LISSU AJIBU MAPIGO YA RAIS SAMIA "AMEHARIBU MTAJI WAKE WOTE KIMATAIFA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 212

  • @aloycemisigalo3983
    @aloycemisigalo3983 3 години тому +42

    Mh. Lisu Mungu akulinde, tunakupenda tuna kuheshim, asante sana mh. Lisu.

  • @GodfreySospeter-f7r
    @GodfreySospeter-f7r 44 хвилини тому +5

    Lisu kusema kweli Mungu akusaidie. Watu wamelewa na ccm , mimi sina chama, naangalia watu wanao tufaa Tanzania kutuongoza. Ninyi mnao tetea na kuwaponda wapinzani, hamjui chochote. Achana na vyama, angalieni taifa lenu.

  • @lovenesdickson1824
    @lovenesdickson1824 3 години тому +29

    Namkubali sana Tundulisu.

  • @coolsinare8824
    @coolsinare8824 2 години тому +6

    hiyo kauli ni mbaya sana ina maana Mkuu Raisi anasema nchi hii haina democracy sasa??kwa sababu nini maana yakusema “tumewalegezea na kuwa na utu”
    wataalamu wakuchunguza picha ya kauli hapo mnasemaje??kumbe si katiba inatupa uhuru ila ni huruma na utu wa Mkuu wa nchi??Mimi naona kama hiyo katiba si kitu ila sisi watawala tunachotaka ndo habari yenyewe..sasa kama ndo hivyo naomba sana nchi hii isiitwe nchi ya kidemokrasia tena,maana kumbe mimi nilipo hapa eti si katiba inaniongoza ila ni huruma na utu wa Mkuu wa nchi.
    Bwana YESU wanazarethi imulike Tanzania ikomboe kwa namna uonavyo wewe AMEN

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 2 години тому +8

    ETI ANASEMA KIFO NI KIFO 😢😢😢SAMIA MUST GO &SAMIA LAZIMA AENDE

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Годину тому

      Aende yule mamma moyoni ayupo jmn

    • @binseif2216
      @binseif2216 18 хвилин тому +1

      Mpka 2030 mama samia

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 2 години тому +16

    Samia must go

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl Годину тому +1

      Utakwenda ww sio mama samia

    • @user-xn6ky1vk2g
      @user-xn6ky1vk2g Годину тому +2

      ​@@OmarJuma-bk9wlww ndiyo utakwenda na uyo mama Yako na Uko

    • @OmarJuma-bk9wl
      @OmarJuma-bk9wl 57 хвилин тому

      @@user-xn6ky1vk2g wabongo hamna shukrkan nyinyi. Hata mupewe nn chuki mtabaki nazo tu milele. Uyo magufuli kauwa wangap kateka wangapi. Uyo lissu wenu ninani aliempiga risas. Hivi mbn akili zenu mnakua kama Wanyama mnasahau Mara moja. Lissu miaka mingap anatamn kuja kwako kipind cha magufuli mbn hakusubut kuja. Leo mumepata muungwana amerudi bila ya kikwazo kwao. Ameeka huru vyombo vya habar. Vyama vya upinzan Kavipa uhuru wa kueka mikutano Yao ambapo mwanzoni havikupatikana. Ninan aliekwenda kumuona lissu wakat anaumwa woote walimsusia mama pekee akaenda. Mumeshazoea udictekta wa magu nyiny hakuna respect kwa viongoz wake anachotak anafanya bila ya huruma na Woga amewaharibia matajir wangap hadi leo wamefilisika. Acheni izo muwe na tabia ya kukumbuka Mazur kwa mtu. Hivi ilo jambo unauhakik gan kama ayo mauwaji ameyafany yy mama Samia. Pengin ni mpango tu wa kumuharibia sifa Rais wetu.

    • @Michealfarah-n1w
      @Michealfarah-n1w 52 хвилини тому +1

      Mbna una comment kitu ambacho huelwi bro tena ati umuislamu tena hujuii right yako?.

