iyo imemgonga pasta vizur haki itawafikia tu nihadi ya mora wao mlezi basi mwenyekufanya haki ataitendea haki nafsi yake mwenyekupotea basi ataipoteza nafsi yake.walimu mitano mingine kwenu amin👏
Mashallah uctadh ni jamaa zako hakika Allah ndio mlez na mjuz pambaneni jaza ipo kwa Allah ambaya halali wala hasinzii. Allah awape firdauc yke tukufu kwn jihad yeni ni kubwa na inastahiki uvumilivu. Subhanalla ( frm Tz)
Maashaa Allah, may Allah bless your work and grant the best for us all in this world and in the hereafter, you are doing a great job, may Allah open a way for us all...
As/Aleikum, Walimu, Alhamdulillah, tunapenda mafundisho mnayo yatoa, hasa kwa watu waliochelewa kufumbua Akili zao kwa kutosoma Biblia zao wenyewe kwa makini. Ila nawashauri; MKIANZA NA MUULIZA SWALI MMOJA, MKAMILISHIA JIBU LAKE KIKAMILIFU. KWA MFANO,👉 ALIYEULIZA WAISLAMU KUINAMA HADI CHINI KTK. KUABUDU. MGEMJIBU KWA KUTUMIA BIBLIA, YESU ALIVYO KUWA AKIABUDU NA JENGO ALILOABUDIA. Huyo naamini hata kusilimu Angesilimu, nilimuona huyo ni muelewa.
Na mnatakiwa kujua kwamba qur'an haowezi translate kila kitu ,qur'an iko unique hata Arab yenyewe pia kuna quran jaikuweza ku translate ,so katika hio ya kusali mara 5,haijasema eti 5 ,ilihesabu asubuhi, mchana alasiri jioni na mwanzo wa ulikua ndio zikatimia 5,kwahio wakati mwengine waambieni hivo
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya; 1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia? 2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia? 3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia? 4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia? 5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia) Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
@@JamilaJumanne-u7q nimesoma Quran ndizo hizi aya Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.” Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends” Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable” Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran” Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels” Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them” Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them” Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood” Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
Mbona usema christians na muslims ni marafiki wakati Quran inasema don't take the Jews and Christians as friends.Mnafata hii ama mnakataa? Sura maidah 51.Mnafata Quran ama hamfati?
They are spreading the Arabic civilization thinking that they worship God...but serving arabian gods....they diny their language, traditions and country worshipping and following arabian gods. Nawahurumia sana hawa ndugu zetu waislamu. Lord have mercy
Mkristo asiyeijua Biblia yake muislamu ataitumia kumdanganya..... Hata shetani alitumia maandiko ya Biblia akimjaribu Yesu kwenye Matayo 4 lakini hakufua dafu. Kwa hiyo Ramadhan Kuria bin gakuo na wenzako hamna tofauti na shetan... Without Lies, islam dies!!
Na laiti km ungeifaham ipasavyo basi mngelisilimu maana yaliyokatazwa ktk Qur-an hata kwenye bibilia unayakuta ila wanautumia udhaifu wenu kutojuwa na hamjuwi km hamjuwi sababu mifumo inayoeleweka ya kusoma
This man is genuinely interested in learning about Islam. Hana kejeli. May Allah (SWT) guide him to the straight path.
Masha'allah Masheikh wetu dawaa himebaki kenya 🇰🇪 ila uku tanzania 🇹🇿 Nimajungu tu Masheikh na mawahadhiri Ni malumbano mala majini mala yule mchawi.
Usijali Allah atawapa maelewano inshallah
@@AssdfAssd-g3y ameen 🙏
East to West Islam is the solution for all those confusion witnessed among people. Allah akbar.
10:58 11:03 11:27 11:41 12:10 14:22 14:34 14:11 14:05 13:12 13:23 13:30 15:20 15:30 15:38 15:44 15:51 16:07 16:11 16:30 16:35 16:36
💯
Mchunkachi leo ni leo andiko hujawahi kuliskia uhondo uliojeeee MashAllah kaka Ramma n team nzima
hapo hakuna hoja, kwani wewe unajua kila andiko kwa koran?
MashaAllah.mashekheh.wetu.Allah.awalipejanna.inshaAllah
iyo imemgonga pasta vizur haki itawafikia tu nihadi ya mora wao mlezi basi mwenyekufanya haki ataitendea haki nafsi yake mwenyekupotea basi ataipoteza nafsi yake.walimu mitano mingine kwenu amin👏
Alhamdulilah shkhe kuria Mwenyezi mungu awalinde wewe kundi lako na familia yako unawaelimisha watu wasiiujua uislam
Mashaallah Allah akujazi Kila lakheri sheikh Kwa juhudi Yako Kwa kufukisha ujumbe Kwa wahusika kazi mzr Allah akuwafikiye kwenye mambo yakheri
Mashallah uctadh ni jamaa zako hakika Allah ndio mlez na mjuz pambaneni jaza ipo kwa Allah ambaya halali wala hasinzii. Allah awape firdauc yke tukufu kwn jihad yeni ni kubwa na inastahiki uvumilivu. Subhanalla ( frm Tz)
Barikiweni sana sana mafundisho yenye utaratibu Allahamdhullah
Insha Allah, Allah atawalipa na atawafufuwa pamoja na mujahidiin inshallah
MashaaAllah tabarakah Rahman
Mashaa llah we are waiting for part 2
Maashaa Allah, may Allah bless your work and grant the best for us all in this world and in the hereafter, you are doing a great job, may Allah open a way for us all...
Takbeeeer, Allahu Akbar!!!
