Polepole Alipata kusema haya PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 110

  • @hassanmakungu4410
    @hassanmakungu4410 4 роки тому +3

    Polepole kumbe alishaumaliza mwendo, kila kinachotokea ktk awamu ya 5, ni utekelezaji wa kauli hizi za Polepole, BigUp Polepole, BigUp JPM, nawakubali sana.

  • @nassorozawiya5778
    @nassorozawiya5778 Рік тому

    You Polepole whom I admire in my entire life.🔥🇹🇿

  • @kassembotz1421
    @kassembotz1421 3 роки тому +1

    Nakuelewaga sana kijana!
    Natamani vingozi na watjmishi wa umma wooote wangekua na mizamo kama hii

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 6 років тому +3

    Kaka yaani maneno yako yapo Muruaa
    Na kueleweka kabisa ,watu kama nyinyi ndo mnaitajika kujenga nchi hii.,
    Stay bless

  • @barakamgala2498
    @barakamgala2498 4 роки тому +4

    nimekuwa nikikufutilia sana siku.you are my role model because of you, i have started liking polics.

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 років тому +3

    uko sawa kama ulikuwa mtabiri uchaguzi wa 2015 ndio maana kwakweli mmekuwa na msimamo kwenye hii serikali ya sasa mko vizuri sana

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 3 роки тому +1

    Uko vizuri polepole ulikuwa unasimamia maslahi mapana ya mama tz kuna watu Walidhani Magufuli alijileta tu Ccm huwa inaangalia imeteleza wapi,unaona uongozi ujao wataweka viongozi wakali ambao watakao ridhi mikoba ya jpm ambao sio ndio ndio kwa mabeberu

  • @clementmwaitebele7687
    @clementmwaitebele7687 4 роки тому +3

    Huyu ni asset yuko vizuri sana...

  • @bondoeric9571
    @bondoeric9571 3 роки тому

    May God give you a long life with your spirit nakuona mbali dont give up keep fighting

  • @makamoarea5270
    @makamoarea5270 2 роки тому

    Hii HOTUBA ya moto sana , hadi 2021 bado ya MOTO !!! Waliokuja jana hawakuelewi

  • @elizabethkimbi3336
    @elizabethkimbi3336 3 роки тому

    Uko wapi polepole mbona umelala kimya sana mwanangu mpenzi nakupenda sana

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu mkubwa la TANZANIA ripo mikononi mwako na viongozi wangu wote

  • @costacosta3247
    @costacosta3247 6 років тому +10

    Ungekuwa msema uongo ungependwa sana lkn wanakuchukia sababu ya uwazi na ukweli wako songa mbele kijana!!!

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 2 роки тому +1

    Cku hizi msema kweli hapendwi!
    Kamati za Maadili zimeamka kwa ajili yao!

  • @felixmanyonyi2955
    @felixmanyonyi2955 7 років тому +12

    kaka na Mh Polepole huwa nakuelewa sana kwa point na namna uzungumzavyo kwa msisitizo

  • @annyalex6201
    @annyalex6201 3 роки тому

    Na msomaga sana huyu mzee
    hujega hoja sana/Full points

  • @creedihc4062
    @creedihc4062 4 роки тому +1

    Kaka ww ni bora sijapata kuona

  • @massawejacob
    @massawejacob 4 роки тому +2

    Du ! Pole pole uliwahi kuketi chini ukarejea clip hii jinsi ulivyojilipua ? Yaan ulipasua jipu hasaa ! Japo sasa limebakia kovu lakin chama kimepona !

  • @costacosta3247
    @costacosta3247 6 років тому +1

    Mimi nakuelewa sana na sijawahi kuona ukienenda nje ya maneno yako endelea kijana na mzalendo!!!

  • @johnbernad3407
    @johnbernad3407 3 роки тому

    Ulikua jasiri toka mwanzo

  • @hamisihussein9851
    @hamisihussein9851 3 роки тому

    Raisi Ajae ni Huyu Jamaa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 роки тому

    Sema mtoto kinachowasumbua chadema ubinafsi mwenyekiti huyo hataki kuondoka kwenye uwenyekiti wake chadema imekwisha

  • @kingommy2393
    @kingommy2393 6 років тому +4

    Pumbavuu Leo humuogopi mungu unamuogopa mtu mnafiki wewe wewe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Umesema kweli mtoto

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +1

    Kwa longolongo tu uko vizuri!!!!!!!

