Arafa Abdilah LAILA TUL QADIR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 313

  • @videombalimbali1681
    @videombalimbali1681 5 років тому +20

    Anaeangalia mwez wa Ramadhan 2019 alike hapa

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +29

    2021 mko wapi... Karibu mwenzi mtukufu wa ramadhani yaa ALLAH tujaalie afya njema tuifunge ramadhani na tumalize salama In shaa Allah

    • @nadhraothman1909
      @nadhraothman1909 3 роки тому

      Nilisikia kafa kweli au watu tu walivumisha, kama yupo hai allha ampe afya njema na umri mrefu na kama nikweli yanayosemwa bc allha amtunukie pepo ya Firdausi aamin

    • @hamadiali1310
      @hamadiali1310 3 роки тому

      Niulize2 huyu arafa niliskia alifariki ivi ni kweli

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 3 роки тому

      @@hamadiali1310 yupo hai kabisa #Arafa sanjar

    • @jasminjuma6390
      @jasminjuma6390 3 роки тому

      @@nadhraothman1909 yupo hai tafuta kuna clip anahojiwa

    • @hamadiali1310
      @hamadiali1310 3 роки тому

      K! ila mbn kakaa kmy sna jman

  • @mosqueecomoriennedelacourn2059
    @mosqueecomoriennedelacourn2059 5 років тому +6

    ما شاء الله. اللهم وفقنا الخير كل الخير في ليلة القدر من خيرات الدنيا والآخرة. اللهم آمين.

  • @mollelamina2744
    @mollelamina2744 Рік тому +1

    Nasikuza Qaswida hii 2023 utadhani bado hakuna aliyeimba kukuzidi Arafa ukuje Tena uwafundishe Qaswida hawa wadada wadogo wa sasa❤

  • @faudhiajuma928
    @faudhiajuma928 Рік тому +3

    ❤❤2023still we are listening wonderful qaswid

  • @barikaomar9846
    @barikaomar9846 9 років тому +17

    Maa Shaa Allah Mola akuongoze n kl na kheyr akuepushie kl la shari.

  • @aminamnyonge863
    @aminamnyonge863 2 роки тому +2

    Mashaalha mashaalha mashaalha ndugu zanguni kama bado mnaangaliya hii kaswida mwezi /4/27/2022 tujuwane wapendwa like zenu tafadhali🤝🤝🤝🤲🤲🤲

  • @mrsmrshassan7473
    @mrsmrshassan7473 8 років тому +39

    Ndugu yangu katika Imani , jitahid kutoa filimbi na vinanda , dufu latosha kwa dini yetu , tuwaachie wenyewe mayahudi na manaswara , shukran

  • @umraalmas1576
    @umraalmas1576 Рік тому +1

    Masha Allwah wallwahi qaswida hii haichakai Allwah akuhifadhi

  • @aishaissamunguyumwemaazidi8463
    @aishaissamunguyumwemaazidi8463 6 років тому +1

    mashallah mwenyezi mungu akupe maisha marfu utulete kaswida nzuri

  • @hanangmail.comehanan6473
    @hanangmail.comehanan6473 5 років тому +3

    Mashaallah 💖 💖 💖 qaswida nzuri sana 💑 💑 💑 💑 laila al qadar 👂👂👂👳👳👳👳👳👳👳💋💋💋💋💋💜💜💜🛄⚽⚽⚽⚽⚽💎💎💌💌💌✨✨✨✨✨❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇❇ the best way

  • @ashaabdinoor8666
    @ashaabdinoor8666 7 років тому +8

    ❤💞💞 Mashaalah naipenda hii qaswida .Allah akuzidishie

  • @saleheomary7009
    @saleheomary7009 8 років тому +15

    sauti nzuli sana ya kaswida ya Dada arafa mashallah

  • @rehemamgalula5940
    @rehemamgalula5940 8 років тому +12

    l love this kaswida keep up my sister.

