TUIMBE KWA FURAHA- KMMM || Mtunzi: Paul Mike Msoka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 кві 2024
  • Karibu Kutazama Wimbo Mzuri wa Kumsifu Mungu ,
    Mtunzi: Paul Mike Msoka
    Organist: Paschal P. (DUKE)
    Sound Eng.: SHIMANYI FM
    Video: Director MDETE TM
    Audio: CGEN PRO
    #kwayakatoliki #africangospel #praiseandworship #catholicchurch #trending #music #tanzania #choir #new

КОМЕНТАРІ • 202

  • @yustobitalio3597
    @yustobitalio3597 3 місяці тому +9

    Woow, nafurahi hili tukio limenikuta hai❤. Wimbo mzuri, waimbaji wazuri, Kila kitu kizuri.. Up University of Dodoma. Keep it up lads 🎉

  • @veronicanyangwilamalindila
    @veronicanyangwilamalindila 3 місяці тому +7

    Hongereni sana waimbaji, safiiii❤🎉🎉

  • @nestorykasisi2161
    @nestorykasisi2161 3 місяці тому +4

    🎉🎉🎉🎉 mauwa yenu mko vizuri

  • @lucasgeorgeshehizza5323
    @lucasgeorgeshehizza5323 3 місяці тому +2

    Hakika mungu ni mwema mmeimba vizuri sana

  • @VailethMketo
    @VailethMketo 3 місяці тому +5

    Wow! Good job wana KMMM keep it Up❤

  • @MaxmilianWaziriIan
    @MaxmilianWaziriIan 3 місяці тому +4

    Congratulations 🎉

  • @msokasgallery8323
    @msokasgallery8323 3 місяці тому +3

    So nice 🙌🙌 Hakika nimebarikiwa na utume wenu. Mungu awabariki sana

  • @athanasbalama9727
    @athanasbalama9727 3 місяці тому +5

    Kazi nzur ,,,,,🎉

  • @samwelilaitei1662
    @samwelilaitei1662 3 місяці тому +3

    Kazi nzuri sanaa watumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @Arati896
    @Arati896 3 місяці тому +4

    Nzuri ❤😊

  • @aidanngaiza6352
    @aidanngaiza6352 3 місяці тому +2

    Hongereni sana KMMM UDOM Ntakuja kuwapa surprise

  • @zawadikanada3780
    @zawadikanada3780 3 місяці тому +3

    Mungu awabariki Sana nyimbo nzuri hii jamani, hakika Mungu mwema mumeinjilisha vizuri sana

  • @Mgeta_official
    @Mgeta_official 3 місяці тому +7

    Kazi nzuri 👍

  • @vencykweka2232
    @vencykweka2232 3 місяці тому +4

    🎉🎉🎉 wow ,so amazing kwaya kwa afya.....😊

  • @jastinliborous
    @jastinliborous 2 місяці тому +2

    Mungu awabariki kwa kufanya kazi ya mungu vyema ❤

  • @happynesssilayo7711
    @happynesssilayo7711 Місяць тому +1

    waooh hongereni sana wimbo wenu mzur mno nimebarikiwa sana

  • @MkuyuNdagiwe-ws7ks
    @MkuyuNdagiwe-ws7ks 3 місяці тому +8

    Very nice KMMM Mungu ibariki kwaya hii pendeza sana

  • @dottomarikatv780
    @dottomarikatv780 3 місяці тому +2

    Furaha Tele

  • @jecintahkibuku5923
    @jecintahkibuku5923 2 місяці тому +1

    Wimbo wapendeza, mwapependeza sanapia🎉🎉🎉❤❤❤

  • @EdinaMichael-lo7mr
    @EdinaMichael-lo7mr 3 місяці тому +1

    Wimbo mzuri sana mbarikiwe sana wanakwaya wa kwaya ya Mtakatifu Marko Mwinjili

  • @Vee_money
    @Vee_money 3 місяці тому +3

    Mbarikiwe sana watumishi

  • @SamweliSalvatory
    @SamweliSalvatory 3 місяці тому +3

    Blessed voice .my favourite choir🤗🤗

  • @bernadethacarlstedt624
    @bernadethacarlstedt624 3 місяці тому +3

    Ogera kwa wimbo mzuri ❤

  • @user-cf6bk8lr7o
    @user-cf6bk8lr7o 3 місяці тому +5

    Wimbo mzuri sana, Mungu aendelee kuibariki kaz ya mikono yake♥️🙏

  • @mainakariuki4033
    @mainakariuki4033 2 місяці тому +1

    Tumshukuru Mungu asubuhi hadi jioni. Watu mnavutia na wimbo unapendeza.

