MDAHALO MKUBWA WA WAISLAMU NA WAKRISTO, Namba 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Mdahalo mkubwa wa amani kati ya wahadhiri wa kiislamu na wakristo, Mdahalo huu uliyofanyika katika kanisa la wasabato Ukonga siku ya tarehe 13/06/2021, Muda kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni.
    Majadiliano yaliyo kidhana na hoja kuu mbili ambazo ziliandaliwa kwa makubaliano ya pande zote mbili.
    MADA:
    1.Mitume na Manabii walikuwa dini gani ?
    2.Yesu au Nambii Issa alisurubiwa, kufa na kufufuka ?
    Wahadhiri wa Kiislamu walikuwepo ni hao walio orodheshwa hapo chini:
    H. MAZINGE, S. KIMYOGOLI, P. SHAFI, R. PILINGU, R. SALIM,
    S. MAULANAS. BWETA, I. BAKONZI, A. MWAIPOPO, M. LWAMBO,
    HAMIDU, A. RAJABU, S. MBOGO, Y. DIWANI, A. SHATRI.

КОМЕНТАРІ •