YARABBI nilindie MAMA yangu kipenzi|qasda iliyoacha historia ya kipekee|(Enjiid Asnan)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 240

  • @LatifahNangay
    @LatifahNangay 10 місяців тому +18

    Allah akupe starehe katika pepo yake mama yangu,nakukumbuka sana mama ulale pema peponi mama😢😢😢

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom 8 місяців тому +14

    MASHAALLAH UJUMBE MZURI SNA ILA NINAPO ISIKLIZA NALIA SN KW KUMKUMBUKA MAMA YANGU😭😭😭😭

  • @zenaPilimo
    @zenaPilimo 8 місяців тому +13

    Mola akuzidishie kwa kutambua uwepo wa mama dunian

  • @GettonKadimoro
    @GettonKadimoro Рік тому +3

    ❤ hii qaswida nikisikilizaga na baki nafurahi sana dada yangu uliye imba nakuombea dua kwa allah akujalie

  • @بدوربالعبيد
    @بدوربالعبيد 8 місяців тому +2

    Mashaa allah ❤❤🎉🎉

  • @ZainabuAdamu-c5v
    @ZainabuAdamu-c5v 9 місяців тому +3

    Mamy mungu akujalie sana ❤

  • @JumaIddy-vl2zz
    @JumaIddy-vl2zz 9 місяців тому +5

    Mwenyezimung mpe Maisha maref mama angu

  • @ummuarham6070
    @ummuarham6070 10 місяців тому +15

    Allaah awahifadhi wazazi wetu na awajaalie Pepo ya Jannat Firdaus.
    Awasamehe makosa yao.
    Aamiiyn

  • @majidhamis9473
    @majidhamis9473 9 місяців тому +4

    Da jamani mama mama mungu akulinde ulale salama huko uliko nimekumiss mwanao mi yatima

    • @KhadijaOmary-u2n
      @KhadijaOmary-u2n 9 місяців тому +1

      Mungu awanusuru naadhabu zakaburi wazazi wetu warotangua mbere yahaki mpka nimeria wallah nimekumc mama

  • @SofiaMavura
    @SofiaMavura Місяць тому +1

    Mungu mlaze pema peponi mama ya gu aamin

  • @WINNIEMOKIRI
    @WINNIEMOKIRI Рік тому +5

    Allah akuhidhi daima mdogo wangu kila nikiskiliza hii nyimbo nahis kulia eee Mollah wangu nitunzie mama angu kipenzi

  • @MwanahamisiMassudi
    @MwanahamisiMassudi Рік тому +6

    Mashalah alah awalinde wazazi wetu sote tuzeeke nao

  • @AshaRamadhan-pv7dp
    @AshaRamadhan-pv7dp 9 місяців тому +4

    Masha Allah,,mpaka nimelia

  • @MaliamFrancis
    @MaliamFrancis 3 місяці тому +2

    Hakuna kama mama dunian mwenyezi mungu atulindie mama zeti yaalabi sikia Dua zeti wanusulu na moto wa jahanama

  • @JafariNahimba
    @JafariNahimba 9 місяців тому +2

    Mama namuomba mola akujalie kila lakheri,nakuru.buka,kwa mama yako amina

  • @MariamSaidi-w3h
    @MariamSaidi-w3h 29 днів тому +2

    Hii kaswida nzur nikiwa na stres ndo naisikiliza nzur sana nakupenda san mama ❤ Allah akujalie umr mref

  • @KhadijaChata-iz8ok
    @KhadijaChata-iz8ok Рік тому +9

    Maashallah maashallah maashallah allah akutangulie katika utunzi wako allah walinde wazazi wetu ameen iachilie jamani tuidanrod nzuri sana❤❤❤❤

    • @enjiidasnan2851
      @enjiidasnan2851  Рік тому +1

      Aaamiin aaamiin.waweza idownload kupitia boompaly ni rahisi sana.karibu sana kipenzi❤

  • @RamlaNasri
    @RamlaNasri 9 місяців тому +2

    Daah hzi ndioo qaswida jaman dada🥰🥰🙏🫡

  • @EmmanuelAguero-d3h
    @EmmanuelAguero-d3h Місяць тому +1

    Masha Allah dadaaa

  • @khadijaramadhani3340
    @khadijaramadhani3340 Рік тому +7

    Mashaallah ukhty enjiid allah akupe umri mrefu na wewe uje ufanye mazuri zaidi kama ukhty dida yaa rabbi wajaalie akina mama wote waliotangulia mbele ya hakki wawe kwenye pepo nzuri jannat fir-daus

    • @enjiidasnan2851
      @enjiidasnan2851  Рік тому +1

      Allahumma aaamiin.shukran sana kwa dua yako kipenzi Allah atujaalie sote kwa pamoja