  • @maryjcharles2306
    @maryjcharles2306 3 місяці тому +3

    Very nice song
    Mungu azidi kuwainua na kuwaimarisha daima

  • @edinahamis8984
    @edinahamis8984 3 місяці тому +5

    Jamani mmeupiga mwingiii KMMM ♥️♥️ MUNGU awajalie kuupenda utume bila kuchokaa 🌹🥰🔥🔥🔥

  • @vicentnkondola1033
    @vicentnkondola1033 3 місяці тому +1

    Mungu na aibariki kazi ya watumishi wake🙏🙏👏🤝

  • @YovithaAlex-hi4uj
    @YovithaAlex-hi4uj 3 місяці тому +1

    Kuimba ni kusali mara mbili ongeren sana Marco mwinjil kwa utume🎉

  • @boazlungwa7865
    @boazlungwa7865 3 місяці тому +1

    Hongeren saàn Hakikika kuimba ni kusali mara Mbili alivyosema Mt.Augustiono wa Hippo

  • @EmmanuelJMbuya
    @EmmanuelJMbuya 3 місяці тому +5

    💯❣️Hongereni kwa uimbaji mzuri.

  • @sukizzy
    @sukizzy 3 місяці тому +3

    Safi sana waimbaji,

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 2 місяці тому +1

    Asante sana wimbo mzuri, ila nawaomba waimbaji wa kike msifuni Mungu kiukweli kwa kutotumia nwele za bandia kwasabu hapo mnamsahihisha Mungu kazi yake ya uumbaji .Asanteni sana.❤🎉❤🎉

  • @deulegervas1303
    @deulegervas1303 3 місяці тому +3

    Imebarikiwa mikono ya Paul Msoka...
    Hongeren waimbaji kwa kutendea haki wimbo

  • @BrianChami
    @BrianChami 3 місяці тому +5

    Unyama ni mwing sn....mpk unamwagika #ecowater

  • @MagdalenaEdward-qy5zs
    @MagdalenaEdward-qy5zs 3 місяці тому +3

    Yeye ndiye Mungu wetu 🤝🤝Kazi nzuri maengineer ,,be blessed Sana💞🫂

  • @StiveMasaka
    @StiveMasaka 3 місяці тому +3

    Haki zote zimehifadhiwa hakika tumuombe Mungu atujalie Karama zetu zikawe chachu ya injili na Habari njema za ukuu wa Mungu 🙏🤲

  • @benetsonmujuni9455
    @benetsonmujuni9455 3 місяці тому +2

    Waaaaoh, I just have to say BRAVOOOOO🎉🎉🎉

  • @frankedward3335
    @frankedward3335 3 місяці тому +2

    Hongereni Sana wapendwa Kwa kazi nzuri🙏🙏

  • @leonardjamesleons4038
    @leonardjamesleons4038 3 місяці тому +4

    Hongereni sana nimefurahi sana kumuona mdgo wangu Marco Edward Busalu, 🎉🎉❤

  • @monicamfanice8972
    @monicamfanice8972 3 місяці тому +1

    Vyema watumishi wa Bwana shambani mwake.. wimbo mzuri sana umenibariki, Mungu awabariki zaidi 🌹❤️