Allah awaongoze ndugu zetu
Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh
Kuulizia tuu Ust Yusuf Wambugu akoje ? Allah Awahifadhi nyote
ALLAHU AKBAR
Mashallah
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤assalam aleiykum wr wb brothers masha Allah kazi poa Allah Awalipie jazzakallahu kayri
As/Aleikum, Walimu, Alhamdulillah, tunapenda mafundisho mnayo yatoa, hasa kwa watu waliochelewa kufumbua Akili zao kwa kutosoma Biblia zao wenyewe kwa makini. Ila nawashauri; MKIANZA NA MUULIZA SWALI MMOJA, MKAMILISHIA JIBU LAKE KIKAMILIFU. KWA MFANO,👉 ALIYEULIZA WAISLAMU KUINAMA HADI CHINI KTK. KUABUDU. MGEMJIBU KWA KUTUMIA BIBLIA, YESU ALIVYO KUWA AKIABUDU NA JENGO ALILOABUDIA. Huyo naamini hata kusilimu Angesilimu, nilimuona huyo ni muelewa.
MashaaAllah
Siku utakuja Moi's bridge nicall nisilimu nataka kanzu nyeupe 😂Islam is the way to Allah ❤
Mungu akubariki kwa kuliona hilo
Allah àwaogoze walim wangu kw kuitagaza dini ya haki na kuabudu Muumba wa kila kitu Allah
Mashallah Sheikh huu mjadala ulikuwa mzuri lakini haukukamilika ningependa kuona kipande kinachoendelea
Sawa
Assalamu Alaykum
A.a sauti hakuna....
Asalam alaykum ❤❤
Amenifurahisha eti hii bibilia gan
Kweli.hawampendi.yesu.hawaitani..kamasye.mhammad.yupo.auwapo.lssa.wapo.musa..wao.kmya.subhanaAllah
Ramadan kuria mbona Sauti hakuna
Fanya subira😊
Wakiristo hasa wanaburuzwa na wachungaji wao kisa tu kutaka fungula 10 ,Mtihani kweli
KateremkaKamanjiwa.jamani.leo.nimesikiamaajab.menginine..hadinjiwaSubhanaAllah
Na mnatakiwa kujua kwamba qur'an haowezi translate kila kitu ,qur'an iko unique hata Arab yenyewe pia kuna quran jaikuweza ku translate ,so katika hio ya kusali mara 5,haijasema eti 5 ,ilihesabu asubuhi, mchana alasiri jioni na mwanzo wa ulikua ndio zikatimia 5,kwahio wakati mwengine waambieni hivo
Majini ya nini
tz wamemkubari allah na uslam nyinyi wakenya ndio wabishi sisi watanzania tuko wengi waslam
Hawasomi bibilia wao ni makofi na kuruka tuu hasara kubwa sana hii a
Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya;
1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia?
2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia?
3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia?
4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia?
5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia)
Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu
Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k
Soma vitabu majibu yako mbona
@@JamilaJumanne-u7q vitabu vipi?
@@kennodhiambo bibilia soma mpka matendo ya mitume afu soma quruan soma vzr afu utakuja kunishukuru badae
@@JamilaJumanne-u7q Nini ya maana iko katika Quran isipokuwa uongo, chuki na kushinikiza mauaji!!!
@@JamilaJumanne-u7q nimesoma Quran ndizo hizi aya
Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.”
Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends”
Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable”
Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam”
Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran”
Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels”
Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them”
Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them”
Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood”
Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
Na suruali ya ndani
KablaYakumtajaAminaNimecheka🤣🤣🤣🤣🤣hui
Shangaz yangu salma we mkorofi jmn😊
Mbona usema christians na muslims ni marafiki wakati Quran inasema don't take the Jews and Christians as friends.Mnafata hii ama mnakataa? Sura maidah 51.Mnafata Quran ama hamfati?
Nataka nijibiwe bona mnatumia maji iko kitambu kipi
Nyie wote ni wapuuzi,huyo anasema saka,inayotolewa inaitwa ZAKA sio SAKA,pumbavu
Sio samba sema shwamba😂😂😂
They are spreading the Arabic civilization thinking that they worship God...but serving arabian gods....they diny their language, traditions and country worshipping and following arabian gods. Nawahurumia sana hawa ndugu zetu waislamu. Lord have mercy
Huyu binti vipi?
KasemaKasilim.lnashaAllah.mwenyezimungu.atuongoze.woote.avae.mavazimazuri.naAsomeDiniYamungu
@@SalmanMughal-lq5lt hapo kazi ipo hswa kwa mwalimu wake wa madrassa.
@@Samuel-iu9xmmtu hubadirika mara moja usimuhuqum
Pastor katoroka baada ya kuona haki
Mkristo asiyeijua Biblia yake muislamu ataitumia kumdanganya.....
Hata shetani alitumia maandiko ya Biblia akimjaribu Yesu kwenye Matayo 4 lakini hakufua dafu.
Kwa hiyo Ramadhan Kuria bin gakuo na wenzako hamna tofauti na shetan...
Without Lies, islam dies!!
HatawewePiahujuiKamaUnajuwaFundisha.tusikie.syo.ngonjerahapa
😂😂 mbona mchungaji alikimbia alikua ajui maandiko au 😂😂😂 Acha ukora wako apa
Ww ndio iblisi haswaa na ndioo ukaona Leo mapastors na mabishop hawaminiwi tena hata na vijana Kwa uongo wao na kupenda pesa
Kweli without lies, islam dies.
Ukweli utawaweka huru
Na laiti km ungeifaham ipasavyo basi mngelisilimu maana yaliyokatazwa ktk Qur-an hata kwenye bibilia unayakuta ila wanautumia udhaifu wenu kutojuwa na hamjuwi km hamjuwi sababu mifumo inayoeleweka ya kusoma
Mashaallah
Maashallah
Mashallah