  • @JacobMbosalee
    @JacobMbosalee 2 години тому +20

    TUNDU LISU ameongea kiume

  • @user-xn6ky1vk2g
    @user-xn6ky1vk2g Годину тому +5

    Mwanamke samia must go atukutaki
    Tundu liso juu tunakupenda na tunakukubali shujaa wete mwenye amebaki 💪💪

  • @shabanramadhan7632
    @shabanramadhan7632 2 години тому +4

    Mauaji ni kitu kibayaa lakini katoka watu wanaotakiwa wake kimya bc ni wamarekani kwakuwa wao ndo wanaongoza kugombanisha watu na mfano ni huko Palestine

  • @FestoLalata
    @FestoLalata 13 хвилин тому

    Mhe Lisu Mungu akupe maisha marefu,damu yako Mungu anaijua ,tunakuombea afya njema.

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 2 години тому +22

    Tundu lisu anapenda amani sana

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg Годину тому +5

    Mwandishi mpumbavu akutana na hekima ya tundu antpasailisu 😅😅

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 3 години тому +10

    Hili jinga linasema tundulisu amemtukana rais, ni mchochozi ajitambui

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 44 хвилини тому +4

    Amani kweli ni kitu muhim

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 3 години тому +11

    Unajuwa msiba ukiwa haujawai kutokea kwenye family yako nahuku unakula chips yai nakuto jali binadamu wenzako nilahisi kuwashii wengine

  • @joshuaswai8203
    @joshuaswai8203 38 хвилин тому +2

    Nilitegemea rais angesemea kwa habari ya mateka ambao hawajapatikana mpaka leo alipokeo tu hotuba walimwandikia polisi tu hakulta suluhisho ambalo lingeleta sura ya utaifa kweli sikuelewa hotuba ya mama rais wetu

  • @ULUMBIADAM
    @ULUMBIADAM Годину тому +3

    Alisema wameota mikia MATUSI KABISA

  • @godfreymbwambo4460
    @godfreymbwambo4460 Годину тому +2

    PUPPET LISSU AT HIS BEST!! ETI UHAI MWINGINE NI MUHIMU KULIKO MWINGINE!!!

  • @AkilinyoMussanyo
    @AkilinyoMussanyo 2 години тому +5

    Samia mitano tena

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 години тому +3

    Tusitafute mitaji ya mataifa wazungu tutafute mitaji ya amani ya taifa letu Tanzania wazungu hatuwataki

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Годину тому

      Wazungu ndio wanatuteka na kutuua? Wazungu ndio wanatupoteza na Polisi wasitutafute? Yule uvccm wa Kagera ni mzungu? Mpumbavu hawezi kujiuliza maswali haya

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 Хвилина тому

      ​@@bcozhenry2698upo sahihi mkuu.

  • @user-us7oy4fy5l
    @user-us7oy4fy5l 2 години тому +1

    Atabaki na Mungu

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 2 години тому +14

    Lissu for president ❤

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 2 години тому +1

      LISSU IS A PUPPET, YOU WILL REGRET IT

    • @NassorMohd-lp1dp
      @NassorMohd-lp1dp Годину тому +1

      @@petroyohana1126 forget

  • @blessjo1678
    @blessjo1678 2 години тому +3

    Sheria hazijabadilika,?? Kumbe kupigwa risasi ni Sheria ya Tanzania???

  • @christiangabrieli8527
    @christiangabrieli8527 2 години тому +1

    Hapo sawa baba

  • @paulkadala8009
    @paulkadala8009 3 хвилини тому

    Kwa Kauli ya Rais kwamba Kifo ni Kifo TU.
    Hapo Rais amezingua sana..

