Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani-City

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 гру 2014

КОМЕНТАРІ • 100

  • @yonaibrahim5112
    @yonaibrahim5112 2 роки тому +3

    Kiongozi upo sawa mungu akulinde hoja zako ni zaidi yauwazi kimawazo ili nchi iwe na amani

  • @leonardoddiaga4399
    @leonardoddiaga4399 2 роки тому +2

    Mr.PolePole is the late Mwalimu Nyerere reincarnation. Mwalimu's spirit still living.

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 3 роки тому +3

    Jaman PolePole! Hivi ni wewe kweli! So fantastic

  • @saulindama3697
    @saulindama3697 4 роки тому +8

    Huyu alikuwa anaitwa Polepole yule wa kijani anaitwa Chakubanga.

  • @osianajonas2104
    @osianajonas2104 5 років тому +2

    To be honestly your the role model Mr Pole Pole many time I heard you u had fact in your speaking.Keep it up brother

  • @clevalupakisyo7460
    @clevalupakisyo7460 Рік тому

    Hon Hamphrey Dah, Be Blessed aiseh

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 2 роки тому +1

    NJAA MBAYA SANA LEO KAVALISHWA UNIFORM YA CCM ANASEMA ETI NI KATIBA NZURI HIVI HUYU JAMAA AMELOGWA KABISA PIA ANASEMA ETI TUNAJENGA UCHUMI WAKATI TUNAANZISHA RASMU YA KATIBA UCHUMI ULIKUWAJE.NDIYO MAANA NASEMA NJAA MBAYA SANA

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 3 роки тому +3

    ukiwa na njaa unakuwa mnafiki sana, yani hiki ki pole pole kinafkri watanzania tumesahau kauli zake

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому

      Benni mochiwa hana unafiki wowote na wala njaa kwani yeye ndiyo mwenye maamuzi peke yake hii nchi ya watanzania ukitaka kufuatilia mambo ya katiba soma na wewe unataka afanye nini mjinga wee

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 років тому +4

    Yaani wewe ulikuwa mkweli weeeeeeewe, lakini baada ya kuvaa rangi ya kijani, mambo yamebadilika nani kakuroga Polepole mwanangu!!! Jamaniii maneno uliyoongea ukiwa na suti nyeusi ni Excellent!!! Hebu jaribu kuriwaindi kanda ya 2014, 2015 hukuwa hivi nawaza sana mwanangu nnnnannni kakuroga.

    • @wiza2309
      @wiza2309 6 років тому

      Tatizo ulishaingia upande wa pili, wanajitoa fahamu. Hazina kubwa inapotea kama kufungulia bomba la maji. Inaumiza sana vichwa kama hivi vinageuka ghafla!!! Mungu atusaidie

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 роки тому

      Njaa

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga 2 роки тому

    Huyu kijana yuko vizuri sana. Naomba Mungu asibadilike

    • @oswaldpancras8353
      @oswaldpancras8353 2 роки тому

      Umeangalia hii ni ya lini na Leo yupoje huyu jamaa?:ndumilakuwili haingii mbinguni, asilan. .

  • @KumbushoMbanga-hf3wx
    @KumbushoMbanga-hf3wx 5 місяців тому

    Polepole nikichwa sana

  • @ochienglazzarrus8648
    @ochienglazzarrus8648 9 років тому +1

    Kali hii jamm

  • @richardmakyao302
    @richardmakyao302 2 роки тому +1

    Unganeni na gwajima

  • @solomonkahuta5154
    @solomonkahuta5154 2 роки тому +1

    Wewe Ni hazina ya nchi

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

    Kazi kwako polepole

  • @abdallahhassani7811
    @abdallahhassani7811 2 роки тому +3

    Pole pole wewe ndie kiongozi wa kweli, lakini kwa sababu tumesha fanwa misukule. Viongozi waliopo madarakani watakupiga vita

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 5 років тому +2

    Jembeee!!

