❤❤❤ Masha'Allah... good work from my brother's., love you all for the sake of ALLAH...may Almighty ALLAH bless you the all team of straight path daawah❤❤
Kazi nzuri wahadhiri wetu. Lakini kama huyo dada anaonekana angepatiwa mda angeweza kufahamu mengi na anaonekana msikivu. Watu kama hao Inafaa wapatiwe mda kidogo waelimishwe
Kabisa nilikua na maswali mengi ila.mda ulikua umeyoyoma sana......na pia nilipenda jinsi walivyo ifahamu quaran...labda tutapatana nao Tena maanake mm pia ni mwalimu Kihunguro ndipo naishi.watanipata tu
@@ngendongigi5648dada karibu kwa dini ya haki na ya ukweli mbele ya Mwenyezi Mungu ili uibukane na moto ya jahanamu. Mungu akuelekeze kwa njia iliyo ya haki. ameen
Leo machizi fresh kibao kwa comments section. Uchungu hasira na uongo kwa wingi lakini hazibadilishi kitu. Bado wanasilimu kwa makundi kote ulimwenguni. Kazi iendelee.
MashaAllah, MashaAllah, MashaAllah, watu wame silimu leo, Alhamdulillah! Dada ka pendeza Kweli! May Allahswt guide and protect her and all others today! Na mimi sija ona andiko iki sema MaJini na WaIslamu ni Ma Ndungu! TabarakAllah Twam kwa ku fika kila mahali!
Tangu niskize hiki kipindi, nimegundua kwamba mwendeshaji wa mada hili ako na nia moja. Ako na nia ya kusilimu watu lakini anasilimu watu akidondoa na kukashifu maandiko ya kikristo ewe mwenyesi mungu kweli ulituambia kwamba maandiko nyakati za mwishw kutakuwa na watu ambapo watatujaribu huku na huku kutuambia mungu yu hapa. Ukweli ni siku za mwishw.. tunamuamini muumba dunia tosha
Dini ya haki....ongeza volume ndugu. Hebu nielezee haki iko wapi hapa [2.191] Wauweni makafiri popote mtakapowapata. 3:28 "Waislamu wasiwachukulie makafiri kuwa marafiki" 3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki" 5:33 "Wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu" 8:12 "Waogopeni na kuwakata vichwa wale walioamini Kitabu kisicho kuwa Qur'an." 8:60 "Waislamu lazima waweke silaha zote ili kuwatisha makafiri" 8:65 "Hakika makafiri ni wapumbavu; "Waislamu wawaombee kwa ajili ya kuwapigania" 9:5 "Kila inapotokea nafasi, waueni makafiri popote mtakapowakamata." 9:123 "Fanyeni vita dhidi ya makafiri wanaoishi katika jirani zenu" 47:4 "Msijisumbue kwa ajili ya amani na makafiri; Waache wakupeleke huku ukiwakamata
Ramadan mwana ni zawadi yesu Alie pewa hili jina nizawadi kama Zakaria alivyo pewa yohana na mariamu akapewa isa au yesu mwana Hilo ni jina LA zawadi kwa Mungu lakini hawakufafanulii Kama vile Baba ni heshima ya Mungu kwa wanadamu mfano Raila ni baba kwa wake ya lakini sii baba (wa)wake ya lakini ww hauwezi elewa
@@shabbymakapane sijasema kulazimishia watu kuslimu ninasema mambo ya kudanganya eti watu wote walikuwa waislamu, watu wote wanafuata uislamu - huu ni wendawazimu. How special is Islam? A religion that promotes killing, hatred and worship of Jinns. Just tell me if this is not in the Quran Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.” Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends” Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable” Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam” Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran” Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels” Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them” Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them” Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood” Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
Inauma ila itabidi nd uvumilie tu maan huwez kuzuia alichokipanga Mungu Maandiko ya Qur'an ya M/Mungu lazma yatimie pale aliposema"Na itakapokuja Nusra na Ushindi wa M/Mungu basi utawaona watu wakiingia kwnye Dini ya M/Mungu Makundi kwa Makundi" Na ndo hivi tunajionea sas😊
Mafunshisho watoto madarasa wa jue wana abudu nini wazazi wa kifa they have proof what they believe that mean. Make them believe and proof. Not only believe my father do that now I have to proof . Christian is only believe no proof
I can testify here that the writer of the Quran missed it big on trying to quote the Bible which Muslims claim is corrupted, has been changed over time and has a lot of contradictions. There's no single story lifted from the Bible that has been accurately narrated.... the stories of Moses, Adam, Abraham and even that of Jesus differ so much. It is evident that the narrator lived where Christians and Jews were, he interacted with them, learnt from them then came up with a religion to counter their beliefs. Verses like these can justify my opinion An-Nisa' 4:171 O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs. Aal-e-Imran 3:19 Indeed, the religion in the sight of Allāh is Islām. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allāh, then indeed, Allāh is swift in [taking] account Al-Anbiya 21:7 And We sent not before you, [O Muḥammad], except men to whom We revealed [the message], so ask the people of the message [i.e., former scriptures] if you do not know.
