Huu wimbo kila nikikaa niangalie TV lazima nianze na huu wimbo najiona kama nahubiriwa na mtume Paulo,ambwene Mungu wa mbinguni azid kukutumia uendelee kuomba kirohoo
Mungu akutumie unanibariki sana zaid ya yote akupe moyo wakukutetemeka mbele zake usije ukajisahau kama waimbaj wengine wakiinuliwa wanajisahau wanaanza kuhudumu kwamajivuno kimwil
Namshukuru Mungu kwa kutupatia zawadi hapa Tanzania 🇹🇿 ambayo ni #Ambwene_Mwasongwe na #Boaz_Danken kiukweli nyie watu mna Mungu ninaemuabudu mimi na mnaongozwa na Roho wa kweli
Sema Ambwene una madini sana.. Daaah, we endelea tu kuimba Kaka, sisi tunapona huku.. Songs straight from the throne of heaven.. Hiki kizazi kina bahati ya kuwa na mtu kama wewe.
Yaani waimbaji wa siku hizi naona wamebaki wamili Ambwene na mchungaji abiudi wengine wote wanarapu na wananiudhi sana maana wanatoka nnje ya maadili ya mungu
Jamani huu wimbo unaweza kusikiliza Hadi redio ikaungua maana sio kwa uzuri wa sauti,sio kwa ujumbe mzuri,sio kwa utuluvu wa Ambwene mwenyewe hongera baba,Mungu akutunze .
Mtumishi wa Bwana ubarikiwe. Tumepata ujumbe toka Yohana 4:24 kwa njia ya nyimbo. Kiukweli huwa unaimba theologia, tunapona kwa nyimbo zako. juzi mwana wa Azali, leo tena ujumbe huu muhimu.Mungu atusaidie tuabudu katika roho na kweli 🙏🙏🙏
Huu Wimbo ni Mawaidha, huu wimba ni mahubiri, huu wimbo ni Ibada, huu wimbo ni Misa takatifu...ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu...endelea kutimiza jukumu la Mungu kukuleta Duniani🙏
Kaka Ambwene wewe endelea hivyohivyo kumsikiliza Mungu ktk huduma yako, hubiri kupitia uimbaji, tulio wengi chanzo cha kuokoka ni kupitia uimbaji, achana nao hao wanaoifuata dunia, wewe mtumikie Mungu kikamilifu
Mungu amekupa mafunuo mengi kuwaonya na kuwakumbusha watu habari za uzima wa milele na utoshelevu katika Bwana. Mnyenyekee yeye, hubiria watu wa Mungu wapone, sadaka na thawabu mbinguni inaandaliwa kwa ajili yako. USICHOKE
Huu wimbo umasema yanayotendeka kwa makanisa siku hizi Mtumishi wa mungu kakangu Ambwena kwa kweli nyimbo zako za nitia nguvu sana.. Wimbo mtaamu mno..Barikiwa sana South Africa 🇿🇦 Cape Town tunabarikiwa Ujumbe ufikia watoto wetu nchini Kenya 🇰🇪
Duh!!!kuna wakati Daudi akiona kile Mungu amekiweka ndani yako anafarijika sana huko mbinguni na anatabasamu akijua kapata pacha aliyebaki hapa duniani. Ninampenda Mungu kwa ajili yako Ambwene🙏🙏🙏
Our own Ambwene,. Kanisa letu la Tanzania lina baraka sana kuwa na mtu wa aina yako,. Umebarikiwa ulikumbushe kanisa na watu wa Mungu kuhusu maisha halisi ya Rohoni kabisa kabisa,.😌
Natamani sasa Mungu akupe neema ya kuanza kufundisha na semina, seems you have more and we need to hear more!! Una hazina kubwa moyoni mwako .. Ikimpendeza Mungu akupe namna nyingine ya kutufikishia kwa wingi. Stay blessed
Brother, Niko namwaga machozi ya toba hapa baada ya kuusikiliza huu wimbo. Hapa ndipo kanisa tulipo. Hakika tunastahili fimbo. Maana nyumba za ibada zimekuwa pango la wanyanganyi. May God bless you Abwene.
Majungu, kusengenya watumishi wa Mungu na kufitiniana wenyewe badala ya kupendana. Jamaa ya waaminio tunaenenda kwa desturi na mazoea😭 Mungu atuhurumie.
Namshukuru MUNGU kwa ajiliyako kwamaana katikati ya mabadiliko ya dunia Sayansi na tecnolojia lkn bado nakupata kakaangu unaemwimbia MUNGU ktk roho na kweli, MUNGU AKUTUNZE !