  • @jongosalehe1036
    @jongosalehe1036 3 роки тому

    Nkbr xn home boy..

  • @mathiasmagambo4141
    @mathiasmagambo4141 5 років тому +1

    H polepole uko sawa kabxa.

  • @ramadhanmgaya7611
    @ramadhanmgaya7611 4 роки тому

    Nice , nadhani
    Jpm alikuona hapo.

  • @richardkitwe7518
    @richardkitwe7518 3 роки тому

    Unayasema haya kwa sasa mbona siku za nyuma hukuyasema

  • @zeanamohamed4072
    @zeanamohamed4072 5 років тому

    2020 .basi ccm inatosha hakuna .la maisha. Watanzaniya. Leteni mabadiliko. Ya kweli

  • @maelezomaelezo9057
    @maelezomaelezo9057 2 роки тому

    Washaaza kukuharibia tial

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 років тому +6

    Kunguni tu huyu, Kunguni akitka damu atanyonya ya Mzee, Mgonjwa, na hata kichanga. Pumbavu sana As far as am concerned he can go to hell.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому +2

      Usimuhukumu mtu kabla ujaukumiwa shoga papa la mabebelu wee

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 4 роки тому +2

      Unamuitaje mtu kunguni !,na wakati ni msema kweli?..Au bila shaka hujamuelewa Polepole na kama humuelewi kuna kitu kinakusababisha usimuelewe,Na kwasababu hiyo hutaendelea kumuelewa.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 роки тому +1

      Ujielewi wewe shoga wa mabebelu uko ughaibuni pumbavu wewe mkimbizi unaogesha vibibi uko wa mabebelu mbwa koko polini

    • @mawazomawazo959
      @mawazomawazo959 4 роки тому

      Safi saana,nimekuelewa.

    • @azizawadh5973
      @azizawadh5973 4 роки тому

      Wametumwa

  • @shukranimwalingo6275
    @shukranimwalingo6275 6 років тому

    Ulivyopata cheo umebadilika sana polopole

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 4 роки тому

    Who else watching this in 2020?

  • @azizawadh5973
    @azizawadh5973 4 роки тому +1

    Katiba vipi

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 років тому +7

    Tumbili Keshanunuliwa tena kwa Ndizi Mbivu.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      Wewe umeolewa kwa kupenda vya bure ughaibuni na mabebelu

  • @salummuhija4435
    @salummuhija4435 6 років тому +9

    mi huwa makuelewa sana pole pole, ila sababu wabongo wameshazoea kudanganywa unaposema ukweli huwa wanakereka sana nashangaa! jpm ndio mtu sahihi sana katika kujenga hili taifa walio wengi ni wabinafsi tu kama ulivyosema walitaka kwenda ikulu kwa maslahi yao na familia zao, na marafiki zao na sio kwa ajili ya kulibadilisha taifa hili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, kijamii, kitamaduni na kuwajenga watu katika uzalendo wa kuipenda, kuilinda na kuitetea nchi yao.

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 6 місяців тому

    Polepole kiongozi sina shaka nae

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 4 роки тому +1

    Ulipovaa kijani tuu akalogwa mweee!!!

  • @mhifadhi797
    @mhifadhi797 3 роки тому

    Big up

  • @gidiontimbula1736
    @gidiontimbula1736 6 років тому

    jeee mbona munatamuka mungu pole pole huna mazuli

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 6 років тому +2

    hana issue!
    mswahili

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 4 роки тому

    Lakini hao uliowasema kipindi hicho umewapokea ccm kwa mbwembwe

  • @henrytibendelana9774
    @henrytibendelana9774 4 роки тому

    Polepole
    Oyeerrrrr

  • @williamtawete4600
    @williamtawete4600 6 років тому +2

    Ameshakuwa kama wao

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 6 років тому +2

    wenye madoa walikatwa wakakimbilia ukawa .huo ndio ukweli na wanaendelea kutumbuliwa

  • @aminamnega1778
    @aminamnega1778 2 роки тому

    Wanyonge wanyongeni khaki yao wapeni

  • @januarylugasio8040
    @januarylugasio8040 6 років тому +1

    Unajua katiba vizuri ww na utawala wa sheria au unabomoka tuuu???