  • @anthonychengula5046
    @anthonychengula5046 2 роки тому

    Ameongea vizuri sana tatizo hitimisho lake bado

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga 2 роки тому

    Mbona hii kitu ni nzito sana

  • @bitwayikimasumbuko3128
    @bitwayikimasumbuko3128 2 роки тому

    Huyu ndiye PolePole tunaemjua
    Ila huyu wa sasa ni #Chakubanga a.k.a Mr. VX

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 2 роки тому

    Polepole amenena sana, ni mbobezi wa siasa

  • @yusuphdomi6430
    @yusuphdomi6430 2 роки тому

    Polepole ameogopa Mwenyezi na Rais wetu aangarie mbele siku ya kiama mizani hakh

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @geofreynoah9458
    @geofreynoah9458 2 роки тому

    Huu ni mgodi unaotembea. MUNGU AKULINDE,AKUTUNZE NA KUKUBARIKI.#HAPA KAZI TU.... KAZI IENDELEE

  • @majosamalundi3687
    @majosamalundi3687 3 роки тому +1

    Kipindi kile polepole Yuko sawa

  • @gideontebuye5329
    @gideontebuye5329 2 роки тому +1

    Tunakuhitaji 2025

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    Njaa sio toka Mwaka 2016 yote haya Pole pole aliweka pembeni majumuisho USIMWAMINI MWANASIASA MDA WAKO WOTE WA UHAI WAKO

  • @mandaluukali9629
    @mandaluukali9629 2 роки тому

    Polepole nimekukubali endelea kusema ukweli utabalikiwa

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 5 років тому +1

    Kama munapiga Tundu lussi vijembe. ili asigombaniye urais..hayo maradhi. Nilimpa nyiyi. Kwa kama watanzaniya munaakili yachambuweni. Anayayasema. Polepole Hadi muwe Malini anayoyasema muyatafakari si maneno mazuri. Siyo mkaye na kuse ndiyo na kupiga makofu mutafakari kwa.kina. kiirefu mutajuwa nini anachoongeya

  • @osgentertainmentdancers8924
    @osgentertainmentdancers8924 2 роки тому

    Good speech

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga 2 роки тому +1

    TBC rusheni hii

  • @user-yw2fb7nm2t
    @user-yw2fb7nm2t 8 днів тому

    Huyu pole pole ni tu ni ya taifa

  • @hemedysuleiman78
    @hemedysuleiman78 2 роки тому

    sisi atumtaki samia mzanzibar ajui kuongoza nchi msenge uyo

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому

    Kumbe mnajua wazi katiba halali ni ipi mbona hadi leo haipatikani? Hapo kuna uongozi bora?

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому

    Mla jana mkaribishe mla leo

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому

    POLE POLE WAJANA SIO POLE POLE WA LEO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣PESA TAMU SANA

  • @nelsonmgaya8391
    @nelsonmgaya8391 2 роки тому

    Huyu ndugu sijawahi kuchoka kumsikliza!

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 2 роки тому

    Baada ya hapa kazi tu,naona utarudi kwenye hali yako ya asili.maana awamu ya sita umejitambua kazana

  • @venancikamonyore4924
    @venancikamonyore4924 3 роки тому +1

    Polepole ulikuwa mtu wa kuikomboa tz yetu kupitia mchango wako ktk katiba mpya, mtu yeyote ambae ameisikiliza hotuba yako hii leo anakushangaa kama mimi ninavyokushangaa, hivi nikuulize umerogwa na nani mpaka ukakengeuka? Nakushauri geuka utazame nyuma uone ni wapi ulijikwaa ukaanguka urudi upya tudai katiba yetu mpya tuikoe Tanzania. Mkumbuke mtumishi wa Mungu Yona,japo alimezwa lakini ninawi iliokolewa. Mungu akujaze nguvu na hofu yake ili uyaseme tena maneno haya kwa Watanzania.

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 2 роки тому

      Hakurogwa na mtu,.ila aliridhishwa na utumishi wa Mh Magufuli. Akaona Mambo yataendelea kunyooshwa lkn puu! Paa, Baba Magufuli alitwaliwa juu mbinguni.

