NGUVU YA UPENDO By Dr.Kelvin Bongole (Official Video):Kwaya Ya Mt.Yosefu Mfanyakazi-UDOM (WAEFESO).
Вставка
- Опубліковано 23 жов 2024
- Karibu kutazama wimbo maalum kwa kumbukizi ya wahitimu wa mwaka 2024 kutoka kwaya ya @Mt.YosefuMfanyakaziUDOM
#trending #catholic #kwayakatoliki #travel #udom #diamond #harmonize #clouds #alikiba #aleluyah #amazon #funny #sports #simba #yanga #azamgarh #africa #tanzania #easter ##comedy#maandamano
Here we gooo...✊✊✊
Karibuni sana
Aseeee kazi ya maana Chama langu. Mungu azidi kuwapa mwendelezo mwema.❤❤❤❤
Hongereni🎉
Asante🙏🖐
Kazi nzuri wadogo zangu I love st. Yoseph Kwaya coed from 2018 to 2021
Thanks! You're most welcome🙏
Huuu ni zaidi ya ubaya ubwelaaa 😂 🔥🔥♥️🤜🤛 voco la kimataifa, songi linapenya kwenye dam yan
We huogopi?😋
Anyway,karibu sanaaa ndugu
Mmetiisha!! Big up
Asante🙏
Ongeren mliimba vizur Mungu awabarik kwaya yetu coed
Asante karibu sana Mpendwa🙏
Kazi nzuri wapendwa nmebarikiwa sana
Asante,,karibu sanaa
Kazi nzuri sana mwenyezi Mungu aendelee kuongoza daima katika utume huu🙏🙏🥰🥰🥰
Asante,Karibu sana 🙏🙏
Dada Love 😘💕
Umemuonaaa😂😂
Wimbo huuu unanipa amani ya moyo kila nisikizilizpo
Enjoy ndugu yetu🌹🖐🥰
Hongereni Sana kazi nzuri sana Mungu awabariki.
Amina sanaa sister despina🙏
Asante dada D🙏🥰
Asante sana Despina Mdende ,karibu ufanye kazi Dorothea❤❤🎉
Kazi nzur🎉🎉🎉🎉
Amina sanaaa🙏🙏
hongereni sana
Asante sanaaaa
👍👍👍👍
🙏🙏🖐🖐
Hongereni
Asante
Mungu awape nguvu Na matumaini🎉🎉🎉
Amina🙏
Amina sanaa mwakan tena tuzidi kuipaisha yoseph
❤❤❤🎉
Kaz nzuri sana wana udom
🔥🔥
❤❤❤❤. God bless you guys ❤,, maneno yanasikika vizuri Sanaa. I like it.,,,🎉
Asante sana ndugu karibu 🙏🖐
@@Mt.YosefuMfanyakaziUDOM Asante san
Bongole❤
🥰🖐
Amazing song god bless to all upendo udumu kwa wote❤❤
Amina sana🙏
Aminaa tutende kwamatendo piah
Kabisa🙏
Mzungu unasifika huku
Pande zipi Mkuu?
Tumlete
Kazi nzuri ujumbe mzuri, hongereni sana 🙏
🙏
🎉🎉🎉🙏🙏🙏🖐
More Kudo's,❤
🎉🎉
Kazi nzuri hongereni katika kazi ya bwana
Asante sana ✊
Waoow 💝🙏🙏 nguvu ya upendo🎉
🔥🔥🔥🔥🔥
❤
A great work✊With all the vitamins🧁.
Karibuni nyote tutazame kazi yenye utukufu🖐🖐🖐.
Kazi iendelee🖐🖐.Karibuniii
Mpo vzuri🎉🎉
Chand naona umemaintain😂😂
😂😂😂Tupo nae
Nipo liveeeee kabisa
Mungu mwema sana kazi njema mno Mungu azidi kunyoosha njia kwaajili ya familia hii izidi kuwa na utume mwema na yeye aliye juu azidi kubariki kazi na majitoleo♥️💕💕
Amina sanaaa🖐🙏
Kazi nzuri. Hongereni sana Mungu azidi kuwapa nguvu zaidi na zaidi 🙏 🙏 🙏
Asante sanaaa🖐🙏
Doctor bana
Anaupiga mwingi🖐
Mungu abariki kaz y mikono yenu🙏
Amina
🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Waoooooo so amazing and good ,, ujumbe mzr sanaa marafik zetu God bless you 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu awe pamoja nanyi nyoteeee❤
Fam Forever🙏❤️🔥❤️🔥❤️🔥
And everrr
Hongereni Kwa utume majirani
Asante sana jiraniiiiiii🙏🙏
Kazi nzuri ❤
Naaaam!!!✊✊
Kervin mziki wako unanichanganya sana kaka ulisomea Germany? Ukwel unamziki wakikatholiki Vatican lakn wimbaji pia mmetenda haki ukweli ndimi Mwl Festor Romanus
Amina sanaaa mkuu kwa ufuatiliaj...