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 4 роки тому

      Hongea wewe unayejua utawala mpumbavu tu

  • @matthewglory2877
    @matthewglory2877 5 років тому +2

    Huyu ndiye Rais Ajaye baada ya Magufuri Jembe kumaliza Muda wake 2025

    • @kastokyando5347
      @kastokyando5347 4 роки тому

      unafikiri urais ni kitu kidogo?

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 роки тому

      Awe rais kwa lipi mtu huyu mnafiki.
      Mambo mengi mabaya yaliyofanywa na awamu ya tano hajainua domo lake kusema. Eti sasa ni mwonaji tenamkufunzi wa kiongozi wa inchi.
      Hiyo hadhi ya kuwasemea watu anaitoa wapi.
      Nafikiri anyamazere tu apamban

    • @georgebongi4844
      @georgebongi4844 2 роки тому +1

      Nafikiri ni busarea anyamaz

  • @abelahadi1838
    @abelahadi1838 6 років тому

    polepole kakaangu usemacho ni kweli lakini usemayo yatoke moyoni sio mdomoni maana yatakuhukumu pindi ukiyarejea ikumbukwe Tanzania hii ni ya watanzania na fedha hofu yangu kuu ni pale siasa za tz na watz kuwa nyuma ya wakati kisiasa.

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 4 роки тому

    Unayajuwa hayo hata leo? Mana umekuwa Kama nyoka wa pango.

  • @abuukiogwe6806
    @abuukiogwe6806 4 роки тому

    Leo umejisahau

  • @kirengaswai4907
    @kirengaswai4907 4 роки тому +1

    Maneno ni awamu ya nne. Lakini.mmesilikiliza vizuri hiyo clip?,?mnatufanya sisi wasikilizaji ni vibatari siyo???

  • @hasnuumakame9219
    @hasnuumakame9219 6 років тому +2

    Mnafiki mkubwa, keshanunuliwa zamani

  • @wiza2309
    @wiza2309 6 років тому

    sasa hivi hana cha Kurithisha Vizazi vyake. maana hakuna cha katiba mpya wala mchakato, Ubinafsi umechukua nafasi yake. Tatizo la wana siasa hawanaga kumbukumbu. Mungu awasaidie.

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 6 років тому +2

    tatizo maslahi binafsi kishapata ulaji wake kasahau yeye pia mbinafsi na mwongo

    • @saidmwinyi1843
      @saidmwinyi1843 4 роки тому

      Haka kajamaa kajinga sana wapinzani kilakukicha wanazuiliwa kufanya mikutano hata yandani pia police wanavamia tu huyuni msengelema au?

  • @eliudletungaa7594
    @eliudletungaa7594 6 років тому +4

    MNAFIKI WA KIWANGO CHA JUU KABISAA

    • @yohanaobeth1558
      @yohanaobeth1558 4 роки тому +1

      Huyu jamaa sio mnafiki msikilize vizuri.

    • @frankndendu2570
      @frankndendu2570 3 роки тому

      Unafikra finyu kama kimo cha pua yako Eliud

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 6 років тому +1

    Utasema ccm ikataliwe!!! Ndio maana nakushangaa leo hii hii!! Ulipovua hii suti nyeusi ukavaa green yeyeyeyeyeye.!!! Njiapanda, mauwaji nk. Wazee hao ndio wanaokusikia ukisema uwongo mwingi kuleanaleana kwingi!! Basi bwana!!

    • @raphaelhitler6411
      @raphaelhitler6411 4 роки тому

      Bora umeona hili ndugu yangu maana huyu mjinga hana heshima, anawatukana wazee.

  • @jeremiadaudi5780
    @jeremiadaudi5780 4 роки тому +1

    Tayari we ni shetani huezi sema kweli ukiwa ccm tetea tonge

  • @muhamedsaidsaleh1539
    @muhamedsaidsaleh1539 5 років тому +1

    Yani haya maneno msemaji yanamsuta % kw sasa

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 5 років тому +1

    Wewe nani???