Kuna vile hii nyimbo inatuonesha bible ni kitabu kizuri sana, kitachotufanya tukutane na watu walioshi maisha kama yetu , ILa walikuja kubadirika na kuwa watu wema sana, mungu akubariki na kukutunza sana kaka ambwene, akuweke ili kupitia wewe wengi kati yetu tumrudie mungu🤲 na kuijua kweli🙏.
🥳🥳🥳🥳 Mungu azidi kukupa mafunuo Mtumishi wa Mungu kulifundisha kanisa kile Mungu anataka tuenende nacho🙏🏼🙏🏼 yaan ni ujumbe kwa kanisa na mtu mmoja mmoja anayetaka kumwona Mungu katika viwango vingine
GOD Bless you my brother. Humu ndani hatuwezi kuyandika yote ambayo MUNGU amekuwa akiyafanya huku mtaani/nje kupitia uwimbaji wako. MUNGU amegusa mioyo ya watu wengi sana kupitia hiyo karama aliyokupa. Endelea kuichochea.
Huu wimbo kila nikikaa niangalie TV lazima nianze na huu wimbo najiona kama nahubiriwa na mtume Paulo,ambwene Mungu wa mbinguni azid kukutumia uendelee kuomba kirohoo
Jaman tunapoandka jina Mungu tusianzie na herufi ndogo,anza na herufi kubwa maana ndo Mungu aliyehai,ukiandika kwa herufu ndogo c Mungu aliyehai
Upo sahihi.
Mungu ni lazima uanze kwa herufi kubwa
Nikweli Mungu Yesu ni anz na hrf kubw
Amina ni kweli kbs Mungu awatie nguvu katika mambo yote.
Mwenyezi mungu azidishe baraka kwenye uduma yako maana unatifariji sana sisi wakiwa kweli 😢🙏
mungu akubaliki ambwene mwasongwe mimi wakati nime anza kusikia nyimbozako nili amuwa kuokoka kwa sasa niko bishop wakanisa inchi burundi🇧🇮
Barikiwa sana
Du umeokoka aya ubalikiwe
Glory be to God 🙏
Wahisemwo neza ncuti y'umusaraba
God is great hallelujah
Mungu nijalie kuyafany mapenzi Yako wewe uonae moyoni mwangu😭😭😭😭
Mungu akutumie unanibariki sana zaid ya yote akupe moyo wakukutetemeka mbele zake usije ukajisahau kama waimbaj wengine wakiinuliwa wanajisahau wanaanza kuhudumu kwamajivuno kimwil
Namshukuru Mungu kwa kutupatia zawadi hapa Tanzania 🇹🇿 ambayo ni #Ambwene_Mwasongwe na #Boaz_Danken kiukweli nyie watu mna Mungu ninaemuabudu mimi na mnaongozwa na Roho wa kweli
Wimbo huu unanibariki sana san haya ndio mambo yapo leo makanisan Mungu atusaidie kweli,ubarikiwe Ambwene
Ubalikiwe uongezewe mafuta
Sema Ambwene una madini sana.. Daaah, we endelea tu kuimba Kaka, sisi tunapona huku.. Songs straight from the throne of heaven.. Hiki kizazi kina bahati ya kuwa na mtu kama wewe.
Kabisa
Ni kweli kaka usemalo, Aisee! Halafu Tazama Hekima za BWANA, yeye kaka Ambwene anaona kawaida tu Aisee!😃😃
Very true
Kabisa huyu mwamba namkubali kinoma maana hamuigi mtu kuimba na anaimba kwa kumaanisha
Yaani waimbaji wa siku hizi naona wamebaki wamili Ambwene na mchungaji abiudi wengine wote wanarapu na wananiudhi sana maana wanatoka nnje ya maadili ya mungu
Hallelujah hallelujah hallelujah
Bwana akulinde na akubariki zaidi
Mtumishi wa Bwana Mungu wamajeshi 🙌
Hizi ndizo nyimbo tunazohitaji kusikiliza. Barikiwa Ambwene
Kwel yan
@@mzurikwaorevocatus2972 kabisaaa hi nyimbo nzuri xn
Furahiyeni katika Bwana watumishi wa Bwana
Katika watumishi wa Mungu tuliobaki nao Tz wanaoimba katika roho na kweli! Barikiwa saana Mtumishi! Unaponya saana mioyo ya wengi!
