🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • MDAHALO WA KIELIMU JE YESU ALIKUFA NA KUFUFUKA

КОМЕНТАРІ • 81

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 3 місяці тому +5

    Wakristo zingatien hoja kwa makin.mungu awezi kua na sifa za binadam.yesu ametailiwa.anakula.amekufa.sasa mungu gani uyo.ee mola wangu wape uelewa

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 3 місяці тому +1

      Hata Lugha hujui, siyo kutailiwa, ni kutairiwa , pumbavvvv wewe

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      ​@@prosperjohn2047na Wala sio kutairiwa ni kutahiriwa mjinga wewe

  • @samsonmwano9203
    @samsonmwano9203 3 місяці тому +3

    Mwl ndacha hongera sana kwa kuwafunza wajinga wa neno la Mungu

    • @AbdalahDullah
      @AbdalahDullah 3 місяці тому +1

      Mjinga wewe na baba yako aliyekuzaa katika dini yenye utata

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Mjinga wewe unaemuabudu mwanamme mwenzio alotahiriwa kama wewe

  • @kennodhiambo
    @kennodhiambo 3 місяці тому +2

    Nawaulizeni enyi ndugu zangu waislamu yaani hakuna hata mmoja wenu ambaye anaona kasoro kuu iliyoko katika kile mnachoita imani? Hebu mjiulize maswali haya;
    1. Mbona shahada ikaandikwa kwenye bendera ya Saudi Arabia?
    2. Mbona nikisali lazima nielekeze uso wangu Mecca ambayo pia iko Saudi Arabia?
    3. Mbona nisali nikitumia lugha ya kiarabu ambayo ni lugha ya kitaifa ya Saudi Arabia?
    4. Mbona kuitimiza nguzo ya tano ya uislamu ni lazima niende Saudi Arabia?
    5. Mbona nijifunze lugha ya Kiarabu ili kuwasiliana na Mungu ( neno la Mungu na sala pia)
    Cha nyongeza ni kuwa majini nikitaka kuwasiliana nao ni lazima niwaongeleshe kiarabu
    Yesu wa Nazareti alitokea Israeli katika kabila ya kiyahudi lakini wakristo hawajalazimishwa kuwasilana na Mungu wakitazama Israeli, hawasali wakitumia lugha za wengine n.k

    • @GreatJay-ln4yv
      @GreatJay-ln4yv 3 місяці тому

      Exactly 💯💪

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      12:5 kumbukumbu la torati limewataka na nyinyi Mahali atakapopachagua Mungu wenu muelekeze nyuso zenu na muende huko

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Hatushangai shahada kuandikwa katika bendera ata katika nyumba,gari pia unaweza kuandika....Ina maana Nashuhudia kuwa hapana mola apasae kuabudiwa ila Allah....Sasa tatizo lipo wapi ukiandika ivo......mbona hushangai. Yesu alokula kibano akauliwa na yeye ndo Mungu
      Shangaa kwanini yesu mwanafunzi mmoja alimfundisha shetani 6:70 yohana.... halafu majini na binaadamu wote wameumbwa wamuabudu Allah ndo maana tukapewa akili ya kuchanganua zuri na baya tofauti na miti na wanyama

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Jiulize wewe ukienda china au India unaweza kuingia kanisani ukaswali?....Mimi naweza maana lugha ya swala ni Moja hivo hata niende taifa lolote naweza kuungana na waumini wenzangu tukaswali
      Halafu hebu jiulize yesu alikua muisrael na lugha alokua akiongea ni kialamu Sasa Israel na ugiriki ilikotoka biblia wapi na wapi? Na madhehebu yenu yalotoka ulaya....uyo yesu wako aje Leo umsomee biblia ivo ata ikataa maana siyo lugha alokua akiongea na Mungu wake.....tafuteni original text ya lugha alokua akiongea yesu muwache kupewa tafsiri zilizochakachuliwa na wazungu
      Halafu biblia kuanzia mwanzo mpaka ufunua hakuna biblia ni kitabu Cha Mungu Wala ukristo ni dini ya Mungu.....Sasa dini yenu imetoka wapi ata Mungu mwenyewe asiitambue

  • @claverirambona6068
    @claverirambona6068 3 місяці тому +1

    Bwana Yesu Asifiw

  • @khamisimadegeda3903
    @khamisimadegeda3903 3 місяці тому +2

    Dr sule mashahallah ndacha hana jibu ... Mada ni yesu ni mingi..? Toa andiko ndacha yesu mwenyewe amekili yeye ni mungu...