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 26 хвилин тому +1

    Mimi nahisi wazanzibari tupeni nchi yetu na nyinyi watakanyika mchukue tanganyika yenu kumbe nyinyi watanganyika ni wabaguzi na roho mbaya

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 4 хвилини тому

    Tundu lisu is the 🐐

  • @KudraWanguvu-em1xw
    @KudraWanguvu-em1xw 52 хвилини тому +2

    watekaji nihawa chadema mnajiteka slaa alisema mliusika kwa chacha Wangwe na hata lisasi ilikuwa kiki

    • @BoniphasLukas-c3c
      @BoniphasLukas-c3c 16 хвилин тому

      Dah!ila tanzania kuna viumbe vyaajabu jamn yan mtu kupigwa risasi kutekwa nakufa nikiki ila ishalah mungu yupo atajibu skumoja tutaona ukuunwa mwenyez mungu tanzania

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 Годину тому +4

    Silaah anawajua watekaji wote

  • @EmmanuelSwedi-n2r
    @EmmanuelSwedi-n2r Годину тому +1

    USA mbona hawaja sema wanavyo tubia sisi wacha tamaa naao viongozi wenu wa USA ndio chanzo Cha machafuko

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Годину тому +2

    Lisu my president

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 2 години тому +1

    Inamaana raia kushambuliwa na kuuliwa ni kitu cha kawaida

  • @IssaMatandi
    @IssaMatandi Годину тому +1

    Mwandishi wa habari nae ni mchonganishi.Maswali yake ni ya uchochezi tupu.

  • @Gdjn974
    @Gdjn974 Годину тому +1

    Ukiachana na upinzani ameongea vzr saana saana kiukwel yani

  • @FrenkMushi-i7f
    @FrenkMushi-i7f 6 хвилин тому

    Nakukubali sanaaaaa

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 7 хвилин тому

    Hao u.s.a wameshauwa watu wangapi ktk hii dunia,hapo unapokimbilia na wazungu ndiyo shida yangu kwako.

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 2 години тому +2

    Ila la kibao inauma cn

  • @henryndosi2002
    @henryndosi2002 3 години тому +7

    Huyu tundu ni hovyo anapenda sana kuona amani inavurujika anatumwa na mabeberu

    • @abdallahlupatu1093
      @abdallahlupatu1093 3 години тому +7

      Serikali yenyewe inaendeshwa kwa hisani ya mabeberu

    • @knight6757
      @knight6757 3 години тому

      🤡

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 3 години тому +2

      Mabeberu ni akina nan au ndo wanaotukopesha na kupa misaada!

    • @wahurumasibale6155
      @wahurumasibale6155 2 години тому

      Mabeberu hao ni akina nani?

    • @EmanuelApollo-th1tp
      @EmanuelApollo-th1tp 2 години тому +1

      Mabeberu wapi? Ambao kila cku rais anasafiri kwenda kuomba omba??ndio maana Trump alisema Afrika inabidi itawawaliwe tena ndio waafrika watajielewa..

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 3 години тому +7

    Nyie kenge mnajisumbua na ss wananchi tuko pamoja na rais wetu nakauli zake tunaziunga mkono

    • @Mobmob2013
      @Mobmob2013 2 години тому +1

      Chawa jisemee mwenyewe sisi tulioko ngorongoro hutumwelewi huyu chura kiziwi

    • @BraytonMwakitalima
      @BraytonMwakitalima 2 години тому +1

      Wew ndo uko pamoja nae ila sio sisi

    • @davidsamson8292
      @davidsamson8292 2 години тому +1

      Rais wenu na nani ?
      Nani alimchagua ?
      Huyo ni Rais wa katiba

    • @anthonyluhumbika4693
      @anthonyluhumbika4693 2 години тому +1

      Nani awaunge mkono watu waovu wewe sema ni nyie wenyewe usituhusishe sisi wananchi

    • @vicentbunzal7342
      @vicentbunzal7342 Годину тому

      Sema wewe ndo upo pamoja nae siyo uwaunganishe watu wengine chawa weweee.

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 2 години тому +1

    Kikubwa lina potokea tatizoo lamwezetu kupata mazila jamani tuondoee itikadi ya uvyama tuubebe utuu na ubinadamu

  • @emmanuelchacha6718
    @emmanuelchacha6718 2 години тому

    Lissu hata kama humpendi ila huyu jamaa Ana akili sana.

