WATU IMBENI (Official video). na Bernard Mukasa.
Вставка
- Опубліковано 4 лис 2023
- Karibu kutazama wimbo huu Kutoka Kwaya ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi.
Chuo kikuu cha Dar es Salaam ndaki ya Afya na Sayansi shirikishi Mbeya (UDSM-MCHAS)
⏩ Wimbo: WATU IMBENI
⏩ Mtunzi: Bernard Mukasa
⏩ Waimbaji: St Francisco of Asis Choir (SFAC)
⏩ Production: Holy Trinity studios
⏩ Kinanda: Baraka Thomas Mashibe
Tafadhali Mpendwa, Subscribe, Like, Comment &Share.
Baraka Thomas mashibe...mwalimu wa kinanda hatari kubwa..i likenyour fingers mwalimu ❤❤
Mumetisha sana kwa mtunzi na waimbajo .Hongereni sana Mungu awasimamie katika utume wenu
Nice ❤
Kwa kweli tumshangalie na tumsifu pamoja na Malaika❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Thomas Mashibe my favourite
Wimbo mzuri
Nyimbo nzuri nimeijua kupitia makuburi walivyoiimba juzi kwenye tamasha la yesu ni mwema imenibidi niitafute japo Kuna kipande wanaimba wanaume ila Kwa hapa sijasikia how!
Na Mimi nimeletwa na haohao wanna kwaya ya Mt kizito Makuburi .nzuri mno sijui na wao watatoa 😅
Hata mm ndio nmeujua kupitia tamasha hilo.....
Same here
Same here🤣
wimbo ni wa Bernard Mukasa na kwaya ya chuo cha MUHAS ndiyo waliorekodi wimbo huu na Mukasa anaimba makuburi pengine inaweza ikawa sawa kuimbwa na makuburi pia.
Kuhusu beti kuimbwa na wanaume kwa kwaya ya makuburi huo ni umahiri wa kwaya husika lengo ni kuleta ladha ya wimbo.
Watu imbeni watu imbeni paza sauti zenu imbeni
malaika malaika malaika nanyi sifuni malaika
malaika malaika wa mbinguni sifuni tumwimbie
mungu wetu tumshangilie
1.Njooni na tarumbeta,njuga na vinanda
2. Anga ishangilie nchi iruke ruke
3. Enzi zimwadhimishe zama zimhubiri
4. Yeye amezipita sifa tupambazo
💪💪💪👌👌😘😘
Mashibe mungu anamuona aisee
Bw. Mukasa B never disappoints 🔥🔥🔥❤️❤️🙏 beautiful composition ❤🎉 angelic voices😍🥰🥰🫂🥳🥳
Woow wimbo Mzuri Sana hongereni Sana wanakwaya 🙏🙏
Wimbo mzuriiiii yaaan....
Tumwimbie Mungu wetu Tumshangilie🎉💝💝
Hongeren San kwa wimbo mzuri
Watu imbeni🙏🏾🙏🏾
Ana level👐👐👐👐 hongeren kwa uimbaj mzuriii
Hongereni❤
Hongereni sana ndugu kazi nzuri
God bless this Familia, Good Song 🔥
Hongereni sana,kwa kazi nzuri, nimemwona mdogo angu Efro
Wow nyimbo taamu sana jaman❤❤.nyumbani kumenoga💚💚🌲🌲
Mungu azidi kuwabaliki katika utume wenu
Hongereni kwa pamoja❤❤❤nawapenda sana
Nyimbo tamu jmn❤️🔥
Hakika Hawa kondoo wameongozwa vyema na kupata malezi yaliyosahihi katika Zizi lililo sahihi kwao🙏🤝
Wimbo mzuri na mtamu sana... @japhe mmetisha sana 🔥🔥🔥🔥
Kazi njema , nzuri sana hongereni
🙏🙏🙏🙏Utukufu kwa BWANA.
Wimbo ni mzuri, mbarikiwe kwa kazi njema
Hongereni sana ndugu zangu kwa kazi nzuri ya kumtukuza Mungu. Naomba Mwenyezi Mungu azidi kuwakirimia baraka na neema zake.
Yes yes strong
Kazi nzuri sana , hakika watu tuimbe kumsifu Mungu ❤❤
Hongereni Sana mungu awabariki kwa uimbaji, kazi nzuri sanaaaa nawa❤❤
Juddy Amina Kubwa
Kazi nzuri sana. Hongereni sana
Asante sana. Mtunzi❤🙏🙏
Anna mhagama nakuona 😂😂🥰
Good song 👍💚
❤❤❤❤❤nice makuburi hoyeee
😳
🔥🔥🔥watu imbeni msifuni Bwana
mungu awabark sana kaz nzur
Praise the Lord...
Mpaka mwaka huu unafika mwisho basi Kwaya yetu itakuwa top 5 Kwa nyimbo nzuri sana
aminaa❤
Hiii motooo sanaa 🔥🔥🔥🔥❤❤
Kazi nzuri sanaa❤❤
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri #Watu imbeni
Wapi Midelo na Kijana wangu wa Babati😅🔥
Wimbo mzuri sanaaaa 💯
Wooow kazi Safi imetulia
kazi nzurii❤
hongereni sana kazi nzuriii❤
Hingereni sanaaa 🔥🔥
🔥🔥🔥safi sana vijana
❤ hongereni sana waimbaji kwa kazi nzuri Mungu awabariki wote katika utume wenu
Kazi nzuri
Hongereni sana
❤❤❤❤ hongereni
Wimbo umenibariki sana,,mbarikiwe sana waimbaji kwa kazi nzuri
Amen🙏🙏
Hongera sana Wanandugu❤
Namuona Luis anakazana 😂😂😂 aise bigup brothers and sisters hakika kazi imefanyika na inaonekana
Luis ni hariii ❤
Good job
Kazi nzuri..naweza pata nota?
A very Beautiful song 💓🫶🫶🙏🙏🙏
❤️❤️❤️❤️
❤❤
Si mtu anjitplee anipeleke Tz jameni
karibu❤
Hahahhaa, njoo
@@BernardMukasa Kwanza wewe napenda nyimbo zako sana
Kuna mdada apo apinguze poda
Hongeren sana kwa kazi nzuri❤