N kwel
Kwel kabisa nyimbo zake. Pamoja na mavazi yake inapendeza Sana ubarikiwe sana maombi ni silaa tosha
Yaan ambwene mungu wa mbinguni akubariki yaan huu Wimbo ni zaidi ya nyimbo zote ulizo immba
I just love how our Tanzanian brothers and sisters make music straight from the scriptures. More love form Nairobi!
All about Lugha Adhu ya Kiswahili
That's exactly what I was heading to post but you represented the likes of us well
Mungu akubaliki sana mtumishi👐
Mungu akutunze mtumishi....🔥🔥
🙏🙏❤️
True worshipers will worship in Spirit and Truth.
Uko wapi moyo wa ibada, moyo kutetemeka aiseeeh Mungu nipe moyo wa ibada nikuabudu katika roho na kweli
Uko wapi wa moyo wa Ibada ,ee Mungu wangu nanyenyekea kwako nope Moyo wa Ibada nikuabudu ktk Roho na kweli.❤
Endelea kutumikia KUSUDI LA MUNGU kwa kicho. BWANA YESU anaona utumishi wako
Jamani huu wimbo unaweza kusikiliza Hadi redio ikaungua maana sio kwa uzuri wa sauti,sio kwa ujumbe mzuri,sio kwa utuluvu wa Ambwene mwenyewe hongera baba,Mungu akutunze .
BARIKIWA MUNGU AKUTUNZE KAMANDA WA YESU KAZI YAKO NZURI
Powerful Message! "Inatupasa kumwabudu kwa Roho na Kweli. Anaye tafsiri lugha ya Moyo" Mungu akubariki sana Ambwene Mwasongwe.
Kaka Mungu akubariki waimbaji wa Tanzania nadhani wajifunze kwako miaka mingi upo unamtukuza Mungu lakini hauchoshi my brother Yesu akubariki Sana
Ubarikiwe mtumishi wa munngu kwa ujumbe wa mungu kwa mataifa naamini wengi tumefunguliwa ubarikiwe sana
Nakupenda sana mtumishi wa Mungu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼. Mungu ukupe maisha marefu yenye utumishi mwema. Ninakuombea sana baba 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mtumishi wa Bwana ubarikiwe. Tumepata ujumbe toka Yohana 4:24 kwa njia ya nyimbo. Kiukweli huwa unaimba theologia, tunapona kwa nyimbo zako. juzi mwana wa Azali, leo tena ujumbe huu muhimu.Mungu atusaidie tuabudu katika roho na kweli 🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana Kaka endeleaa mbele .
Hii nyimbo imenikumbusha mwaaka 1984.kanisani.turivyofundishwa.
mungu akuzidishe katika huduma yako
Huu Wimbo ni Mawaidha, huu wimba ni mahubiri, huu wimbo ni Ibada, huu wimbo ni Misa takatifu...ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu...endelea kutimiza jukumu la Mungu kukuleta Duniani🙏
Wimbo mzima ni shule ya kiimani
Tenashara wa kizazi hiki. Yesu angekuchagua kuwa tenashara kaka,, Coz angeutazama moyo wa Utumishi ndani Yako.
Umebarikiwa sana kaka Mungu azidi kukuinua
MUNGU akubariki sana.
Mungu akulinde na akupe nguvu tena utupe elimu zaid
Kaka Ambwene wewe endelea hivyohivyo kumsikiliza Mungu ktk huduma yako, hubiri kupitia uimbaji, tulio wengi chanzo cha kuokoka ni kupitia uimbaji, achana nao hao wanaoifuata dunia, wewe mtumikie Mungu kikamilifu
Ambwene mwasongwe is underated his music is beyond international level ...God bless you MoG ...my favorite artist
Can't get enough of this song.... Inahelimisha Sana. May God bless you @ambwene
Nzuri sana jamani eeeh baba akubariki Mungu aah😅
Mungu amekupa mafunuo mengi kuwaonya na kuwakumbusha watu habari za uzima wa milele na utoshelevu katika Bwana. Mnyenyekee yeye, hubiria watu wa Mungu wapone, sadaka na thawabu mbinguni inaandaliwa kwa ajili yako. USICHOKE
Naomba jina lako kamili nikutumie muchango mdogo imekuwa muda ume nibariki sana
Mungu akubariki Sana 0767619931 au 0713619931 Ambwene Mwasongwe
Barikiwa sanàaaa
Hi wimbo unanijenga sana
Amen wimbo mzuri Sana unaponya moyo
Huu wimbo umasema yanayotendeka kwa makanisa siku hizi
Mtumishi wa mungu kakangu Ambwena kwa kweli nyimbo zako za nitia nguvu sana..
