Mtu na Mkewe wafikishiwa uislam, mwengine mmoja asilimu, 27 June 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 3 місяці тому +2

    Nimekuwa nikiwafatilia sana mashekh zangu sana. Allah akupeni kheri hapa duniani na akhera akupeni pepo yake. Ushauri wangu baada ya kuwalingania hao wakristo na wakawa wameshaonyesha kukubali basi waelezeni zaidi kuwa wakifa bila kuslimu basi makazi yao ni motoni tu.

  • @suleimanyacub1662
    @suleimanyacub1662 3 місяці тому +1

    M.a sheikh Abass na wenzio mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnaofanya

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 3 місяці тому +1

    Maasha Allah

  • @josemu870
    @josemu870 3 місяці тому +1

    Mafundisho yenye utaratibu yani mawaidha ya Koran mwenyezi Mungu amulide Allahamdhullah

  • @MkambaSaleh-kr7pi
    @MkambaSaleh-kr7pi 3 місяці тому +2

    Sauti hazisikiki vizuri

  • @Adm9464
    @Adm9464 3 місяці тому +1

    Msomaji please be quiet when the sheikh is talking to those at the table. This is very disruptive.

  • @suleymanali431
    @suleymanali431 3 місяці тому

    Watu wa kando na anaye kaa mezani wanaongea waki tapatapa na maneno

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 3 місяці тому

    Huu ndio ukoloni kupitia uchumi wa kirasilimali. Kenya kama nchi nyenginezo za "kuendelea" ni lazima zikope kila mwaka kuendeshe nchi kwa mwaka ufuatao.
    Wanakopa madeni ya nje- kwa taasisi kama WB na IMF, nchi au muungano kama US, Britain, EU...
    Madeni ya ndani.
    Haya madeni ya nje inakuja na masharti ya kiuchumi, kijamii, kisiasa...
    Mfano wa kiuchumi ndio Austerity measures, yaani majukumu ya serikali iondoke kama elimu, matibabu nk zibinafdishwe na kila ajitete kivayake. Wafunguwe milango kwa makampuni ya kimataifa, wakuze mimea ya cashcrop, wapandishe ushuru nk...
    Kijamii ni kama haki za wanawake, LGBTQ...
    Kisiasa kama mfumo wa multyparty nk...
    Kwa hivyo ulimwengu wa tatu hawawezi kujinasua katika mfumo huu kattu illa kutafuta mfumo mbadala

  • @Sal.0
    @Sal.0 3 місяці тому +1

    HAKUNA Lugha inao itwa 'Ki YAHUDI'.
    Nabi Essa alikuwa ana ongea OLD ARABIC, au ARAMAIC*.
    Nabi DAUD pia, alikuwa ana ongea Ki ARAMAIC.
    Na KAUM MUSA wali kuwa wana ongea Ki IBRANI**.
    *What is ARAMAIC???
    Aramaic is an OLD FORM of ARABIC, that was spoken in the Middle East from 1300BC!
    And when MUSA rescued the 12 tribes from AFRICA, and SHIFTED them into the MIDDLE EAST, the 12 Started speaking the LOCAL LANGUAGE of ARAMAIC, soon after MUSA despaired and Died by 1300 BC.
    From 1300BC onwards, all the 12 TRIBES had to start speaking the LOCAL Language of ARAMAIC.
    This is the REASON, why the ZABUR was Revealed in Old Arabic, or ARAMAIC, which was also the language of KAUM DAUD!
    **What is Ki IBRANI???
    IBRANI was the language developed in EGYPT, as the communication language between the by Bani Izrael AND the EGYPTIANS, WHILE in EGYPT only, between 2000 and 1500 BC!
    ONCE the 12 Tribes arrived in the Middle East, by 1300BC, they abandoned IBRANI, and started speaking the LOCAL language of the Middle East called Arabaic, or ARAMAIC, from 1300BC onwards!.
    Simple.
    TabarakAllah Team.