  • @RedemtaJustus
    @RedemtaJustus Місяць тому

    Ee Mwenyezi Mungu nilindie Mama anguu🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @RaziaMusa-l5q
    @RaziaMusa-l5q 10 місяців тому +1

    Mashallah jazakanllahu khaira ❤❤❤🎉

  • @HijraKasim
    @HijraKasim 11 місяців тому +1

    Mashallh mashallh mashallh mashallh 🙌😭 I tabarakalau khar mashallh mashallh mashallh

  • @ZainabuAdamu-c5v
    @ZainabuAdamu-c5v 11 місяців тому +3

    Daaaah mungu akujalie sana kipenzi 💕💕

  • @saudiaomary9882
    @saudiaomary9882 Рік тому +6

    MashaAllah shukrani my dear na kongole sana qaswaidah imesimama mahali pake ALLAH akuepushe na fitna na akupe Afya njema nina kipaji nataman sana kuimba na wewe nahisi tutafika mbali

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 2 місяці тому

    alahuma amine mwenyezi mungu akubali dua

  • @AbdallahMohamed-z6g
    @AbdallahMohamed-z6g 2 місяці тому +1

    Qaswida nzuri sauti nzuri sana basi wee raha sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 mashallah

  • @RukiaOmmy
    @RukiaOmmy 11 місяців тому +3

    Ujembe mzir San uwafkie wa mam wote dunian

  • @saudashaban1002
    @saudashaban1002 10 місяців тому +2

    MASHAALLAH QASWIDA NZURI SANAA ALLAH ATULINDIE WAZAZI WETU NA AWAPE AFYA NJEMA NA UMRI MREFU 🤲🤲🤲

  • @RukiaOmmy
    @RukiaOmmy 11 місяців тому +3

    ❤❤❤❤❤mungu azid kukulinda❤❤❤❤❤❤❤

  • @geolgejohn5089
    @geolgejohn5089 9 місяців тому +2

    Dada;umenikumbusha;mbali;Dada;yangu!huko;wap❤

  • @KhadijaOmary-u2n
    @KhadijaOmary-u2n 9 місяців тому +1

    Mashallah nimekumc mama yangu mpka nimeria nakuombea urare salam huko uriko mamii tazid kuombea dua mwanao

  • @HawaHusen-l2s
    @HawaHusen-l2s 10 місяців тому +2

    Mashaallah mungu akuzidishie ujuzi uzidi kutuelimisha na kutupa furaha ishaallah

  • @CandyMwezingo
    @CandyMwezingo 3 місяці тому

    Masha allah!

  • @ZainabuAdamu-c5v
    @ZainabuAdamu-c5v 10 місяців тому +2

    Mashaaallah mamy mungu akuzidishie

  • @PeterElias-qw3gx
    @PeterElias-qw3gx 10 місяців тому +2

    Hakika mwenyezi Mungu 🙏 akulinde piaaa

  • @bahatijsaha7298
    @bahatijsaha7298 6 місяців тому

    Amiin YaaRabbi'Allah Miin

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 9 місяців тому +1

    Alhamdulillah Bint Allah akulpe kila jema kwa kuyatambua malez ya Mama

  • @FatmaRajab-i4g
    @FatmaRajab-i4g 11 місяців тому +1

    Mashaaa 😍😍😍😍❤❤

  • @Aisha-zz4xy
    @Aisha-zz4xy Рік тому +6

    Maasha allah munguakihifadhi dada angu❤❤

  • @KasmatKiupa
    @KasmatKiupa Місяць тому

    Maashallah qaswida mzur mama nakuomba kwa mungu uishi Miaka milefu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @raythaKhalfan
    @raythaKhalfan Місяць тому +1

    Mashaallah nyimbo nzuri 🎉❤

  • @RajaBu-xq7rq
    @RajaBu-xq7rq Рік тому +2

    Safi sana mama ni mama lnshaall

  • @ShamumaShaibu
    @ShamumaShaibu Місяць тому

    Mashallah Ukhty.. ..Yaarrabb tutunzie mama zetu na uwaengezee nuru mama zetu walotangulia

  • @AminaDinya-b3x
    @AminaDinya-b3x Рік тому +2

    Aameen. Mwanangu killa kheiri kwa kaswida iliyotulia kilakipengele. Unanikumbusha Mama yangu.Alla akubarki awabarikiw Wazazi wet Aameen.

