma sana .
Wallah inauma sana polen jmn
Mh.... Jamani hao watendaji ni watu au majini
Jmn huu mwaka tumuombeni mungu sanaaana unamengi
Duuuu Dodoma Kuna nn
😢😢😢😢😢😢😢 nimeishiwa nguvu
hii inaonesha jinsi gani serekal yetu ni mbovu😭😭😭😭
Duuu jamani hivi askari wapi kweli haya matukio
Braza ukitaka kujua askali wapo wakosoe au watukane viongozi au maagizo hatoe juu braza wanakua active! Haya mengine km vile yanatokea nje ya nchi
Jmn mbn h Dunia imeisha
ukiona mtu anavaa chupi kichwani usishangae
ivi naota au kweli
Mbona Tanzania itabia imezidi jamani jamani mungu to saidie jamani😅😅😅😅
Serikali ipo wapi mbona mambo hivi yapo yanashaza hivi
Mbona wanandamu tumekuwa wakatili kuriko ata shetani
Hivi dodoma Kuna Nini jamani
Majanga inatisha
IVI WATANZANIA MMECHOKA KAMA MIMI AU BADO NGUVU MNAYO,,inasikitishaaaa😭😭😭😭
Akuna ambae ajachoka ndugu yangu nivile atuna chakufanya 😭😭😭😭😭
Sub hanna llaah jamani roho gani hizi za kinyama
Dodoma sasa imezidi
Samia nchi hawezi kuiongoza,,,tangu awe rahisi mauwaji ya ukatili,,,ubakaji na utekaji yamezidi,,,,na yeye hajali,,,mapolisi hawajali,,,,nchi umekuwa mbaya na hakuna Amani kabisa,,,,hata vitabu vya dini vinasema,,,,mwanamke hawezi kuwa kiongozi.
Serikali inachukulia poa haya matukio,Haiti adhabu kali
Hakuna kitu kinanikera unapolia kwa uchungu unapopoteza mpendwa wako halfu mtu anakwambia nyamaza ,usilie...acha alie apunguze uchungu nyie
Kwa kwel bora umesema sababu wanakuwa hawajui uchungu anaoupata uyo mtu
Angekuwepo Magufuli angesema tufunge tuombe ,Wamama Tupande mlimani tuombe Mungu jamani tuache mambo mengine kwanza lasivyo Tutaisha Tusipomlingana Mungu
Si ufunge tu kwani mpaka Raisi aseme acha ushamba
@@halimamasai2234tupo na Rais freemason ndiyo maana kwenye uislamu hayupo wala ukristo huyu kimkazi nchi imemshinda urais wa Samia Mungu kaukataa
Mbona hatuskii sauti ya ukali kutoka kwa viongozi wetu jaman,viongozi wa dini,viongozi wa serikali tunaomba ebu semeni kitu kuhusu Tanzania yetu jaman
Dodoma uchaguzi unaokuja ondoeni CCM wote huo mkoa halafu muone kama hamtaishi kwa Furaha na amani
Kuna watu Viongozi hawajali wala kusikia vilio vyenu..Kila leo ni watu kutekwa,kuuwawa,kuibiwa kujichwa
Poleni sana
ukiona mtu anavaa chupi kichwani usishangae