  • @angelinakibassa2698
    @angelinakibassa2698 3 місяці тому +1

    My all time choir...nawapenda hongereni kwa kuimba vizuri

  • @Mteuledidace
    @Mteuledidace 3 місяці тому +5

    "Tuimbe sifa, sifa za MUNGU wetu,
    "Tuimbe sifa, Leo hata milele.🙏

  • @football-zs6cc
    @football-zs6cc 3 місяці тому +3

    Hongereni wimbo mzuri

  • @FABIANBENARD
    @FABIANBENARD 3 місяці тому +4

    Nice, well deserved more claps, congratulations

  • @vailethcyrilo2829
    @vailethcyrilo2829 3 місяці тому +2

    🔥🔥

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 2 місяці тому +1

    Hallelluya ,Atukuzwe Mungu tuimbe kwa shangwe, Hongereni sana ❤❤❤

  • @EngneerTz
    @EngneerTz 3 місяці тому +2

    Kazi nzur sana mbarikiwe tusapotiane wote nas tuna kazi coming soon

  • @arisisar
    @arisisar 3 місяці тому +1

    Hongera Wana KMMM

  • @ChristopherJacksonGombo
    @ChristopherJacksonGombo 3 місяці тому +1

    Hongereni sanaaaa wanaMarko

  • @DirectorDeiv
    @DirectorDeiv 3 місяці тому +1

    VIDEO KALI SANAAAAA,NYIMBO KALI SANAA

  • @MR_SHAD03
    @MR_SHAD03 3 місяці тому +3

    Love it❤

  • @frankmtawa3817
    @frankmtawa3817 Місяць тому +1

    Kazi nzuri sanaaaa❤❤❤❤❤😁😁 Hongereni sanaa sana

  • @RainaldaHamis-bh5ou
    @RainaldaHamis-bh5ou 3 місяці тому +4

    waooo hongeren Sana nasilikiza wimbo wenu nikiwa Jimbo la singida ,,hongeren kwa utume wanakwaya wenzangu kwa kuchochea INJILI kwa njia ya uimbaji ,,,na mwona teacher kelvini 🙏🙏🙏

  • @Neemalengingi
    @Neemalengingi Місяць тому +1

    Waoooo❤

  • @GraceCharles-fi1ne
    @GraceCharles-fi1ne 3 місяці тому +2

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @lukeeng.2820
    @lukeeng.2820 3 місяці тому +5

    Kazi nzuri sana familia ya Mt.marko mwinjili Mungu awabariki sana

  • @MaadiliWilbard-jw4pf
    @MaadiliWilbard-jw4pf 3 місяці тому +1

    Be blessed Kaz nzur wapendwa

  • @user-dz5pv3iw9y
    @user-dz5pv3iw9y 3 місяці тому +5

    Mungu aendelee kusifiwa kupitia watumishi wake. Wimbo mzuri sana , mubarikiwe na muifanye kazi yake Mwenyezi bila kuchoka ..Nimebarikiwa sana ❤️❤️🙏🙏

  • @JANETHALPHONCE-vr9yw
    @JANETHALPHONCE-vr9yw 3 місяці тому +1

    Ongeleni sana

  • @RestutaJoseph-nd8yt
    @RestutaJoseph-nd8yt 3 місяці тому +2

    Hongeren sana

  • @edinamwala6515
    @edinamwala6515 3 місяці тому +2

    I like it ❤.... Mungu azidi kuwasimamia KMMM

  • @greygorysulle3424
    @greygorysulle3424 3 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MichaelAlbert-nx8ri
    @MichaelAlbert-nx8ri 3 місяці тому +1

    KMMM UDOM wonderfull

  • @stellankana9070
    @stellankana9070 3 місяці тому +1

    Hongereni sana wapendwa 🥰 kazi nzuri

  • @KMMM-KNDEGEDODOMA
    @KMMM-KNDEGEDODOMA 3 місяці тому

    Hongera sana wana wa Marko muinjili mmeupiga mwingi

  • @nyamizishija7565
    @nyamizishija7565 3 місяці тому +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤ KAZI nzuri Marko Mwinjili hakika Mungu ametukuka sana ❤

  • @nyamizishija7565
    @nyamizishija7565 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @floragordian8805
    @floragordian8805 3 місяці тому +4

    woow so amazing mmeimba vizuri wote wazuri na vibe kama lote. Mungu awabariki utume wenu uenee dunian kote watu wamtukeze Mungu kupitia wimbo huu. nawapenda ❤ wote .Hakika mlipendeza sana na wimbo mzuri sana 🎉

  • @fortunatusfaustin1435
    @fortunatusfaustin1435 3 місяці тому +1

    Ongereni sana 🎉🎉

  • @ibrahmuzanye819
    @ibrahmuzanye819 3 місяці тому +2

    Hongereniii sana KMMM👏👏 Kazi ni Nzuriii imetukuka🙏 Mbarikiwe sana

  • @JustineMasasila
    @JustineMasasila Місяць тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @ElizabethMagili
    @ElizabethMagili 3 місяці тому

    hongereni sana watumishi wa Bwana,nabarikiwa kwa nyimbo zenu

  • @raphaelleo9209
    @raphaelleo9209 3 місяці тому +3

    Wow kazii nzuri mnoo waimbaji mmestahili kuwa na wimbo bora namna hii. Jina la bwana litukuzwe

