Niliyoyasema kuhusu wagombea wa CCM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • Video hii ni sehemu ya kipindi cha Mada Moto ambacho hurushwa na Channel 10 na katika kipindi hicho tulizungumzia uchambuzi wa watangaza nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika maelezo ya uchambuzi yalitolewa maonyo juu ya namna ya kuenenda katika kutafuta mgombea wa CCM, karibu kufuatilia

КОМЕНТАРІ • 20

  • @evancemkawe6791
    @evancemkawe6791 3 роки тому +5

    Nani anaangalia hii mpaka leo 2021 .kweli pole pole ulionagambali na ndio maana mweshimuwa alikuona comredi

  • @Wandastories256
    @Wandastories256 9 років тому +6

    Bro Polepole you have qualities of good leader I like you ideologies really politically you are literary good ahead

  • @salimfaraji7451
    @salimfaraji7451 9 років тому +3

    polepole anajua ..uko vzr mkuu

  • @hamidabdallah5841
    @hamidabdallah5841 4 роки тому +1

    Namkubali sana pole pole

  • @mussahashimu4593
    @mussahashimu4593 4 роки тому +2

    Jamaa ana maono makubwa

  • @japharymawanza9307
    @japharymawanza9307 4 роки тому +4

    kabla hajapewa uenezi wa chama alikuwa mkweli, na hukuwa mnafiki wala kibaraka aliitendea kazi elimu yake

  • @leehabari9834
    @leehabari9834 7 років тому +3

    dah kwel..hakuna aliyemtegemea magufuli..hata kwenye hyo list hayupo😱

  • @habaccucisrael5328
    @habaccucisrael5328 2 роки тому

    #kataawahuni 💚👍

  • @geofreymwatonoka8327
    @geofreymwatonoka8327 9 років тому +3

    saf polepole kwa kuwa mkweli

  • @jackswat
    @jackswat 9 років тому +5

    Huyu bwana polepole si mtu mnafiki, nimekuwa nikimfuatilia vizuri ninaimani kubwa na mchango wake wa kimawazo. Hata kama umri wake ni mdogo lakini mawazo yake ni mazuri - let us be honest!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @paulbambaga2160
    @paulbambaga2160 9 років тому +2

    tunaomba utuwekee mada moto kati ya polepole na msigwa

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 3 роки тому

    2021 CCM

  • @juliussimeon2612
    @juliussimeon2612 9 років тому

    Humphrey Polepole unapozugumzia uadilifu wa watu tafadhari usitoe hoja kwa ujumla jumla , hakikisha unatoa ushahidi wa lile unalosema kudhibitisha hoja yako.

  • @angolwisyemwandenuka4728
    @angolwisyemwandenuka4728 9 років тому +1

    Yaani huyo Humphrey bado sana. Yawezekana anahisi ana uelewa mkubwa lkn tunaomsikiliza tunasema bado anahitaji kuongeza elimu zaidi juu ya huo uchambuzi wake. Na kama taifa litafuata nyendo kama hizi basi hatuwezi kupia hatua hata kidogo.

    • @salummuhija4435
      @salummuhija4435 7 років тому +2

      we unasema Humphrey bado sana! yaani kama ni safari moja wewe na pole pole basi mwenzio kashafika wewe bado upo kigoma huko kwa jinsi alivyokuacha mbali. jamaa anajua huyo.

    • @philliposylvester9407
      @philliposylvester9407 4 роки тому

      @@salummuhija4435 kweli kabisa

  • @tozzaalexandar4905
    @tozzaalexandar4905 2 роки тому

    Polepole ndio mahana nilikuwa nakufutilia miaka mingi wewe ni mtu wa misimamo naikumbuka hii miaka 6 iliyo pita

  • @edwinm.masong1729
    @edwinm.masong1729 3 роки тому

    2021 CCM