Wimbo mtaamu mno..Barikiwa sana
South Africa 🇿🇦 Cape Town tunabarikiwa
Ujumbe ufikia watoto wetu nchini Kenya 🇰🇪
Ameni tuna Mambo MENGI Ila Sio ya MUNGU
Ameni Kaka yangu❤
Duh!!!kuna wakati Daudi akiona kile Mungu amekiweka ndani yako anafarijika sana huko mbinguni na anatabasamu akijua kapata pacha aliyebaki hapa duniani.
Ninampenda Mungu kwa ajili yako Ambwene🙏🙏🙏
Kabisaa yaani... It's a Powerful Song!
Wimbo mzuri mungu akubariki sna kaka Ambwene
Wimbo mzuri sana. Picha pia iko vizuri sana. Mungu aibariki huduma yako
Our own Ambwene,. Kanisa letu la Tanzania lina baraka sana kuwa na mtu wa aina yako,. Umebarikiwa ulikumbushe kanisa na watu wa Mungu kuhusu maisha halisi ya Rohoni kabisa kabisa,.😌
Kaka Ambwenee nabarikiwa Sana nanyimbo zako. MUNGU akubariki sanaaaa sanaaaa 🙌🙌🙌🙌
Natamani sasa Mungu akupe neema ya kuanza kufundisha na semina, seems you have more and we need to hear more!! Una hazina kubwa moyoni mwako ..
Ikimpendeza Mungu akupe namna nyingine ya kutufikishia kwa wingi. Stay blessed
Nmejikuta nanena kwa lugha barikiwa mtumishi wa bwana
mungu atuponye makanisani mwetu
Nataka like zenu kama huna kinyongo na mwenzio ( moyo mweupe)
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@@moseskipawua9548😅
I love Ambwene mwasongwe huyu wimbo umenibaliki burundi tunakupenda sana turagukunda cane
Pale MUNGU anapoamua kufikisha ujumbe kwa watu wake kupitia mpaka mafuta wake❤
Balikiwa sana sana mtumishi ww broo unajua sana sana tunam shukuru mungu kwa kutupa zawad ya mtumish bora
Mungu nisaidie mengi yanautesa moyo wangu, from now nimeachilia
Huu ni zaidi wa Wimbo. Ujumbe wa Yesu Kristu.
My favorite musician be blessed ambwene mwasongwe 🙏🙏
Ninapo sikiriza wimbo huu najifunz kitu mungu akubark ambwene mwasongwe ukyala utufighwe fihjo kangi fihjo
Kweli Ambwene MUNGU akubariki sana kwa huduma
Hakika wew ni mwamna imara daaaa nyimbo nmeikuta TikTok daa nmeifata ujumbe mzito sana najivunia kua na wew tz
Brother, Niko namwaga machozi ya toba hapa baada ya kuusikiliza huu wimbo. Hapa ndipo kanisa tulipo. Hakika tunastahili fimbo. Maana nyumba za ibada zimekuwa pango la wanyanganyi. May God bless you Abwene.
Majungu, kusengenya watumishi wa Mungu na kufitiniana wenyewe badala ya kupendana. Jamaa ya waaminio tunaenenda kwa desturi na mazoea😭 Mungu atuhurumie.
Namshukuru MUNGU kwa ajiliyako kwamaana katikati ya mabadiliko ya dunia Sayansi na tecnolojia lkn bado nakupata kakaangu unaemwimbia MUNGU ktk roho na kweli, MUNGU AKUTUNZE !
This song is very powerful and full of anointing from heaven. Thank you Lord Jesus for Abwene, All Glory to God
Amen 🙏
Hakika mwenyez MUNGU amekubarik kipaji MUNGU aendelee kukutumia
Kwa nyimbo zako tunamtukuza Mungu....live long life in music!! Stay blessed.
Nasikiliza huku nasisimka...asante kwa msg nzur
What a powerful message! This is a whole sermon! Ahsante kwa Neno, more grace to you Mtumishi wa Yesu! Blessings
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Indeed it is!