  • @EdsonHaule-es9zi
    @EdsonHaule-es9zi 3 місяці тому +1

    Huyu ndacha mwamba kwelikweli mana hata karatasi Hana muda nalo

  • @IssaBacar-i2i
    @IssaBacar-i2i 3 місяці тому

    Dr Sulley ni Dr wa ma Dr

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o 3 місяці тому +2

    Kweli ma Kristo hawafahamu

    • @prosperjohn2047
      @prosperjohn2047 3 місяці тому

      Pumbavvvv Sana wewe, Usitumie neno Makristo, Acha ujinga, sisi hatusemi Maislamu, bali waislam, pumbavvvv

  • @ELIZABETHYOHANA-w9j
    @ELIZABETHYOHANA-w9j 2 місяці тому

    MUNGU atuongoze katika imani yetu ya kuutafuta wokovu

  • @yusufathman2478
    @yusufathman2478 3 місяці тому +2

    Mkifanya mjadala mwambieni ndacha asikate kate maneno..
    Masharti ya mjadala ni aya nzima isomwe..
    Pili asiyumbishe na kukata kata vipande vya aya
    Tatu mjadala ufanywe kwa njia ya mahojiano..
    Kiboko wako ndacha ni yusuf wambugu
    Msomaje wa ndacha asifanye ulumbano na ndacha kwa hoja usaidizi

  • @YusuphMataluma
    @YusuphMataluma 3 місяці тому +2

    Mashallah, dr.sure umetisha

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 3 місяці тому +1

    😂😂😂 waislamu wanchekesha saana , wanapinga kutumia Biblia na wanatetea kutumia Biblia hiyo hiyo😅😅😂

  • @williammashine3405
    @williammashine3405 3 місяці тому

    Alietumia mawingu ni YESU tu,

  • @samsonmwano9203
    @samsonmwano9203 3 місяці тому +1

    Mwalimu wa kiislamu kila ukienda mbele lazima uwe na karatasi kuonyesha kuwa unafundishwa
    Ndio sababu hata ukifundishwa hufundishiki

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 2 місяці тому

      Bora anaefundishwa lkn anawatolea mandiko katika kitabu chenu wenyewe na tunaona yanavyowaadhirisha....kuliko uyo mwandawazimu wa ndacha anaeshindwa ata kumtetea Mungu wake wa mchongo

  • @chandelierlumona3447
    @chandelierlumona3447 3 місяці тому

    I swear to God , guys I mean Muslims follow Jesus you will be free .. to know Jesus it’s just like when you’re were thirsty and you get cold water you know exactly what water does in your body when you were thirsty…

  • @hamidukimaro5746
    @hamidukimaro5746 3 місяці тому +3

    iv hawa wakristo wanakuwaga na akili kweli?

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 місяці тому

      Hata mim nashangaa yesu mwenyew kakuta Dunia umesha umbwa na mama yake kazaliwa sasa hawajiliz ni nani Aliya fanya yote haya

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 3 місяці тому

      Yesu alikuwepo kabla ya ulimwengu kuumbwa​@@kamarhelo

  • @Sofymushi
    @Sofymushi Місяць тому

    Hapo mtakesha sana wenzio wapo kimwili sisi tupo Kiroho.

  • @petermilol2104
    @petermilol2104 3 місяці тому

    Ndacha ni moto

  • @MiziziMti
    @MiziziMti 3 місяці тому +1

    Ndacha anamnyoosha sule hadi aibu

  • @rodgerskiponda7871
    @rodgerskiponda7871 3 місяці тому

    Yule ndege atapatikana wapi jamaniiiiiii...???

  • @kebasonyotham1111
    @kebasonyotham1111 3 місяці тому

    Ndacha hawezekani kabisa hata mkalete walimu wa kigeni lazima watii

  • @tepanisuleiman458
    @tepanisuleiman458 Місяць тому

    Dah hufaham ni mgumu sana yani ukisikiliza maneno ya ndacha imekua anaamini waumini wake kua miungu yao wako wawili swali la Dr Sule hajaligusa kua je yesu ni mumgu yeye anasema mwana duh ?