  • @neygod5746
    @neygod5746 Годину тому +1

    Baba u know

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Годину тому

    Samia Must go Tanzania.... 😂😂😂

  • @GeraldBahegwa-rn3vb
    @GeraldBahegwa-rn3vb 25 хвилин тому +1

    😢

  • @williammashine3405
    @williammashine3405 2 години тому +3

    Chadema ndo chama pekee kinachostahili

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z 2 години тому

    Baba yetu lisu hukukimbia ila ulijihami hawo hawana akili na pia ulikuwa unaumwa usijali baba yetu tunakupenda

  • @michaelmshighati8432
    @michaelmshighati8432 2 години тому +2

    Paza SAUTI Makamu Mwenyekiti wanasema 2atarudisha Mateso ya Awamu ya Tano Paza SAUTI Kemea ,Onya .

  • @NoelKomba-s9d
    @NoelKomba-s9d 59 хвилин тому

    Uhuru ni Haki ya katiba iv tz tufika hatua mtu kutolewa kwy bus na kuuwa tana mwanachama wa Chama Fulani Cha siasa kweli

  • @ErickMacha-sb2ot
    @ErickMacha-sb2ot 14 хвилин тому

    Nilazima tukemee mabaya wale watetea maslahi Yao hawawezi kukemea mabaya

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 години тому

    Fatani mkubwa huyo bhana kwani yy huyo Tundu anaziamulia hizo nchi. Mwanahabari chizi maswali yako pumba na Fatani mkubwa

  • @mjinsider9204
    @mjinsider9204 2 години тому

    Huyu anapitwa na mambo halafu ana uzamani mwingi. Dunia inapigania kujitawala na haki, watu wanalinda nchi zao ili kujinasua na utekaji wa nchi zao. Kama unataka kujitawala lazima uende kwa tahadhali, wazungu wasionekane kuwa ni special kuliko watu weusi. He is a limited mindset human being.

  • @hamismwagama4591
    @hamismwagama4591 42 хвилини тому

    Siasa ninoma lisu kaokota kiseemu Bora wasitupe iyo ela ndio inawapa kiburi

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 2 години тому

    Wee na Tundu ni mafatani wakubwa wacheni kupotosha watu bhana waongo watupu nyote ulikimbia mwenyewe muongo mkubwa fatani mkubwa

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 2 години тому +2

    SACCOOS MMECHANGANYIKIWA NA MAIGIZO YENU 😢😢😢😢😢

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Годину тому

    Kanataka kutawala kwa nguvu mungu wa mbinguni tunakuomba ushuke

  • @nicodemuskecho39
    @nicodemuskecho39 Годину тому

    U kristo na u Islam vinaingiaje hapo? Mini ninahisi kuwa hata waliomuua Kibao walikuwemo waislam wenzie, waliompiga Lisu risasi walikuwemo wakristo wenzie! Sasa naomba tusichanganye mambo,,,

  • @AlfredHaji
    @AlfredHaji Годину тому +4

    Mnataka kutuletea ya Libya.Watanzania tuweni makini sana Chadema wana malengo ya kuivuruga nchi yetu. Chedema tunawapenda sana ila kuna sehem hamna hekima wala akili...plz badilisheni njia zenu za kudai haki, wazungu hawawezi kutupendelea mema sisi, wao ya kwao yanwashinda.....waulizeni somalia,congo,Libya,Urusi,Sudan na Yemen

    • @Az__2012
      @Az__2012 Годину тому

      We mpemba unamtetea mama ako mdogo

    • @omarhusna1766
      @omarhusna1766 Годину тому

      Sio kutetea hayaja tukuta sasa hivi tu naona raha lisu lisu yakitukuta lisu mtamuona kama moto yaaikieni uko uko kwa we zetu

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 Годину тому

      @Alfred we ujitambui hivi kama CCM wakikubali kukosolewa na wakajilekebisha ayo machafuko yatatoka wapi ? CCM ndio chanzo Cha machafuko kwasababu viongozi wao sio waadilifu wamejaa vibuli nakujiona wao ndio bola na wanaostaili kuiongoza nchiii

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 22 хвилини тому

    Hapa tubadili kiongozi tu na cyo vyama.