Niceee sanaa
It really is 🙏🏿
@@mamy1605 q1q11
Wimbo muzuli Sana mungu akubaliki
I love this man of God
Bless u🇺🇬🇺🇬
Halloo halloo hii imeenda safiiii oyoooo
😀🔥Mungu akikupa kibari sehemu frani🔥 usinyamaze🔥🙌
nakupenda sana ambwene mungu akubaliki ❤
Amen ambwene
Amina baba ubalikiwe San nabarkiwa San na nyimbo zako na haipit sku nimeskilza nakpenda san maana nyimbo zako nazielewa sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️❤️❤️
Hii ni Injili, this is Gospel mpeni maua yake Mwasongwe
Ambwene
Ambwene
Ambwene Mwasongwe
MUNGU BABA WA MBINGUNI AKUBARIKI SANA
Huyu Mtumshi anaimbia Mungu wakweli kabisa eee Mungu umuongoze asitoke kwenye mstari wako Kama wengine
Akawaafundisha ibada za rohon jinc zitakiwavyo
Kuna vile hii nyimbo inatuonesha bible ni kitabu kizuri sana, kitachotufanya tukutane na watu walioshi maisha kama yetu , ILa walikuja kubadirika na kuwa watu wema sana, mungu akubariki na kukutunza sana kaka ambwene, akuweke ili kupitia wewe wengi kati yetu tumrudie mungu🤲 na kuijua kweli🙏.
Mungu akubariki mno kwa wimbo wenye ujumbe mzuri
This is exactly what is happening in our churches today, wimbo huu una mafundisho ya kweli.....
Nyimbo niipendayo kila sku lazma niiskize Mungu akubariki sana kweny huduma
Hakika...unaimba katika roho na kweli. Nyimbo ina ujumbe.... MUNGU WETU MWEMA akubariki sana
Thanks very much nice song sevant of God be blessed All the time you are Blessing me so much all the time when I hear the song of gospel from you
Wawouuuuuh,unajuwa kweli ,Mungu akupanuliye mipaka.
🥳🥳🥳🥳 Mungu azidi kukupa mafunuo Mtumishi wa Mungu kulifundisha kanisa kile Mungu anataka tuenende nacho🙏🏼🙏🏼 yaan ni ujumbe kwa kanisa na mtu mmoja mmoja anayetaka kumwona Mungu katika viwango vingine
Mungu Aku bariki muimbadji wa Mungu bwana
😭😭😭😭 Mungu tusaidie kurudi katika Neno na tuishi katika Roho.
Asante sanaa kwa kunikumbusha Ibabda ya Moyoni Mtumishi
Ubarikiwe na Mungu ! Nyimbo zako zimenibariki Sana! Toka DRCongo. Lubumbashi.
Kwaweri wewe mumbaji tunakupenda afilica niwewe unagoza kwakuimba ukiwa rohoni tena kwanyekevu burundi tunapona kwanyimbo zako🤗🤗 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Hakika watu wa Burundi mko rohoni Sana,,,chuma hunoa chuma ndivyo mtu anoavyo uso wa rafiki yake,
Ni maombi yangu kwenu, nchi yenu iwe na amani na utulivu Neema ya Mungu iwe juu ya anga la nchi yenu pia kama ilivyo Tanzania😢
Sijashangaa kwa uzuri wa wimbo huu maana Mungu amekuinua,nyimbo zako zote ni nzuri na zina mafundisho.
Mungu aendelee kukuinua.
Ubarikiwe kaka AMBWENE hakika MUNGU katupa wewe zawadi watanzania
Kwa neema ya Bwana hujawahi kukosea ,sifa na utukufu ni kwa Bwana nangoja official video ya UMENIPA HESHIMA 🔥🔥🔥
GOD Bless you my brother. Humu ndani hatuwezi kuyandika yote ambayo MUNGU amekuwa akiyafanya huku mtaani/nje kupitia uwimbaji wako. MUNGU amegusa mioyo ya watu wengi sana kupitia hiyo karama aliyokupa. Endelea kuichochea.
Nyimbo za hivi ni signature ya Ambwene. Bwana Yesu asifiwe sana 🙏🙏
Kila wakati natamani jifunza Kwa kazi nzuri mfanyazo
Mungu akubariki sana Ambwene Mwasongwe. Full song from the Scriptures. My favorite Tanzanian Gospel Artist.
Wimbo huu hunifanya ni barikiwee sanaa .... Mungu akutunzeee mtumishi
Hapa comment za wakenya ni chache na sababu ni za kiroho,,, hongera sana mtu wa rohoni kaka🎉
Mandiko mwanzo mwisho.just how it should be.
This guy his songs are in a different realm be blessed. Love from kenya
🙏🙏🙏✍️mungu akutie nguvu zaidi
True. Listened to this song after you recommended, leads one to repentance 🙏
Touching.. ujumbe mzito saana mpaka nimeogopa