  • @fahadbabuy
    @fahadbabuy 3 місяці тому +3

    Huyu ndacha kama mgonjwa wa akili

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 3 місяці тому

      ni wewe ndiwe mgonjwa umefungwa na majini

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 3 місяці тому

      Uyo jini ulimuona?

    • @kennodhiambo
      @kennodhiambo 3 місяці тому

      @@SalmaAbdul-zz7dy waislamu na majini (mashetani) ni wa dini moja ya haki. Soma Surah 72, Mtume wenu alionana na majini akasilimisha

    • @SalmaAbdul-zz7dy
      @SalmaAbdul-zz7dy 3 місяці тому

      @@kennodhiambo jini na binaadamu kaumbwa amuabudu Allah....ndo maana wakapewa akili tofauri ya miti na wanyama....kwa iyo ata kama Muhammad kamsilimisha ni haki maana wote tunatakiwa tumuelekee na tumtii Mungu mmoja

  • @jeilanikhamisi
    @jeilanikhamisi 3 місяці тому

    mashallah dr sule umetisha hongera juu yako Allah akuzidishie kila la kheri sema huyo mzee mwenye mipengo hapo nyuma anacheka sana😂😂😂

  • @SamuelYaa-e9d
    @SamuelYaa-e9d 2 місяці тому

    Nmecheka Sule aliposema yesu atabaki kua mungu,,😂😂😂😂😂😂😂

  • @Saidfadhil-o3o
    @Saidfadhil-o3o 3 місяці тому +1

    Mungu huyu kaumba ndege tu

  • @Perfect-migomigo
    @Perfect-migomigo 3 місяці тому +1

    NDACHA UMESHINDA BABA🙌❤️🔥✊🌍

    • @graduationtv3072
      @graduationtv3072 3 місяці тому

      Sule kachemka sana hajajibu hoja za ndacha hata moja

  • @SIGMACENTRE-ht4zb
    @SIGMACENTRE-ht4zb 3 місяці тому

    huyo mwalimu ako fiti et sule amelipwa pesa ngapi kusema yesu akufa

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 3 місяці тому

    The answer of Onyango to say Jesus is going to his father and our father and also my God and to our God. If Onyango makes a mistake, can Kenya police arrest his son?

  • @williammashine3405
    @williammashine3405 3 місяці тому

    Sule unapigwa za uso

  • @ramadhanihafidh7732
    @ramadhanihafidh7732 3 місяці тому

    Kweli huu ni mjadala wa kielim...
    Kumbe ufaham wa wakristo wanaufaham uislam ni sheria za Mtume Muhammad sio sheria za Allah, ambae ni MUNGU mmoja asie na mwanzo na wala hana mwisho hai hafi hasinzii hajazaa hajazaliwa. Wakristo mjueni MUNGU ndugu zangu, dunia inachafuka kwa jambo hili tu, hakujawahi kutokea nchi ya kiislam inayouwa wasio muamini mungu ila inaadhibu watu wavunja sheria hadharani, lakini nchi za kikristo huwatokomeza wenye unyenyeku kwa MUNGU hata kama ni mkristo mwenzao

  • @24Dailylife-Channel
    @24Dailylife-Channel 2 місяці тому

    Mada mbona mmekosea kuandika

  • @CharlesMbise-hc2sz
    @CharlesMbise-hc2sz 3 місяці тому

    Ndacha mshindi

  • @petornilamwikali5395
    @petornilamwikali5395 3 місяці тому

    Ndoo maana amesema kama mtakuwa na kuenenda na umwili atawaacha

  • @prosperjohn2047
    @prosperjohn2047 3 місяці тому

    SULLEH NJOO MTOE YESU KWENYE KITI CHA ENZI😂😂😂😂😂

  • @rodgerskiponda7871
    @rodgerskiponda7871 3 місяці тому

    Watu ni wasomi kweli.
    Hapa ni usomi unatembea.

  • @alexandertembea5940
    @alexandertembea5940 3 місяці тому

    Ndacha ndie kweri. Kabisa

  • @sulimankarusi8345
    @sulimankarusi8345 3 місяці тому

    Another problem, anything, is born cannot be God, because God is an born, not created and death cannot reach him.

