Wakristo hulishwa uwongo na kuamini wakitishwa proof huingia mitini. Kama mungeitengea muda bibilia mukaisoma na kunielewa kama munavyosoma masomo mengine mungejipeleka wenyewe msikitini mukasilimu.
Assalamu Alaykum Ustadh Salim. Kwa fikra yangu duni haipendezi kuwa na microphone mbili zinazohubiri kwa pamoja na kuingiliana katika mafunzo au kuingiliana maneno baina ya wanao ongea. Mmoja amwachie mwenzake afunze na kila mmoja afanye kazi yake. Shukran
@salimdaawah123 AsalamAleykum uliza wakiristo wajibu hili swali....kwanini wakifanya haja Choo 🚽Flash ikona maji sio tishu ndani?😂.....Uliza flash ni ya kazi gani kama haitoi uchafu?.....wawache kutumia tishu watumie maji
Haruhusiwi ki hivyo soma vizuri ili uelewe kama kuna dhuruli mfano uko pahali hakunachakula na haujuwi utapata wapi hicho chakulaumeweza kuvumilia mda mrefu labda siku tatu nne na hauna tumaini wapi utapata hivyo ni ruhusa kula chochotena siyoeti muda wa kula umefika uone nyama ya nguruwe ule na wakati huenda mwendo wa nusu saa utafika mahali ilipo chakula hivyo ndugu yangu usipoteze watu
Wacha uwongo. Koran imethibitisha Uislamu ulianza na baba yetu Adam. We have the proof. All the prophets were Muslims even according to the Bible . There’s not a single prophet that practiced Ukristo as the Bible does not even mention Christianity or anywhere where Jesus says dini yenu ni Ukristo. So if you can’t proof any evidence then that means what you are saying ni maoni yako and I this day and age huwezi uka wadanganya watu because everything is easily accessible. So friend give us proof. Prophet Muhammad definitely came with the Koran but continued Islam that Jesus preached, Moses preached and all the prophets before practiced.
@@Adm9464 1 Peter 1:10-11 Katika habari za wokovu huo 👉Manabii👈 walitafuta tafuta na kuchunguza chunguza ambao walitabiri habari za neema itakayo wafikia ninyi. 11-Wakatafuta ni wakati upi na wakati wa namna gani ulioonywa na ROHO WA CHRISTO ALIYEKUA NDANI YAO,ambaye alitangulia kuyashuhudia mateso yatakayo mpata Christo,na utakufu utakaokuwako baada ya hayo. Ukisema manabii walikua wa Islam unatudanganya.Quran ilikuja miaka 600 baada ya Christo
WaIslamu, Mwisho wa Mwezi ume fika!
Please Changeni ili Dawah endelea na Salm DAWAH and Team!!
So nice to see Hassan Mlefu and Team supporting their brohers at Salim Dawah!
Allah swt awa barik NYOTE!
Karibu Ustad Hassan Mlefu!
TabarakAllah Team mzima, pamoja wa Bebaji Vitabu!
Maashaallah baarakallah mungu awajaze kheri mashekh wetu
mashaallah best kabisaa
Mashallah kazi Nzuri Mashekh wetu
Hapo kawangware iko sawaa..dawaah iwafikie
mashaallah moto saaana ALLAH awazidishie
Sheikh Salim punguza uchokozi 😅😅😅 Allah awasahilishie InshaAllah.
Maa Shaa Allah, Sasa clip imekuwa smart, Allah awahifadhi nyote na awalipe jannatul firdaus
Aamiin amiin amiin
MashAllah ustadh salim Allah akuzidishie umri mrefu daawah iendelee maana mafunzo yko MashAllah lazima watu waje wasikilize 🤲🤲🤲
It’s always they are not ready ama hawasoma bibilia sana even the basics.
Allahumma Barik fiq
Mashaallah Allah ..Allah awape kila kheri
Masha Allah ,barak Allahu feek sheikh salim ngugi
Waha Waha mambo ni motosana 💞💞💞💞
Tena sana
Tuko pamoja kwa ajili ya Allah
Assallam aleikum mashekhe wetu Allah azidi kuwahifadhi na kila jambo ovu amiin
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Luck of education kweli. This people whether they are a pastor or not hawana elimu ya kutosha. Ni ku bahatisha with no evidence.