  • @mwidzuhuluhapalataii6945
    @mwidzuhuluhapalataii6945 6 років тому

    akuuuuuuuu

  • @anuaryally6177
    @anuaryally6177 4 роки тому

    Ndio katibu mwenezi

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 8 років тому +3

    Mtu ambaye anajifanya anajua Demokrasia Akisema Watu wakatwe bila Kutumia Njia ya Kura. Huyu Ndiye ati aliyehusika katika mchakato wa Katiba.

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      Maendeleo kwanza oyeeeesssss katiba ya mashoga ziiiiiiirooooo

  • @paulmarcel1026
    @paulmarcel1026 4 роки тому

    Hapo alikuwa anatafuta cheo jmn, hakuna namna lzm ujimwambafai ujisifie

  • @johnkink2096
    @johnkink2096 7 років тому +1

    Nasikitika sina hata uwezo wa kuwa mjumbe wa "nyumba 10". Maana nasikia "Wajumbe" nao ni waleta maendeleo na hawana hata haja ya "Ubunge". But I really like politics though....

  • @siaidishabani2754
    @siaidishabani2754 4 роки тому

    Vp kuusu ile katiba uliokua unaishabikia kipindi kile cha jk maana ulikua kipaombele sana lakini kwasasa vp au madalaka ya kuleva yasha kuleva

  • @thetreasure2230
    @thetreasure2230 6 років тому +2

    usiwe kama wale wazee, tatizo ubabe wa mkulu unakuharibu sana, unaanza kuwa kama wale wazee. Maana utafanyaje sasa!? Una ujasiri wa kutosha!?

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 6 років тому

    Polepole huna adabu wewe.

  • @gidiontimbula1736
    @gidiontimbula1736 6 років тому +1

    Pole sabu hujui ulisemalo

  • @daudmaikomwakapoma213
    @daudmaikomwakapoma213 5 років тому

    Duuh

  • @sebastianngimba4850
    @sebastianngimba4850 6 років тому

    unafiki huo.mshauli boss tulejee kumalizia kiporo

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 6 років тому +4

    Mwanangonjera! Hodari wa kuongea but no morals

    • @anuaryally6177
      @anuaryally6177 5 років тому

      Lisu no morals domo kapu ubongo wa mende

  • @groungreen4013
    @groungreen4013 4 роки тому

    Panya

  • @richardyusuphmsongolomakat2049
    @richardyusuphmsongolomakat2049 6 років тому +1

    POLE POLE KAMA KINYONGA NENDA BADILIKA NENDA.
    TIME WILL TELL.

  • @mazukasimon8618
    @mazukasimon8618 6 років тому

    Polepole huyu wa Katiba Mpya ndiye Polepole wa leo, Katibu Mwenezi wa CCM?

  • @antidiusluttalubonera9489
    @antidiusluttalubonera9489 6 років тому

    panya

  • @saidwilson6529
    @saidwilson6529 6 років тому

    Wewe ndio nbinafsi koz uko kwaajili ya maslahi yako binafsi....

  • @fredyhatari2572
    @fredyhatari2572 7 років тому +2

    Sasa ndugu yangu Polepole, leo tuna tolerance na Kibiti, watu kutekwa, viongozi kupigwa risasi, Nyumba za viongozi kuchomwa moto, ofisi za mawakili kulipuliwa, wanasiasa kuzibwa mdomo, udikteta uchwara, hali ngumu ya maisha, mashule kuchomwa moto, wanasiasa kuwanunua wanasiasa uchwara, viongozi kukiuka Katiba, na kila aina ya matatizo. Lakini cha ajabu, hayo yote umetuambia tuyavumilie tu ktk awamu hii ya tano. Loooooh, Polepole, kumbe kelele zote zile zilikuwa ni mbio za kutafuta madaraka tu. Hays bhana, cheo ni dhamana na mtaani ni mtakuja, najua na wewe IPO Siku utarudi huku mtaani kwetu ulikotuacha. Safari njema, endeleeni kutuliza.

    • @bahatisadiki7543
      @bahatisadiki7543 6 років тому +1

      sasahivi nawewe umekuwa walewale wabinafsi

    • @mamahawa3694
      @mamahawa3694 6 років тому

      duuuuuu polepole niwew uliye kua ukidai katiba huna hata hofu ya mungu machoni kwako eeeee watazame wote hawa wanafiki siku ikifika uwakumbuke

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому

    Wewe nani???