  • @user-jf2gp7wb9i
    @user-jf2gp7wb9i 3 місяці тому

    waislam hawana elimu ya kiroho ni ngumu sana kuwaelimisha

  • @graduationtv3072
    @graduationtv3072 3 місяці тому

    Assume dr sule ndo angekuwa anatetea kuwa yesu ni mungu nadhani maada ingeisha kwenye dakika 10 yaan. Ndacha anajua kutetea ata kitu cha uongo

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 3 місяці тому +2

    Alleluya. Yesu ni bwana. Naona jahazi la uislamu linazama kabisa. Yaani majini na pete za Sule hazimaaidiye kabisa

    • @ramadhanihafidh7732
      @ramadhanihafidh7732 3 місяці тому

      Alleluya =Allaluha.
      Kiaramu=kiarabu
      YA ALLAH the real EWE MUNGU

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 місяці тому

      @@ramadhanihafidh7732 Kiaramu na kiarabu li lugha moja? Kwanini kutangaza uongo?

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 місяці тому

      @@ramadhanihafidh7732 Kiaramu ni mojawapo kati ya lugha za Kisemiti ambazo zinapangwa kati ya lugha za Afrika-Asia pamoja na Kiebrania na nyinginezo.
      Herufi za kiaramu
      Inatumika tangu miaka 3,000 iliyopita. Ndiyo lugha aliyoitumia Yesu pamoja na Wayahudi wengi wa wakati wake.
      Sehemu chache za Biblia ziliandikwa kwa lugha hiyo wakati ilipokuwa imeenea zaidi kwenye Mashariki ya Kati hata Kiaramu cha Kale kikawa lugha rasmi ya utawala katika Milki ya Uajemi.

  • @ShebbyMageta
    @ShebbyMageta 3 місяці тому

    Dokta sule mwamba kabisa

  • @HabibAbdulhussein
    @HabibAbdulhussein 3 місяці тому

    😂😂😂😂 uislamu ulikua haupo au ukiristo ndo ulikua haupo?

  • @kebasonyotham1111
    @kebasonyotham1111 3 місяці тому

    Mbona mnakatakata sasa

  • @chizabuganilo3203
    @chizabuganilo3203 3 місяці тому

    Waislam hawajui mambo ya roho wao wanajuaga mamb ya mwili tuuuu hawawezi kumjua yesu abadani

    • @SaidAlnaamani-z1o
      @SaidAlnaamani-z1o 3 місяці тому

      Wewe mtoto wako anaweza kuwa baba yako weye fikiriya Kwa makini

  • @AliAbdala-sq5gm
    @AliAbdala-sq5gm 3 місяці тому

    Ndacha nao pensa bem tem dificuldade e nem consegue ver verdade

  • @khamisimadegeda3903
    @khamisimadegeda3903 3 місяці тому

    Mada ya leo ni yesu ni mungu?....lakindi ndacha hàwezi kuwa na jibu la kuwa yesu ni mungu.....na ndio maana hata andiko limekosa jibu la kuwa yeye yesu kasema ni mungu.....sasa huyo ndacha hatalitoa wapi jibu la andiko kuwa yesu ni mungu....ndacha kashapagawa....

  • @ibtissamidrissagsny7388
    @ibtissamidrissagsny7388 3 місяці тому

    Ndacha Asilim ndo bora Zaid

  • @solomutua3875
    @solomutua3875 3 місяці тому

    Sule wacha vitisho za kitoto umewezwa

  • @Dominant97
    @Dominant97 3 місяці тому

    Yesu mrithi wa jina la Muumba wa mbingu na nchi aitwaye Yehova,Yesu ni Mungu ila sio baba,imenyooka hiyo,jina la Yesu lihimidiwe.

    • @ramadhanihafidh7732
      @ramadhanihafidh7732 3 місяці тому

      Hakuna mrith bila ya marehem, hivyo YESU ni mrith je MUNGU bb ataacha mamlaka yake, je? Yehova atastaaf au ataondoka au Yesu atarith vp jina lake yehova MUNGU bb

  • @solomutua3875
    @solomutua3875 3 місяці тому

    Ndacha ninoma

  • @Saidfadhil-o3o
    @Saidfadhil-o3o 3 місяці тому

    Mnapoteza muda tu hamna la mana mnalolitenda

  • @GodfridThomas
    @GodfridThomas 3 місяці тому

    HONGERA SANA NDACHA KWA KUTUFUNDISHA