Masha ALLAH
Eeeh umeona jana ilikua imegoma
Masha ALLH
Safi!
Wakristo hulishwa uwongo na kuamini wakitishwa proof huingia mitini. Kama mungeitengea muda bibilia mukaisoma na kunielewa kama munavyosoma masomo mengine mungejipeleka wenyewe msikitini mukasilimu.
Alhamdulillah nashkur nimezaliwa muislam n ndio dini ya haki imedhihiri kote dunian lailaha ila llah
ALLAH Akbarr Takbirrr
Dr salim ngugi muulize huyo dada kwa nini yeye haamini yesu hakufa?
Asalaam aleikoem wa rahmatullahi wa barakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Barikiweni
Unge muliza imeandikwa wapi nyeusi wana vichekesho
Assalamu Alaykum Ustadh Salim. Kwa fikra yangu duni haipendezi kuwa na microphone mbili zinazohubiri kwa pamoja na kuingiliana katika mafunzo au kuingiliana maneno baina ya wanao ongea. Mmoja amwachie mwenzake afunze na kila mmoja afanye kazi yake. Shukran
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutarekebisha
Aslm alkm walim wetu Allah ampe afya njema n elimu n hekm namfanyie wepesi kueneza dini n ampe janat
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
@salimdaawah123 AsalamAleykum uliza wakiristo wajibu hili swali....kwanini wakifanya haja Choo 🚽Flash ikona maji sio tishu ndani?😂.....Uliza flash ni ya kazi gani kama haitoi uchafu?.....wawache kutumia tishu watumie maji
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah tutawauliza
Very good point
Hahahaha kweli umesema
Hygeen is important both water and tissue work the same.Shida ni Kwa yule jamaa alikua akitumia mawe😂 😂
Muislam anaruhusiwa kula nguruwe endapo hakuna chakula😅😂😅😂.
Haruhusiwi ki hivyo soma vizuri ili uelewe kama kuna dhuruli mfano uko pahali hakunachakula na haujuwi utapata wapi hicho chakulaumeweza kuvumilia mda mrefu labda siku tatu nne na hauna tumaini wapi utapata hivyo ni ruhusa kula chochotena siyoeti muda wa kula umefika uone nyama ya nguruwe ule na wakati huenda mwendo wa nusu saa utafika mahali ilipo chakula hivyo ndugu yangu usipoteze watu
@@obaidothmanalbulushi9196 Kwa hiyo mnakula huezi sema huli.
Soma Qur'an Al-Maaida 5 inasemaje?
Wacha kupoteza watu guruwe n Haram hairuhusiwi kula
@@Nora-v1m3p Hueliwi Qurani yako...ushahidi huo hapo.Pinga na maandiko sio maneno tupu
Uislam ilianza na Mohamed unataka andiko?
Leta we are waiting
@@salimdaawah123 Who is the First Muslim? Mohamed and Qur'an was his book
Surah az-zumar ayat 12(39:12) pinga na maadindiko kama sio yeye
Wacha uwongo. Koran imethibitisha Uislamu ulianza na baba yetu Adam. We have the proof. All the prophets were Muslims even according to the Bible . There’s not a single prophet that practiced Ukristo as the Bible does not even mention Christianity or anywhere where Jesus says dini yenu ni Ukristo. So if you can’t proof any evidence then that means what you are saying ni maoni yako and I this day and age huwezi uka wadanganya watu because everything is easily accessible. So friend give us proof. Prophet Muhammad definitely came with the Koran but continued Islam that Jesus preached, Moses preached and all the prophets before practiced.
@@Adm9464 who are alhul kitab? Because they are not muslims according to your book.Who are they please?
@@Adm9464 1 Peter 1:10-11
Katika habari za wokovu huo 👉Manabii👈 walitafuta tafuta na kuchunguza chunguza ambao walitabiri habari za neema itakayo wafikia ninyi.
11-Wakatafuta ni wakati upi na wakati wa namna gani ulioonywa na ROHO WA CHRISTO ALIYEKUA NDANI YAO,ambaye alitangulia kuyashuhudia mateso yatakayo mpata Christo,na utakufu utakaokuwako baada ya hayo.
Ukisema manabii walikua wa Islam unatudanganya.Quran ilikuja miaka 600 baada ya Christo
Masha Allah