  • @raziajuma6440
    @raziajuma6440 Рік тому +3

    ❤❤ wimbo mzuri sana hadi machozi😢

  • @ArafahKhamis
    @ArafahKhamis 11 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤ hongera Dada yangu mungu akulinde na wabaya❤❤❤❤❤

  • @SoftbridgeTechnologies-r2f
    @SoftbridgeTechnologies-r2f 10 місяців тому +2

    QASWIDA yangu pendwaaaaaa

  • @karimramadhani5315
    @karimramadhani5315 Рік тому +3

    Insha Allah qaswaida nzur tunakuomba uipeleke gugo tuipakue uko

    • @enjiidasnan2851
      @enjiidasnan2851  Рік тому +1

      Inshaallah tumia vidmate kuipakua ama ingia boomplay utaipakua

  • @yasinimuna3570
    @yasinimuna3570 Рік тому +3

    Nimeipenda hiyo khawswida mungu awatangulie waliotunga

    • @hamisadam4589
      @hamisadam4589 Рік тому +1

      Aamiin mtunzi ni huyo huyo ukhty anaeimba.karibu sana

  • @najmaIsmail-xt7jn
    @najmaIsmail-xt7jn Рік тому +5

    Maashaallah dadangu mungu akuangazie nuru yako

  • @AbdiDokota
    @AbdiDokota Рік тому +2

    Mungu akulinde dada keep telling the truth of mama🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💝🙊💖💖💓💞💓💞

  • @maammudmohammad4306
    @maammudmohammad4306 Рік тому +2

    mashallah dada yangu nakupenda kama mama yangu kaswida nzuri sana tamu sana

  • @motonimoto2054
    @motonimoto2054 Рік тому +3

    Masha allah Masha allah tabaraka rahman

  • @MwajabuAlly-o1r
    @MwajabuAlly-o1r Місяць тому

    Maashallah Allah awajalie wazaz wet mwisho mwema❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @AmeenaAm-n6u
    @AmeenaAm-n6u 5 днів тому

    Nakupenda akhty dida nakualika mwezi watatu Allah akupe nguvu

  • @NuruLaiton-x8z
    @NuruLaiton-x8z 29 днів тому +1

    Mashalaaaa aminaaa mungu akujalie ila umefuigia tusidanlodi kwanini jaman

    • @enjiidasnan2851
      @enjiidasnan2851  29 днів тому

      Ooh! unaweza ku download tumia Audiomak au boomplay

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 11 місяців тому +6

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH.mung akuzidishie kipaji chako ddang.Ya ALLAH tuliendie wazazi wetu wawe na maisha marefu na mwisho mwema.qaswdah hii naiskila Kila wakt mpk yaniliza Niko mbl sana na mmng.ewe mung nilindie mmngu nikaweze kumuona Tena 🙏🙏🙏🙏 NAKUPENDA SANA MMA YANGU❤❤

  • @jannathasnani3548
    @jannathasnani3548 Рік тому +3

    MashaAllah mashaAllah baarakallahu fyiik
    ALLAH Awape pepo mzuury mama zetu

  • @OmaryMsagath
    @OmaryMsagath Місяць тому

    Mungu akulinde mama yangu

  • @minaa1488
    @minaa1488 Рік тому +2

    Mashllh kaswida pambe atar

  • @baruaniabdallah3318
    @baruaniabdallah3318 Рік тому +3

    Masa Allh mama ni mama akuna Kama mama katika Dunia

  • @FarhiaRamadhani-xg8fh
    @FarhiaRamadhani-xg8fh Рік тому +4

    Mashaallah mashallah mungu akuongoze kwa kazi nzur

  • @SheikhAbdull-ys2fd
    @SheikhAbdull-ys2fd 5 місяців тому

    Amiin insha'Allah mwxho mwma kw mum zetu wote duniani n Allah awaongzi kw yle mazto kwao awfnyie wpsi

  • @FatmaIdrisa-d8g
    @FatmaIdrisa-d8g 13 днів тому

    Maashaallah mama nimama na hakuna mfanoe

  • @HamisiallyNasoro
    @HamisiallyNasoro Рік тому +2

    Masharh dada angu nimeinda hatari

  • @AAA-zu1vy
    @AAA-zu1vy Рік тому +1

    Masha Allah habibty ❤❤❤ wallah ni melia ni memiss mama yang ku ona yenye napitia warabuni😢😢😢😢

  • @hamadsaid2232
    @hamadsaid2232 9 місяців тому +1

    Imeenda shule

  • @AshaJuma-y8m
    @AshaJuma-y8m Рік тому +1

    Mashaallah 🙏 dada ang

  • @AminaCheupe-l4y
    @AminaCheupe-l4y Місяць тому

    Yaa allah wajalie wazazi wetu pepo yako🙏

  • @mwajumamonze8792
    @mwajumamonze8792 Рік тому +43

    Ma Sha llah dadangu mungu akubariki na Nuru Yako izidi kungaa wallahi umenikumbusha mbali sana hii qasida Yako ya Allah watilie Nuru wazazi wetu katika kaburi zao na uwape kauli dhabiti😢