  • @user-mu9nl3vv4b
    @user-mu9nl3vv4b 18 хвилин тому

    HAPA KULICHOBAKI HALBADIR TU M.MUNGU AHUKUMU KWA KILA MWENYE NIA MBAYA APAPATIKE NA APOFOKE MACHO , ASIJE JUU TENA

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 11 хвилин тому

    Mara hujakimbia ,mara ulikimbizw na mabaloz . Jmn c usem tu mama ndo amekurudsha,angekuw magu ungerud? . Chamsing mjikite kutafut nani anateka ? Km ccm nan hyo anawatuma? Hayo n mambo yakuungana wanaharakati, wanasiasa ,jamii na serikali c kurushiana maneno na kutuhumiana jmn. Kwahyo samia atume watu kuua mtu jmn kwel? Hao ni majambaz km wengine tuungane tuwajue na kutokomeza

  • @allymansur8155
    @allymansur8155 Годину тому

    Lazima atajifanya hodari wa uwakili, ulipojitambua mbona hukurudi ila baada ya hayo mazingira ambayo unatulazimisha kuyafahamu. Kwa hivyo hio kurudi kwako unatushawishi kuwa ulikamatwa na kwamba unatafutwa toa sera zako na sio kukaa na kuropoka ovyo. Kumbe mnafanya uhuni kwakutoroka na kuidanganya serikali ndio nchi unavyotaka kuitawala ?

  • @tumainiamani111
    @tumainiamani111 2 години тому

    Tafsiri ya sheria ziko vile vile nikwamba watu wasio julikana wako kazini Tundu lisu asisaau hilo

    • @tumainiamani111
      @tumainiamani111 Годину тому

      Ndugu muandishi kama kulikuwana sheria pamoja na taratibu nzuri tusingefikia hatua ya kuuliwa kwa watu na utekaji wakijinga namna hii sio
      Hii sio sawa 😢

  • @saadallah6287
    @saadallah6287 2 години тому +3

    Samia yupo vizur

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 3 години тому +7

    Tundulisu usiwe kigeugeu na kama Rais alikuwa sahihi mbona mnamtukana sana mheshimia Rais Samia .

    • @allonjoseph5467
      @allonjoseph5467 2 години тому +2

      rais ametukanwa wap

    • @chrysanthushakaunga6560
      @chrysanthushakaunga6560 2 години тому

      Bro nakuelewa sana

    • @JoshuaSalimu
      @JoshuaSalimu 2 години тому +1

      Acha uchawa ww

    • @chumachuma5789
      @chumachuma5789 2 години тому

      Acha uchawa ametukanwa wapi

    • @princessplatnum4416
      @princessplatnum4416 2 години тому

      Mwamba hv unajua maana ya kutukanwa mkuuu acha hzo Mambo kutukana nihivy wewe nikuma uwez kumuona mwenzio anshda nawakati amefiwa shda sio wewe yalo kukuta mbwa ww

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 Годину тому +2

    UKIWA MJINGA NA KAMA HUFUATILII MAMBO UTATEKWA SANA NA KAULI ZA LISSU.

  • @paschalsafari9747
    @paschalsafari9747 2 години тому

    Huyu mtangazaji ni mchochezi....

  • @SabatojohnMatiaci
    @SabatojohnMatiaci 26 хвилин тому

    Kinfonikinfo😢😢😢😢

  • @ShukuruMsuwakollo
    @ShukuruMsuwakollo 2 години тому +1

    Na ndiyo mipango yenu kumuharibia huyu Rais kwa mbinu zozote bila kujali maslahi ya Taifa. Lakini Mungu ndiye mlipaji.

  • @saidymbila57
    @saidymbila57 Годину тому

    Sisi waislam tutabaki nae kwan nchi niyakwenu

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz 2 години тому +1

    Yaani shida yenu chadema mnatukana matusi. Mmeota mikia. Tena lisu mi nakushauri ungeokoka tuu. Kuliko unavyohangaika na kufurahia matukio yakitokea bas nikujaa kutupigusha kelele mtandaoni.

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 2 години тому

      hawa wanamchezea samia lakin angekuw ni magufuli asingekufa mtu na wangeshika adabu

    • @happymrema7487
      @happymrema7487 Годину тому

      Wewe umeota nyas

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 53 хвилини тому

      ​@@khamisswalehealiejiita ni jiwe sasa hivi yuko wapi? Wanaharamu nyie msiosimama kwenye haki na kujiona kama nchi ni yenu pekee, yeye anaita wameota mkia je siyo tusi hilo,?