    • @abulibra6636
      @abulibra6636 6 років тому

      Rehema Mgalula mashaallaah qaswida nzuri

  • @aminaduale1509
    @aminaduale1509 7 років тому

    mashaallah taabarakallah nice qaswida nice voice mwenyezi mungu akuweke njia ya haki na mema akulinde pia jannah tullfardasa

  • @habibamuhina5947
    @habibamuhina5947 8 років тому +10

    Masha Allah may Allah bless you and your family Ameen

  • @twabially9831
    @twabially9831 7 років тому +2

    mashaalah dada yangu mungu akupe miaka miaka mingi ya kuishi ili uwendeleee kutuletea qaswida zuri

  • @maryamtanzania9415
    @maryamtanzania9415 7 років тому +7

    naombeni qaswida Nipo kwenye ndoto ya Arafa Abdullah

  • @umulheartmohamad2785
    @umulheartmohamad2785 7 років тому +18

    mashaallah nafarajika na kuelimika ALHAMNDULILLAH ALLAH akulipe kher

  • @chambamtani8549
    @chambamtani8549 7 років тому +3

    arafa u alama ya uenezaji wa dini ya uislam kupitia nyimbo zako ,mwenyezi mungu akuzidishie heri nyingi

  • @fettykaoneka8906
    @fettykaoneka8906 5 років тому +8

    Nilikua naitafta sana hii naipenda zangu enz za ukirsto and now nimesilm ndo kabsaaaa

    • @nasrihussein1274
      @nasrihussein1274 5 років тому

      Allah azidi kukupa iman nakuipigania nakukupa fulaha mpaka sku yakiama

    • @fettykaoneka8906
      @fettykaoneka8906 5 років тому

      Amin inshaallah

    • @issajafarimzi2784
      @issajafarimzi2784 5 років тому

      Mashallah 🕋 wewe mungu akujaalie kwa kutamka kalima tukuf, karibu kwenye uislamu🌃🌃

  • @mercyabdallah5352
    @mercyabdallah5352 6 років тому

    mashaalah bint sanjal unanikosha....mwenyez mungu akujaalie afya tele uzid kutusogeza karbu ya Allah..

  • @ismailinusso8219
    @ismailinusso8219 5 років тому +6

    from Mozambique 2019

  • @ImranRamadhan-wb2se
    @ImranRamadhan-wb2se 8 місяців тому +2

    2024 muko wapi tukumbushane from oman🇴🇲🇴🇲

    • @shuwenasamit3311
      @shuwenasamit3311 8 місяців тому

      Tup

    • @EuniceKasuni
      @EuniceKasuni 7 місяців тому

      1¹lala 000🎉🎉⁰a qeèq w​@@shuwenasamit3311

    • @EuniceKasuni
      @EuniceKasuni 7 місяців тому

      ​@@shuwenasamit3311❤pĺ😊❤ĺ

  • @hasnaabdu9846
    @hasnaabdu9846 6 років тому

    Mashaa Allah hubbty naipenda sana hii kaswida Allah akulipe kher zako

  • @nailatanzania7376
    @nailatanzania7376 3 роки тому +1

    Ramadhan Mubarak wa swaum maqbuol waislam wote 2021

  • @abdillahmakuku4447
    @abdillahmakuku4447 8 років тому +3

    napenda sana nyimbo zako dada arafa asante sana

  • @sumaniomari
    @sumaniomari 8 років тому +5

    Islam is a "set of conduct" I love to grow up in Islamic society specially in Zanzibar. Sister Arafa Keep up... May God bless you.

  • @rahimalewe1039
    @rahimalewe1039 8 років тому +12

    mashaallah akuzidushie mayo wa dini dada

  • @shilahkizito6279
    @shilahkizito6279 9 років тому +1

    Mashallah daa Arafa Allah akuzidishie ln shaa Allah

  • @mwanaid.mkulu.8613
    @mwanaid.mkulu.8613 Рік тому

    Mashallah.nazipenda.sana.kaswida.zako.

  • @abushirihemed8283
    @abushirihemed8283 2 роки тому

    Maashaallwah qaswid ni nzur mung akubarik ukht araf

  • @MuniraKim
    @MuniraKim Рік тому

    Mashallah qaswida nzuri

  • @saidathuman9513
    @saidathuman9513 6 років тому

    Mashaallah! dada arafa mwenyez mungu akuzidishie

  • @zengenijumanne6723
    @zengenijumanne6723 4 роки тому

    Hongera kaswida nzuri

  • @اللهمرحمةومغفرة-ق2ص
    @اللهمرحمةومغفرة-ق2ص 5 років тому +1

    جزاك الله خير

  • @saadeased7160
    @saadeased7160 6 років тому +1

    Masha allah kaswuda ni nzuri sana

  • @sabanane7067
    @sabanane7067 9 років тому +3

    hongera sana mungu akujalie kila la kher kwa kasida zako nzur na saut yako mzur

  • @jameskwio3799
    @jameskwio3799 6 років тому +1

    Allah akupunguzie adhabu ya kabri

  • @zanurahmaulid2665
    @zanurahmaulid2665 Рік тому

    2023 mko wapi karibu mwez mtukufu wa Ramadan

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 4 роки тому

    Masha allah tabarakallah qaswida nzur sana

  • @twahamitingi4028
    @twahamitingi4028 6 років тому +4

    Arafa yupohai wenye husdambaya ndowalotangaza kua amejiua lakinitarifa siozakweli Arafayupohai Na amefanya interview Na millard Ayo

