Siku zote nchi za kiafrica haziishi migogoro kwasababu watawala wanaokuwepo madarakani hawataki kuondoka wanahisi nchi ni mali yao na wao tuu ndio wenye haki ya kutawala, hilo ndio tatizo sugu! !!
KWANINI IKWAMISHWE IKUBALIWE KISHA IKIWA NA MAKOSA TUTAIBADILISHA VITABU VUA MUNGU TU HAVIBADILIKI LAKINI KATIBA TUITENDE KAZI TUIONE UPUNGUFU KTK UTENDEAJI TUTAIBADILISHA TENA
Lissu akiongea hua anafundisha hata waliomfundisha 😃😃genius.
Nimefurahi kumuona mheshimiw lisu
Naitwa ally Niko moshi tunachotaka nikatiba mpiya
Mh. Wassira, unapotosha. Mada ni RASIMU ya WANANCHI. hizi lapu lapu nyingi hazina maana.
Huyu mzee mpotoshaji! Mzee Mungu anakuona!
Acha hizo lisu yupo sawa
Nice
Siku zote nchi za kiafrica haziishi migogoro kwasababu watawala wanaokuwepo madarakani hawataki kuondoka wanahisi nchi ni mali yao na wao tuu ndio wenye haki ya kutawala, hilo ndio tatizo sugu! !!
Jamaa uyu ni shdaaaa
Hakika Mh. Lissu ni kama ulijitabiria maumivu na mateso uliyoyapata, lkn MUNGU amekuvusha
Kurekebisha, sio kubadilisha maana ila kuwezesha kufahamika kwa uwepesi.
hii katiba haitapita ikiwa CCM wastakuwa na msimamo wa chama.
Feiz Amr kwani CCM ni wengi? Walipataje wingi huo?
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌
Jenga hoja acha utopolo we mzee
Yupo sawa Sana lisu
ok
EDGER EDWARD kosa lililofanyika ni ukawa kuondoka wangekuwepo wangepiga kura ya kukataa
KWANINI IKWAMISHWE IKUBALIWE KISHA IKIWA NA MAKOSA TUTAIBADILISHA VITABU VUA MUNGU TU HAVIBADILIKI LAKINI KATIBA TUITENDE KAZI TUIONE UPUNGUFU KTK UTENDEAJI TUTAIBADILISHA TENA
Lisu nimekuelewa sana kiongonzi.
Ivi wewe mzee wasila umekula mti gani wewe