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 51 хвилина тому

      Ila kusema yeye kuwa wameota mkia siyo tusi eti? Alikuwepo jiwe lakin sasa hivi yuko wapi? Na lisu yupo hai sababu mungu hajaruhusu

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 години тому

    Mtaji wa kimataifa ndio nini? hatuhitaji mawazo ya binadam wenuewe uko wanavita vyao mfano marekani na wao wanakampeni zao wanashambuliana, sisi hatuitaji mataifa tunaitaji mkono wa Mungu tu ktk taifa letu

  • @barikierney5209
    @barikierney5209 54 хвилини тому

    TUNDU UMEONGEA UKWEL, SOTE TUNAPENDA ISHI NCHI YETU SOTE

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 години тому

    Mtu akifa historia yake unasimama mbele ya jamii. Historia ya magufuli yataendelea kuishi milele na atasemwa kwa historia yake tuu.

  • @kessydieselengineers3205
    @kessydieselengineers3205 2 години тому

    Wanaigiza hao inabidi watoke madarakani

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Годину тому +1

    Huyu fala anakisasi

  • @omaryjumas6327
    @omaryjumas6327 20 хвилин тому

    Makhuluku tabu. Hili neno lina maana pana sana.

  • @DannyWiston-xo4hx
    @DannyWiston-xo4hx 10 хвилин тому

    Mbona wamekua waoga gafla sana

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn 2 години тому

    Comde. na bwa. mdogo Lissu akiongea, watu wanachanganyikiwa sana. Ni kwamba simba akiingia mjini au akiunguruma, viumbe vyote ni hekaheka. Hata sisimizi wasiojua kinachoendekea watalia kwa kukanyagwakanyagwa na viumbe wanaohaha huku na kule. Ebu soma comments za watu, utaelewa namaanisha nini.

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi Годину тому +3

    Umeishiwa watanzania hatutaki siasa za fujo tunataka siasa za hoja

  • @user-hd7gs5by4s
    @user-hd7gs5by4s Годину тому

    Mbowe usirudi nyuma hila ukoloni TZ

  • @mohammedya-assini6455
    @mohammedya-assini6455 Годину тому

    Kanisa katoliki, ndionani kwenye nchi hii? Lissu acha kupotosha watu

  • @LuqmanIddi-cb8me
    @LuqmanIddi-cb8me 23 хвилини тому

    Kipindi Cha mjomba watu wasiojulikana walikua kibao ila hao wavaa mkofia hatukuwasikia walikua wapi?

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 31 хвилина тому

    Doller million 7 ati ndiyo pesa nyingi? Waende huko na unafik yao

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 2 години тому

    Anabaki na CHAWA

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Годину тому

    Sasa kwa nini Hamjasubili vyombo vifanye kazi yake

  • @ZainabLol-wx7xf
    @ZainabLol-wx7xf 2 години тому +2

    SAMIA MUST GO &SAMIA LAZIMA AENDE

  • @AlfredHaji
    @AlfredHaji 2 години тому

    Kabla hujadai haki yako usitukanwe,basi jitahidi na wewe usimtukane mwenzako,ttz lako Lissu mmesahau mlivyo kuwa mnamtukana Raisi adi mnamuita msag........ so pls shut up yout mouth Lissu...
    Ni sawa tunaumizwa sana na utekaji ila na nyinyi pia hamna nidhamu Lissu

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 35 хвилин тому

    RAIS SAMIA NAKUOMBA NAWEWE UTOE TAMKO MAJARIBIO YA KUTAKA KUMUUA TRUMP MARA MBILI MAREKANI WAKATI NI MGOMBEA URAIS 2024.MAMA KAZA KAMBA DAWA IMEWAINGIA SIWALIKUWA WANASEMA USEMI SASA UMESEMA WANABADILIKA PIGA KAZI RAIS

