Wajua kuketi kwangu wajua kuondoka kwangu wafahamu mawazo yangu wafahamu tokea mbali umepepeta na kwenda kwangu Na pia kulala kwangu umeelewa na njia zangu Njia zangu oooh zangu zote ❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jmn wimbo huu ni wimbo bora wa mwaka na hisi mm kwaya zote za vyuo vikuu nchini Tanzania Mt. Martin De-poress SAUT ni number mmoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri wadogo wetu,,,Hngrn Sana kwa kweli Helleni selestin,,Agano,,,Na Kaka Devid Mtambo wajionea Wimbo mzr kutoka kwenye kwaya yetu eee Mungu azidi kuilinda kwaya miaka yote iwepo Amina....
Aisee nabarikiwa sana nanyi enyi watumishi wake Mungu ,hakika tutaimba duniani na mbinguni pia,Elario na dada mliupiga mwingi mno hadi ukapotea hadi sasa haujapatikana,Mungu awatunze team nzima.
ROMAN Catholic forever ❤
Bwana wajua maisha yangu yote, Mungu awabariki wote.
Kak umeupiga mwingi mno kak barikiwa na bwana🙏🙏🙏
Kazi iendelee
Najivunia kuitwa mkatoliki 3:07
Dr bongole 🔥
Wajua kuketi kwangu wajua kuondoka kwangu wafahamu mawazo yangu wafahamu tokea mbali umepepeta na kwenda kwangu Na pia kulala kwangu umeelewa na njia zangu Njia zangu oooh zangu zote ❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jmn wimbo huu ni wimbo bora wa mwaka na hisi mm kwaya zote za vyuo vikuu nchini Tanzania Mt. Martin De-poress SAUT ni number mmoja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Can I get the whole lyrics tafadhali❤❤
Wow,woow,wooooow,
Mambo ni 🔥🔥🔥
Nice
Unyama mwingi sana
Aisee Chuma ni moto hii Kwaya mnajua Kila mwaka ni kigongo Cha maana, hongereni sana❤❤
Asante sana kak
Huu wimbo ni mzuri.. hongera zenu
Amen nimemuona mwanasheria
Hongereni mno familia
Ni humu tuu ,, hongera sana fam ❣️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Asante sana
Never seen before, 😊 Roman Catholic 4rever❤❤
Nzuri sana jamen
Kazi nzurii sanaaaaaa mna sauti nzuri sanaaa🔥🔥 karibun udom
Jipangeni vzr kongamano tutakuwepo❤
Hongereni
Nyimbo nzuri sana hongeren wainjilishaji.🎉🎉🎉
Nzuri sana❤
Hongereni saana 🎉🎉
Kanisa Takatifu la Mitume!🙏🙏🙏
Nimekosekana mm tuu😅🎉
wooooh ni moto fire atar. mmmetisha saaana wana Depores kwa Mwanza your are the best na mmemtendea haki daktari Bongolee
Elario...kaka angu❤❤...umenifurahisha Jaman ..Hadi machozi...nyie ..kaka angu umenibariki...
Asante sana🙏
Mambo ni fireeeeee 🔥🔥🔥🔥
Hongereni sana familia🔥🔥
Àsante Sana mlezi wetu
Haya njooni....msikie wamerudi tena...msikie bure
another ❤
@bongole 🎉🎉🎉 st. Martin de pores❤❤
Hakika nimebarikiwa🎉🙏
😂❤❤❤
Kazi nzuri, KAZI ni kubwa🔥🔥🔥
Wee Nini hichoo mbona naogopa kazi imezidi uzuriiii🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri...barikiweni
Yaani cjui niwaambieje ila!! Kwaajili yenu atukuzwe Mungu milele
Nzurii sana aisee❤
Sawa waanzilishi wa kwaya tunafurahi
Najivunia kuwa mkatolik, nmependa keep it up 0:58
anayekujua ni mungu tu🙏🙏🙏
Aisee everytime naingia UA-cam tu because of this song, ukiangalia waimbaji na kusikiliza ujumbe,,unatambua Mungu ni mwema kwetu❤
Kitu cha ukweli 🎉🎉🎉🎉
Mtamuuuu....hauchosh kuangalia mara 100000000000❤🎉🎉
psalms 138 wazifahamu njia zangu
Nimempata Despina mpya na Kameja. nice song❤
Mungu awajazie zaid kwa uinjilishaji mwema
Hongereni wanakwaya kwa kuimba vizur
Mungu awabariki sana nawaona mbalii sana
This song blesses me really from SAUT
Welcome
Mwanagu Eralio. Ongr sana mungu akutanguliee umeuaaaaa
Familia amna kupoa 🎉🎉
Kazi nzr hongereni sana
Greetings from Oklahoma city, Oklahoma USA. Excellent, beautiful.