  • @mboneamweta3936
    @mboneamweta3936 2 роки тому

    Huyu ndie pole pole aliyekuwa mkwelii sio wa leo aliyeko ccm jamnii

  • @eliamhando3161
    @eliamhando3161 2 роки тому

    Polepole rudi kwenye ulingo

  • @deokimena5168
    @deokimena5168 2 роки тому

    SELIKALI TATU, DUH SIX YEARS AGO, MUNGU TUHURUMIE

  • @FredrickSanga
    @FredrickSanga 2 роки тому

    Bado ana msimamo hou?

  • @libertymacha9134
    @libertymacha9134 2 роки тому

    Huyu Hamphrey wa leo ndiye yule wa tume au???????. Watu wa aina hii ni hatari sana. Cheo kinakuondoa kwenye ulichokitetea kwa hoja???

  • @celinamutta5058
    @celinamutta5058 2 роки тому

    Siasa! Siasa! Siasa! Kweli si hasa😳😳😳

  • @mathewmeela2591
    @mathewmeela2591 3 роки тому

    Ngachokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ni huyu tulie nae au mwingine! Itunzwe katika maktaba za Taifa.

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 2 роки тому

    WEPWA

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 2 роки тому

    Duuh, kweli pesa ilimuua yuda,wamekununua wewe na akili zako mr.polepole akili ulizokua nazo enzi hizi wamezichukua baada ya kukubali kupokea vipande30 vya fedha.

  • @saidimohamedimgotomgoto979
    @saidimohamedimgotomgoto979 3 роки тому +1

    Mnafiki Ni mnafiki tu

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 5 років тому

    Polepole ccm tumeshaichoka inatosha basi

  • @amirimsuya9531
    @amirimsuya9531 2 роки тому

    Vikishaenda ccm vinakuwa kama vimelogwa

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 3 роки тому

    Zawadi akiwa Polepole kweli

  • @anyelwisyestephen4690
    @anyelwisyestephen4690 2 роки тому

    Hakika utandawazi unatushitaki, Yu wapi Polepole huyo?, maana siyo huyu tuliyenaye kwa sasa.

  • @mahengebatweli9969
    @mahengebatweli9969 2 роки тому

    Naomba niulize huyu ni pole pole kweli wa ccm

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 2 роки тому

      Ndio yeye kipindi kile alikua na njaa

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 2 роки тому

    Kwanini tz kunawatu wanamaneno yamdomoni lakini badaye anayasaliti wenyewe!!! Au niubinafsi tu auninjaa zinawasumbuwatu,lazima tujilekebishe!!!!

  • @godwinnkya7128
    @godwinnkya7128 2 роки тому

    Upo CCM pigania hiyo katiba

  • @selemwakajange1419
    @selemwakajange1419 2 роки тому

    Anaongea kama mwal Nyerere

  • @josephmusagasa5566
    @josephmusagasa5566 2 роки тому +1

    Njaa ni mbaya,njaa huleta usaliti jmn,njaa ikizidi waweza kufanya maajabu hadi watu washangae huku wewe mwenyewe ukiamini upo sawa sawa

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 6 років тому +2

    Polepole umekula tunda la katikati ambalo linaitwa uongo,na mti wake ni wa kijani jamani wewe,na hapa dhambini utarudi na uongo utakualia matuna,na kwa hila,chuki,ubinafsi na tamaa,,machozi yetu watanzania yatakumwagikia na ndio yatakua maji yako ya kunywa.

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 роки тому +1

      Isaack polepole unamhukumu nini yeye ndiyo mwananchi peke yake hayo ni maamuzi ya wananchi walioko kwenye majadiliano ya katiba sasa yeye hawezi kushindana na serikali unataka wamuue muache mtoto

    • @fundifundi8328
      @fundifundi8328 2 роки тому +1

      Wewe usimhukumu polepole wewe sio mungu mungu ndio anaejua kuhukumu sio wewe

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 Рік тому

    Mbona mambo muhimuyote waliyafuta? Kwani hiyo ilikuwa katiba amanini

  • @stevensteve7519
    @stevensteve7519 2 роки тому

    Polepole je unapitia pitia hizi?? Ulikuaga mzuri lkn wakakupa cheo ukajisahaulisha yote

  • @johnkink2096
    @johnkink2096 6 років тому +1

    I really do like politics. I wish..... I could be one of "those" politician.