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 Рік тому +1

    Ungereni sana bukoba umetisha

  • @Yasin-d5j
    @Yasin-d5j Рік тому +1

    Dd up vyema

  • @KhadijaChata-iz8ok
    @KhadijaChata-iz8ok Рік тому +2

    Ahsante sana dada yangu kwakuiachia nimeinjoy

  • @Amina-d7l
    @Amina-d7l 2 місяці тому

    Mashaallah allah akuzidishia kila lakher kipenzi

  • @shukurushaban-sw3yp
    @shukurushaban-sw3yp Рік тому +2

    Mashalaaa nizuri sana 😘😘 hatasijui kwanini haidalodi

  • @KhadijaOmar-gh3zt
    @KhadijaOmar-gh3zt 8 місяців тому +1

    Mashalla ❤❤❤ nkpnda

  • @MwanamisiNadzua-h4u
    @MwanamisiNadzua-h4u 5 днів тому

    Amin

  • @DaudKasim-p5i
    @DaudKasim-p5i Рік тому +4

    Mashalla dada mungu akupe Maisha malefu❤❤

  • @Zubeda-h1m
    @Zubeda-h1m Рік тому +1

    Mashallah asante sana kwa qaswida hii I.enifariji sana

  • @officialToocn567
    @officialToocn567 Рік тому +1

    mashallah utunzi umenigusa Sana dadaangu mungu akubariki sana dada

  • @BARAKAMGANGA-u6e
    @BARAKAMGANGA-u6e 29 днів тому

    Allah akape kheiry mpaka siku yakiama

  • @MwamvuaZubery
    @MwamvuaZubery 4 місяці тому

    Dada hongera yako kwa kutukumbush uwepo na thamani ya mama katika hii dunia❤❤❤❤

  • @AsnathMohamed
    @AsnathMohamed 2 місяці тому

    Allah akupe starehe katika pepo mungu atukutanishe firdaus amiin

  • @minaaminaa1781
    @minaaminaa1781 11 місяців тому +1

    Nani anae kata vitunguu😭😭😭

  • @MhandoBigo-g3y
    @MhandoBigo-g3y Рік тому +1

    Mashaallah mwenyezi mungu akuogoze

  • @TimaOmar-wf7pn
    @TimaOmar-wf7pn 2 місяці тому

    Nakupenda kwakujua mm nimuimu San bila yeye atuwezi .kujijua mungu akueke

  • @Abomcleak
    @Abomcleak 10 місяців тому +1

    Shukrani hii imefika kbs

  • @mariamupongwa
    @mariamupongwa 2 місяці тому

    Mashaa allh

  • @guyogalora-gl2lu
    @guyogalora-gl2lu 4 місяці тому

    mashaallah..shukran jazeelan

  • @hadijahamis2965
    @hadijahamis2965 Рік тому +2

    Masha allah 😂 adi machozi yanadondoka

  • @FatmaKombo-y8e
    @FatmaKombo-y8e 2 місяці тому

    Hii kasida nimeisikiliza nimelia sana😢😢😢 kwa kweli inanikumbusha mbali sana nilipokuwa na mamaangu, mamaangu ameshatangulia mbeleyahaki miaka 24 iliopita. Nawapenda sana mama nyote hakuna kama mama

  • @AbdiDokota
    @AbdiDokota Рік тому +1

    Mungu akunemeshee neema na afya inshaallah

  • @abdallahsalum-tu2ps
    @abdallahsalum-tu2ps Рік тому +2

    Mashallah nakupenda sana dada yangu

  • @ZakiaAlRamadani
    @ZakiaAlRamadani 6 місяців тому

    ❤❤❤🎉 💐 nakupenda blue dada jamani qaswida nzuri sana

  • @SelemaniMussa-dy7fu
    @SelemaniMussa-dy7fu 5 місяців тому

    Haina mpizan

  • @AbuubinMbazi
    @AbuubinMbazi Місяць тому

    Xopoa Dada nimependa kaxda zako j Niki taka kuja chuoni kwenu baruhuxiwa 2onane

  • @FatmaHussen-g6i
    @FatmaHussen-g6i 2 місяці тому

    Waooooo hatibu kwanlooo

  • @RashidiAlly-p2i
    @RashidiAlly-p2i Рік тому +1

    Mashallh❤❤

  • @hamisibakari5435
    @hamisibakari5435 Рік тому +1

    Ma sha allah