  • @NassorMohd-lp1dp
    @NassorMohd-lp1dp Годину тому

    Hilo la Mabalozi ndio Lillilo kuwa LENGO LENU. WACHONGANISHI WAKUBWA NYINYI. ANDAMANENI BASI MZIDI KUTUCHAFULIA TAIFA LETU. WAHUNI WAKUBWA

    • @williamfrancis8724
      @williamfrancis8724 Годину тому

      Wanalichafuaje? Naomba usaidie

    • @NassorMohd-lp1dp
      @NassorMohd-lp1dp 57 хвилин тому

      @@williamfrancis8724 Wanataka Watu Wapigane kwa Usaidizi wa Mataifa ya Wakoloni. Hao nivibaraka kama wale Walio ichafua Libya. HATUTOWAPA FURSA ASILANI

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Годину тому

    Achana na Maguguli. Pambana na maovu yako. Kila ukimutaja Maguguli unaichafuwa Chadema. Magufuli alikuwa kipenzi wa watanzania

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 57 хвилин тому

      Yule mwanaharamu wajinga tu walimwelewa,

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Годину тому

    Mbona na makofia yao tena😂😂😂

  • @edisonmjema2620
    @edisonmjema2620 Годину тому

    Tuna waandish wangese mno😢

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 Годину тому

    Mm cpend akiwa anamtaja magufuli an hawez kuongea bila kumtaja huyo

    • @McT-m1m
      @McT-m1m Годину тому

      Sasa amtaje kwa wema na wakati magufuli alimuumiza wewe
      Mtu alokuumiza utamtaja kwa wema

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 19 секунд тому

      Acha amtaje sababu alikuwa kiongoz wa nchi.

  • @abdallahalwardi588
    @abdallahalwardi588 Годину тому

    ●kwanini wamekimbia ??😢

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 години тому +1

    Tafuta kazi ya kufanya Siasa itakupa pressure ndugu Lissu

    • @pastorbarakangata606
      @pastorbarakangata606 2 години тому

      kwani wanaotakiwa kufanya kazi ya kisiasa ni akina nani

    • @apostlemussaonlinetv
      @apostlemussaonlinetv 2 години тому

      Wewe mjinga kabisa kwenye nchi watu kama hawa lazima wawepo sasa hiyo ndio kazi yake

  • @binseif2216
    @binseif2216 19 хвилин тому +1

    Halina shukran hili li lisu wakat wa magufuli alikimbia nchi,lkn MAMA kamwita wajenge nchi waache mfarakano mpka wakakaa meza moja

    • @wiliamkatala6688
      @wiliamkatala6688 4 хвилини тому

      Hapo anafarakana vp?au kutetea haki?

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Хвилина тому

      Halina Shukurani wakati alinusurika mauti ambayo mpaka leo watawala hawajasema ni nani waliofanya hayo.

  • @khamisswalehe
    @khamisswalehe 2 години тому

    haya majitu ya ukabila na udini yakipewa nchi lazima kutakuwa na uharibifu

    • @MujuniKamugisha
      @MujuniKamugisha 2 години тому

      Kwani alikibao ni mkristo?

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 2 години тому +1

      @@MujuniKamugisha hapana swala la kufa kaka Allah ndio mjuzi mimi na wewe tukiambiwa tutoe ushahid kama kwann ameuwawa hatuna jibu lakin nataka nkuambie fatilia filamu ya osman bey utajua kwann aliamua kutetea taifa lake kwa upanga na ishallah kitali kitakuja mimi sina waswas kama ntakua hai wanafki kbla ya mkafiri ndio mtaanza kuwauwa

  • @Kalunirashidi
    @Kalunirashidi Годину тому

    sasa apo kajibu mapigo gani

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Годину тому

    Lissu is known to be a puppet. Ndiyo maana alisindikizwa na Marekan na EU. Lissu alikuwa ni mtu wawo

    • @ZedekChamagogo
      @ZedekChamagogo 47 хвилин тому

      Hujui Sheria za kiubaloz ndio mana unasema hivo

  • @CHRISTIANO-q4r
    @CHRISTIANO-q4r 45 хвилин тому

    Duuuuuu