    • @yusuphdomi6430
      @yusuphdomi6430 2 роки тому

      Hawa Ccm wakubari tu Katina mpya wajipime Kama kweri wanapendwa

  • @mwidzuhuluhapalataii6945
    @mwidzuhuluhapalataii6945 5 років тому +1

    MMMMMMMMH

  • @omarmukhtar8663
    @omarmukhtar8663 6 років тому +1

    Chezea tumbo wewe mama hio

    • @msanangomwarabu301
      @msanangomwarabu301 6 років тому

      Jamani siamini Kama Polepole huyu ndio tulienae sasa.sijui Kala nini sasa

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 2 роки тому

    inafaa umeongea yanayoingia akilini kabisa

  • @godblesskessy5516
    @godblesskessy5516 3 роки тому

    huyu ni mtumwa was fikra na hajitambui Tena,alishajiunga na genge la wanyanganyi,amechafuka Hadi kwenye kope

  • @user-kl8xf1yk2b
    @user-kl8xf1yk2b 4 місяці тому

    Ukweli nkwamba ccm wanaogipa kuruhusu katiba kwasababu mbili 1 hiii nchi hii ikiwa na katiba huru watang'oka kwasababu wao wenyewe wamegawanyika ndani na kura nisiri koo wakiwa hawaja ridhiana ndani kama kipindi chalowasa alipat kura nyingi sana zingine waliuza wenyewe koo ukichanganya na kura zawapinzani ccm hawatoboi nasiyo kwamba hatujuwi tunajuwa kuwa uraisi nitaasisi inayo chaguliwa na mfumo sisi niwawakilishi hata kwenye maamuzi hatumo nasaizi ndombaya wabunge wanaheshimu chama kuliko wananchi chama kikimtangaza ndokiongoz tunaletewa kiongozi nchi hii inamambo ya hovyo sana nchi yakifalume hii

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 5 років тому +2

    Lissu atupishe kabisaaa inatosha sababu ni mgonjwa wa kutupwa mda mrefu aangarie afya yake kwanza atuwezi kuongozwa na mgonjwa kwa kipindi kilefu akishapona anaweza kugombea tena kama anaitaji ubunge wake

  • @mwidzuhuluhapalataii6945
    @mwidzuhuluhapalataii6945 5 років тому +2

    Before an angel becomes a recent satan

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 роки тому

    The video is real the speaker is fake

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 2 роки тому

    Watanzania buana!!!!
    Ukivaa tu nguo za kijani ,
    Unabadirika mpaka akili.

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому

    Ukipigiwa makofi ukumbuke kuyalinda ukipata nafasi. Je ulilinda makofi yako pindi ulipopata nafasi?

  • @godblesskessy5516
    @godblesskessy5516 3 роки тому

    hapo kabla hajanunuliwa na ccm

  • @alfredcharlie2308
    @alfredcharlie2308 2 роки тому

    You was good here 😊

  • @geofreysimpepo9945
    @geofreysimpepo9945 2 роки тому

    Hivi huyu ndio polepole tulie nae sasa ama ??? Mbona sielewi

  • @yonamwambipile4387
    @yonamwambipile4387 2 роки тому

    Ughahidi wambowe uko wapi watanzania

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому

    Cesilia hajarogwa na mtu yeyote kwani kuvaa nguo ya kijani ni hoja wewe huvai nguo kama ni chadema na wewe vaa nguo yako mambo ya serikali siyo ya kushindana nayo

    • @isaacsengunda3099
      @isaacsengunda3099 3 роки тому

      Mtu kuitwa shujaa,au kuandikwa kwenye historia hua ni shughuli pevu,inatakiwa ukubali kupoteza maslahi yako,heshima yako,thamani yako na kila kilichobora kwako,kwa ajili ya wengine,hapo ndipo ukisalimika na kuishi,utaweza kuona matunda yake hapo baadae,,
      Lakini ukiogopa kufa na kutengwa,utakua bendera,,
      Na ndio hawa akina Polepole,Kabudi nk,,