Asante karibu sanaaa
Bwana awabaliki🎉🎉🎉
Nyimboo kaliiii 🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzur sanaaa video nzuri na mmependezaaa. Hongereni sana familia ya Porres❤
hongerenk wadogo zangu kazii nzuri
Hongereniii wapendwa♥️♥️♥️♥️♥️
hongereni sanaa kwaya ya mt. Martine de Polesi kwa wimbo mtamu na watafakari
Ukisikia moto wa kuotea mbali ndo huu 🔥🔥🔥♥️♥️🤜🤛
Fire sana nimetamani maneno ya Fr nijiunge kwaya
karibu sanaa
Well done .Familia❤❤
Hongera Sana soloists mko vizuri Sana big up🎉🥰
Kazi nzuri sana😊❤
This heats 🎉🎉
Hongereni sana mwenyezi Mungu azid kuwabariki katika uinjilishaji kupitia kwaya
Wao ❤
Kazi nzuri, Mungu baba atawalipa nyote
wimbo mzuri sana❤🎉
🔥🔥🔥mmetisha sana
Duh mmeimba vizur mno congrats
Well done 🎉
Wimbo unabariki sana❤️🔥🔥🔥
Hongeren San kwa uinjirishaji mzur .hakika ninafarijika sananisikiapo sauti hzo nzurii.namuona ndugu yangu makoye gervas hajawah kununa
Huu mwimbo nimzur htriiii
Kazi nzuri wadogo wetu,,,Hngrn Sana kwa kweli Helleni selestin,,Agano,,,Na Kaka Devid Mtambo wajionea
Wimbo mzr kutoka kwenye kwaya yetu eee
Mungu azidi kuilinda kwaya miaka yote iwepo Amina....
Kazi safi sana......tusaidie na nota za wimbo wenyew
Good song , hakika Bwana ajua kuketi kwetu na anafahamu mawazo Yetu❤❤❤❤
Kwaya nzuri Sanaa👏👏. Wanijua🔥🔥🔥🔥
Anna umepigaje apoo
Bwana kiongozi hupoi naona et hongera sana
Hii imeenda ❤❤
Tumuimbie Bwana katika roho na kweli, Hongereni sn ndgu zangu kwa kazi nzuri..Mungu awabariki sn
Kazi nzuri Sana Mungu awabariki,mzidi kutumikia
Najivunia kuwa mkatolik, nmependa keep it up
Hongereni kwa kazi njema Wana kwaya wa Mt Martini De Pores
Good song nabarikiwa saana hongereni wanakwaya👏👏
Hii ni never seen before... Martin De Porres forever ❤
Glory to God 🙏
Kazi nzuri, Mungu aendelee kutupa nguvu, kazi iendele
Another one this song is amazing 🔥🔥🎉
Aisee nabarikiwa sana nanyi enyi watumishi wake Mungu ,hakika tutaimba duniani na mbinguni pia,Elario na dada mliupiga mwingi mno hadi ukapotea hadi sasa haujapatikana,Mungu awatunze team nzima.
Am blessed
Hakika wanijua ❤
Safiii sana kazi nzuri ndugu zangu❤❤❤
Waoooh so amazing song hii kwaya mnajua Hadi mnajua tena kwenye harusi yangu ntawaalika❤❤❤
Hongeren sana mungu awabariki san🙏🙏🙏🙏
Kaz nzuri sana hongeren🎉🎉🎉🎉
Ongereni sn God bless your work
Woouu good job crecensia
Waoooooooooooo 🌹 hongereni wapendwa wangu 🥰🌹🎉 kazi nzuri bila kuchoka mzidi kumtumikia Mungu kwa uimbaji.......,🥰🌹🎉
Sorolist umenikosha🎉🎉🎉🎉🔥🔥
Hongereni kazi nzuri