If you have really read the Quran page to page with an open heart and an open mind you would have known that the Quran is a revealation from God i.e the direct words from God through angel Gabriel the same angel sent to jesus.Muhammad PBUH came 600 years after jesus (isa AS)
@@swafaamohamed5707 Is it a revelation really? What does it reveal other than being antichrist??? Read Quran 5:72 - it actually says that hell fire is for those who believe in Jesus Christ. How can God engage in issues of faith like in this verse An-Nisa' 4:171 O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs. Is this really God or how petty is this God to engage in issues of another person's faith?
Una kazi kubwa sana sheikh Ramadhan,ya kuifanya Dunia kuwa kijiji...
InshaAllah utafanikiwa...🙏🙏
Karibu tena 🇹🇿
ningependakua mwislamu
JazakAllah Kheiran Ramadhan na Khalifa. Nimefurahi kuona watu wakislim mikononi mwenu.
May Allah guide us to the right path Amin
I have been studying Islam for a while , Inshallah I will take my Shahada
Mashallah Sheikh wetu Ramadhan Kaguo kazi mzuri sana
tabaraka rahman Allah awajengee nyumba peponi
MashaAllah... shaikh nawaombea kila la khair na Allah awajaalie IKHLAS....aaaminaaa
MAA SHAA ALLAH , WALAHI MJUKUU WANGU AMEPENDEZA SANA ,HADI RAHA, WACHA NDACHA AENDELEE KUCHUKIA UISLAMU
Masha Allah. Allah awatakabalie juhudi zenu. Amin
Subhanallah wal hamdulilahi wanaingia kwa makundi na makundi kuwa waislamu
ALLAH awaongoze mashekhe wetu from tz
Allah awalinde kwa kuwaelimisha watu kufuata njia iliyosahihi.
Sheikh Ramadhan Allah akujaze nguvu na akuepushe na husda na hasad za ki dunia kazi safii kabisa
ningeomba unisimishe kupitia online tafadhal🙏🙏🙏🙏
Mashallah Mashallah tabarakallah Allah atujaalie heri na atufishe Hali ya kuwa kalima ya laillahailallah Mohamed rasulullah🤲🤲
MASHA ALLAH MASHA ALLAH TABARAKALLAH ❤❤❤❤❤❤
❤❤❤ Masha'Allah... good work from my brother's., love you all for the sake of ALLAH...may Almighty ALLAH bless you the all team of straight path daawah❤❤
Ameen ya Rabi
Kazi nzuri wahadhiri wetu. Lakini kama huyo dada anaonekana angepatiwa mda angeweza kufahamu mengi na anaonekana msikivu. Watu kama hao Inafaa wapatiwe mda kidogo waelimishwe
Kabisa nilikua na maswali mengi ila.mda ulikua umeyoyoma sana......na pia nilipenda jinsi walivyo ifahamu quaran...labda tutapatana nao Tena maanake mm pia ni mwalimu
Kihunguro ndipo naishi.watanipata tu
@@ngendongigi5648dada karibu kwa dini ya haki na ya ukweli mbele ya Mwenyezi Mungu ili uibukane na moto ya jahanamu. Mungu akuelekeze kwa njia iliyo ya haki. ameen
Huyo amevaa jumper ya black niww? @@ngendongigi5648
Majaaliwa mtakutana na utapata elimu kubwa sana insha'Allah @@ngendongigi5648
Mashaallah mashekhe wetu mungu awaongeze hiyo juhudi ya kulingania Dini ya haki ya mwenyenzi mungu ❤
Ma sha Allah
ALLAHU AKBAR..MA SHA ALLAH Dada yetu kapendeza kuvaa buibui na uso wa bashasha ALHAMDULILLAH ALLAH awaongoze wote waislam
بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا
Sheikh naweza tka sna kujoin waisilamu naweza kupata ajy unielekeze
ما شاء الله، Allah atupe taufiq na awaongoze ummah wajue haqq waeza kuifuata
Huyu msichana mashaa llah ako na noor kwa uso mungu amuongoze inshaa llah
Mashaallah kazi nzuri unayo fanya shk Ramadhan Allah akufanyie wepesi ktk kazi hii
MashaALLAH
Allah akulipeni pepo yake InshaAllah waalimu wetu kazi nzr kz kubwa sana barakallahu fiiqum, ❤
Our forefathers worshipped God even before introduction of religions.Thaaaai
Mashallah sheikh barakallah can I get the ansheed name please I love it
Masha Allah saport dawaa
Leo machizi fresh kibao kwa comments section. Uchungu hasira na uongo kwa wingi lakini hazibadilishi kitu. Bado wanasilimu kwa makundi kote ulimwenguni. Kazi iendelee.
Nipe matumaimi Uislam unaenda mwisho
Jamani huyo Marcy c asilimu nimuoe sheikh
😂😂😂😂😂union unpelekee macca jamani😂😂😂😂
Salaam alaikum sheikh wangu. Allah akufanyie uwepesi Katina kazi hii na akuebushe na riyyah. Akin!
Mashaallah
Masha Allah mungu awaongeze wote wanaosilimu hadi mwisho wa uhai
Mashalla ustaz ramazane kuria,dada kapendeza sana sana😊
Mashallah masheikh Allah awahifadhi na awalipe kila kheri inshallah,wameilmishwa vibaya kuomba mupitia nabii
Allah akulipe sheikh Ramadhan
Kazi nzuri sheikh....mmeifahamu quran page by page waaa lakini maswali ninayo menginsana
Uliza hata hapa Kwa comment pia utjibiwa dada
MashaAllah, MashaAllah, MashaAllah, watu wame silimu leo, Alhamdulillah!
Dada ka pendeza Kweli! May Allahswt guide and protect her and all others today!
Na mimi sija ona andiko iki sema MaJini na WaIslamu ni Ma Ndungu!
TabarakAllah Twam kwa ku fika kila mahali!
Kwani majini si ni waislam.Na Quran yako inasema muislam nduguyake ni muislamu.Umeelewa Sasa?
Masha Allah tabaraka Rahman Allah azidi kuwa ongoza katika njia ilio nyooka na awa thabit katika imaan. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
Allah awa ongoze na awa thabit katika njia ilio nyooka. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin
I like the first guy, let's go back to our culture Africans. If you don't know who you are, people will tell you who you are not
Tunafaa kumjua mwenyezi mungu sio kumuamini....unaamini kitu ujuwi.
😂😂😂as the second last speaker says "religion brings conflict and division" and was used to colonise Africa 🌍
Masha Allah kazi nzuri sheikh
MashaAllah taqbiir❤ mngemuita abdulrrahman❤
Mashalah❤
Mashaallah dadaa kapendeza sana
Allah amuongeze nguvu amulide ampe afya dawa is unstoppable allahamdhulla
Kijana huyo . Mungu anu asidite. Ata sema (. YALEYTANI. QADAMTU LI HAYATI. ). Ama. Yaaleytani kuntu turabaan)
Sawa
Allah ampe nguvu kurya
Alhamdulillah alaa neematul islam
Mashaa allah
Muslim amd Christian are one thing... ideologically
Mashaallah from 🇺🇸🇺🇸
Ati Mungu alileta korona ndio tunawe maajabu hayo kwahivyo Mungu nimuislamu
Tangu niskize hiki kipindi, nimegundua kwamba mwendeshaji wa mada hili ako na nia moja.