Kutoka wap please ?
Upendo
Wa kweliiiii🖐🖐
❤❤❤❤❤❤ Kazi nzuri Sanaa
🎉🎉🎉
Wewe tu ulikosekana🎉
Wow st Joseph mnaendelea kuupiga mwingi,nawamisi Sana
Karibu sana,tupo kabisaa🙏
Good job💯❤
Thanks 💯
I wish ningekuwepo na mimi😢 hongereni sana ❤
Karibu mamaa❤
Rudi tu agathaaa😂
Asante @dorothydeclan6995
@Mt.YosefuMfanyakaziUDOM 😭
Hongera sanaaaaa Kwa utume
Hongera Mwampamba kwa kuimba kwa hisia kali
My family you did the best❤
Thanks our audience🙏🙏
Nmependa sana huu wimbo... Be blessed st Joseph
Karibu sanaaaaa🎉🎉
@@Mt.YosefuMfanyakaziUDOM Asante
Kazi nzuri....bravooo
Amen✊✊
Mmeupiga mwingi😍🌹 kaz nzur sanaas
Karibu sanaa🖐🙏
Hongereni sana🎉
Thanks alot🙏🙏
Hakika munaifanya kazi ya Mungu hongereno sana
Karibu sanaa🖐
whaoooo!!🎉 Wimbo mzuri sana ..
Karibu sanaaa..
Usisahau kushare na kwa marafiki🖐
🔥 fantastic work ,big creativity 👏, kazi nzuri sana
🔥🔥🔥🖐
Kazi nzuri nimebarikiwa , MUNGU awabariki
Amina sana tunabarikiwa pia kwa ushiriki wako katika kutufuatilia🙏
Good job
Once again,you're welcome🖐🙏
Sifa heshima na utukufu kwa Mungu. Mtunzi hajawahi kuniangusha....
🔥🔥🔥
Hongerenii Sana kwaya yetu mt Yusuf
Karibia mkuu🖐
Waooh fantastic sana ,kazi nzur sana majirani .Mungu azidi kuwapa nguvu za kumtumikia yeye
Amina sanaa naona mnalitimiza andiko la wimbo🖐🖐.
Asanteni Majirani na ............🎉
❤🎉🎉🎉
🙏🙏
Familia yangu pendwa sana Mungu AWABARIKI
Amina,Mungu akubariki pia kwa majitoleo yako🙏
Amina
Kazi mzuri sana iliyotukaka, hongera sana master Fey, Sarvio
Kazi iendelee🖐🖐
Amina Saàn Mungu awabariki saàn St.joseph
🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri Utume uendelee mataifani kote❤
Aminaaaa
Kazi Nzuri Sanaa wapendwa Mungu azidi kubariki majitoleo yenu Kwa utume huu wa UIMBAJI❤️❤️❤️🎹🎹🎹
Asante sana mhasibu wetu
Asante sana dada yetu Maggy🌹
@@Mt.YosefuMfanyakaziUDOM
Amina🙏🙏💝
🎉🎉Upendo utawale daima❤
Mioyoni mwetu🖐🖐..
Bila kusahau jirani
🎉🎉🎉
🔥🔥🌹
🎉🎉hongera sana
Asante sanaa🙏Karibu
Mbarikiwe 🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri, hongereni ✊
Mungu ni mkubwa
Asanteeee
Mbarikiwe sana Mungu awabariki kwa kazi njema
Asante sana 🙏
Kazi nzuri watumishi wa Mungu
Mungu ni mwema🙏
Hongereni kwa kazi nzuri KIMSINGI
Asante sana na karibu tena🙏🙏
Good work watu wa maana kabisa 🔥💞💕
Mtu wa maana kabisa pia ester Ndimbo🖐🙏
Tupendane
Karibu tena Broh 🎉
Mkuu tunakushukuru sana kwa sauti nzuri Mungu akubariki sana na karibu tena tufanyeje kazi pamoja
"Kwa moyo wetu woteee"🙏🙏..
