Mkristo ayekuwa akiabudu Yesu aacha kumuabudu sasa baada ya kupatana na waisilamu kimeeleweka .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Рік тому +1

    Mashallah masheikh mabruk

  • @zainababdulrahmankarisa6273
    @zainababdulrahmankarisa6273 Рік тому +2

    mashaallah kazi nzuri;maajabu wakrsto hawataki kabsa kuamini yesu hakufa

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Рік тому +1

    Hongera sheikh Salim kwa funzo la kifo cha Yesu. Wafungueni hawa ndugu zetu akili.

  • @alimohamud654
    @alimohamud654 Рік тому +3

    Good to see the whole dacwa team are back we missed your very educative sermons in big way... Hongera mungu awape nguvu ya kufikisha dini ya haki kwa wake wasiojua..

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +2

    Masha Allah sheikh salim dawa yani hadi rahaaaa mafundisho mazuri

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458 Рік тому +2

    Mashallah maustadhi wetu mungu awahifadhi na awabariki, huo mzigo wa vitabu naona ni mzito kama kulipatikana kijimeza inge kuwa vizuri

  • @tahlil2015
    @tahlil2015 Рік тому +2

    Welcome back DAWA TEAM..we missed you guy's on field Spreading the Truth One ISLAM, one Heavily Law, One rulership, ONE ALLAH...Alhamdulilah for Islam!!

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Рік тому +1

    Masha Allah sheikh salim dawa kama kawaida ishallah

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +3

    Assallam aleikum Alhamdullillah kuwaona tena nimekuwa nawatamani siku nyingi mpaka nashindwa nini mbaya ila ni dua kuwaombea kuwaona tena hakuna lingine ila ni dua kuwaombea tena sana Allah awabariki wote awalipe mema hapa duniani na kesho akhera na atujalie waislamu wote peponi firdaus inshaAllah

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  Рік тому

      Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote tumerudi inn shaa Allah

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +2

    Karibuni sana mashekhe wetu nawapongeza kwa juhudi zenu

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +1

    Mashallah tabarakalah

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Рік тому +3

    Mara yesu mwana wa mungu mara alikufia dhambi zao yani hawaeleweki

  • @janieali5521
    @janieali5521 Рік тому +1

    MashaAllah Tabarak Allah Masheikh wetu kwa mafundisho bora. Mimi nina swali moja, kwani hawa wakristo hakuna kitu wanajua ndani ya biblia ? Kwasababu wanasema vitu ambavyo ni tofauti kabisa na maandiko.

  • @wadimtwana7286
    @wadimtwana7286 Рік тому +1

    Maashaallah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Рік тому +1

    Masha Allah 🥰

  • @mahmudmugarura2175
    @mahmudmugarura2175 Рік тому +1

    Mashallah

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Рік тому

    Hustadhi Salim ww nawenzako ALLAH awalinde nahasadd juhiyo mambo yafungulakumi wchungaji hawpendi

  • @Sal.0
    @Sal.0 Рік тому +2

    Huyu kijana FANTA, ame kataa Ayah ZOTE za biblos zilizo tolewa na Ustad Salim, HALAFU ana sema eti yeye ni 'Mkristo'!??? 😮😮.
    TabarakAllah Team!
    WaIslamu , toweni Mali zenu kila Mwezi ili toweze juwa support hawa MaDaee wetu!
    Mafundisho matamu sana!

  • @BAUCHADAAWAH
    @BAUCHADAAWAH Рік тому +2

    huyo aliekuja mwisho mbona anafanana kuwa pastor mbona hakukuja hapo

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому +2

    MTU ANAWEZA ENDEA refund ya 10% akisha slimu?kuna jamaa 10% yake inafika 10 million .hehehe

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 Рік тому +1

    Uyo aliyeuliza kuwa wapi yesu alielezwa kuwa ni muislam ilikuwa umfafanulie tu izo aya ili apate verification na proof kwa kupita aya hizo

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Рік тому +1

    Waisilamu eeeh mpo msijibizane na wajinga vipofu hawatabui maandiko kazi kukurupuka tu oeeee uisilamu mpaka kiama auuu waisilamu wenzzngu gumeshinda na tutashinda makafiri kwa uwezo wa Allah😂😂😂😂😂

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      @@abdallamkwaju6102 hakuma mtu anapindisha maandiko pua mimi nimesoma na wako sahihi kabisa

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      @@abdallamkwaju6102 kwanza waandishi wa bibilia walijaribu kupendua maandiko ya mungu bahati mbaya hawakugeuza yote ndio maana unaona inajichanganya yenyewe pole sana nfugu fungua macho na akili utafakari

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      @@abdallamkwaju6102 angalia ndugu sio yesu tu hata manabii wote walikuwa waisilamu na hakuna nabii yoyote aliyepewa kitabu kinachoitwa bibilia ila taurati ya musa zaburi ya daudi na injili ya yesu na Quran ya mohammad S.a.w pekee Quran imehifadhiwa real transationna hio unasema inajichaganya hakuna mahali Quran yote imeji chaganya it is a complete word of GOD but ukienda kwa bible ni kama story book kuna hadithi kuna biashara kuna guest we jisome from mwanzo tu ufunuo utakuja gundua waisilamu wakona ukweli lakini usingoje kusomewa na pasta hutaelewa kitu nakupa homework fanya kisha nipe majibu

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      @@abdallamkwaju6102 na wewe nikuulize kwa bibilia ikiwa maneno ya munguje shetani anamshinda yesu??? Na kama sio kumtia shetani nguvu kwa nini shetani alimbeba yesu mpaka ju ya hekalu kwani yesu hana uwezo wa kujipeleja mwenyewe mpaka apewe lift na shetani hio kwa islamu haiwezekani bibilia inawezekana

    • @zakiaanwar677
      @zakiaanwar677 Рік тому

      @@abdallamkwaju6102 imani ni kuwa yesu si mungu si mwana wa mungu bali ni mtume wa mungu ukisoma kwenye mathayo inasema na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe mungu wa pekee wa kweli na yesu kristo uliemtuma bas yesu kwa kinywa chake amethibitisha hana uungu wowote basi

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +1

    Maashaallah