  • @ZeitunSwaleh-cv1zy
    @ZeitunSwaleh-cv1zy Рік тому

    machallah mungu akufanye wepesi kwakilajambo🤲🤲

  • @salimummbaga4347
    @salimummbaga4347 5 років тому +2

    Allah akusitiri dada Arafa

  • @felicianmapunda856
    @felicianmapunda856 2 місяці тому

    Mwezi wa 9 huu mwaka 2024 tuko hai, wekeni like zenu basss !!!!!

  • @naima_san2752
    @naima_san2752 4 роки тому +1

    MaashaAllah habbith nakupenda kwa ajili ya Allah subhuhanna waatalla

  • @pillyramadhan4569
    @pillyramadhan4569 9 років тому +1

    Mashalaah dada Arafa mwenyez Mungu akujalie yalio mema na akuepushie shari

  • @latifahussein9536
    @latifahussein9536 6 років тому

    Mashaa Allah Mwenyezimungu akuondoshe adhabu za kabri na akujalie pepo Ameen

  • @saidiuladi4443
    @saidiuladi4443 8 років тому +2

    Masha Allah! may our almighty God bless you! Ameen.

  • @NasfaRamadhan-i2q
    @NasfaRamadhan-i2q Місяць тому

    Hakuna mtu ako na mm leo😊😊😊❤❤❤

  • @maryammganga9134
    @maryammganga9134 8 років тому +7

    mashallah mashallah

  • @jamshidjafari2598
    @jamshidjafari2598 9 років тому

    allahadulillah mola akuweke wepesi katika kazi zako aminah

  • @zaharaomari3132
    @zaharaomari3132 6 років тому +1

    mashaallah Allah akulinde kwa kila jambo

  • @zenarajabu2023
    @zenarajabu2023 6 років тому +3

    Mashallah mashallah

  • @noinoi3823
    @noinoi3823 8 років тому +6

    inshallah #Arafa abdillah ubarikiwe

  • @fahadmussa8879
    @fahadmussa8879 Рік тому +1

    2023 mko wapi tukumbushane

  • @hilalimatozi9765
    @hilalimatozi9765 6 років тому

    Mashallah penda san hii qswida tunakumbushwa ibada jamn sis waislam

  • @sakinaabdalah334
    @sakinaabdalah334 5 років тому

    mashallah mwenyezingu akuzidishie imani

  • @amrimakanya4522
    @amrimakanya4522 5 років тому +1

    Mashallah dada

  • @cutezyzaaa1407
    @cutezyzaaa1407 6 років тому +1

    😙😙😙😙😙😙😙qaswida mashallah😙😙pend sana arapha

  • @ZeitunSwaleh-cv1zy
    @ZeitunSwaleh-cv1zy Рік тому

    Machallah mungu atujaliye kilalaheri 🤲🤲

  • @safiyamatali4980
    @safiyamatali4980 5 років тому +3

    Mashallah💙

  • @eyadalakkad3133
    @eyadalakkad3133 9 років тому +1

    MashaAllah mungu akuzidishie

  • @rahmayunus6044
    @rahmayunus6044 6 років тому +1

    yaan nakukubali dada ile mbay allah akuongoze ktk kaz zako ameen

  • @jamilashiban9979
    @jamilashiban9979 6 років тому +1

    Mungu atamuhifadhi mpaka kiaama ameen yarabi

  • @asyambarak9603
    @asyambarak9603 8 років тому +5

    Mwenye ezi Mungu akubarik

  • @azizaaziza3657
    @azizaaziza3657 6 років тому

    Mashaallah arafa mungu akubariki mema yote shukrn

  • @ramso-2674
    @ramso-2674 Рік тому

    Asante bint uposawa shushavina.