Kazi nzuri Mr.Savio
Yan mnanikosha saaana mm nilieondoka hapo udom
Karibu tena
Tumuimbie Bwana!
HOngereni kwa kazi nzuri
🙏🙏🖐
Mungu awabariki sana familia yangu🙏🥰🥰
Asante sana Mary Daudi , Hongera na wewe Miss M.D
Mungu awabariki sana,,wimbo mzuri🔥
Amina na akubariki pia kwa utazamaji...
Usichoke kutufuatilia
Amazing❤❤
Woooooow!🔥🔥
Nguvu ya upendo daima idumu ndani mwetu,hongereni familia❤🎉🙏
Tunakutakia maisha mema Dada etu🖐
Asante Mungu awatunze nawapenda sana familia❤@@Mt.YosefuMfanyakaziUDOM
Kweli Mungu ni Upendo ❤❤❤
Kabisaaaa🎉
Hii kwaya nilijiunga mwaka 2019, kutoka moyoni niliogopa nikajitoa baada ya wiki niliogopa sitoendana na kasi Yao vijana wanaimba na kiukweli kbs kwa ajili ya mwenyezi kiasi kwamba Mimi mwnyw nikajuta kujiondoa, na ninacho furahi spirit Yao Bado ni Ile Ile, always stay blessed Wanayosefu
Tunashukuru san natamn siku Moja uje utusalimie tena
Ujeeeeeeeee
tunashukuruu saana kwa kuendelea kutufuatiliaa bado ni kwaya yakoo pamoja na kuwa uko mbalii nasi kimwlii lkn tuko pmja kirohoo....
zaidi endeleaa kusalia nasii kwa mazuri mengi yatakayofuataa
Hongereni sana kwa uinjilishaji ❤ Mungu awe nanyi awabariki kwa hili.
@@gracelynferdnand5582 Asante sana na Karibu tenaa🙏🖐🖐
Yoseph viva
Vivaaaaa✊✊
Kazi nzuri wapendwa mbarikiwe sana huu unyama ni hatar aise
Mungu atubariki sote, nawapenda familia yangu ❤️🎉tusichoke kumwimbia mungu siku zote 🙏🙏
❤❤
💕💕
Mungu awalinde na kuwasimamia katika shughuli zenu zote wapendwa
Amina sanaa..Akulinde pia
Nmejikuta nmeingia uweponi baada ya kuusikiliza kazi hii, it's🔥
asantee endeleaa kutufuatilia ilii upate mengi zaidi kutoka kwaya ya mt yosefu udom
Savio never disappoints 🙏🏼
😂
Hongeren sana ❤
Asante na karibu sanaaa🙏✊
Hakika Mungu ni mwema katika kila jambo ❤❤❤ congole my lovely family,,, najixkia Raha na furaha nikiwa ndani ya st Joseph kwaya
Mungu azidi kutuweka katika upendo🖐🙏
Amina sana MUNGU azidi kuwazidishia mlipopunguza barikiwa sanaa 🙏 🙏 ❤
Amina sanaa...Akubariki pia
Mzidi kubarikiwa sana ujumbe mzuri video kali location imetulia inshort imeupiga mwingi mzidi kuinjilisha. Bigup organist
Asante sanaa🙏
Safi sana more than blessings 🙏
😂😂It'll be a miracle🖐Thanks alot
nice work my family❤
Thanks fridaa🙏🙏
Mungu ni pendo nasi yatupasa kupendana
Tunashukuru sanaa mkuu kazi yako na ibarikiwe🙏🙏
Dr.Bongole shukran nyingi kwako kwa utunzi bora
Hongera. Mungu aendelee kukutumia vyema na ukatumike vizuri
We appreciate your work ❤
Asante sana Dr.Bongole , tunasubiri wimbo mwingine tufanye booking mapema
Kazi nzuri. Hongereni sana Mungu azidi kuwapa nguvu zaidi na zaidi,,,,,
Asante na karibu tena
Fortunatus napita na fire ❤️🔥❤️🔥❤️🔥
🔥🔥🔥🔥
Unataka upewe Nini Tena na Mungu Kama uko kwenye kwaya Kama hiii!!!
Wajulishe habari🖐🤗
ZMungu aibariki Kaz ya mikon yenu
Amina sana ndugu katika kristo🙏
HAKIKA NGUVU YA UPENDO. Hongereni sana kwa kazi nzuri ,, Mwenyezi Mungu azidi kungarisha vipawa vyenu ili mzidi kumtumikia daima.
Amina sana karibu Udom mama yetu🙏🙏