Ako na nia ya kusilimu watu lakini anasilimu watu akidondoa na kukashifu maandiko ya kikristo
ewe mwenyesi mungu kweli ulituambia kwamba maandiko nyakati za mwishw kutakuwa na watu ambapo watatujaribu huku na huku kutuambia mungu yu hapa.
Ukweli ni siku za mwishw.. tunamuamini muumba dunia tosha
❤❤❤Masha Allah mungu awaongoze ❤❤❤❤
Iyo nasheed nzur
The truthly religion that believe Allah who all things in earth 🌎
Allah huakbar
Takbir!
Nataka kudunga mkuki kwa huyu Jamaa wa bodaboda, wapi kwake
Mashallah 🎉🎉🎉🎉
Mashallaha
Mashaallah Allha 💖💖🙏🏽
mansha allah
Ma shaallah uislam rahaaaa
Masha Allah ❤
MashaaAllah ❤️
Wakenya wasichokijua ni kuwa nchi nyingi africa wanatumia maji kwenda chooni na sio waislamu. Kama Uganda.
MashaAllah ❤❤
Ma shaallah Allah awatie nguvu
MASHALLAH
ALLAHU AKBAR
Unapanipamba 😂😂😂
Unakimbia mihadhara na waalimu wa Kikristo unaenda kuwadanganya wasio jua maandiko
Bali na Mungu ni mmoja, uislamu ni Amani, uislamu ni dini ya haki, Yesu si Mungu wala Mwana wa Mungu, ni mafundisho gani mko nayo kuhusu uislamu?
Dini ya haki....ongeza volume ndugu. Hebu nielezee haki iko wapi hapa
[2.191] Wauweni makafiri popote mtakapowapata.
3:28 "Waislamu wasiwachukulie makafiri kuwa marafiki"
3:85 "Dini yoyote isipokuwa Uislamu haikubaliki"
5:33 "Wasulubishe makafiri ikiwa wanaukosoa Uislamu"
8:12 "Waogopeni na kuwakata vichwa wale walioamini Kitabu kisicho kuwa Qur'an."
8:60 "Waislamu lazima waweke silaha zote ili kuwatisha makafiri"
8:65 "Hakika makafiri ni wapumbavu; "Waislamu wawaombee kwa ajili ya kuwapigania"
9:5 "Kila inapotokea nafasi, waueni makafiri popote mtakapowakamata."
9:123 "Fanyeni vita dhidi ya makafiri wanaoishi katika jirani zenu"
47:4 "Msijisumbue kwa ajili ya amani na makafiri; Waache wakupeleke huku ukiwakamata
Nikuulize swali ustadhi nani anakuongoza hapa duniani
❤mbona vipande vifupi?
Hatua kwa hatua
Ramadan mwana ni zawadi yesu Alie pewa hili jina nizawadi kama Zakaria alivyo pewa yohana na mariamu akapewa isa au yesu mwana Hilo ni jina LA zawadi kwa Mungu lakini hawakufafanulii Kama vile Baba ni heshima ya Mungu kwa wanadamu mfano Raila ni baba kwa wake ya lakini sii baba (wa)wake ya lakini ww hauwezi elewa
Ukora mwingi hapa, mbona nibadilishe jina?
NDIO MAANA WANAWAKE WAKRISTO ANATOA HARUFU MBAYA WAKIVUA CHUPI KWA KUTUMIA PAPER🤣🤣
endelea kuingiza watu wa Mungu kwa dini ya shetani, na kudanganya watu kuwa nabii mohammed ni mtume wa Mungu.
Quran imewajua mapema inasema wanasema waliokufuru wewe muhammad sio mtume kwa hiyo umeitwa kafiri tangu zamani
makka kulikuwa na miungu 360 warabu walikuwa wanaabudu, wakati wa mohammed akawafanya miungu wale wote kuwa mungu mmoja tu. soma quran 38:5
Pole my diha soma vzr vitabu
uwongo peupe, uislamu ni dini inalazimshwa kuwa kila mtu anafuata...