  • @DominicaKimbe-zz2ds
    @DominicaKimbe-zz2ds 3 місяці тому

    Niceee song ,,mmechangamka vzur ,,,Mary umewakilisha vyemaa hongeren saanaaa

  • @JofreyJohn-jo7ck
    @JofreyJohn-jo7ck 3 місяці тому +4

    Waoooh Wanashiirikisho wenzetu, nmefurah kumwona my advance choir mate bro Thomas🙏🙏

  • @user-tl6rg5xf2f
    @user-tl6rg5xf2f 3 місяці тому +2

    Kaz bora sanaa😊😊😊

  • @wivinamakatu326
    @wivinamakatu326 3 місяці тому +1

    Ongereni sanaa❤❤

  • @NyamiziShija
    @NyamiziShija 3 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @TheresiaThobias-ex8mv
    @TheresiaThobias-ex8mv 3 місяці тому +1

    🙏🙏🙏

  • @user-gn5vu8be8m
    @user-gn5vu8be8m 3 місяці тому +1

    Good job 👏👌

  • @GeorgeMangosongo
    @GeorgeMangosongo 3 місяці тому

    Kaz nzuri pongez ziende kwenu mungu awabariki sana

  • @gabrielgumbulu6779
    @gabrielgumbulu6779 3 місяці тому

    Hongeren Kwa utume kazi nzuri , ni kweli mnamtukuza Mungu, mbarikiwe sAna

  • @philbertkimario2904
    @philbertkimario2904 3 місяці тому

    Jamani nawapenda mno mmefanya kazi nzuri Mungu awabariki kwa utume katika kwaya yenu🎉🎉🎉🎉

  • @agripinamjengi2827
    @agripinamjengi2827 3 місяці тому

    Mmeua KMMM hongereni mno

  • @fatmaelizabeth4505
    @fatmaelizabeth4505 3 місяці тому

    Aminaaa, mpo vizuri wanakwaya wangu🎉Mungu na awakirimie mema yote mnayoyatamani katika maisha yenu hasa wa uanafunzi wenu!

  • @MonicaSHIJA-zi2jb
    @MonicaSHIJA-zi2jb 3 місяці тому

    Mungu atukuzwe milele ❤🎉

  • @juliuskanje8355
    @juliuskanje8355 3 місяці тому +2

    good video

  • @marknonna
    @marknonna 3 місяці тому

    Tuendeleee na kazi njema❤ya Bwana

  • @isabujoisabujo1214
    @isabujoisabujo1214 9 днів тому

    Still Blessing My Choir

  • @SHINGWAJ
    @SHINGWAJ 3 місяці тому +1

    Mbarikiwe sana❣️❣️Mungu awatunze muzidi kumusifu na kumutumikia bila kuchoka🤗🥰🙏

  • @user-sn2il6ff9r
    @user-sn2il6ff9r 3 місяці тому

    MUNGU awabariki Zaidi!!!

  • @salehemathias
    @salehemathias 3 місяці тому

    Kila raheli katika utume

  • @blandinamayaya2563
    @blandinamayaya2563 2 місяці тому

    Shimanyi 🔥

  • @WinfridaDatus
    @WinfridaDatus 3 місяці тому

    Kazi nzuri pongezi kwenu

  • @VailethMketo-ud2ko
    @VailethMketo-ud2ko 3 місяці тому

    Mmejitaidi sana wapendwa, Mungu awabariki 🙏🙏

  • @AnilesKazoba
    @AnilesKazoba 3 місяці тому

    This is amaizing... Mungu aibariki kaz ya mikono yetuu ❤❤❤❤

  • @Hilda-vx6yo
    @Hilda-vx6yo 3 місяці тому

    hongereni sana.familia yangu pendwaaa.keep it up

  • @Shiivrie85
    @Shiivrie85 3 місяці тому

    the blessed voices of organized write up mmeutendea haki wimbo hakika congratulations

  • @edinahamis8984
    @edinahamis8984 3 місяці тому +1

    Amazing 😍🥰🔥🔥🔥