  • @faridampakaka4728
    @faridampakaka4728 4 роки тому

    Naipenda hii inanibariki sana mungu azidi kukuongoza dada uzidi kutuelimisha. Hasa pale unaposema kuliko miezi alafu. Amin

  • @jabirsadick722
    @jabirsadick722 9 років тому +3

    Allah akuwezeshe

  • @papanadjilacharaf1748
    @papanadjilacharaf1748 3 роки тому

    Mashallah mimi pia sharaf

  • @sabrakhamis3876
    @sabrakhamis3876 2 роки тому

    Yaarab nijaalie niione lailatul kadir

  • @fatumamohammed582
    @fatumamohammed582 2 роки тому

    mashaallh allh akupe kila la heri

  • @fatumashaban2463
    @fatumashaban2463 5 років тому

    mashallah ALLAH akuzidishie

  • @mamymaes5835
    @mamymaes5835 Рік тому

    Here in 2023 ramadan kareem

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 роки тому +1

    2021 RAMADHANI😊😊

  • @KelvinEmanuel-xy6tr
    @KelvinEmanuel-xy6tr 8 місяців тому

    Mashallah Mashallah ❤

  • @bahatiyusuphu3271
    @bahatiyusuphu3271 2 роки тому

    Mashallah Allah akulipe

  • @khadijaabubakary5475
    @khadijaabubakary5475 8 років тому +6

    mashaallah

  • @tatudijah6773
    @tatudijah6773 4 роки тому

    mashaaallah 2020, tar 29 january

  • @luciferdarkness568
    @luciferdarkness568 8 років тому +5

    masha allah rabi zidini aanlman arafa wéwé

  • @hasinabakarikombobakarikom2367
    @hasinabakarikombobakarikom2367 8 років тому +3

    MASHA'ALLAH...

  • @mwajumashabani48
    @mwajumashabani48 5 років тому +1

    Mashaallah mashaallah mashaallah

  • @SulainahMasika
    @SulainahMasika 8 місяців тому

    Mashallah tabarakallah ❤❤❤❤

  • @mwanaidimiraji6542
    @mwanaidimiraji6542 4 роки тому +2

    Maashaallah

  • @panteranera2973
    @panteranera2973 6 років тому

    ramadan mubarak

  • @jidalddl8787
    @jidalddl8787 7 років тому +2

    masha Allaah

  • @salimochi7260
    @salimochi7260 5 років тому +1

    Mashallah lailatul kadir

  • @hajisuleiman..7851
    @hajisuleiman..7851 2 роки тому

    ما شاء الله

  • @abdulswamad2859
    @abdulswamad2859 4 роки тому

    Ramadhan 2020

  • @husnarajabu4975
    @husnarajabu4975 7 років тому

    Mashaa Allah huwa napata faraja San afara kwa hii kaswda

  • @umraalmas1576
    @umraalmas1576 3 роки тому +1

    Wallwahi hii qaswida hua ina nitoa machozi yaani naiona kama mpya

  • @sajdahabeb9249
    @sajdahabeb9249 7 років тому +1

    mashaallah uk vzr

  • @ashausi5711
    @ashausi5711 6 років тому

    mashallh mdada mungu hakuzidishie nuru na baraka

  • @top20africamusics31
    @top20africamusics31 6 років тому

    Nan kaletwa hapa na millard ayo na adesontv?

  • @rajabumwanaupanga4430
    @rajabumwanaupanga4430 7 років тому +6

    Arafa sanjari Yupo hai commenti Yake hiyo.

    • @aminamakaya5984
      @aminamakaya5984 7 років тому

      Rajabu wallah nimetoka kuonyeshwa mda c mwingi jeneza la mwili wake ukiswaliwa inabdi tuelezwe wazi wa yakini na tucbaki na dhana ya majonzi,nimeumia sana kuhusu taarfa yake ya ajali ya gari ambayo ilipelekea mpk kifo chake,hebu familia au yy km yu hai kweli jibu maswali ya ndg zako ktk imani

    • @najimashaban6147
      @najimashaban6147 7 років тому

      my

    • @alhaqfatuma7121
      @alhaqfatuma7121 7 років тому

      +Amina Makaya ni kweli arafah afariki dunia please niambie Me sijuwi jamani roho imeniuma sana 😢😢😢😢😢😢😢

    • @fatumajumanne4926
      @fatumajumanne4926 6 років тому

      Jaman hz habar n zakwel au uzushi

    • @fatumaomari8115
      @fatumaomari8115 6 років тому

      Jamanji embu tuambieni ukweli tusiwe tunabuni tu jamani wajina wangu nampenda mpaka basi

  • @warotwapeter.4146
    @warotwapeter.4146 7 років тому +2

    Mashaallaaah,

  • @dhaniamussa3841
    @dhaniamussa3841 4 роки тому

    Asalam aleykum. Upo vizur kwa kasuda dada

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 7 місяців тому

    2024 Bado IPO na hazi nzuri