😂😂😂 Inaumaeeeh 😂😂😂
UISLAMU Haulazimishi Mtu Kusilimu
@@shabbymakapane sijasema kulazimishia watu kuslimu ninasema mambo ya kudanganya eti watu wote walikuwa waislamu, watu wote wanafuata uislamu - huu ni wendawazimu. How special is Islam? A religion that promotes killing, hatred and worship of Jinns. Just tell me if this is not in the Quran
Quran 2:191 “Slay the unbelievers wherever you find them.”
Quran 3:28 “Muslims must not take infidels as friends”
Quran 3:85 “Any religion other than Islam is not acceptable”
Quran 5:33 “Maim and crucify the infidels if they criticize Islam”
Quran 8:12 “Terrorize and behead those who believe in scriptures other than Quran”
Quran 8:60 “Muslims must muster all weapons to terrorize the infidels”
Quran 8:65 “The unbelievers are stupid; urge the Muslims to fight them”
Quran 9:5 “Whenever opportunity arises, kill the infidels wherever you catch them”
Quran 9:123 “Make war on infidels living in your neighborhood”
Quran 47:4 “Do not hanker for peace with infidels; behead them when you catch them
@@shabbymakapane chema chajiuza, kibaya chajitembeza
Inauma ila itabidi nd uvumilie tu maan huwez kuzuia alichokipanga Mungu Maandiko ya Qur'an ya M/Mungu lazma yatimie pale aliposema"Na itakapokuja Nusra na Ushindi wa M/Mungu basi utawaona watu wakiingia kwnye Dini ya M/Mungu Makundi kwa Makundi"
Na ndo hivi tunajionea sas😊
Why are you deleting my posts? Nitaweka hadi ukweli ujulikane. Dini ya haki ama chuki!!!
Mafunshisho watoto madarasa wa jue wana abudu nini wazazi wa kifa they have proof what they believe that mean. Make them believe and proof. Not only believe my father do that now I have to proof . Christian is only believe no proof
I can testify here that the writer of the Quran missed it big on trying to quote the Bible which Muslims claim is corrupted, has been changed over time and has a lot of contradictions. There's no single story lifted from the Bible that has been accurately narrated.... the stories of Moses, Adam, Abraham and even that of Jesus differ so much. It is evident that the narrator lived where Christians and Jews were, he interacted with them, learnt from them then came up with a religion to counter their beliefs.
Verses like these can justify my opinion
An-Nisa' 4:171
O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs.
Aal-e-Imran 3:19
Indeed, the religion in the sight of Allāh is Islām. And those who were given the Scripture did not differ except after knowledge had come to them - out of jealous animosity between themselves. And whoever disbelieves in the verses of Allāh, then indeed, Allāh is swift in [taking] account
Al-Anbiya 21:7
And We sent not before you, [O Muḥammad], except men to whom We revealed [the message], so ask the people of the message [i.e., former scriptures] if you do not know.
If you have really read the Quran page to page with an open heart and an open mind you would have known that the Quran is a revealation from God i.e the direct words from God through angel Gabriel the same angel sent to jesus.Muhammad PBUH came 600 years after jesus (isa AS)
@@swafaamohamed5707 Is it a revelation really? What does it reveal other than being antichrist??? Read Quran 5:72 - it actually says that hell fire is for those who believe in Jesus Christ. How can God engage in issues of faith like in this verse
An-Nisa' 4:171
O People of Scripture do not commit excess in your religion or say about Allāh except the truth. The Messiah, Jesus the son of Mary, was but a messenger of Allāh and His word which He directed to Mary and a soul [created at a command] from Him. So, believe in Allāh and His messengers. And do not say, "Three"; desist - it is better for you. Indeed, Allāh is but one God. Exalted is He above having a son. To Him belongs whatever is in the heavens and whatever is on the earth. And sufficient is Allāh as Disposer of affairs.
Is this really God or how petty is this God to engage in issues of another person's faith?
Mashlah❤
Ma Sha Allah
MashaAllah
Mashallah ❤
Mashlah❤